Waaaah,!!! Hilo papay limezaa matunda mengi sana, 🤔 barikiwa Dr mtumishi wa mwenyesi MUNGU 🙏
@GraceKahoko8 ай бұрын
Ubarikiwe kwa kutufuza namna ya kutumia papai kama dawa wacha Mungu akupe ufunuo zaidi.
@felisterpaul18157 ай бұрын
asante saana pr mungu aendelee kukutunza
@RehemaSalum-vp6rf8 ай бұрын
Mungu akupe Afya njema na umri marefu baba etu ... Asante kwa mafunzo
@Janetmoraa-t8f8 ай бұрын
Wow asante sana kwa dawa Mungu akupaliki
@felixmagulu61428 ай бұрын
Asante sana dokta kwa elimu unayotoa,Mungu ametupatia kila kitu lakini tunakosa tu maarifa ya kuvitumia
@nyotasuleiman34648 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Kwa mafunzo mazuri
@maseaJoe86768 ай бұрын
Asante daktari
@billian19148 ай бұрын
Asante sana nimependa sana shamba lako na somo juu ya papaya.
@FridahMarete-jn8dv8 ай бұрын
Pokea salamu nyingi Baba Barikiwa sana
@farajmanuar35898 ай бұрын
Somo zuri,mbarikiwe mahubiri tv.
@erickmillanzi43918 ай бұрын
Asante mwl wàngu Mungu akubariki sana.
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana
@fidelfidel-jz4iw8 ай бұрын
Asante mwl kwa somo lakini hiyo Idea ya kupanda mpapai moja ni mawazo ya zamani lazima watu wapande mengi ili wasio limama wapate siutauza hilo ni somo pia ubalikiwe
@ebengapierre88268 ай бұрын
asante sn nakufata kutoka kongo 🇨🇩
@AnethiRuziga17 күн бұрын
Ili utusaidiye
@hajatihajati53578 ай бұрын
Doctor Asante ila dawa ya pumu haukueleza matumizi yake ulisema kama umedanganika ni ugonjwa mwengine
@victorianchimbi86408 ай бұрын
Naomba matumizi ya papai kwa ugonjwa wa pumu
@ambonisefesto14168 ай бұрын
Vidonda vya tumbo nisumbufu kwangu
@lucyomido82718 ай бұрын
Pressure inatibiwa vipi kutumia papai?
@AnethiRuziga17 күн бұрын
Dr tunahitaji nomber yasimu
@beattymakula49988 ай бұрын
Naomba namba yako dr. Mtangoo nipo US nahitaji ushauri wako tafadhali
@miriammkama93108 ай бұрын
Barikiwa sana Dr samahani naomba namba
@hamisramadhan-eb3ie8 ай бұрын
Papai nidawasana
@roseeuphrase385315 күн бұрын
Je wewe ni Dr. Mtango aliyekuwa anafanya kazi Mhimbili hospital
@Mary-vc6mo8 ай бұрын
Please naoba dawa ya kumaliza kishukali kwa mwili
@OlipaMsemwa8 ай бұрын
Naomba namba Yako unifundishe Jinsi ya kutumia hilo papai Kwa tatizo la sukari na presha
@kamulikamuli5308 ай бұрын
Dr, nimekuelewa pale pa kutumia mvinyo kutibu maradhi ya moyo. Hivyo waweza kunywa mvinyo kama dawa
@mwonjirubeatrice59918 ай бұрын
Sijaelewa kwa mkojo
@queenesther.72228 ай бұрын
Chunusi ni nini?
@GAM.1st8 ай бұрын
Kristo wa neema yote, naomba kuuliza namna ya kutibu vidonda vya tumbo kwa kutumia papai
@alzawahirabdallah22998 ай бұрын
Nenda hospital utakufa bure kwa kuwasikiliza hao mapasta
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
@alzawahirabdallah2299 Pole sana! Anaye ongea hapo sio Pastor ni Professor ambae ni Mwalim wa madaktari
@GAM.1st8 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 hatua ya kwanza kuu katika ukuaji ni kujitambua jiulize kabla hauja comment kwenye community unahisi hapa tupo kubashiri juu ya afya zetu wakati vipimo tunavyo .. Mungu akurehemu huna amri ya kuhukumu usichokijua yakupasa ujifunze ..📌
@farhannahomary55058 ай бұрын
Nipe no zako nikueleze utanishukuru
@samsonplatson21368 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 nimetumia dawa za vidonda vya tumbo hospital mwaka wa pili huu sjapona kwa hio ni bora tuwaskilize
@mamaziada1348 ай бұрын
Dawa ya hiv ukimwi ipo??
@mtashophilipo62138 ай бұрын
Nina changamoto ya kupata maumivu kama kuwaka moto upande wa kushoto wa tumbo... Naomba msaada tafadhali
@pazomc33938 ай бұрын
Sory unatatizo la vidonda vya tumbo, pamba na hilo
@rachel.amenimaumbuka23708 ай бұрын
Nasaidie kujua namna ya kutumia papai
@DevothaNyelo8 ай бұрын
Hiyo tiba ya malaria sugu unakunywa kwa muda gani? Naomba na namba utanisaidia kwa mengi .
@annastaziamsechu19668 ай бұрын
Vidonda vya tumbo unatibuje hapo
@wkimunya8 ай бұрын
Mimi Nauliza dawa ya kutibu Harufu mbaya kutoka mdomoni
@angelamturi22078 ай бұрын
Nenda clinic za meno, wanasafisha meno
@jesusfirstchurch41628 ай бұрын
Uwe unasafisha ulimi pia kwa mswaki ikiendelea kunywa dawa ya kusafisha tumbo Kuna uchafu unaganda kwenye ukuta wa utumbo
@wkimunya8 ай бұрын
I want traditional meds as I have tried all medication . So I want that what will clean the stomach
@rabanmoses54238 ай бұрын
Barikiwa sana mtumushi wa Baba
@gracekagoma32318 ай бұрын
Cocacola ,soda inaleta dehydration ni kweli
@mchikirwambombeyagonja43118 ай бұрын
Hiyo malaria sugu unainywa mara ngapi
@gracekagoma32318 ай бұрын
Kimunya ndugu yangu dawa ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ni kumuona mganga wa meno na kuondoa mabakia ya chakula kutoka kwenye meno kwa kutumia njiti maalumu kwani hata ukisugua meno kuna vipande vya chakula vinabakia katikati ya meno na kuoza hivyo kunuka😮.
@danielbarasam77258 ай бұрын
Tumia maji mengi
@jofreykilangila41188 ай бұрын
Mbinguni ni wapi? Mzee
@rosendanshau26748 ай бұрын
Kweli unanishangaza hujui mbinguni soma kitabu cha ufunuo kuanzia 20 mpaka mwisho.
@josephlorri4318 ай бұрын
Kuna Dr mtango alinifundisha research methodology miaka zaidi 15.. ndo huyu?? Ila wamefanana sana
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Ni yeye
@ebengapierre88268 ай бұрын
Nime kupata vizuri docta papai inatibu saratani namunagani ?