Tazama mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe akichangia hoja Bungeni. Ameeleza juu ya kupotea kwa Mwenyekiti wa Baraza la madiwani Kibondo Simon Kangoye akiiomba serikali kufuatilia suala hilo
Пікірлер: 62
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
Zito is soldier by professional, jeshi la mtu 1. Allah akuhifadhi
@maryamuhassan19284 жыл бұрын
hujawahi kuongea pumba hata cku moja ....pride of kigoma/TZ also..
@fahusitinmangura79384 жыл бұрын
Hayo ni mswali msingi sana, Zitto
@samanyaswai62724 жыл бұрын
Inaumiza Sana
@rajabumohamed14684 жыл бұрын
Usijali ndugu zto taarifa zpo utawala utapita utaingia itawala mwingine hao walio mchukua wengine maisha yao watamalizia gerezan watatoa ushahid ni wap walipompeleka mwenye kinga ni ya kutoshtakiwa ni mmoja tu bas! Wengne wafwaaa!!!
@henrymlandali91874 жыл бұрын
Safiiiiii sana zito
@lightnessmelkiady54684 жыл бұрын
Serikali inajitahidi kupambana na janga hili big up
@husnamakame71374 жыл бұрын
Mungu anakulinda sana ww kaka.. Kesha usiku kucha omba sana.. maana huogop kitu.. Maana nikifikiria ya Tundu Lissu naogopa
@V24hrs2 жыл бұрын
Zitto 🔥🔥🔥🔥🔥💜💜💜💜✋✋
@amedeusmodestikimey98884 жыл бұрын
ZITO Kama jiwe la mtoni hatishiki
@godymbanyi1878 Жыл бұрын
Mungu akubariki.
@erickerickmboge24034 жыл бұрын
Kigoma oyeeeee
@rosedaniel92104 жыл бұрын
Safi xana tunaka viongozi wenye uthubutu kama zitto
@@happyfiverickaldo4662 Hunijui sikujui unanitukana wakati humu tunashindanisha hoja siyo matusi.ila Mimi situkanagwi.endelea na matusi yako kama wewe ni zitto.
Zitto Kabwe acha mutindo wa kupoteza watu na kuisingizia serikali. Kila kitu kikitokea. Wewe Zitto Kabwe ni mjinga na muchonganishi sana. Huna cha kupinga kwa Sasa. Benki ya Dunia one kupiga chini. Statement yako ya kusema serikali unauwa watu bila ya ushahidi ni ya kipumbavu itaziti kukushusha
@lightnessmelkiady54684 жыл бұрын
Serikali inajitahidi kupambana na janga hili big up