Daah, MUNGU atusaidie sana, tangu niokoke napitia majaribu makubwa sana kira mwaka lakini nimeapa kwa YESU kiristo sitamuacha kamwe maishani mwangu aijarishi magumu ninayopitia.
@omuze12902 ай бұрын
Ubarikiwe Pastor. Wewe ni jembe katika kuujenga ufalme wa Mungu. Na kwa umri mdogo ulionao, Mungu atakutumia kwa miaka mingi. Ushauri wangu kwako ni huu: Linda na tunza vizuri afya ya mwili wako kwa kujilinda na ongezeko la unene na uzito uliopitiliza (obesity). Fuatilia elimu ya afya anayofundisha profesa dr. Janabi, mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili.
@GggyJhh-y4x2 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa kweli mungu atusaidie na atutie nguvu tushinde izi mbinu 21
@johnsonlyimo-rx7et2 ай бұрын
Mungu haandikwi kwa herufi ndogo mtumishi wa Bwana... Mungu wetu anaamdikwa kwa herufi kubwa, mungu wa herufi ndogo maana yake ni miungu kazi ya mikono ya wanadamu
@RahelyKudela14 күн бұрын
Amina mtumishu wa MUNGU.
@MatildaMakawiaАй бұрын
Bwana Yesu naomba unipe neema ya kupambana zaidi,naomba unitie nguvu. Asante sana mchungaji kwa kunitia moyo
@basilisamsaka84692 ай бұрын
Mzee Kuloka kweli alikuwa mtumishi wa Mungu.
@jacksonnzai1593Ай бұрын
Hakika uyu n mwana Wa Mungu
@SaraphinaNduyeАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu karibu kwetu morogoro Kijiji cha viwanjasitini
@angelanikalenga47572 ай бұрын
Jomana hata watu wa Mungu wakitaka kuku fanyia ufunuo wana shika mkono wako wa kuume asate amiel una nikuza Imani ❤
@naikekangele71172 ай бұрын
amen and amen 😂 napenda shuhuda zako na zinanifanya niwe na ujasiri mkumbwa ktk YESU mungu akutunze sana mch
@agnestunu55272 ай бұрын
Amen uménitia nguvu wacha nipambane Mungu ni mwema sana
@RabbitsFarmer2 ай бұрын
Tunaomba izo mbinu Moja Kwa Moja Amieli bwana wee Mungu akutunze
@emidalumwesa57652 ай бұрын
Yaani mtumishi ,unatuponya wengi kwa kweli..mungu akutete na akupe nguvu kwa kwlei
@NsengiyumvaEstherАй бұрын
Mtumishi wa Mungu Yesu akurinde Uwe baraka kwetu karibi kwetu Burundi
@bosschick241722 сағат бұрын
😅😅😅😂😂 Hallelujah ❤❤❤
@NeemaMwanriАй бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaa
@FlorenceZawadi-in4yr2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi umeniamsha kiroho kiwago kikubwa Barikiwa sana ❤❤❤❤
@samsonndugaliАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi endelea. Kuelimishi watu wajue tunayepigana naye !
Be blessed mtumishi wa Mungu for the good teachings 🙏🙏
@RubaR-nr5wz2 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA YESU ndio maisha yangu kbsa kuteseka mm lkn ashukuriwe MUNGU wa mbinguni acha ni pambane najua nitavuka tu
@johnsima7707Ай бұрын
Asante Mungu Kwa neema hii uliyotupa ya kumuokoa mtumishi wako huyu ili wengine wapone. Mungu akulinde mch. Katekela ili kutimiza kusudi lake. Ubarikiwe sana
@UkengeUkengeАй бұрын
Uyo bado ni wakala wa shetani, ndo maana akuna injili apo ni kuaminishwa katika uchawi na nyota, uyo yupo kazini kutafuta wafuasi
@UkengeUkengeАй бұрын
Uyoni stori2 amna lolote akuna injili, tena nimegundua uyu bado ni wakala wa waabudu shetani.
@pammymoraamoraa67022 ай бұрын
Mtumishi nakupenda bure mafundisho yako moto moto , yaani tangu hushuuda wako mimi nimekufuata kweli kwamafundisho yako na kukaa kwa mungu nirahaya umependeza kishenzi ( picha yako ya mwanzo na Sasa kweli mungu ako ndaani mwako.sifa kwa mwenzi mungu tu 🙏 🙏
@JosephLukumy2 ай бұрын
Mafundisho ya biblia haina mwisho nimejifunza kitu mbinu ya anguko la mkiristo usikate tamaa amen🙏🙏
@annissdaprincess3846Ай бұрын
MUNGU wambinguni asaidiye watu wake sana🙏🙏🙏
@ainekishagodwin18773 күн бұрын
Amen 🙌
@MatildaMakawiaАй бұрын
Nashukuru sana kwa mafundisho haya
@StephenWennwaАй бұрын
Asate sana kwa neno
@nangongolukundula93672 ай бұрын
Asante sana baba umenisaidiya sana kwa ajili ya mapambano ninayo ya pitia MUNGU akutiye nguvu sana na ukingo wa damuyake uwejuuyako na familia yako
@faithbusiness34292 ай бұрын
Barikiwa kwa somo, LAKINI, mbinu 21 hazijatajwa kama title ulivyoiandika, ndio hila au? Ipendeze kutuletea somo halisi kama title ilivyo na sio kitu kama hila na udanganyifu. Ikikupendeza post pia somo halisi la hizo mbinu 21. Ahsante
@MahtaFungo-jm6zl2 ай бұрын
Mutumishi mungu alikuokoa ili tukombolewe tulio wengi ubakiwe Sana Sana sana
@AngelSimon-l6z2 ай бұрын
Amen Amen Hii imenibariki sana
@PatriciaNyaga-y2h2 ай бұрын
Amen Amen Mungu akuzidizie zaidi
@Sabinasinoya2 ай бұрын
Amen mtumishi kwa kutufungua
@JohnLewa-p6v2 ай бұрын
Mtu Wa Mungu, Mungu akubariki
@VirginiahMunka2 ай бұрын
This word came at it's right season
@CatherineLucas-u2uАй бұрын
Namshukuru YESU kwakuniokoa
@mpandawiliam53902 ай бұрын
Mungu atunze mtushi Amiel
@johnmgaya2280Ай бұрын
Amina
@Reginajohnson-19882 ай бұрын
Hivi anavyovitaja nimepitia, namuelewa vizuri na sirahisi wapendwa ni kagarama kushinda,, lakini nimeshinda na sasa Maji daj na Roho Mtakatifu wangu, wokovu ni garama wapendwa
@WitnessNovati2 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@Muhammad-jy1vx2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 Yesu ainuliwe
@DonaldJohn-s3g2 ай бұрын
Moses kulola alikua mtumishi wa MUNGU kweli kweli
@RoselineNyachwaya2 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙌
@JackobJackson-n8cАй бұрын
Ameen Baba
@AnneMukonjia2 ай бұрын
Hallelujah
@annicetnzisabira24522 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi,tunaomba namba yako
@VeronicaMumbi-q9d22 күн бұрын
Nmepokea ayo mafudisho nikiwa apa kenya na imenitoa mahali ikaniweka mahali pengine
@JudithTEO-k2b2 ай бұрын
Aise inatisha sana,lakin Mungu ni mwema sana kwetu
@EricMbuto2 ай бұрын
Aimen
@JonathanJohn-g9pАй бұрын
Mchungaji Mimi nahitaji kuokoka kanisan lako liko wapi
@richardmwambene33662 ай бұрын
TAG AU?
@AugustinoChrispinkinyonga2 ай бұрын
Inabidi tuamue kweli kukaa ndani ya Yesu
@tumainimwakisile48552 ай бұрын
Naomba namba ya mch katekela please.
@SaitotiMollel-j4t2 ай бұрын
Mtumishi nikweli mm nimpigwa upande yauchumi anisababishia madeni mkubwa Sana na Kila nikitaka kutafuta kitu chakulipia inakwama nifanyeje nisaidie
@ReinaLusajo2 ай бұрын
Sasa nimetambua mungu kanipa nguvu gani
@michaeljamesngunda56772 ай бұрын
Mch nabarikiwa sana na wewe but yeye aliyekupa uweza na nguvu akujalie ututembelee nyamhongolo mwanza
@annambembela66612 ай бұрын
Duuuh nimeogopa huu ushuhuda ila mungu anisaidie niweze kupamban
@weremamasawa78342 ай бұрын
MTUMISHI ULIGUSIA ULIPOKUWA MBEYA MZEE ALIYELEWA AKAMKEMEA PEPO NA KUMTOA LKN ULIISHIA KIPENGELE 1 KATI YA 6/7 VYA ROHO MTAKATIFU , VINGINE NI VIPI ( ULITAJA NEEMA TU) BARIKIWA
@YusuphSinjeniАй бұрын
Pasta ubalikiwe
@saramss72622 ай бұрын
Eeeeeeeeeeeemeeeennnnn
@YunisnafulaTaabu2 ай бұрын
Jeshi la mbinguni pia liko
@iviejustified81092 ай бұрын
Waefeso 6:12
@gospelmedia4452Ай бұрын
Hapo unakuta unavita tu na mchawi level ya mjumbe wa mtaa unaliaaa wee na kukata tamaa wakati wenzio wanapigana na wachawi level ya mawaziri 😂😂 MUNGU tusaidie
@UdithiAlbertАй бұрын
😂😂😂😂
@AgieTom2 ай бұрын
Kuna mtu alinifanyiaga kitu cha ajabu kwenye mkono wangu sema kweli sikupenda hata kidgo
@queenpoulsen181219 күн бұрын
Kitu gn tushirikishe
@gilbertbarandereka86532 ай бұрын
Ukimutaja kulola hapo basi ulee nibaba kamili kabisa naninampenda zaidi namkumbuka uku burundi
@Erasto.LuhazaEmakulataerastolu2 ай бұрын
Yani nimebarikiwa mno mtumishi Bwana awe nawe miaka mia
@YunisnafulaTaabu2 ай бұрын
Tupe binu za maombi kushida izi vita za kirooo
@victoriakalunde83452 ай бұрын
Huyu mchungaji bado sna vitu vya shetani.mtindo wa kunyoa nywele,pete ambayo ni mapambo,na mitindo ya mavazí
@justinakinogo34702 ай бұрын
Unakazi
@EsterMajaliwa-u3b2 ай бұрын
Angekuwa bado sana angekuwa anatoa siri za shetani na bado akawa hai?
@anneanji48182 ай бұрын
Kwani Pete si ni ya ndoa ..wewe unajua pete.ua.kuzimu kweli
@happinessshija5136Ай бұрын
Unaujinga
@emmanuelmmbaga52092 ай бұрын
mahubir hasi - kwanini usifundishe njia za wokovu na namna ya kushinda dhambi
@GeorgeChitemo-kt8sw2 ай бұрын
Utashindaje dhambi bila kujua Adui yako ananguvu kiasi gani??
@paulmathias8102 ай бұрын
Wewe unahubili hayo na hatukujui. Kila mmoja alivyo itwa na wito wake usilazimishe kila Mtu afanane na wewe ilivyo itwa
@EvaSimon-g4v2 ай бұрын
Kwan kanisan kwako huwa haufundishwi au mbna bunadam tukohvoo au nawewe ndo yuleeee
@EdithShayo2 ай бұрын
Kila somo na mwalimu wake. Karama za Mungu hazina majuto.
@Stanley-vh6nz2 ай бұрын
Mbona huwa anafundisha sana hayo mafundisho ya kushinda dhambi fuatilia vizuri
@YouTuuuuuuube2 ай бұрын
Uyu tokea nimjue kazi yake ni kuhubiri mashetani tu. HAJAWAHI KUHUBIRI INJILI YA YESU KRISTO KUHUSU UFALME WA MBINGUNI. Ni mjinga anatuona ss wajinga
@ulumbielias2 ай бұрын
Ni Kwa sababu kabla alikuwa akitumikia shetani na Sasa keshhamjua mungu antueleza illi pia kutuimarisha tuzijue mbinu za ibilis mungu atusaidie
@neemasanga53332 ай бұрын
NI MTAZAMO NA MSIMAMO WAKO. UKIPATA NIA YA KUJIFUNZA UTAJIFUNZA MKUJUA MBINI ZA SHETANI NA KUSHINDA NA KUSONGA MBELE.
@neemamarko1762 ай бұрын
Ndio kiapo alicho apa kwa Yesu Kristo atafunua kweli yote ya siri ya kuzimu na Yesu alimuokoa kwa ajili ya injili hii ya kufunua kazi za shetani na jinsi ya kujiondoa kama mtoto wa Mungu,ila kama ni mtoto wa shetani utaona umhimu wowote maana yake umeshakuwa mateka
@charlesmapunda-g5l2 ай бұрын
Kumbe kila ukifatilia unakuta anafichua siri zenu ndio maana unamchukia, sasa si uache kumfatilia? Sisi wengine tulikua hatujui jinsi gani Shetani anatutesa na matatizo tunayo pitia tulikua tunajua ni mipango ya Mungu kumbe Mungu hausiki ni sisi wenyewe ndio tunajichanganya na kumpa Shetani nafasi. Kama kwako ni kero wengine tunafaidika na haya mafundisho.
@EsterMajaliwa-u3b2 ай бұрын
Ndio wito ŵake huo,,,kumdharirisha sherani kila mtumishi Ana wito wake lengo ni YESU ainuliwe pole mjukuu wa shetani maana unazo chembechembe zake ndo maana umeongeq hivi
@samwelnaal79522 ай бұрын
A liar from a pit of hell. A bad thing is he is also leading a blind flock Fungueni macho jamani mjue aina ya mtu mnayemsikiliza...hutakiwa kuwa rohoni sana kumjua huyu muongo tena asiye na ufahamu na neno la Kristo
@sephrozagatyo55022 ай бұрын
Wewe type kipimo Cha kwamba ni muongo na je wewe kuzimu ulishawahi kwenda?
@tezrantangeki58452 ай бұрын
Kabisaa
@pastorteddywaziri57542 ай бұрын
Wewe ni mchawi ndio maana unakasirika kuona Siri zenu zinafichuliwa.Okoka uuachane na uchawi ulionao.Katekela ni mchungaji wa ukweli sisi tunamkubali.
@GeorgeChitemo-kt8sw2 ай бұрын
Mchawi wewe umefunuliwa tushajua Mbinu zenu tutawapiga sana