Mungu anihuishe imani yangu katika Kristo Yesu, na familia yangu na jamaa zangu. Mungu atushindie kila gumu linalotukabili.
@blessedtumaini5162 ай бұрын
Mungu Baba asante kuwa upande wangu kuwa shahidi wangu, kunitetea unirehemu sana kutokuwa na shukrani wakati wote. Roho Mtakatifu unisaidie daima na kuniongoza kushukuru katika jina la Yesu Kristo Amina Amina. Asante Mwalimu kwa neno na mafundisho.
@winniekombe7939Ай бұрын
Amina…Huuu ufunuo is too deep. Nimebarikiwa 🔥🔥
@sergebirindwa56822 ай бұрын
Mungu apewe sifa kwaku mutumia mutumishi wake kwa mafundisho haya mazuri sana pia awabariki waandaji wa huu mukutano
@ennakavugha6352Ай бұрын
Mungu anisaidie nimepokea sauti yangu tena utukufu ni Kwa Bwana
@edithmwantuke54072 ай бұрын
Mungu awe Shahidi Upande Wangu na familia yangu.
@VictorKahangwa2 ай бұрын
Really felt the presence of God! Na wimbo huu wa Nicole Ngabo umekuwa wimbo wangu wa taifa karibu wiki ya pili sasa
@mathewbernadnyinda7188Ай бұрын
God bless his servant
@Hadassah46542 ай бұрын
🙌🏾. Mwalimu Mungu akubariki na kukuzidisha🙏🏾
@JohnEmanuel-t8t2 ай бұрын
waandaaji wa mkutano huu Mungu awape kibali kingine katika kuandaa kongamano jingine kubwa. kwa kweli tunabarikiwa sana
@WilmaSubilaga2 ай бұрын
Neema yake imenivuta msalabani na kuniruhusu kumpata faida yote katika mifumo yote ya maisha yangu na kuushinda ulimwengu. Hallelujah hallelujah Amen.
@monicasawa58472 ай бұрын
I'm blessed through this seminar,may God protect his servant
@LusticaKiwovele2 ай бұрын
Emwenyez mungu naomba unisaidie namna ya kujinasua katoka mtego huu wa adui .nakupenda yesu nataka kukutumikia
@BeatriceMallaso-y3l2 ай бұрын
Naomba muwe mnakata nyimbo baada ya kurecod iIi iwe na urahisi wa kusikiliza neno
@Mwl.NicksonKipangulaАй бұрын
HII NI IBADA LAZIMA WAWEKE YOTE,,, UKITAKA NENO TU BASI UNASOGEZA CURSOR MPAKA KWENYE NENO
@teddymhenga30062 ай бұрын
Haleluya tupo pamoja USA
@KolestaMkamati2 ай бұрын
kwa yesu raha jaman unasubiri nin njoo tumsifu wote kapamoja
@ministerHappyAllanАй бұрын
ASANTE YESU
@neemajosephat36162 ай бұрын
Asante Yesu
@JoyceMetsoni2 ай бұрын
Amen
@laita82182 ай бұрын
Ameeen
@MabelKaaya-hl2je2 ай бұрын
HALLELUYA HALLELUYA HALLELUYA
@neemabuyingo27752 ай бұрын
AMEN AMEN
@AntonethaSunguya2 ай бұрын
Ee Yahwe ningekuwa waaapi.
@stephanosospeter17092 ай бұрын
Ameen
@Maua-y2c2 ай бұрын
Ameeeen
@neemabuyingo27752 ай бұрын
Naomba EE BWANA UWE SHAIDI WANGU , SINA NAFASI....SAUTI yangu ISIKILISHE BABA,,, ILI NIPATE NA KUPEWA ILIYO HAKI YANGU....