Hawa jamaa hawana lolote si wenzetu kabisa, ndugu zangu katika imani narudia tena Mashia si wenzetu kabisa. Muda haupo lakini wana mambo mabaya sana. Jamani waogopeni hawa jamaa kama ukoma hawa ni watu wa Taqya. Kwa hili nampongeza Sheikh Mziwanda Allah Swt! Akuhifadhi mdogo wangu!
@wahabishabani91003 ай бұрын
Mashia sio waislamu kabisaaaa!!!! Kwani huwatukana maswahaba na wakeze mtume muhammad S. A. W.
@AliAbudo-jz2ghАй бұрын
Nziwanda yupo sawa mashia si wenzetu.
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Munatumia Nguvu kubwa kufunika Maovu yenu na Machafu yenu dhidi ya Masahaba na Wakeze Mtume saw Allah ataendelea kuwaumbua tuu na muda utafika na umekaribia
@bahariyatibanaduaaduaniiba6120 Жыл бұрын
Kinyume Mimi naona kama watu ndio wanazidi kuwa mashia
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
@@bahariyatibanaduaaduaniiba6120 Watu kuwa Mashia Sio ithbaati kwamba Ushia ni Safi kwa Mizani za Kidini Shia ni kikundi cha kikafiri kinachodhihirisha Uislam Muasisi wa hili kundi ni Myahudi Mmoja hivi-; Anaitwa Abdullah bin Sabai Al yahuudi
@khadijanurdin3163Ай бұрын
Linajitahidi kulazimisha uongo wao lkn halishawishi, KWENDRAAAAAAAA,JIBWA WEWE
@abdulqadirmasuo1550 Жыл бұрын
Ushia si Dhehebu Bali Ni Dini tofauti ilioanzisha na Mmajusi mmoja anaeitwa عبدالله بن سبأ
@gulamomar6394 Жыл бұрын
SHIA SIO WAISLAMU ACHA KUJITETEA WEWE !!
@fikrayakiislamu Жыл бұрын
waislamu n kinanani sasa?
@hashimmzee9109 Жыл бұрын
@@fikrayakiislamu muislam ni yule aqida yake inaamini kuwa Quran haina shaka ndani yake.. wala Rasulullaah salla llaahu alleihi wasalam kupewa utume hakuna khiyana iliyofanyika baina yeye na Ali radhiallahu anhu.. mimi binafsi namjuwa mshia mmoja ambae amempa jina la Abubakar mbwa wake... Shia abadan hawezi kuwa Muislam...na Uislam wake kukamilika ni hadi wapige shahada ile inayokubalika kiislam bila kuongeza shubha zao za kiajabu ajabu...
@JailaniRamadhan-it3kp6 ай бұрын
Ahsante
@omarkubeli1199 Жыл бұрын
Lete nukuu ya ya kitabu kilichotajwa hapo na shekhe Mziwanda na je maandiko hayo yamo ndani ya kitabu Chenu cha mashiaà ama hayamo jibu HOJA
@alihijiiddi8977 Жыл бұрын
MBONA UMEVAA KAMA WAISILAMU WA ALL SUNNA KOFIYA HIYO NA USIVAE KAMA HUYO ULIOMUWEKA NYUMAYAKO HAPO MWENYE KUJIIGA SHIA
@salumkibari4878 Жыл бұрын
Nyinyi mashia siyo wailam bhana
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Yaani nyie mashia pamoja nyushidi zote zilizowazi kua nyinyi sio waislam badotu mwakazana kujitetea ilitu muupoteze ummah. Kiukweli mumelaanika na kilakukicha mnazidi kulaanika
@neemafatu471 Жыл бұрын
Ushia ni dini sio dhehebu.ni dini tofauti na mbali na uislam
@abuuahmad3238Ай бұрын
Mashia ni 5 stars Kuffars... No doubt
@AbdulswamadHashimАй бұрын
Sheikh mziwanda allah akulide kikubwa usiludi nyuma allah akuongoze wengi hawajui kua mashia nimatwahuti kama matwahuti wengine wamekuja kuuchafua uisilaam
@AbdulswamadHashimАй бұрын
Wanatumia nguvu kubwasana wanatumia pesa kueneza ushia ushawishi nimkubwa Kwama sheikh
@RayaRashid-dc2hn7 ай бұрын
Mtawapoteza wasiosoma, mnahongwa kuupoteza umma ila kwa uwezo wa Allah hamtoweza
@abubakarally2021 Жыл бұрын
Askofu wew
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Mjibu hoja nzito za mashia Askofu kaingiaje hapo!!! Mashia ndio waislamu na wana elimu ya kutosha
@mkude Жыл бұрын
Sheikh mziwanda ALLAH amlipe,amewanyoosha na sasa hivi hapa Tanzania mtaogopa kuwatukana kwa dhahir maswahaba maana masheikh wa ahli sunna hawatakubali tenaa, mmeshika adabu waislamu hatutaki kuona mnawadhalilisha Maswahaba na wake za mtume s a w, mtajibiwa kwa hoja tu.
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
Yule mziwanda Ni Faasik asiojuwa Na huu ndio msimamo wa mashia. kzbin.info/www/bejne/fKqceoZohsp8jMU
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Nyinyi mnawatukana maswahaba ili mnawatukana kwa sirri bado mnakusanya nguvu ndiomana kaulizenu bado zinagonga mnawavuta watu kidogokidogo wakiingia ndio mnawapa msimamowenu Ila kwenye changanyikeni mnaicha makucha ili watu wasishtuke
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Nyinyi potelenu ni la kukufuru kabisaa makuffar ata adhana shahada swala ni ttofaut na waislam
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Ujielewi utawadanganya makafiri wenzio muongo nyinyi sio waislam mawahab ssalafi Sunni qadiani hamadia na wengine ni waislam ni Bora kuliko nyinyi mashia nyinyi ni naajis
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
@@MohammedSaid-qr1zn Jina la mtume unalipaka tope kwa matusi iwapo Sisi makafiri mbona mnaturuhusu kwenda Hajj???
@jumamasoud1188 Жыл бұрын
Hacha maneno mengi mashia wanawatukana Maswahaba hata hao wanao wakingia kifua mashia ni njaa tu na kutokuwa na uadilifu ktk i'lim.
@SophiaKamgunda8 ай бұрын
Naulzeni mwenyekutoa Hukumu ya mwisho ninani
@SaidSaid-yv5ts7 ай бұрын
Hatujaelewa chochote kwasbb hujaongea hoja ata moja..kijana nenda kasome pesa unazogaiwa na ao mashia ukifa tu unaziacha then utajua cha kumjibu mola wako. Huna elimu bado ya kuongea na umma. Chengine cha kukusaidia ni kasome na ujue asili ya kila dhehebu..hakuna mtu yyt katika hii dunia mwenye kuweza kumhukumu swahaba wa mtume ikiwa yy mtume mwenyewe hajasema kitu juu yao
@AbdallahMpemba Жыл бұрын
Mashia ndio mafasiki jibu hoja kwnn mnatukana maswahaba na mnakimbia munakasha
@shabanimussa42693 ай бұрын
mbona yanauma sana nyinyi muogopeni mashia hamtafanikiwa kwa uwezo wa mungu
@oyay2821 Жыл бұрын
Mukiacha kuwa tukana makhalifa na wake wa mtume hakutakua na tofauti yoyote
@ShabanKilizaАй бұрын
Mbona maneno mengi hujibu hoja jibu hoja maneno mengi hayanaantiq
@AbuuRahan-y5iАй бұрын
Nyinyi nimakafiri bila kuficha
@hemed-dl6bf5 ай бұрын
Acha maneno mengi. kataa au kubali hayo maneno ya masheikh wa kisunna
@shabanihugo8332 Жыл бұрын
Acheni uhuni nyie mashia hamfai hata kwa robo
@hanafilali8350 Жыл бұрын
Mbona mwakazana kujibu Kwa kutafuta ila hamna hoja ya kupnga kielimu
@omarkubeli1199 Жыл бұрын
Kajambe uko !!!!
@hamisadnan2319Ай бұрын
Mimi sielewi tu kwanini mnapenda kushughulika na mambo ambayo huwezi kupata suluhu ?
@salehally1082 Жыл бұрын
Mashia nyinyi sio waislam
@AbdullyKarimu-f2k6 ай бұрын
Ww panda ukanushe shekhe mziwanda anasema urongo
@HashimSalim-qj7zn3 ай бұрын
HATA HAONI HAYA KUSEMA YEYE NI SHIA MBONA MWENZAKE SHAFII YEYE ANAONA HAYA KUSEMA KUA YEYE NI SHIA ILA TUMEMJUA KWA KAULI NA VITENDO TU
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Tokea lini mwafrika mweusi akawa shia,, ni kioja muislamu wa kiafrika kuwa shia
@mdoekibai5063 Жыл бұрын
kwamm hawa mashia na mawahabi wote naona niwanaafiq na wenye chokochoko na wote hawa niwamaslah yakidunia nichawa wamakafiri lkn kunakundi1 linataka kutafuta kivuli kupitia kwa masuni lkn ukweli utajulikana inshallah Allah atuongoze ktk haki
@safiasaleh7742 Жыл бұрын
Masuni ni nani na mawahabi ni nani.?
@khadijanurdin3163Ай бұрын
Sura yako tu inakusuta Hiloooooooooooo
@omaryiddi7454 Жыл бұрын
Kaeni mbali nasi kwa maana ninyi si waislamu nasi twawaona Kama nyama ya nguruwe ktk uislam
@omaryiddi7454 Жыл бұрын
Naam kaeni mbali na uislam tutachangamana nanyi vipi wakati mnawakana MASWAHABA sura yako yaonyesha FEDHA za mashia zinakusumbua wala huna elimu yoyote
@rajabumtanga8792 Жыл бұрын
ungekuawa na elimu usingekuwa shia
@thulaniduku3218 Жыл бұрын
Wewe nguruwe la kishia acha usani Nyinyi nguruwe za kishia Mnatukana maswahaba
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Nyie waswahili mliegeuka mashia hivi karibu mashia weupe wanawatumia tuu
@lulegunto6139 Жыл бұрын
acha ushamba ni kweli mashia wana watukana maswahaba
MM NAOMBA NIKUULIZE SWALI TENA UNIJIBU KULINGANA NA MAFUNZO YA MTUME (JE MTU ANAPOTAKA KUNADILISHWA MADH-HAB LAZIMA ATAMKISHWE SHAHADA UPYAAA?)
@KabaSule3 ай бұрын
Jibuhoja。unaropokwatu。jibuhoja
@aabiwarsame1709 Жыл бұрын
Toa jhoja
@salumnuhu9066 Жыл бұрын
Mbona husemi wanawachuoni wenu wameandika ktk vitabu vyenu?
@jumamasoud1188 Жыл бұрын
Mziwanda yupo sawa maashia nimekafir tu.
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKqceoZohsp8jMU Kabla ya kuzungumza vitu visivyo vya kweli sikiza haya 👆👆
@muhammadmassoud3576 Жыл бұрын
Hawa watu inaonekana muungu wao ni Hussein hilo jina wanaliandika kila mahali Washinzi kama hawa duniani hakuna
@bwagizoselemani8434 Жыл бұрын
Kwanza mashia wala sio watu wa kupata nao tabu hawa wapokimasilahi tu wanatumia nguvu nyingi sana kupoteza watu
@walterngowi5835Ай бұрын
Kwaio lran ni Mashia na Saud Arabia ni masuni duuh ndio maana hawaelewan 😎😎
@SalimZahor-y1jАй бұрын
Wacha unafiki nyie washenzi njaa gani hiyo mpaka mnatukana maswahaba?
@swalehabdulrahman4118 Жыл бұрын
Tuambieni maneno aliyonukuu Shekh Mziwanda kutoka kwenye kitàbu takes Ni sahihi au la? Na huyo Mtunzi wa hiko kitàbu Ni mshia au ? Msiingie kwenye maisha ya mtu toeni hoja
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Wee bwana hata mm tuu sija soma lakini shahada ya mashia inanishangaza na km uongo tamka hapo ulipo ndio utofauti utajulikana mnapiga kelele wakati ni kweli kunautofauti mkubwa tuu
@AbdulswamadHashimАй бұрын
Chaajabu hao makafili hoja hawana jitetee kwahoja waisilamu wametoa ushahidi kutoka kwenye vitabu venu
@hajiomari8198 Жыл бұрын
Hakuna malumbano, kilichosemwa na Sheikh Mziwanda ni yaliyopo kwenye video zenu, Sheikh wenu mkubwa tumemuona akiyasema haya,
@abiabi9353 Жыл бұрын
Ehe sheikh wakishia kasemaje? Nakama issue ni aliyo yasema sheikh wakishia je umayasikia wakiyo yasema masheikh wakiwahabi dhidi ya masunni?
@muhammadmassoud3576 Жыл бұрын
Shia sio dini ya kiislam ni dini nyingine tofaui lakini munajinasibisha na uislam tangazeni dini yenu muone kama tutawafatilia mziwanda yuko sawa.
@rashidomar2771 Жыл бұрын
Shia golo,,kwa huku kwetu tulizoea mazhebu ya Shia wenyewe ni wahindi tena hawa magolo vipi ,,au njaa tu hawa,, na wanatumiwa kupiga makelele na kusafisha watu na mashaka yao ,,kama vile mazhebu ya ibadhi wenyewe ni waarabu wa kiomani ,ukijitia mwengine hua kama kituko Njiie magolo tafuteni cha kufanya
@jumasalim6126 Жыл бұрын
Kitabu alicho sema sheikh mziwanda ni chashia au sio chamashia?.
@alimira8050Ай бұрын
shekh mbona hujajibu hoja hata moja hapo ninachokiona ni kuthibitisha yaliosemwa tu
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Kwan ww kuwa mshia unalipwa bei gan
@SophiaKamgunda8 ай бұрын
Haya nimafundsho au nimafundsho yaktabaka tumfuate yupi
@oyay28219 ай бұрын
Tuambie jee nyinyi mashia munawatukana makhalifa?
@shimbo0146 Жыл бұрын
Achaujanja.asikofu.
@ABBASAli-ji6dh Жыл бұрын
Agenda ya shia hiyo katika vitabu vyao .
@bishingwemaxime3655 Жыл бұрын
Shia nenda Iran. Hamna nchi inayowataka
@yusufally9174 Жыл бұрын
Kwani ally pia ana hadithi zake أعوذ بالله من الشيطان العين الرجيم Uliipata wap hiyo
@bilalikaoneka5080 Жыл бұрын
Uthaymeen na imam malik mbona wanazo
@bilalikaoneka5080 Жыл бұрын
Anza tena nyingi sana.. kushinda hao maimamu wenu wa nne..😁
@bilalikaoneka5080 Жыл бұрын
Ww kweli mwehu... hujawahi kuckia maneno ya salaf swalih kama maimamu au wanazuoni yakinukuliwa??
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
Wewe ndio bemdera fata upepo suala mashia kusi maswahaba si geni au na wewe umeona ujirushe myandaoni
@harithwhite5897 ай бұрын
Vitabu vya Sheikh Abdillah Nasir kama, Shia Na Sahaba, Shia Na Qur an pamoja na Shia Na Qur an, Vitabu hivo vimenifanya ninyamaze kimya kuwatuhumu mashia, nimevutiwa sana na hoja za vitabu hivyo, nimeona sio kweli kuwa wanatukana masahaba, sio kweli kuwa wana qur an yao.
Mashia ndio marafiki zangu sana na ndio wanaojua dini hongereni sana mashia
@mazingatio Жыл бұрын
Nyie mashia makafiri
@omarkubeli1199 Жыл бұрын
Shia mkubwa
@salumkibari4878 Жыл бұрын
dogo naona unajichosha tu ni bora ukanyamaza kimya vinginenevyo unazidi kujiwekea muhuri wa kujidhalilisha tu
@abumaryam6909 Жыл бұрын
MASHIA WAMEFUNGUA CHUO MAKONDE MBEZI BEACH KILIKUA CHUO CHA UDSM WANACHUKUA VIJANA BOARDING WALIO HITIMU DARASA LA SABA NA FORM FOUR BURE!!! CHUKUA TAHADHARI SISI WAISLAM TUNAKUAGA NA EXCITEMENT SANA HAMNA KITU PALE NDUGU YANGU!!
@neemafatu471 Жыл бұрын
Mna mambo mengi sana ya kushangaza mashia bhana.tena ya ajabu kabisa.sijui mnalipwa kitu gani kuharibu dini
@AllyAhmad-zg2yp2 ай бұрын
Yoyote anaemtukana swahaba wa mtume alaaniwe
@rajabumbendenga5480 Жыл бұрын
Hamjibii hoja zenu za kutukana maswahaba ambayo yako wazi mwajitetea eti tatizo ni mawahabi huo ni urongo mtupu
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKqceoZohsp8jMU Acheni ujinga someni 👆kutoka kwa walimu wa mashia sio kina mziwanda wasiojuwa hata Hadith na usahihi wake.
@Al-ghareeb603Ай бұрын
Ivi umekuja kuzungumza nn hueleweki
@shabanimussa42693 ай бұрын
mashia hafai majahili kabisa nyinyi niwakatoliki wakubwa
@moralist610027 күн бұрын
MASHIA WAACHE UHUNI ILA MAULIDI WALIYOLETA NI MAZURI MAKHULAFI NYINYI MNA VITUKO
@abubakarally2021 Жыл бұрын
Mikafiri ninyi unabwabwaja tuh hat hueleweki
@mozzaliuleiza9288 Жыл бұрын
Waswahili wakishia ni njaa 2 zinawasumbua hakuna shia mswahili mnatumiwa tu mziwanda yuko sahihi yote yako kwenye vitabu vyao
@hemed-dl6bf5 ай бұрын
ww toa mada inayoendana na yaliyosemwa hapo na mziwanda. kataa au kubali. acha maneno mengi
@neemafatu471 Жыл бұрын
Ni kitu kidogo tu ewe mshia, kubali hivyo vitabu ama vikatae basi. Sio mashairi meengi hayana maana
@alminzilmohd96626 ай бұрын
hahaha kumbe kuna mashia watoto, nishawazoea mibabu.
@selemanisalumusalumumarko1274 Жыл бұрын
Nyie ni makafiri tu njaa ndo zinawasumbua
@omarkubeli1199 Жыл бұрын
Wewe kijana acha njaa umekuja hapo kutoa maelezo ya kijiweni bila ya kuleta hoja si mumembiwa mnaingilia wake zenu kanusha kwa maandiko na shahada yenu ni ya kufuru mbona hujajibu hoja !!!!
@IbrahimNtirenganya6 ай бұрын
Huna lakusema acha uswahili
@abedishafii2054 Жыл бұрын
Mashia Hata mjitetee Tabia zenu Zajulikanwa
@soulvoic Жыл бұрын
tabia gan hizo??
@sirajisalanga4576 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@shafikakrabi84904 ай бұрын
Nauliza wazee wako waliokuwa mashiaa?
@hanafilali8350 Жыл бұрын
Wacha utoto
@banihashim5347 Жыл бұрын
Agenda ni nyie mashia kutukana maswahaba wa mtume, nasio kutuletea raddi ya masunni wao kwa wao,, huwezi kutotoa kwenye Reli, washenzi wakubwa
@bahariyatibanaduaaduaniiba6120 Жыл бұрын
Wewe sikiliza vizur mnaimba wimbo msiojua umeona wap mshia katukana swahaba nanyie mbona katika bukhar Kuna maneno ya ajabu ajabu au na nyie mnatukana .hivi hamsomi vitabu .usiwe bender bemdera
@banihashim5347 Жыл бұрын
@@bahariyatibanaduaaduaniiba6120 nynyi ni watoto wa ibnu saba, i Soma anwaar annumania
@ramadhanayub5877 Жыл бұрын
Wapi mashia ni makafiri nyie ata mseme nini atuwaelewi
@rajabumsuya-hg8jdАй бұрын
Kama hamtukani na kuwakataa swahaba!!haya tuambieni nani khalifa wakwanza?na wapili? Na watatu?
@rajabumtanga8792 Жыл бұрын
hoja zako zakitoto Kisha nimuongo kijana
@mtutulaclassic6207 Жыл бұрын
Huyu nae ni nani tena?
@HassanHasheem-ru2xd Жыл бұрын
Hata ukisherehesha kiasi gani nyie mashiha ni watu wa ovyoo sana