Joel hii leo imenigusa sana kweli nimejitambua kwenye kampuni niko sehemu gani.
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Ahsante mkuu kwa Elimu hii uendelee kubalikiwa, umejifunguwa ktk video hii na kujijuwa m nipo nafasi gani.
@TSGENTERPRISES Жыл бұрын
Wapo sana
@christinamushi22733 жыл бұрын
Mimi nimejijua no stars kwenye kampuni Cz nilianzaaa kidogo mwishonii nikafanywa Kuwa meneja nashukuru mungu kwa yote hila nakushukuru wewe kaka Joel nilifuatilia video zako jinsi ya kuwa mfanyakaz bora kuwa watofauti kudili na mabosi now nimefanikiwa pakubwaaa sanaa
@venturebown69833 жыл бұрын
I get it.. Big up bro
@nevagasmsamba50603 жыл бұрын
ni kweli kabisa mr. Joel
@ChangchunRealstateDragon3 жыл бұрын
Asante my broo
@samwelalex84173 жыл бұрын
Nmeipenda,kiongoz
@ahz69073 жыл бұрын
STARS
@salimramadhani52373 жыл бұрын
Not yet gone na bado anachelewa..Ni mzigo katika taasisi hahah nimeipenda hyo
@kayombog16943 жыл бұрын
Shule kuntu! Thank u!
@nkayambaplus20073 жыл бұрын
mm ni student
@sadikisichilya54913 жыл бұрын
Hakika umekua msaada mkubwa kwangu , mungu akubariki mm nipo katika kund la students
@ElimwemaPetro2 ай бұрын
Hiii my fellow stars
@blaisenkanira53003 жыл бұрын
ni vipi ku deal na Land miners?
@charzysimion90553 жыл бұрын
land mines nitabadilika bro 🙏🙏🙏
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
nikitu kizuri
@wazarendotv79663 жыл бұрын
Hiyo background sometime inaondoa concentration ya kusikiliza
@criticalhussle3 жыл бұрын
Joel kuna video inayohusu Vitu 7 ambavyo inatakiwa uvijue kuhusu kusudi lako ...inahishia vitu 4 ..plz nisaidie nivijue hiv vitu 3 vilivyobaki asseh its conscious video bro #Thankss