AFICHUA

  Рет қаралды 67,699

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 238
@agnesmhando3893
@agnesmhando3893 3 жыл бұрын
Namuunganisha na Dada yangu katk uponyaji unaofanyika hapa madhabahuni umfikie Dada yangu ktk jina la yesu kristo mwana wa mungu
@jackwisdom9264
@jackwisdom9264 3 жыл бұрын
Dada naomba namba za huyu nabii
@kalumunafaustineofficial
@kalumunafaustineofficial 3 жыл бұрын
Mnawaunganisha ndg zenu kwenye pepo za kuzimu
@alizakayo3963
@alizakayo3963 Жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🙏
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Nabii mkuu,ngurumo ya upako kurejeshwa nyota yangu na pia kufunguliwa baraka.Ameen...................................
@judithbaraka3066
@judithbaraka3066 3 жыл бұрын
Wapendwa wote mkumbuke siku ya mwisho kila MTU atatoa hesabu ya maneno yake so usimzarau usie mjua mungu ametoa karama kwa kila mtu sema tu wew hujui yakwako ni ipi muombe mungu akujuze usimzarau mtu Mimi naamin anafanya yote yupo na mungu mungu akubarik nabii
@fortuneakankizya5336
@fortuneakankizya5336 3 жыл бұрын
Kumuona si rahisi
@paulinemathenge514
@paulinemathenge514 3 жыл бұрын
I connect myself to this prophecy from today is my new beginning, IN JESUS MIGHTY NAME AMEN
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
You don't know the depth of what you are talking about.
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Where do u get that scriptures about connecting to theprophecy?? Thats purely witchcraft&unbiblical
@simeonmasabo6669
@simeonmasabo6669 3 жыл бұрын
Yesu ndiye ngome atukuzwe Jehovah 🙏🙏
@lilianowti5477
@lilianowti5477 2 жыл бұрын
Halleluhya Yesu ni Bwana,natamani kufika Tanzania kwa Jina la Yesu Kristo.Ameeen.
@jamesziro6714
@jamesziro6714 3 жыл бұрын
Asifiwe YESU,Mungu akubariki sana akupe maisha marefu yaliyo kubalika na Mungu,mm naitwa, JAMES RONDO ZIRO kutoka KENYA,nafurahia jinisi unavyo fanya kazi ya Mungu,mm pia natamani sana nikutane nawe Nabii wa Mungu siku moja kwa Jina Mungu,naoma Nabii uniombee pia mm niweze kufunguliwa katika minyoro niliyofungiwa naamini nitafunguliwa kwa nguvu za Mungu,Amen.
@millicentmuguvisa4931
@millicentmuguvisa4931 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏 Daddy may God continue giving you anointing
@nellykitenge2768
@nellykitenge2768 2 жыл бұрын
Amina baba
@sospeter7248
@sospeter7248 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Nabii,Kupitia wewe Mungu kafanya makubwa juu yangu
@layandoyemolle5251
@layandoyemolle5251 2 жыл бұрын
Kwali mungu ipo kwa nabii watu wanapona na kufunguliwa neema ya maisha yao🏃‍♂️
@veronicakioko7393
@veronicakioko7393 3 жыл бұрын
Watch from Kenya. I need your prayers
@simonthuita98
@simonthuita98 3 жыл бұрын
Help me pliz I need us prayer prophet
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 3 жыл бұрын
Kweli hizi siku za mwisho, mwenye macho ahambiwi tazama
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Hapa ni kuomba MUNGU SANA NA KUJITAKASA DHAMBI IWE ADUI YETU MAANA HALI NI MBAYA MNO
@fatmaali3554
@fatmaali3554 3 жыл бұрын
Kama hawa wanaponya jaman hospitali wagonjwa wamejaa kwa nn hawaendi
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Mungu hutenda Jambo kwa utukufu wake....hospital lazima ziwe na wagonjwa sababu ni ajira za watu pia,,Mungu anaponya mtu anaetaka kuna wengine hawastahili kbs kuishi kwanza hata imani hawana
@wilbardchipanda
@wilbardchipanda 3 жыл бұрын
Nenda kawalete hao wagonjwa wewe, mbona waganga wa kienyeji huwa mnawafuata huko porini hamsemi
@fatmaali3554
@fatmaali3554 3 жыл бұрын
@@wilbardchipanda wale ni waganga tumeshajua wanatumia majini na wameshajisabilia moto
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
@@myself4128 usiseme ni Ajira kwa Mungu hakuna Ajira ya Wagonjwa ni Shetani kaleta ajira hizo
@destinemercy3405
@destinemercy3405 3 жыл бұрын
Wakati wa yesu kulikuwa na wagojwa bt no day jesus went to seek for sick to heal ..he healed those who went to him to be healed .Also there's people who said jesus is not son of God n there's people who believe there's no God..so trust what u believe n leave the rest to almight God
@alicestephano4880
@alicestephano4880 3 жыл бұрын
Daaa twamtukuza Sana mungu baba kea ajiliako tusaidie cc wanyonge
@skyman8642
@skyman8642 3 жыл бұрын
Love you BABA NABII MKUU.
@odethanyinawabera5686
@odethanyinawabera5686 Жыл бұрын
Najiungamanisha mimi na mwanangu tu funguriwe vifungu vyote turivyo fungwa na maadui wote, pamoja na ndg zangu
@abundance-M
@abundance-M 2 жыл бұрын
Great prophet
@janethkinabo3486
@janethkinabo3486 Жыл бұрын
Natamani namimi siku moja uniguse baba. Nipokee muujiza wangu
@Manyohu.tv1
@Manyohu.tv1 11 ай бұрын
NWA WW UANGUKE😅😅😅😅😅.. Usipende sana muujiza, jitahd kumjua sana mungu
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 2 жыл бұрын
Baba hongwra sana msaDa wako
@lilymammpayo8072
@lilymammpayo8072 3 жыл бұрын
Ningefurahi hii huduma ingekuwa mahospitalini ili kunusuru ndugu zetu, lkn kwnn huduma haiwafikii🙏
@musamwani4558
@musamwani4558 2 жыл бұрын
Hospitali kuna taratibu na sheria zake! Ni ngumu sana kufanya hivyo, kuhubiri tu watu wanajipanga sana,unaweza kumuwekea mtu mkono alafu ukashtakiwa buree! Njia pekee ni kuwaleta waje kanisani 🤔
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 3 жыл бұрын
Mungu niwaAjabu kweli.
@gwishtztz8784
@gwishtztz8784 3 жыл бұрын
From morogoro napokea kwa jina la yesu
@mchagashop1342
@mchagashop1342 3 жыл бұрын
Unapokea nn
@ildephonsentahomvukiye5410
@ildephonsentahomvukiye5410 3 жыл бұрын
@@mchagashop1342 😂😂😂😂😂😂 nakufa nakicheko.
@everlinekemunto2700
@everlinekemunto2700 3 жыл бұрын
Mungu naomba nifundishe kunyamanza
@atusagileysanga6412
@atusagileysanga6412 Жыл бұрын
Najiungamisha na madhabahu hii
@hakizimanaaline219
@hakizimanaaline219 3 жыл бұрын
Watching from kenya . I want to meet the Man of God if it is possible am ready to come where ever he is
@halimaomar2795
@halimaomar2795 3 жыл бұрын
Si namba yake iko hapo, mm pia niko Kenya acha nijipange nikamuone aki
@christinenasimiyu9348
@christinenasimiyu9348 3 жыл бұрын
Hello
@estherpassaris4912
@estherpassaris4912 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@SaraSara-jm9bb
@SaraSara-jm9bb 3 жыл бұрын
Mungu apewe sifa
@veronicamghuna9245
@veronicamghuna9245 3 жыл бұрын
Love u daddy
@rayaazamtv6958
@rayaazamtv6958 3 жыл бұрын
Mungu wangu huu ni ushetani kabisa hivi huni ni mchungaji ama mganga wa kienyeji? Miujiza ya Mungu na mapembe ya kupuliza inaendanaje USHINDWE KATIKA JINA LA YESU
@daudkyando2120
@daudkyando2120 3 жыл бұрын
Mung atusaidie kwer dada ang tupo gixan sana
@mmasymery391
@mmasymery391 3 жыл бұрын
Huyu ni Nabi mkuu Tanzania
@holyfathergodford7988
@holyfathergodford7988 3 жыл бұрын
@@mmasymery391 Hakuna nabii mkuu duniani zaidi ya Kristo acheni kumvaa SHETANI na kuwazuga watoto wamungu kwa kuwasajili kuzimu
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
😂😂😂 Mganga huyu Raya akuna Mchungaji apa uyu ni mpiga ramli nae
@thomasmchau9862
@thomasmchau9862 Жыл бұрын
Fanyeni na nyie. Watu wanahitaji uponyaji. Kufunguliwa. “Lakini habari zake zikazidi kuenea, wakakutanika makutano mengi wamsikilize na kuponywa magonjwa yao. ” - Luka 5:15 (Biblia Takatifu)
@rangsoncharles7538
@rangsoncharles7538 3 жыл бұрын
Nabiii mkuuu mmmh ok ila yatupasa tusiwe wachovu wa kufikiri na kwenye mambo ya Mungu bible inasema aliye mkubwa kwenu na aitwe Mtumishi...na ya nini kuwapigisha magoti wanadamu ikiwa wanastahili kumwabudu MUNGU WAO tu? Je wanadamu ni zaidi ya MUNGU WA MBINGUNI? Hakika MUNGU hazoeleki ipo siku yake kui yaja upesi Amina
@christinenasimiyu9348
@christinenasimiyu9348 3 жыл бұрын
Kenya unabatikana wp plz
@adrewkivuyo3963
@adrewkivuyo3963 2 жыл бұрын
Arusha tz
@user-bj4ld1jw4k
@user-bj4ld1jw4k 3 жыл бұрын
Walahi Nabi🔥🔥🔥🔥
@mwanahamisi8613
@mwanahamisi8613 Жыл бұрын
Nabii mkuu naomba uniombe mimi na ukoo wangu tunatexeka xana
@yustejohn2977
@yustejohn2977 3 жыл бұрын
Maranatha yesu
@maimkumbo-kx3bu
@maimkumbo-kx3bu Жыл бұрын
Baba umejua kututunzaaa mung akuongezee maish marefuu
@ingabiremireille4338
@ingabiremireille4338 3 жыл бұрын
The devil is working mchana mweupe 🤔🤔🤔🤔🤔mtumishi anapigiwa magoti.
@tamariophant6919
@tamariophant6919 3 жыл бұрын
Huyu baba ni devil
@reganshao
@reganshao 3 жыл бұрын
Huyu sio binadam wa kawaida afu sijaona hata akifanya mamombi kusifu na kuabudu yan hakuna .. Mi nachoona hapo anapuliza tu
@thomasmchau9862
@thomasmchau9862 Жыл бұрын
“Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu. ” - Yohana 5:20 (Biblia Takatifu) Mnastaajabu eee!
@barakajonathan7931
@barakajonathan7931 2 жыл бұрын
Powerful anointing,God bless you prophet.Kindly,Ladies wafungwe vitambaa during deliverance ili kuziba uchi,eg in this video.
@gordonomondi7161
@gordonomondi7161 3 жыл бұрын
MBONA HATAJI JINA LA YESU?
@reganshao
@reganshao 3 жыл бұрын
Hapo nilishajiulizaga sana aise, hawa watu siwaamini kabisa
@suddytele3692
@suddytele3692 Жыл бұрын
Hakika nabii
@layandoyemolle5251
@layandoyemolle5251 2 жыл бұрын
Kwa ngivu ya mungu kuna siku nitadika kwa nabii wa mungu nikijua siku ipo kisongo lazima nifike niko longido??
@neemaneema6825
@neemaneema6825 3 жыл бұрын
Amina baba🤲
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Daah etii na bii hii Dunia hii hayaa
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 жыл бұрын
Kupitia madhabahu hii naiungansha na familia yangu kaka zangu Dada zangu na familia yangu ee Mungu tuokoe kwa jina LA yesu
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
Please usiunganishe familiar yako kwa madhabahu ya shetani kakangu search Robert TV Tanzania, search David Mbaga, Search Moses mgambe watumishi wa kweli wa Mungu si mambo na uogo please 🙏🙏🙏
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 жыл бұрын
@@esthernyoka3780 asante dadaangu kwa ushauri wako siku zote mawzo ya kweli hayakataliwi
@emiliakamtanda7276
@emiliakamtanda7276 3 жыл бұрын
Mungu Atukuzwe
@boscojohn4406
@boscojohn4406 2 жыл бұрын
Bonjour
@mosescheketela9505
@mosescheketela9505 3 жыл бұрын
Kama kwa waganga kabisa.Dah Mungu atusaidie sana.
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 3 жыл бұрын
Waganga wanafanya hivyo siyo? Wewe ulianzia kwa waganga ndio maana
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 2 жыл бұрын
Hivyo uonavyo ndo ulivyo wewe mwenyewe
@fredydeogratius7599
@fredydeogratius7599 3 жыл бұрын
Roooh umecikia ametaja jina la yesu anapo omba huyu mchawi mkubwa. Huna ata aibu rooooooooooooooooo.
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 3 жыл бұрын
Kwann unasema hivyo kaka??
@awetumtanga3008
@awetumtanga3008 3 жыл бұрын
Sio vizur chunga kauli zako
@vicenthalimoja5349
@vicenthalimoja5349 3 жыл бұрын
Hupaswi kuhukum
@puritychogoro
@puritychogoro 3 жыл бұрын
Nitamkie Nabii
@puritychogoro
@puritychogoro 3 жыл бұрын
Amen,natamani kukuona Nabil Mkuu,niombee
@sophiadiris9567
@sophiadiris9567 3 жыл бұрын
Jamani watu Wana mambo yutumia jina la yesu kila mara leo hii eti atumii mwenye kuugumu ni mungu mm nnabarikiwa.. Amen glory to God
@puritychogoro
@puritychogoro 3 жыл бұрын
@@sophiadiris9567 Amen
@glorytheodory5053
@glorytheodory5053 3 жыл бұрын
Enyi wagalatiaa n nani aliyewaloga????????
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 3 жыл бұрын
Kkkkkkk
@dorcasmukhanji5231
@dorcasmukhanji5231 3 жыл бұрын
Mbona huyu hatumii jina la yesu akiomba?
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 3 жыл бұрын
Anasema yesi, hasemi YESU, kama huna sikio la roho mtakatifu hutasikia
@lilianbitutu1072
@lilianbitutu1072 3 жыл бұрын
Pia naskia tu anasema YES
@paulharuna5053
@paulharuna5053 3 жыл бұрын
Mathayo 7:15 kuweni makin watu wa mungu
@lilianbitutu1072
@lilianbitutu1072 3 жыл бұрын
Inasema hivi🎤🎤amechimba shimo, amelichimba chini sana. Akatumbukia katika handaki aliyoifanya!
@enjoenok9885
@enjoenok9885 3 жыл бұрын
Mungu tusaidiee san
@catherineauma3470
@catherineauma3470 3 жыл бұрын
I watch from kenya i nee your prayers
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 3 жыл бұрын
Loh ni Bahati iliyoje🤔🙏
@bahatischalwe2874
@bahatischalwe2874 3 жыл бұрын
Mashemansi wawe na vitenge vya kufunika wanaoanguka hizo nguo fupi ni aibu, nyuchi zinakua nje
@happinessnjoki8381
@happinessnjoki8381 2 жыл бұрын
Mtumishi wamungu niombee ninapitia mateso makubwa.
@museveniinnocent3341
@museveniinnocent3341 2 жыл бұрын
Mimi niko burundi 🇧🇮 naweza pataje uponyaji? Kupitiya sim
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 3 жыл бұрын
Kama unaponya wewe mbona jamani hospital wako watu wengi wagonjwa hamuwaleti waponywe
@mchagashop1342
@mchagashop1342 3 жыл бұрын
Changa hilo
@hylinematangi2968
@hylinematangi2968 3 жыл бұрын
Imani yako ndiyo itakupa
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Tabibu hafuati mgonjwa bali mgonjwa humfuata Tabibu,na uponyaji ni imani sio mazingaombwe
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Ata yesu alikua anatoa mapepo aliabio anatumia???
@leahmgunda5055
@leahmgunda5055 3 жыл бұрын
Wanaoenda kanisani huko wavae nguo ndefu;mnafeli wapi?
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Utandawazi mamaa unatusumbua
@rehemabaghayo1915
@rehemabaghayo1915 3 жыл бұрын
Jmn watu someni maandiko msidanganyike kiasi hicho ,ata Mungu alisema watu wangu watakuwa wakwanza kudanganyika.kama uyo anauwezo basi awaponyeshe watu wanaoteseka na korona ,mama zetu wanakufa kwa kansa Na kisukari .watu tumien ata common sense
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 2 жыл бұрын
Kwahiyo unategemea nabii amfuate mama ako nyumbani ili mpate na mengine ya kuzungumza mlivo na mawazo mabaya.Umewahi kuona wapi doctor akifuata wagonjwa Hadi nyumbani?
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 2 жыл бұрын
Hapa wameponywa wengi Sana WA cancer kisukari hata HIV. Tafta vingine vya kuongea
@mmbagarashidy2878
@mmbagarashidy2878 3 жыл бұрын
Huyu nabii mjanja
@salimsalim8421
@salimsalim8421 3 жыл бұрын
Jamani tuwe wangalifu mata peli bado wako, huyu kaa kama kajitia mkorogo au anakula vidonge
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
😍😊iko anawalaghai
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Mungu amewapa akili lakini wanashindwa kuzi2mia. Acha wamkusanyie kodi.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Nimeona vidole, ila midomo iko sawa, cyo meuc.
@vicenthalimoja5349
@vicenthalimoja5349 3 жыл бұрын
Acha zihaka mpendwa
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
@@rukundoibrahim807 kama kulaghai watu wote hao ni rahisi. Na wewe anza kulaghai basi tukuone kama unaweza kupata mtu hata mmoja.
@saldakltl7611
@saldakltl7611 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏👏👏👏
@marymwende7884
@marymwende7884 3 жыл бұрын
Mniombee pia
@ElizabethNdimbwa
@ElizabethNdimbwa Жыл бұрын
Kweli makombo yanayoanguka ndiyo yanayotufaa pia wa mbali na hapo. Napokea.kwa njia ya.mtandao wa KZbin.
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 2 жыл бұрын
Mingu akuongezee mafanikio yamo baba
@sherinelugaliasherry9388
@sherinelugaliasherry9388 3 жыл бұрын
As far as i am concenerd..the last prophet was John the baptist...hakuna nabii mwengine . And why ako n sura mbili as in..n mweupe kwa uso n mikono n nyeusi..hehehe ...but mbona sijai onaa akihubiri neno la mungu..
@rachelnduku5733
@rachelnduku5733 3 жыл бұрын
My dream is to meet you one day,, from kenya
@carolwanjiku3690
@carolwanjiku3690 3 жыл бұрын
Me to
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
Majameni mbona mtapeliwe nduguzanguni search Robert TV Tanzania utaponywa na Muumba wetu si mambo ya kutapeliwa
@vailethpilla1500
@vailethpilla1500 3 жыл бұрын
Mh!!!! Mbio ziniokoe hapo hapana
@maggieshi690
@maggieshi690 3 жыл бұрын
Wewebushee kua sharp sharp kuwekelea leso
@japhetfidelejohn7135
@japhetfidelejohn7135 3 жыл бұрын
Endelea mutumishi unaemtumikia atakulipa Mungu mumba awe pamoja na wewe
@kassimmossi3638
@kassimmossi3638 3 жыл бұрын
😁😂😂😂😁😁😁😁😁😯😯nacheka lkn naogopaa
@givengaby6067
@givengaby6067 3 жыл бұрын
Kupulizwa inakaaje? Na kupeana mikono
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@kassiankanyopa7443
@kassiankanyopa7443 3 жыл бұрын
Namb yako yasimu mtume
@janekemunto2347
@janekemunto2347 3 жыл бұрын
am watching from qatar....mm nataka maombi plz no poster
@mmasymery391
@mmasymery391 3 жыл бұрын
Pole sana umezoeya makelele kwenye maskio yakoeeee
@lilianbitutu1072
@lilianbitutu1072 3 жыл бұрын
@@mmasymery391 mwambie
@damsonwillison435
@damsonwillison435 3 жыл бұрын
Dady Angu kipenzi Nakwamini kuliko Manabiii wote niliowah kuwasikia wote si kwa biblia au wapi si Musa,Eliya........(Naomba Nehema ya kukufuata/kukwami daima)
@elirobby4411
@elirobby4411 3 жыл бұрын
Na Mungu?
@paulharuna5053
@paulharuna5053 3 жыл бұрын
@@elirobby4411 watu wanapotea kwa ujinga wao mtu wa mungu sasa anavyoamin mwanadam kuliko mungu
@aminabakari8423
@aminabakari8423 3 жыл бұрын
Daah! Mungu akupekuona sawa sawa na neno lake.
@stellajoel7932
@stellajoel7932 3 жыл бұрын
Ni2mien namba za nabii jaman naumwa mm
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
Hahaha tutayaona mambo
@stellajoel7932
@stellajoel7932 3 жыл бұрын
Nataka kuombewa ni2mien namba za nabii
@mwamvuaelias850
@mwamvuaelias850 3 жыл бұрын
Tulioko mbali jmn msaada
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Siku hizi hakuna tena Hela ya Ukombozi laki 6??
@mjukuuwakabonga2031
@mjukuuwakabonga2031 3 жыл бұрын
Yaan
@editharichard1067
@editharichard1067 3 жыл бұрын
Jamani nataka maombezi niko zanzibar
@salomemwankenja8824
@salomemwankenja8824 3 жыл бұрын
Kuna garama yoyote ???
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 3 жыл бұрын
Huku hakuna gharama yoyote zaidi ya nauli yako tu na mahal pakufikia
@Alimahrooi
@Alimahrooi 3 жыл бұрын
Wewe poteza watu karni 21.
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
Namwamini huyu mtumishi wa Bwana Ila Kama ameanza kutumia mafuta ya upako mmmmmh nafsi yangu imeingia mashaka juu yako
@ijuekwelitv3150
@ijuekwelitv3150 3 жыл бұрын
Alipoojiwa TBC alisema hatumii mafuta ya upako nk leo anatumia is he a man of God??
@givengaby6067
@givengaby6067 3 жыл бұрын
Hapo kwenye ulinzi Wa mabaunsa imekaaje
@reganshao
@reganshao 3 жыл бұрын
Ni maajabu eti nabii ana mabaunsa
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Mh!
@kalumunafaustineofficial
@kalumunafaustineofficial 3 жыл бұрын
Siyo mafuta ya upako sema ni mafuta ya kiNigeria bhana
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Occultic Prophet. Kweli watu huangamia kwa kukosa maarifa. Hili sio kanisa.
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono mia kwa mia 💯
@omarnyau330
@omarnyau330 3 жыл бұрын
Mwaposa
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Natamani pia mimi kufika huku siku moja
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 3 жыл бұрын
Uko wapi mkenya mwenzangu
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
Wakenya wenzangu hebu tuache kutapeliwa huyu hana tofauti na mpinga ramli mbona tusifunguke akili search Robert TV Tanzania, David Mbaga, search Moses mgambe watumishi wa Mungu wa kweli please hebu tuacheni kumwabuda shetani
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Nko nairobi
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
@@estherwambuies1782 search Robert TV Tanzania, David Mbaga, Moses mgambe sikiliza mafundisho yao ata kaa ni 5mins alafu utaona matokea ebu tusimwaibishe Muumba wetu
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
@@estherwambuies1782 mm niko Kilifi county
@reganshao
@reganshao 3 жыл бұрын
Nimeona wengi walioenda kuombewa hawadumu kabisa baada ya miaka kadhaa lazima wapoteze uhai , wengine wanaishia kuwa masikini , wengine wanachanganyikiwa kabisa
@karenjacob5175
@karenjacob5175 3 жыл бұрын
Ameen
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yaani KANISA lisilo kemea dhambI na kutubu dhambI na kuacha hapo Kuna shida
@hassanmubarak704
@hassanmubarak704 3 жыл бұрын
Jamani Someni DINI ya Kweli Msiwe wa kudanganywa daima, Hahahahaha >> hakuna uhakika kwa anayoyafanya na watu wanaamini !!!!!!!!!!!!!!
@sherinelugaliasherry9388
@sherinelugaliasherry9388 3 жыл бұрын
True
@danielpaul84
@danielpaul84 3 жыл бұрын
Nguo fupi hvyo alafu nikanisani kabsaa
@mwlvicent5160
@mwlvicent5160 3 жыл бұрын
Mtumishi Mbona hutajagi jina la Yesu??????
@peacekatembo6944
@peacekatembo6944 3 жыл бұрын
Uuwii huyu nae kumbe wa mapembe....haahaahaa
@mauriceoduor4126
@mauriceoduor4126 3 жыл бұрын
This is a conman. Hao wanaomletea sadaka nawahurumia !!!
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Watu wako so blind. Hii ni kama Ibada ya sanamu, kumwabudu mtu.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 8 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 48 МЛН
GEORDAVIE LIFESTYLE  HOUSE/CARS/FAMILY/CASH$
4:07
BONGO SIMULIZI
Рет қаралды 1,1 М.
UNABII WA MAMBO YA SIRI - CHIEF APOSTLE MTALEMWA
21:19
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 138 М.
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 7 М.
SABABU ZA MTU KUWA NA PEPO WENGI
58:42
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 43 М.