MASHANGINGI YA VIONGOZI GUMZO BUNGENI | MBUNGE ATAKA MAJIBU KWA WAZIRI MWAGULU NA PRO. MKUMBO

  Рет қаралды 3,380

TBConline

TBConline

Ай бұрын

Пікірлер: 23
@georgevalilanga7412
@georgevalilanga7412 Ай бұрын
Hongera mama nimekupenda bule utafika mbari ktk uongozi wako.
@bigmachinempower4680
@bigmachinempower4680 Ай бұрын
That is tanzania
@hamissomary6869
@hamissomary6869 15 күн бұрын
Tunakuelewa sanaa dada
@melkioryassenga2265
@melkioryassenga2265 Ай бұрын
Umefanya vzr, natamani wote wangekuwa na mawazo yanayoshabihiana na ya kwako
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 Ай бұрын
Ubalikiwe sana mh
@hamissomary6869
@hamissomary6869 15 күн бұрын
Serikali ya majizi na malarushwaaa
@JohanessMarwa
@JohanessMarwa Ай бұрын
Kama mawazo hayo yangekua yanafanyiwa kazi nafikili tungesevu pesa nyingi sana.
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Ай бұрын
Huku kwetu leteni tu Toyota Probox 😂😂😂
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
Mawazo ni mazuri mno.Ila hayupo wa kukusikiliza acha tu kutekeleza.
@liberatusgaspary7207
@liberatusgaspary7207 Ай бұрын
UNAFAA KUWA MBUNGE
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Ай бұрын
Hongera Dada wewe ni mtu wa mwanzo kuona hilo muombaji anatumia kuliko mkopeshaji hizo ndio akili zetu waafrica sio bongo tu Dada hao unaowaambia hawakuelewi kabisa wanachojua hapo ni kufikiri wapi nikakope kesho
@raishamedical2837
@raishamedical2837 Ай бұрын
Wala keki ya nchi hawawezi kusaidia generation Z ya nchi hii
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Hii ni concern, wanawaza kuspend tu no plan no nini
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 Ай бұрын
Kongole lako mbunge
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 Ай бұрын
Nimekupenda bureeeeee daaa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Aah jamani billion 500 magari gani hayo😂
@msanabukere7835
@msanabukere7835 Ай бұрын
Wanakopa hela wanatumia vibaya hela ya mkopo
@lisokimecholobi9451
@lisokimecholobi9451 Ай бұрын
Upo sahihi
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 Ай бұрын
Akili hakunaaaaaa!
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 Ай бұрын
Nahili nahisi IPO siku watu watachoka kwasababu watu tulianza kulalamikia hili zamani kidogo lakini bado halitiliwi maanani wapenda kufurahishana wao kwa wao kanakwmaba ndio wanaofanya KAZI kubwa kuliko madoctor kuliko waalimu kuliko wakulima nk IPO siku tutakuwa kama Kenya hapa tz munatabia yakujisahau mukishafika levo hizo
@trendings1293
@trendings1293 Ай бұрын
Ameongea kama watu kumi
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Ай бұрын
Hongera Dada wewe ni mtu wa mwanzo kuona hilo muombaji anatumia kuliko mkopeshaji hizo ndio akili zetu waafrica sio bongo tu Dada hao unaowaambia hawakuelewi kabisa wanachojua hapo ni kufikiri wapi nikakope kesho
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
BAKHRESA MO DEWJI na GSM WAJITOSA kuwekeza kwenye SGR
4:54
Wasafi Media
Рет қаралды 676
Shabiby ampa mbinu Mwigulu, asema kuna upigaji mwingi serikalini
6:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,6 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32