Fande ipo vizuri sana,je unafuata sheria za watu au sheria za mungu? Sheria za watu yani sheria za nnci au bunge.
@khalifakombo852524 күн бұрын
اللهم احفظ هذا الجندي وبارك له اللهم آمين يارب العالمين ❤❤❤
@alimuhamadali175723 күн бұрын
@@khalifakombo8525 amin🙏
@khalifakombo852524 күн бұрын
kabisa lafudhi ya pemba mkoa wakaskazini kuanzia kiungoni mpkà tumbe au kuanzia madenjani mpaka micheweni hakika hii ndio lafudhi sahihi ya maeneo hayo ❤❤❤
@JonasPhilimon25 күн бұрын
Ndio rafdhi ya Pemba nini?
@khalifakombo852524 күн бұрын
lakini huyu mwamba inaonekana wazi kuwa ametokea KOJANI kutokana nakubonga kwake kunavoelekea analafudhi sawwasawa na ya ki KOJANI.
@alimuhamadali175723 күн бұрын
@@khalifakombo8525 Hapan, nimkaazi wa ole ndip sehem walipo wazaz kabisaa, na kwa sas nip mkoani