ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 25
@TALLUBOY9 ай бұрын
Mzee janabi good profashinal
@nantaembanusurupia56749 ай бұрын
Kwa matusi yenu professor ataacha kutupa madini ni mtu mzima nadhani hajisikii vizuri kwa hizi lugha zetu😢
@hanifamziray2779 ай бұрын
Asante kwa ushauri doct
@Juddy10179 ай бұрын
Thank you doctors, asante sana
@ChristerShao8 ай бұрын
Kama upendi ushauri wa Prof.Janabi husisikilize,.
@epimackoscar252 ай бұрын
Mimi nikuombe dokta wakati unatumbia tupunguze misosi utueleweshe na namna ya kudhibiti madonda ya tumbo
@WakwetuTz-g7iАй бұрын
Doctor ulaji wa miwa nao una madhara gani?.
@SalluJohn-gy8lc8 ай бұрын
Dr naomba matibabu ya maungio ya goti, nyonga,bega,na shingo
@henricamikambi6147Ай бұрын
Zamani tulidhani kula Milo mingi ndo unakuwa na afya Bora. Kumbe Milo michache ndo afya!
@Doto-wj8llАй бұрын
Wanaokusema vibaya akili awana
@nantaembanusurupia56749 ай бұрын
Asante dk.
@pepenelimited26278 ай бұрын
Unywe chai mwili useme umekula? Alafu uendelee na kazi,ipi? Magogo ya tanesco hutasukuma. 😂😂😂
@LeonardMakenya8 ай бұрын
Vzr!
@rupiaraaj16749 ай бұрын
Kwahiyo bwana Prof inawezekana akawa anakunya mara chache zaidi.
@sarahoden13448 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rosemuna55698 ай бұрын
Hahhahha wew hebu Acha utan rafik angu tutanyimwa kupewa madin sasa ila umenichekesha
@godsson59548 ай бұрын
na mashaka na afya ya akili
@farajambagale93738 ай бұрын
Nataka kujua kwani watu wanashauri kutumia vitu vya sukari kama hujala kitu
@mataypanga52624 ай бұрын
Mimi nadhani mtu akila mchanganyiko wa vyakula hakuna tatizo la afya. Tatizo letu wengi hatuna uwezo wa kuwa na vya aina tofauti na wachache wenye pesa nao wanakula sana na kuwa na vitambi.Pengine pamoja na pesa zao hawali vyakula bora😂
@xyz-v6d3 ай бұрын
Mwili hupata energy/nguvu kupitia.1.Wanga 2.Mafuta.3 protini Chaguo la kwanza la mwili kupata nguvu ni kupitia wanga kwa sababu umengenywaji wake ni rahisi kuliko mafuta au protini. Wanga zipo aina 3. Ya kwanza primary saccharides kama glucose. Ya pili ni secondary saccharides kama sukari ya mezani na ya tatu ni tertiary saccharides kama viazi au miogo au ugali. Kundi la kwanza hufionzwa moja kwa moja kuipa mwili nguvu ndii maana wengine huwekewa drip ya glucose,inakwemda moja kwa moja,haimengenywi,ya pili hutumia mda kidogo sana kumwngenywa,ili iwe glucose ambayo ndio "sukari' ya damu. Kundi la tatu inachukuwa mda sana kumengenywa ili iwe glucose. Kwa hiyo ukiwa una njaa sanaa,mwili huna nguvu basi unatumia sukari au vitu vywa sukari
@HhhTt-vl9ct9 ай бұрын
Kwaiyo na uprofessa wako woote ukizingatia jina la kiislam na unaunga mkono tattoo ila tu vifaa viwe safi. Dah. Professa MAVI
@ahz69078 ай бұрын
Huyo hajaajiriwa na hospitali ya kiislamu anajibu kama mwajiriwa wa serikali na sio kiongozi wa dini au mwakilishi wa waislam.😊 Masheikh wanatosha kukumbusha hayo mambo ya dhambi unayotaka...mwache janabi afanye yanayomuhusu!
@agriparose39428 ай бұрын
Kwani huyu kaajiriwa hospital kwa ajili taasisi ya uislam au anaongelea kitabibu
@kitonekantasha16879 ай бұрын
❤
@PhilibetLadislaus8 ай бұрын
Profesa ilishindwa kuhojiana na vyombo vya habari kuwa m-wazi kwa Taifa juu ya vifo kwa wakubwa fulani kama tulivyoona mahojiano na vyombo vya habari katika tukio la kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Japan katika kampeni zake.Kwa uprofesa wako tungepata taarifa zilizo sahihi kabla na baada ya umauti.Sijui tatizo hilo na mashaka ya namna hiyo watanzania twambie kwa kujifunza