Wakristo tujifunze kupitia ushuhuda huu... Tufurahi kwa sababu sisi ni Wakristo.. Kuna watu wanaghalamika kupata wokovu Mungu tuongoze kwa Jina La Yesu Kristo wa Nazareth 🙏🙏
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Ndio kawaida yenu kufunzwa kupitia uongo. Lkn huyo si muisilam wala hajawahi kua muisilam. Nimkafiri mwenzenu huyo na km hamuamini mwambieni alete ushuhuda wa hao waliomtesa. Uongo tu!
@movaciermasherano66644 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Hamna ni kweli wengi uwa wanasema hivo haiwezekani wote wadanganye sema wewe bado mdogo ufaham lolote
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Matendo yako ni makuu sana kazi yako ni adhama na heshima wafurahiwa na wapenzi wako Mungu wewe ni mkuu sana katika Jina la Yesu
@davidmihambo30514 жыл бұрын
nimependa hili tukio lilotokea katika hii dakika ya 10 na sekunde ya 27. ndio inathibitisha agizo alilolitoa Yesu kwa wanafunzi wake; Matendo Ya Mitume 1:8 Neno: Bibilia Takatifu 8 Lakini mtapokea nguvu akishawajilia Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu na Yudea yote na Samaria, hadi mwisho wa dunia.” ALL GLORY TO GOD
@ezrommkambati16874 жыл бұрын
Ndio mm nipo Kigoma tena nipo hapa Sido kwa muda huu, napafahamu haswa fika fika. Unachokisema ni cha ukweli, YESU juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!
@cupcakesanddounuts65554 жыл бұрын
Sana
@florasingano58594 жыл бұрын
Juuu juuu zaidiiiiii
@happnesmatende62713 жыл бұрын
@@florasingano5859 Ameen
@SarahShao-jw1upАй бұрын
😭😭😭😭😭..... Asante sana Mtumishi wa MUNGU.......Nimeuona ukuu wa MUNGU. Ushuhuda huu umenijenga sana sana!
@kiswahili_mangat2 жыл бұрын
That is one of the greatest testimony I have ever heard. Ubarikiwe hata zaidi wewe na familia yako! Yesu ni Ukweli, Njia na Uhai!
@JimmyStone-sb3wt6 ай бұрын
Nampenda sana Bwana Yesu kwasababu bado anapigania watu wake..Mtumishi Bwana akubariki Amina
@annewanjiku524 жыл бұрын
There's power in the Name of Jesus Christ Hallelujah
@NeemaMrisho-y5o Жыл бұрын
Glory to God
@berthabarozi Жыл бұрын
Yesu ni mwaminifu. 28:22 28:25
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭huu ni ushuhuda unao mfanya mtu abadilike Eee Mungu linda watumishi wako
@rehemamwale7004 жыл бұрын
Mtu ambae amedislike hii testimony tumueleweje? Watu wanashangaza, what a powerful testimony to change people lives, to uplift faith and make it strong, a testimony that will make you want to know Christ JESUS more more, GOD have mercy for those who dislike. Gospel will be preached wether you like or dislike Christ JESUS will be preached. Glory to GOD ALMIGHTY 🙏🏾🙏🏾
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Na wanaokubali kwa msema pweke tuwaeleweje? Kafiri mwenzenu huyo hamjaanza leo kuutia madoa uisilam. Nalaitani km uisilam ungekua unakua kwa nguvu za watu basi ungekufa tangu sep 11 lkn nambie unakua na unazidi kukua kwa sabbu ni dini ya haki. Ukisoma utaondokana na ujinga unaolishwa lkn ukisikiliza hao jamaa zako walozoea kula sadaka zenu maisha utaishia kwenye ukafiri.
@movaciermasherano66644 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Pamoja na ku bweka kote uko ila nawewe utaokoka tu mda ukifika
Very strong testimony wapendwa tuachane na dhambi tuishi maisha matakataifu Yesu aweze kutupigania
@salomekemunto13732 жыл бұрын
AMEN AMEN and AMEN.Kweli Yesu Kristo amekutoa mbali na bado Mungu ana kusudi kubwa juu ya maisha yakoo. Injili ya Yesu Kristo iende Mbele Mbele Mbele kabisa.
@annewanjiku524 жыл бұрын
You have lifted my faith once again and you encourage me to be bold and to have courage in Jesus Name
@godfreyalex53199 ай бұрын
Imani ya Bwana wetu Yesu kristo ikuzingire wewe na na jamaa yako yote wamuone Bwana wetu ya kuwa ni Mungu apasaye kuabudiwa Yn 4:24
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
What a great testimony our God is great always utaishi uhubiri Jina la bwana Jesus loves yu atakulinda na akubaliki.
@resaltnekesa97022 жыл бұрын
Ooh! My God, pole sana mtumishi wa Mungu. Mungu na akupe nguvu na kukunawirisha zaidi ki Imani. USHUHUDA WAKO UMENITOA MACHOZI ILA UMENIJENGA SANA KIIMANI 😪😪
@carolmuchiri99214 жыл бұрын
Ameni Ameni Mchungaji na Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na Kuonekania, 🙏🏾🙏🏾👍👍❤️🇰🇪
@ivonaevarista46544 жыл бұрын
N kweli kabisa ukiokoka kwelikweli unachukiwa,hongera kwa imani Bwana Yesu apewe sifa,Yesu hawezi kumuache mtu amkimbiliaye Mimi mwenyewe mama alinipiga mno lakini nilikataa kurudi kwenye sanamu mpaka sasa hanitakia ila najua yupo Yesu atamsaidia atamuokoka,njooni kwa Yesu kuna amani,asante kaka jack kwa kutuletea shuhuda nzuri
@unyakuotv.13914 жыл бұрын
Nitaanza kuhubili habali hizi na kuelezea mambo mengi juu ya shetani na njia iliyo sahihi kuingia mbinguni hivi karibuni . Kwenda mbinguni sio kazi lahisi kama walokole wenzangu wanavyozungumza . Maana nilimskia mchungaji mmoja anasema yesu alikufa msalabani hivyo tumekombolewa katika dhambi.( Ndio sikatai) lakini wengi wanapotea katika haya haya maandiko ukifikilia vibaya) mtu anaamini nimeondolewa dhambi naenda mbinguni akifa aiseee.. ingekua hivyo kuzimu isingejaa maelfu ya watu na njia iendayo Kuzimu ingekua ni nyembamba na iendayo mbinguni ingekua ni pana . kwenda mbinguni sio kazi rahisi . Tangu siku za yohana mbarizaji ufalime wa mungu... ...( Na kinyonge hakita ingia kamwe) . Kuna siri nzito juu ya namna ya kufanya mtu aende mbinguni na hapo ndipo shetani amewapiga watu upofu wasielewe wala kuamini..( roho inauma sana) ni kama vile watu wameamua kuchagua wenyewe kwenda motoni. . shetani amekamata maelfu ya watu hapa ndio kila nikitazama naona kabisa wazi wazi. Watu wanvyoteketea kuzimu ya moto daaa.. MAANA KRISTO YUPO NDANI YANGU NAMI NDANI YAKE . NINAONA WAZI WAZI .. roho inaniuma kwa kua nina toka natoka na kwenda mbinguni nimefaham mambo mengi sana.
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Yesu mwana mungu ni mushindi ju ya washindi Hallelujah
@mackynicky58324 жыл бұрын
Ahsante Kaka Jacktan, Mungu akupiganie, huu ushuhuda umenifanya nilie, hakika hakuna kama Bwana Yesu
@stellakago13454 жыл бұрын
Mungu alikuokoa msikitini akakupa ubatizo wa moto porini. Jina la Bwana libarikiwe. Yesu Kristo aliye hai aendelee kukulinda kwa damu yake takatifu. My prayers to all who do not believe neema ya Mungu iwaguse kupitia huu ushuhuda
@claudinekatula16954 жыл бұрын
Amen,alie ndani ya Yesu anaraha,umepata ushindi mbele ya maadui.Mungu azidi kukulinda kwa hiyo imani kubwa ulio nao
@rizikimarie67654 жыл бұрын
Amen Amen pastor nilikufuata kwanzia mwanzo mpaka mwisho nimebarikiwa sana mungu akubariki
@wahurabathi48454 жыл бұрын
Amen in jesus name thank you pastor God bless you.
@linkreuben58044 жыл бұрын
Nguvu hii ya YESU itawale nchi yetu Tanzania. Awahukumu maadui zetu kila upande, tuishi kwa Ameni na kufanyikiwa katika nchi yetu. Katika Jina la Yesu. Ameni!
@barakajacobs45394 жыл бұрын
Amen , Isaiah 54:15 If anyone does attack you, it will not be my doing; whoever attacks you will surrender to you. Amen. We serve the Living God 🙌😇 aaw awesome
@bettyobiero84084 жыл бұрын
Am blessed so much by this testimony. Endelea kumtumikia bwana ndungu yangu katika Yesu. Amen
@barakajacobs45394 жыл бұрын
@@bettyobiero8408 Amen
@kelvinlwiva53804 жыл бұрын
God is wonderful,a miracle working God! Mungu akupe nguvu ya kumvunia mavuno makuu!
@thelonewolf44294 жыл бұрын
Chozi limenitoka kwa furaha YESU NDIO KILAKITU AMENN
@barakajacobs45394 жыл бұрын
What!!!! Usicheze wa watoto wa Mungu...I tell you those who fight the children of God fights with God Himself . WOW our God will never forsake no leave us
@b.a.m62434 жыл бұрын
Waislaam bhana, haya tutafika tu hata kwa vip. YESU wangu nakupenda sana na kwako sibanduki milele, majaribu n mengi ulimwenguni lakini naamini kwako kama wapo walioshinda nasisi wengine tutashinda kwa wakati wa BWANA. Amen.
@juliuskitaluka12064 жыл бұрын
YESU ni mwaminifu sana
@nswilayella32954 жыл бұрын
The best shuhuda to me ever heared
@yvettekyalika9074 жыл бұрын
YESU okowa wa toto yangu... Nipiganiye Ô YESU 💃💃🎶🎶
@happynessmarki27804 жыл бұрын
MUNGU WANGU UMEPITIA MKASA WAKUTISHA SANAAAAAA POLE SANAAAAAAAAA DAH! LKN HONGERA SABABU HATA MBELE YA KIFO BADO ULIMTAJA YESU
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Jamaa yenu tangu zamani huyo si muisilam na hajawahi kua muisilam
@Julz77773 ай бұрын
Our dear brother in Christ, you are not alone. As you said your kin may disown you but you have a great family in Christ. I hope to shake your hand in heaven when we meet.
@mawazobayndulwa19094 жыл бұрын
Akuna kisicho wezekana kwa Mungu yote kwake yanawezekana na hao waesilamu hawatamuona muhamad wakati wa unyakuo ni yesu peke yake tu sasa wakati watasema yesu yesu watakuwa wamechelewa pole sana kwa dini kama hiyo Jacktan Mungu hakubariki na mutumishi wa Mungu Mungu Akufunike na damu ya yesu kristo Amen
@mildredmukoshi63814 жыл бұрын
Huu ni ushuhuda ambao umenigusa sana. Kwa kweli jina la yesu lina nguvu kuliko kila kitu. Pole sana ndugu.
@hassankombo44754 жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema ulikuwa mchanga na uliweza kuimili mtihani kama huo mungu akutie nguvu
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Uongo mtupu na tushauzoea ila tunawashangaa nyie msiochunguza zinapokujieni habari. Hvi unataka kunambia anayozungumza ni kweli? Huyo nikafiri mwenzenu mmemtengeneza.
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Kama huamini nenda kaulize waliotaka kumzika akafufuka kabla ya kuzikwa, siyo kupinga tu
@richardsanga86414 жыл бұрын
UKIZUNGUMZIA UISLAMU. UNAZUNGUMZIA SHETANI 100%. UKIZUNGUMZIA UKRISTO UNAZUNGUMZIA MUNGU ALIYE HAI 100%
@PatrickMuendo-ur9js Жыл бұрын
Have watched all your testimonias what a journey? We need such courage and obedience, we should build our faith
@mangeramwalimuyohana16504 жыл бұрын
YESU anaweza,naomba niulize kwanini waislamu wana vaa makanzu,na wakati huo ufalme wa giza nao wana vaa makanzu
@estasage55064 жыл бұрын
I can't stop crying and praising my good lord. Jesus Christ son of the living God please have mercy on me. I don't want to take you for granted master
@zakiaabdulrahman30134 жыл бұрын
God is good all the time
@powerplus19334 жыл бұрын
Asante Sana Kaka jactan kwa ushuhuda mzuri.ikiwezekana nawashauri mutoe filamu yake.itakuwa sawa.
@leonardanzurunipombi24994 жыл бұрын
Amina asante mtumishi wa Mungu,ushuda wako umenijenga
@manuelselemaneatanasio13294 жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe
@annewanjiku524 жыл бұрын
Your brother has been your thorn in your fresh fighting wrong battle in the name of rejecting his religion which is a demonic religion may God salvation never sease to haunt him till he surrender his life to Jesus Christ in the Name of Jesus Christ and all of us says Amen
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Amen
@christinengumbao9934 жыл бұрын
Amen asante kwa ushuhunda Yesu ndiye njia ya kweli na uzima hakuna mwengine wakufanana naye hatakuepo in Jesus name amen Emmanuel
@heritier51192 жыл бұрын
Huyo kaka yako ni mtu wa kizamani Sana toka lini Mungu akapiganiwa, ukiwa na pesa ukimbiwi na ndugu
@yvettekyalika9074 жыл бұрын
Mutumishi Jacktan ASANTE sana na ushuuda.. Merci beaucoup ! Stay blessed 🙂
@ngwanafabian96684 жыл бұрын
Na wewe unayemwamini bikira Maria okoka acha kuabudu sanamu. Mariam siyo mwombezi wetu wala haokoi. Yesu pekee ndiye anayestahili kuabudiwa na ndiye mwombezi wetu
@ivomhagama97964 жыл бұрын
Mathayo 10:32,33 ,Basi kila mtu atakayenikiri mbele ya watu,nami nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye Mbinguni.Mtu yeyote atakaye nikana mbele ya watu,nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye Mbinguni.Yohana 14:23 ,Yesu akajibu akawambia,Mtu akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda nasi tutakuja kwake na kufanya makao kwake.Wagalatia 6:7,msidanganyike MUNGU,hadhihakiwi kwakuwa chochote apandacho mtu ,ndicho atakacho vuna.
@adriandanford2084 жыл бұрын
Jina la yesu ni kama marashi mazuri yanukiayo katika nafsi iliyoamini
@sebastianmwita91494 жыл бұрын
Yesu kristu ni zaidi ya tunavyodhani, kwa maana ni MUNGU halisi
@esterabonga79474 жыл бұрын
Uhu ushuhuda umenijenga imani mara 💯 yaani zaidi na zaidi . Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Mungu kwetu sisi ni Mungu wakuokoa na njia za kututoa mautini zina yeye
@kalamajulius61074 жыл бұрын
Kama kunaye mtu anayeweza kusikia ushuhuda wamtumishi huyu wote asiamini nakuokoka naalaniwe katika jina la Yesu aliyehai amen.
@drnow15284 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu aliye juu katika jina la Yesu Kristo
@justinecharles50004 жыл бұрын
Barikiwa Sana Pastor . Hakika ushuhuda huu umenijenga Sana na kubadilisha maisha yangu ya kiroho.
@EmilyNanjala-fz9jeАй бұрын
Waislamu wako na roho mbaya sana yani kutoa maisha ya mtu kwao c dhambi !? Mungu awabadilishe kwa kuhukumu wakristo nakuwaita makafiri 😢😢
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen neva give up God bless you always
@marykibwana94134 жыл бұрын
Hongera Pastor Amiri.
@naomypaul10144 жыл бұрын
Jamaniiii hivi Ni kweli ndugu yako wa damu utake kumuua kisa kubdri dini,asee apo ndyo naamini hawa wenzetu mungu wanaomwabudu syo sahihi
@kelvintech37974 жыл бұрын
Asante Kaka jacktan
@abbyadams86914 жыл бұрын
Wakristo kumbukeni hata Yesu hakuteswa na wapagani wala majambazi,bali aliteswa na wakuu wa dini za kiyahudi na washika sheria ya Torati.Mshika sheria za dini ni mtu hatari sana kuliko mpagani.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Huyo hakuna alomtesa muongo. Hakuwahi kua muisilam kafiri mwenzenu tangu awali huyo. Mnadhani hatujui mbinu zenu?
@brigithadidas51284 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 hahaa pole sana okoka b4 its too late
@yvettekyalika9074 жыл бұрын
💃💃💃💃💃❤️💃💃❤️❤️❤️❤️💃YESU YESU YESU... Gloire à DIEU 💃💃🎶🎶ALLÉLUIA 🎶🎶
@lynnpreciousm61824 жыл бұрын
💃💃💃💃💃.......haleluia!!!! Praise the Lord Jesus Christ. Unayoyatenda kweli ni MAKUUU!🔥🔥🔥❤️❤️🎉🎉🎊🎊🎀
@neemaedward14744 жыл бұрын
yesu ndiye njia kweli na uzima hilo halipingiki,asante yesu kwa kuendelea kujidhihirisha kila inapoitwa leo
@mrdigtal65794 жыл бұрын
Roho ya mwakasenge ya mungu inakaa ndani yako utakuwa mkuu katika ufalme Wa mungu hakika sauti yako inatisha kuzimu barikiwa
@MzeeKigogo_5 ай бұрын
Amina. Yesu ni bwana
@abbyadams86914 жыл бұрын
Njia bora ya kuwaokoa wenzetu Waislamu ni kuwapenda zaidi na sio kuwadhihaki au,kuwakebehi.Yesu ni PENDO na MUNGU ni pendo vilevile. Mkristo wa kweli ana wajibu wa kueneza upendo maana sisi ni tawi ndani ya mwili wa Kristo.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Sikilizeni uongo wa kafiri mwenzenu kama kawaida yenu. Mbinu za uongo ndio zenu. Lkn huyo jamaa hakuwahi kua muisilam.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Na muisilam wa kweli pia anawajib wa kusambaza upendo mana uislam niupendo na amani.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Na ikiwa kuna wakiristo wanaoua watu basi mjue na waisilam wapo hivyo hivyo. Msidhani muisilam lazma awe perfect na mkiristo mkaeka sabbu.
@kingkendrickk4 жыл бұрын
Ama kweli Yesu ni ushindi.
@aronponsian11242 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen Amen glory be 2 God Amen
@annewanjiku524 жыл бұрын
Yani Amir vita umepigwa kubwa na ndugu y'all haswa kwa ajiri ya kumkiri huyu Yesu, amin amin Yesu atakukiri mbele ya BaBa take pia umbarikiwe zaidi
@hellenamasinjisa54484 жыл бұрын
Haleluya, mkristo jivunie kuwa na Yesu, wengine wanapata wokovu kwa shida, Asante Yesu mwana wa Mungu ulie hai
@marysteven6054 жыл бұрын
Honngera saaaaaana mtumishi wa mungu kwa ushindi mkuu!!!!!
@annewanjiku524 жыл бұрын
I receive that blessing in Jesus Name
@RahabWanjiru-e6d Жыл бұрын
Mungu ana weza
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Ushuhuda huu umenicusha.asante
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Wacha mwana wa mungu aitwe mungu
@lydiahsinyora23562 жыл бұрын
God will remain to be God forever and ever amen be blessed man of God
@esthetbabu74814 жыл бұрын
Oh God the power of Lord,is powerful
@annewanjiku524 жыл бұрын
There's power of confessing Jesus Christ in front of those who are persecuting you
@fridafrida76652 жыл бұрын
God bless you brother
@mwajumabulonvu70384 жыл бұрын
amen amen yesu ni mwema.
@JuliasRanga-dd8zn Жыл бұрын
Amen and amen in Jesus name
@yustamushi194 жыл бұрын
Hivi hao watu wanamwabudu Mungu yupo ,mbona ni wauwaji ni Mungu gani huyo jaman
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Nampenda Yesu jamani
@damarsd45994 жыл бұрын
Yesu kristo atabaki kuwa Bwana,,kaka yangu endelea kumtumikia yesu
@germainekahambu4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na akubariki mtumishi wa Mungu
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Amen amen amen😭😭🇰🇪
@lwesyajj59814 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na ushuhuda huu
@estasage55064 жыл бұрын
Kaka hiyo ulimujaribu Mungu. Yaani watumishi wa Mungu wasingekuruhusu uende nyumbani kwenyu.
@elizabethmichael1324 жыл бұрын
Amen mungu atabaki kuwa mungu
@esthetbabu74814 жыл бұрын
Amen amen God bless you all the time
@mackynicky58324 жыл бұрын
Hakika Yesu ni Bwana
@NoorPrince-v1v Жыл бұрын
Sema ulikuwa mpuuzi 2broo
@santawinny99464 жыл бұрын
Mungu azidi kuku bariki sana maana na barikiwa
@joycegeorge-mf5kn Жыл бұрын
Groly to God
@profs.a54124 жыл бұрын
Uislam ni ushetani tu .....hata kama wanachukia ila huo ndio ukweli .....dini ya uislam ni ya shetani tu..........
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
WW na hao makafiri wenzio ndio mashaitwani wakubwa (Iblisi) maadui wa Mungu mnaoabudu mtu baada ya Mungu.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Na bahati mbaya huna hata dini. Mana ukiristo sio dini ni njia tu ya ushaitwani alokupangieni paulo adui mkubwa wa Nabii Issa Yesu(a.s) na nyie ndo mmeshikana nae. Halafu ati mnampenda Yesu. Anayempenda Yesu anamuunga mkono Paulo? Wakati Yesu mwenyewe anasema Paulo ni farisayo muongo na wala hajawahi kukutana nae? Mashaitwani wakubwa.
@jamesautomajorjimmy78954 жыл бұрын
Mstusiane juu ya ndini bana kila mtu ako na haki yake ya kuabudu saa matusi ya nini mtu hachagui jilani ila rafiki mtu hachagui mama ila mchumba so sitakwabia mama yangu ni mzuri kuliko wako juu siezi kwabia kuja tukae na wewe utachoka ama utanichocha ila nitakwabia fanya lililo nzuri kwako lakini usiue usiimbe tendo wema natoka kenya na nimeshuhudia wanasiasa hupiganicha maskini lakini wao hawapigani
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796Kuna siku utakutana na Yesu Kristo Yuko hai Jana juzi na leo,