Hongereni sana wimbo ni mzuri mnoo na Mungu wa mbinguni awabariki
@dorcasthomas1684Күн бұрын
Kazi ya 🔥🔥🔥
@Danieljohn-q2fКүн бұрын
MTAKATIFU🎉
@petromihambo1405Күн бұрын
Much blessings❤❤
@neemakisanga81993 күн бұрын
Hongereni sana sana wapendwa.Mungu azidi kuwainua zaidi kitaifa na hata kimataifa🙌🙌🙏🙏🙏.mmeimba vizuri sana maneno yanasikika vizuri,mmecheza vizuri,mavazi yamewapendeza Kila kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤.
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amina, Ubarikiwe sana
@EliaMasunga-qg6ph4 күн бұрын
🙏🙏🙏 hongereni kwa Kaz nzuri ya kuutangaza ukuu wa mungu mbarikiwe saaaaana ikawe baraka kwa waskilizaji na kwenu pia
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Glory to God
@shigongomalulu529414 сағат бұрын
❤
@kigongomgassa5744 күн бұрын
Background nzuri, mziki mzuri, wimbo mzuri, mlipebdeza Sana, Mungu aendelee kuwasimamia ktk huduma yenu.
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Utukufu kwa Mungu
@MinisterOberise5 күн бұрын
Humu ndani kuna mtu anaitwa Isaac kazi ya mikono yake ni Mungu mwenyew kaipaka mafuta uyo jamaaa Issac nasikia kinanda chako kaka Mungu azidi kufungua milango ufanye kazi kubwa na kubwa 🔥🔥🔥🔥
@leopoldwilliam21283 күн бұрын
Nyimbo nzuri sana.
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amina, Ubarikiwe sana
@samuelimshiu64303 күн бұрын
Symon on bezzz 🔥
@aicdaressalaamchoir4 күн бұрын
Mbarikiwe Sana kwa kazi njema..
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Utukufu kwa Mungu
@ananiaj.ndondole36644 күн бұрын
Hongereni sana Vijana wa AICT Magomeni. Kristo Yesu awatunze kwa huduma yenu njema.
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amina, Sifa na Utukufu kwa Mungu
@LucasSingili4 күн бұрын
Watu wapate kumwamini Yesu Kristo na kuokolewa toka dhambini.
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen 🙏, hili ndio lengo kuu
@odesanthonykakuze59834 күн бұрын
Aiseeh HAKIKA mbarikiwe Sana kwa Kazi nzuri, Mungu azidi kuwatumia katika viwango vya Juu zaidi.🫡🫡🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏♥️💯
@mwitafrancis68045 күн бұрын
Hakika utukufu wa Mungu unaonekana kwenye huu wimbo, ni ujumbe mzito sana
@winfredpeter62752 күн бұрын
Mungu azidi kutukuzwa na kuinuliwa zaidi kupitia wimbo huu
@peterenos26274 күн бұрын
Kazi nzuri. Mungu awainue zaidi!
@scolapeter-p4u5 сағат бұрын
Hongereni ❤❤
@gideongerald28464 күн бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
@fulgencemsaie62255 күн бұрын
Kazi imetulia sana
@toneidapatrick37274 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
🎉
@Davidmvutie-n9k5 күн бұрын
Hatari sana hii nyimbo mungu awabariki sana
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Glory to God
@leonardihangwe23834 күн бұрын
Much love from Ngudu Kwimba Mwanza.... 🔥🔥🔥🔥 Mmeuaaa
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, endelea kubarikiwa na wimbo huu
@jacksonalphonce2384 күн бұрын
Ndugu viwango vywa juu kabisa🙏
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Utukufu kwa Mungu
@royale_wineКүн бұрын
My choir, nimependa
@Pendo14365 күн бұрын
Viwango hata viwango mzidi kuinuliwa ❤❤
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Levels 🔥
@NeyWilliam4 күн бұрын
Mungu awabariki Kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉
@esthernginila30855 күн бұрын
Good job guys. Mungu asiwapungukie vijana. Mtumikieni Mungu kwa bidiii mkingali mna nguvu. Hongera sana
@sabinasimon85195 күн бұрын
🔥🔥🔥🎷🎻🎤🎹🎺🎸
@rubenpeter-k6x4 күн бұрын
Nikipewa nafasi ya kusems basi navunja ukimya kwa drummer na Lead congrats
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Wametendea haki 🔥
@2mgivechalz3 күн бұрын
Waooohh🎉❤you did it ministers
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen Glory to God
@paultimotheo52004 күн бұрын
Godwin drummer Hujawahi kuniangushaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@naomizebedayo65835 күн бұрын
Kazi safi mavazi safi uimbaji safi Mungu awatunze sana
@lasa45084 күн бұрын
💥🔥🔥🔥🔥
@Yohanezebbed5 күн бұрын
Good work God bless our team
@MaryKidai-v9l5 күн бұрын
Mbalikiweee sana watumishii
@gambadavid36493 күн бұрын
God bless you... it's fantastic!
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Glory to God
@EliasMohere5 күн бұрын
Good job. Kazi nzuri sanaa Mungu awabariki na muendelee na kubarikiwa sana
@BethtobbyAngelic-xp8bc4 күн бұрын
Congratulations guyz keep the fire burning 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nuhujuma22694 күн бұрын
Good job
@RebecaAloyce4 күн бұрын
Hongelen sana hakika nymbo ni nzuri sana mungu aendelee kuwainua nakuwaongezea neema katka uimbaj wenu
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Utukufu kwa Mungu
@EdnaLukinda4 күн бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuriii
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, endelea kubarikiwa na wimbo huu
@EsterJohn-n7o5 күн бұрын
Kazi nzuli
@IreneFeruzi4 күн бұрын
Mmebarikiwa mno
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen 🙏 Ubarikiwe pia
@KhadijaRashidi-q9r5 күн бұрын
Safi kazi nzur sanaa
@monicasikale31155 күн бұрын
Mungu awainue viwango vya Juu.
@MayungaCharles-hm964 күн бұрын
❤💥💥 🎉
@SeniorPastorMwalusamba5 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amen, Utukufu kwa Mungu
@kondelalukuba38965 күн бұрын
Nilikuwa nausubiri kwa hamu Mungu azidi kuwatumia
@MorrisDavidDavidMorris5 күн бұрын
Grorly to God
@KelvinLukoo5 күн бұрын
Hongereni sana Mungu awabariki mnoo ujumbe mzuri , ila sorry next time Drumer asitafune tafune (Big G) maana hii ni Ibada anatoka katika uhalisi wa ibada. Mungu azidi kuwatumia zaidi nimebarikiwa na wimbo
@sabinasimon85194 күн бұрын
Amen
@EdsanChanguzi3 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Lucasjoseph13 күн бұрын
Ukiona hivyo ujue mwenzako alikuwa kupiga ngoma ila siyo kufanya Ibada😂😂
@Lucasjoseph13 күн бұрын
Au wa kukodi huyu😂😂😂😂
@christopheranthony42185 күн бұрын
Ipo vzr big up saan MVC
@japhetheri12345 күн бұрын
Nice
@JacquelineJohn-f3b4 күн бұрын
Kwa kweli Mungu awainue Sana
@gwakisaanthony80334 күн бұрын
Hakika Nice presentation . Message delivery on time kwa Mataifa . Mwenye enzi Mungu azidi kuwabariki
@ElishaSama5 күн бұрын
Barikiwa sanaaaa
@idarayavijanamagomeni34823 күн бұрын
Good job, Mungu azidi kutukuzwa!!
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Utukufu kwa Mungu
@elishazebedayo-f8s5 күн бұрын
Mbarikiwe sana Mvc live recording ya kiwango kabisa
@godfreypeter84505 күн бұрын
Wonderful🔥
@estercharles73395 күн бұрын
Kazi nzuri 🔥🔥🔥🙌🙌🙌, utukufu apewe Yesu
@EmanuelMafuja4 сағат бұрын
❤❤
@mwitafrancis68045 күн бұрын
🔥🔥🔥
@sigallalwiddy53465 күн бұрын
Hongereni sana kazi zuri
@MasenzaBoniphace5 күн бұрын
Hakika MUNGU nimwema sana
@yusuphdeogratius10363 күн бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@aictmagomenivijanachoir7682 күн бұрын
Amina, Utukufu kwa Mungu
@JaphetBusanji5 күн бұрын
Nimekubal Kaz mbarikiweee sana By BUSANJI TV MUNGU KWANZA
@MasenzaBoniphace5 күн бұрын
Wimbo mzuli
@joycelubinza45385 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@rachelgeorge-rh8dr5 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@abelnzoka5 күн бұрын
Waooh…Very nice🔥
@GiftGift-v4b5 күн бұрын
❤
@sarahcharless3295 күн бұрын
❤🔥🔥
@allsoulsforjesuschrist5731Күн бұрын
This be the simple understanding of that scripture, I boast in the Holy Spirit alone Who gives revelation for He is the Author of the scriptures. The Son of God Son of Man companionship is the Whole scriptures of Truth but I'll share it with simplicity for edification for these works spoken by our Lord Jesus Christ in the days of His Flesh is not what many think "signs and wonders" and this is why many be in dead works, but He speaks of LOVE for these are the Greater works and this is the Gospel even as to why Paul did speak of it deeply ref 1 Cor 13 that the greatest of these is LOVE. The Son of Man was of lesser stature than the Son of God Who still is the Father, and so according to the stature Language, the Son of Man loved the Father, preached the Gospel to the poor, was made perfect through sufferings thus Glorified declared to be the Son of God is the Greater Works which still is Love for it's the stature language for the lesser (Son of Man) was Glorified by the Better (Son of God Who still is the Father) and so the Greater Works is LOVE. Simple. It's to all saints as He in scriptures address His Disciples and this is why in the context He spake of the Glorification. Faith works by Love, Faith without works (Love) is dead which means it's not of God for we Judge by doctrine, just one Language spoken by James in deep Holy Poetry, thus the Simplicity is LOVE. It's that simple. May many just be taught by the Holy Spirit for His Words are only understood By His Disciples for we judge by doctrine.
@thegoldendeer47364 сағат бұрын
Mpiga drum very unprofessional anakulaje bublish kwenye live recording