USTADH AMIR ALIYEOKOKA ATOBOA SIRI NINI MAJINI YANACHOKIFANYA ILI KUZUIA WATU WASIOANE

  Рет қаралды 77,614

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#Nenolasiku #Kutokaibadani #PromoverTV

Пікірлер: 300
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 7 ай бұрын
Safi sana hiyo ( Yesu juuuujuuuuu ) Shehe Amir juu Mungu akulinda
@richisaibulu1538
@richisaibulu1538 3 жыл бұрын
Kama unasoma comments huku unaangalia gonga likes apo chini 👍
@yusukivu3656
@yusukivu3656 3 жыл бұрын
Naomba namba yake 0767840793
@harunomary7384
@harunomary7384 3 жыл бұрын
Mungu akubari kwa kuifaham kweli
@doroteaboay5040
@doroteaboay5040 3 жыл бұрын
@@yusukivu3656 pp0
@OmarryHashimu
@OmarryHashimu 3 жыл бұрын
Nema isaka
@stephenmatheka8009
@stephenmatheka8009 3 жыл бұрын
He is a good God
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tufungue macho ya rohoni,tuweze kuwatambua
@oprahsalum8185
@oprahsalum8185 3 жыл бұрын
Ona huyu aliyekuwa shehe akimtangaza Yesu Kristo aliye hai kwa nguvu sana haleluya!!!!!!!!!!
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Mganga not sheik
@sekigosi4902
@sekigosi4902 2 жыл бұрын
Amen.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@ruu6592 anasema shekh sikiliza vizuri
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
​@@trophywilson7211 ndio maana mnadanganywa sio kila anachukuwa sema mtu mnamuamini someni dini acheni kudanganywa na hao mapadri
@HamiduMsaka
@HamiduMsaka 21 күн бұрын
Ubarikiwe sana ndugu hongera Kwa hatua hii nzuri usirudi nyuma
@samwelshanyangi748
@samwelshanyangi748 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, Mungu akupe moyo wa ujasiri na ulinzi wake mwema
@dafrozaaaron5817
@dafrozaaaron5817 9 ай бұрын
Asante Kwa kutupa ukweri hakika kuna kitu nimekipata
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 3 жыл бұрын
Amina Amina. Mchungaji Amir endelea na mafundisho usione kuwa tunachoka. Sisi huku tumepiga sikio vizuri tunataka uendelee kabisa hata kama ni masaa ishirini ya maelezo tutashukuru kwani mafundisho ya utakatifu wa Mwenyezi Mungu ni chakula cha roho. Bwana Yesu asifiwe. Asante tena bw. Jactan zidi kuteletea vipindi hivi vya ufundisho wengi wetu tuko mbali lakini wewe umetuezesha kuwa na ibada nakumtukuza Mwenyezi Mungu. Ubarikiwe zaidi
@japhetikongo453
@japhetikongo453 3 жыл бұрын
Amina, Heri iwe Kwako uliyeiona Kweli na kuamua kuifuata . HONGERA sana MUNGU akubariki na zaidi akutumie Mno kuwaelimisha wasiomwamini YESU. “BWANA YESU ATUKUZWE SANA”
@rodrigiousmwaiwo2494
@rodrigiousmwaiwo2494 3 жыл бұрын
Amen, mafundisho ya kusaidia sana, Jacktan mara nyingi watumishi unao waleta wanamafundisho mazuri, sifa heshima na utukufu zimrudie Kristo Yesu, kwa kuwaokoa ndugu zetu.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
No kweli mpendwa MUNGU atusaidie
@rodrigiousmwaiwo2494
@rodrigiousmwaiwo2494 3 жыл бұрын
@@magrethsimtenda926 amina dadangu
@dafrozaaaron5817
@dafrozaaaron5817 9 ай бұрын
Amen Asante sana ubarikiwe
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Kila goti litapigwa na kila ndimi itakiri..uyo ndie Yesu...
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
Amen Amen.Mungu akubariki Sana na Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo iende mbele na kupitia usuhuda wako wengine waokolewe.
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Mtumishi endelea kusema ukweli usiogope Bwana Yesu yuko na wewe
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Жыл бұрын
Barikiwa sana na BWANA,na hao wa isilam najuwa watakupinga wewe usijari kwakuwa umesha mujuwa MUNGU wa ukweli
@faze_narq6890
@faze_narq6890 2 жыл бұрын
I love the this anointed pastor breaks down the word of God!! With boldness and the Holy Spirit power!! He is so fired up for Jesus Christ! I love him so much!! 🔥 🔥 🔥
@faustinejongela6720
@faustinejongela6720 3 жыл бұрын
Namshkl Mungu kwa kukuokoa nawe piga injil ili uokoe wengi. Ubarikiwe mtumish. Amina
@DanielNdabi
@DanielNdabi 7 ай бұрын
Kweli unanibariki sana
@agnesjohn7504
@agnesjohn7504 3 жыл бұрын
AMEN blessed be the name of the most high God 🙏
@carolineotara9482
@carolineotara9482 3 жыл бұрын
May God bless u man of God
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Amen MUNGU Akubariki sana ufunuo huu mkubwa
@evasaimon6764
@evasaimon6764 3 жыл бұрын
Hallelujah!! Najisikia fahari kumjua huyu yesu
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@lioncoin
@lioncoin 3 жыл бұрын
Yesu Kristo asifiwe milele majini madugu ya waislamu WASHINDWE katika njina LA YESU kristo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Na ni ndugu kweli kweli siyo uongo,ili uamini ingia ndani kwao,mara udi mara sijui nini ,Uchafu tuu
@peridamalila3922
@peridamalila3922 2 жыл бұрын
Hongera kwa kukimbilia kwa bwana yesu hongera sana sana Mungu azidi kukutunza
@jaredochieng4725
@jaredochieng4725 3 жыл бұрын
Nuru ya Yesu mbona ya ngaa wapendwa. Tumsifu siku zote.
@khalfanifarisy7398
@khalfanifarisy7398 3 жыл бұрын
Wakumpa sifa siyo Yesu, bali ni Mwenyezi Mungu (Yaweh)
@andongwisyemwakyusa3936
@andongwisyemwakyusa3936 2 жыл бұрын
Be blessed much
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 3 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mchungaji...
@lilianngushi1531
@lilianngushi1531 2 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa ufunuo huu nimesaidika
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Very deep and powerful.
@carolynadhiambo2543
@carolynadhiambo2543 3 жыл бұрын
Amina Barikiwa mtumishi, nimepata funzo nzuri
@hassanmwikangila3377
@hassanmwikangila3377 3 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda wa kumuaibisha shetani ubarikiwe sana mtumishi wa mungu tumtegemee yesu peke yake nimeokoka nampenda sana yesu na huwa nikikaa huwa nawaza nilikuwa wapi mda wote shetani mbaya sana ashindwe kwa jina yesu
@hassanmwikangila3377
@hassanmwikangila3377 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi yesu ni mzuri sana tunamtumikia yeye peke yake hatuogopi chochote wala mwanadamu yeyote tusonge mbele katika kumtumikia mungu wakati wa shetani kuwatesa watu umekwisha na tunavunjavunja kweli kazi zake mbaka kieleweke huu no wakati wa kumtumikia mungu siyo shetani ashidwe kwa jina la yesu krito wa nazaleti.
@hurumawendo8626
@hurumawendo8626 3 жыл бұрын
Ubalikiwe San ..mtumishi Yesu anaokoa
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 3 жыл бұрын
Naamini ndo maana nilipakimbia, ubarikiwe sana pia wasaidie wengine watoke huko uislam hakuna kitu ...hallelujah Mungu ni mwema
@nelsonmsemwa4775
@nelsonmsemwa4775 3 жыл бұрын
Bless you
@aeromedaaviation1837
@aeromedaaviation1837 3 жыл бұрын
angalia usiangamie
@juliethdamson1474
@juliethdamson1474 3 жыл бұрын
M/mungu anakuona!!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Hamtumikii mungu anamtumikia MUNGU aliye hai amka
@elisiajohn7287
@elisiajohn7287 3 жыл бұрын
Kwa maana ushuhuda wa Yesu ndiyo roho ya unabii. Ufunuo wa Yohana 19:10
@JKQGAME
@JKQGAME 3 жыл бұрын
@@mohamedathuman3247 mwisilam bila matusi maisha hayaendi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@mohamedathuman3247 mmm bora nife na Yesu kuliko nifie huko kwa Makafiri wakubwa zaidi maana sisi ni makafiri wadogo tulioukataa uislamu
@sophiajonas8618
@sophiajonas8618 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ujumbe huu na kwa kumuokoa mtu huyo
@abelmwakilembembwate5492
@abelmwakilembembwate5492 3 жыл бұрын
Hongera kwa yesu kuna raha
@manirahofelix1693
@manirahofelix1693 2 ай бұрын
Amen!!
@maggyshiwona8026
@maggyshiwona8026 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mutumishi ni mejifunza mengi
@evanceraurian5842
@evanceraurian5842 3 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@carolineotara9482
@carolineotara9482 3 жыл бұрын
Welcome to busia man of God
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
We umekulia katika family ya uchawi sio ya uislam
@solomonmnyanyi3474
@solomonmnyanyi3474 3 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Bwana. Mungu akubariki sana.
@davidodhiambo5687
@davidodhiambo5687 3 жыл бұрын
Amen
@drnow1528
@drnow1528 3 жыл бұрын
Sio ustadh ni mchungaji Amir
@esthetbabu7481
@esthetbabu7481 3 жыл бұрын
Amen Nuru ya bwana ikae ndani yako
@HelenKodi
@HelenKodi Жыл бұрын
Mungu ni Mwaminifu kama ameokoa Malim mzima tupate kujua ukweli wa vita vya Kiroho
@wilbertjastin5297
@wilbertjastin5297 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu, ubarikiwe sana upo wapi?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Labda anaishi dar ila hapo yuko Kahama kanisa la FPCT la Mahali
@mughunam
@mughunam 3 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 3 жыл бұрын
Kaza boot mchungaji zidi kutuchunga kondoo wako kama ulivyoonyeshwa mpaka yesu atakaporudi.
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 3 жыл бұрын
Mungu akubariki wewe na familia yako uishi miaka mingi sana
@jacksondaud4957
@jacksondaud4957 3 жыл бұрын
Mungu akulinde
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Mahubiri mazito sana aya asie kuelewa jua uyo ni shetani
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Usimame hasa usimuaibishe Kristo kwa Rehema zake
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 3 жыл бұрын
Mbarikiwe bishop nakupata nikiwa Dubai
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Wanaoamini kuwa kuna majini wazuri hawaelewi kwamba hawa ni maajenti wa Shetani. Hata wanapowezesha mtu kupata utajiri, umaarufu, uponyaji nk , gharama yake ni kubwa mno. Wengine hulazimishwa kuwatoa kafara watu wao au kuishi katika utajiri miaka michache tu kisha wafe. Wengine hata wanadhalilishwa kwa njia za aibu kv mtu kushiriki ngono na mama yake. Zaidi ya yote, kutegemea majini maishani ni sawa na kumwabudu Shetani, na mwisho wake ni Jehanamu.
@HappyJohn-kk1pr
@HappyJohn-kk1pr 6 күн бұрын
Akuna jini mzuli
@barakamanu1514
@barakamanu1514 3 жыл бұрын
Baba wa mbinguni aendelee kukutia nguvu, nabarikiwa sana nikiwa Mombasa, Kenya.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
Baraka inaanzja nyumbani.
@suzanjohn954
@suzanjohn954 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Tamaa isiingie ndani yako Ukaanguka yatakutesa hayo Majini
@theresiapastory9637
@theresiapastory9637 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi🙏
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen ukweli mtupu🇰🇪
@wilisonsamwal4652
@wilisonsamwal4652 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa ibada ya leo
@pauloropian8116
@pauloropian8116 3 жыл бұрын
YESU ni bwana wa mabwana.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Ni BWANA herufi kubwa usichanganye na bwana ni vitu viwili tofauti
@carolineotara9482
@carolineotara9482 3 жыл бұрын
I need help servant of God.
@drnow1528
@drnow1528 3 жыл бұрын
Ufalme uko kwa Yesu tuu
@vicentmpalanzi8555
@vicentmpalanzi8555 3 жыл бұрын
Amina mtumish ila kuna waislam wanacomet maana unaongea ukweli na unawachoma kiroho pambna uendelee kuwakanyaga waislam walio wachawi kkwa jina la yesu
@annajonas1069
@annajonas1069 3 жыл бұрын
tamaa z pesa zitatupeleka jahnnam kama kweli ulikuaga shekh soma surati lifatih kwaumakini
@nurudinehamimu5658
@nurudinehamimu5658 3 жыл бұрын
Usidanganye kwamba uislam dini ya majini sio unavyo fasili huna dini apo toa andiko katika bibilia kama ukristo dini utahukumia kudanganya uisilam na mapepo nivitu viwili tofaut
@petermatabwa5085
@petermatabwa5085 3 жыл бұрын
Uislam na majin havitengani na ndo maana kuna sara turjini
@ramlawaziri5650
@ramlawaziri5650 3 жыл бұрын
Njaa hizi zitatuua🙌🙌🙌🙌 cjui tutaweka wap sura zetu mbele za mungu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kwani hapo mnampatia pesa??kwetu hakuna Hela unaokoka bure
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Au hujaamini majini yako kwa Waislamu na Wanaishi nayo??labda huifutilii dini yako kisawasawa. UISLAMU KWA SEHEMU KUBWA UNAFICHA UKWELI HIYO NDIYO HABARI YENYEWE,
@avelinealoyce7605
@avelinealoyce7605 3 жыл бұрын
Amen
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Ufunuo Wa Yohana 2 12 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili, 13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
@harunigaitani2590
@harunigaitani2590 3 жыл бұрын
Hamr uko vizuri sana umumuny maneno utaeleweka t wasiokuerewa awanaakiri
@avelinealoyce7605
@avelinealoyce7605 3 жыл бұрын
Kwa damu ya yesu yaponya wengi
@dinnabukuru5131
@dinnabukuru5131 3 жыл бұрын
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wapekee ili kila mtu amwanie na asipotee, Unapotelea wap ndugu yangu tumepewa mfalme wa wafalme
@kinotititus8798
@kinotititus8798 10 ай бұрын
Jiunge na holiness revival movement worldwide ili upate neno la Mungu
@jemusestevao
@jemusestevao Жыл бұрын
Amem
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Mimi naambiwaga mbaya waarabu wananichukia bc sababu ya kazi lkn MUNGU ananipigania Nimaombi ndo nguzo pekee
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 3 жыл бұрын
HAKUNA JAMBO LINALONIUMA KAMA WATU WANAOPOTOSHA WATU,KAMA UMEONA UISLAMU HAUKUFAI BORA UTOKE KWA MATAKWA YAKO ,USIDHULUMU NAFSI ZA WATU,USISAHAU KUWAAMBIA KUWA YESU SI MUNGU ,NA MARIA SI MAMA WA MUNGU ,NAJUA HAPO UMEFATA SADAKA TU PIGA HELA BABA
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
njaa yamsumbua huyu. yuko kazini hapo. atengeza kazi
@mariamkanjenje1334
@mariamkanjenje1334 3 жыл бұрын
Ee mungu njaa mbaya dunia simama nishuke
@magrethzephania4982
@magrethzephania4982 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.Tukikuhitaji kuja kufanya huduma tutakupataje?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Mbona ametaja kabisa namba zake za simu,kwanini usimpigie!?
@patriciachangawa1754
@patriciachangawa1754 Жыл бұрын
Neema yamungu ijae daniyako mana nimekuju kuchelewa ila jumbe zako zina inua damuyayesu ikuzigire pamoja n nyumba nyako
@mathiasimusa6833
@mathiasimusa6833 3 жыл бұрын
Amina
@gracesidi1174
@gracesidi1174 Жыл бұрын
Nambari zasimu nitumiye
@abigaellcharless8271
@abigaellcharless8271 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji ila sijaelewa yaani unahubili wengine wanahesabu sadaka lsee kweli pesa ni hatariii 😂
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 3 жыл бұрын
Binafsi Ni Mkristo .But Yakobo 1:26>27 inamuondoa huyu Jamaa katika ktk ukristo.Nasema hivi huyu Ni mchonganishi wakawaida tu.Imani yako Ni Imani yako ya wengine waachie wenyewe na Imani yao.
@Mhandisi2008
@Mhandisi2008 3 жыл бұрын
Anahubiri maana ameuona mwanga,,,,anataka waliopo gizani nao waje kwenye mwanga....sijaona kosa lake...
@samwelkakombwe
@samwelkakombwe Жыл бұрын
Hapana .,,,Mungu anatamani tuokolewe tu na tusichezee neema kabla muda hujaisha . ..Mtumishi wa Bwana YESU songa mbele tu. Mungu yupo🤝🙏
@zawadianagabriel9768
@zawadianagabriel9768 3 жыл бұрын
Amen amen
@sittisittitobaa7036
@sittisittitobaa7036 3 жыл бұрын
Mungu akusamehe
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 3 жыл бұрын
Alienda kufanya fujo kwenye mkutano wa injili akakutana na nguvu ya Mungu akafa akakutana na Yesu Kristo mbinguni akamrudisha duniani, sasa unataka asimshuhudie? Funguka dada
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 Жыл бұрын
Waambie na uwaumbue wote wanaoswali ibada moja na majini.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Ila hamjatuambia hao mashehke wake zao 4 hadi 7 wakioka wanawaweka wapi??
@kalamajulius6107
@kalamajulius6107 3 жыл бұрын
Mchungaji ameongea ukweli Kenya wanawake ndoa hazidumu. Mimi ni mkenya hapa Mombasa
@carolineotara9482
@carolineotara9482 3 жыл бұрын
Amen I'm in pain coz of my marriage
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Shetani hufurahia mafarakano katika ndoa sababu Yesu aliomba tuwe na Umoja!!!
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Amen ashindwe kwa Jina la YESU KRISTO WA NAZARETH Kwan majini ni wajomba zao? Au ni shangazi zao? Hahaha
@asifiwemwamundela4388
@asifiwemwamundela4388 3 жыл бұрын
YESU NI BWANA!
@rtp9010
@rtp9010 2 жыл бұрын
Ameeen
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Waloweka Thumb down (dolegumba chini)ni walewale wanaoyafuga,halafu uwa wanakataa mtu akiokoka hakuwa muislamu haya mkataeni basi na huyu???au kanunuliwa kama wapinga Kristo wanavosemaga???? Kataeni ushirika na mapepo enyi wanadaamu na mtakuwa huru,angalieni Ulaya wazungu hawaamini hizi mambo ndio maana wanaendelea
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Mwombe Mungu akupe macho na masikio ya roho uzitambue dalili za ziku za mwisho
@kinotititus8798
@kinotititus8798 10 ай бұрын
Enda kwa KZbin utype holiness revival movement worldwide ili upate neno la Mungu
@amiryluzilo7747
@amiryluzilo7747 3 жыл бұрын
Shekh Amiri nakupata vzr nikiwa Dr na kwa Mara ya kwanza kigoma wilaya ya buhigwe Kijiji Cha KIMARA
@josephinesam9314
@josephinesam9314 3 жыл бұрын
Kwa mama jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila mtu amwaminie asipotee Bali awe na uzima wa milele
@josephinevicent1010
@josephinevicent1010 2 жыл бұрын
Nataka nikomboe uzao wangu
@amanimatokeo4591
@amanimatokeo4591 3 жыл бұрын
uyo alikuwa simwisilam uyo ni mchungaj tu wanaongelea tu uisilam kwa vil din sahihi
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
Sisi Wakristo tunamtegemea Yesu Kristo aliye hai , kwenye mafundisho ya Mungu wa Mbinguni na siyo mazinge! mazinge ni mdudu gani hata !
@happyvilukamtawa8948
@happyvilukamtawa8948 3 жыл бұрын
Iziqaala ibn Mariam yaaa banu Israel in rasullahi aleikum(na kumbukeni aliposema issa mwana wa Mariam enyi Wana wa Israel hakika Mimi ni mtume tu kwenu
@aeromedaaviation1837
@aeromedaaviation1837 3 жыл бұрын
huna hulijualo nyamaza kimya
@aeromedaaviation1837
@aeromedaaviation1837 3 жыл бұрын
mazinge siku zote huwa anawaambia ukweli ndio maana hamumpendi
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 3 жыл бұрын
@@aeromedaaviation1837 Mazinge ni rafiki wa Majini ndio maana anampinga Yesu kuwa si Mungu
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
Subhaanallah .hakuna muislamu Anamkabidhi mtu jini na ikiwa yupo mwenye uwezo huo mm namtaka uyo jini ni muislamu tena wa asili sio wa kurukia .halafu wewe unasema ulikuwa muilamu tena ulikuwa shehe lkn sioni alama ya sijida katika kipaji chako cha uso na kawaida muislamu mwenye umri kama wako anakuwa ana athari ya sijida ktk usowake .sasa wewe ulikuwa muislamu vp emutueleze .baba 😂😂😂
@johnyboniphyc792
@johnyboniphyc792 3 жыл бұрын
Nonsense...tatizo lenu you're illiterate and morons
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
@@johnyboniphyc792 wewe ni mswahili ongea kiswahili nikuelewe sio lugha ya kizungu wengine hatujui .
@barakasoso750
@barakasoso750 3 жыл бұрын
Nimeelewa sana hii habari ya Adam Na Hawa
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 14 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 19 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
TABIA ZINAZO WASHINDA BAADHI YA WATU KATIKA MAOMBI
49:29
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 55 М.
PASTOR IBRAHIM, NILIPIGWA VISU 7, WATOTO WANGU WA 3 WALICHINJWA KWA SABABU YA YESU KRISTO,
1:13:10
RELEASE INTERNATIONAL MISSION KASARANI - (PRIME)
Рет қаралды 43 М.
Part 6_USHUHUDA WA SHEIKH AMIR ALIYEKUWA USTHADH SASA AMEOKOKA
48:47
Part 1_USHUHUDA WA SHEIKH AMIR ALIYEKUWA USTHADH SASA AMEOKOKA
46:48
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 14 МЛН