No video

Mambo Sita (6) Ya Kuepuka Unapokua Katika Eneo Lako La Kazi

  Рет қаралды 70,089

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 178
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Ila ndugu yangu kwa ELIMU unayotoa, natamani siku moja nikuone. Ila pia Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwako na kwa jamii ya KITANZANIA na DUNIANI. AAAMIIIN
@MaaneML
@MaaneML 5 жыл бұрын
Great Joel. Natamani uweze kufikia watanzania wote na ikiwezekana mada zako zianze kufundishwa toka shule ya msingi mpaka huko vyuoni kabisa. Makala zako zingebadilisha utashi wa watanzania completely na uchumi wa nchi ungebadilika.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Nashukuru sana Anna kwa maoni haya naamini siku moja tutamfikia kila mtanzania.Kwa sasa tusaidiane kushare kila mtu aweze kujifunza
@moseskapola552
@moseskapola552 Жыл бұрын
Asante saanaa Mungu akubariki nimejifunza ninayomengi kama watatu kati ya sita uliyosema
@salehalisaleh7685
@salehalisaleh7685 5 жыл бұрын
Daaah! umbea umezidi ktk ofisi nyingi na hii imeleta migogoro mingi miongoni mwa wafanyakazi na boss wao,big up umeongea point sana,Allah bless u
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Kabisa,naamini kila mtu akiwa bize na kazi yake ufanisi utaongezeka
@josephatnicodemus
@josephatnicodemus Жыл бұрын
Asante Mwalimu kwa mafundisho, nikweli hayo yote uliyotufundisha yapo na ninayashuhudia mwenyew mda huu.
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Asante kaka Ni vizuri kufatiliy mambo kama haya....hata hata kama hatujaanza tumik bado
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
Great job. TunaMshukuru Mungu Kwa ajili yako
@elisantemrerimmwiri3158
@elisantemrerimmwiri3158 5 жыл бұрын
Thanks much Mr. Joel Nanauka. Your make me think twice before doing anything.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks pamoja sana tuendelee kujifunza
@brhchannel6618
@brhchannel6618 5 жыл бұрын
Thanks Much brother Joel Nanauka.
@wisemikel3648
@wisemikel3648 5 жыл бұрын
NAKUPENDA sana Joel,nakuelewa mno,sanaaa MUNGU akupe maisha marefu sana
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
wise mikel nashukuru sana ,Ahsante sanaaa
@HalloJoe
@HalloJoe 5 жыл бұрын
Nafikiri kuna haja ya haya Madini yangekua katika mfumo wetu wa Elimu Africa ingetusaidia mno vijana wa leo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Nashukuru kwa kukuona Hilo naamini kuna siku yatajumlishwa,tuendelee kusambaza kwa wengi zaidi
@alphamwipopo5725
@alphamwipopo5725 5 жыл бұрын
Joel Nanauka wewe ni genius bro nKupongeza kwa kazi nzuri saana lakini nami pia natamani sana kuwa motivational speaker kama wewe nifanyaje?
@fatmarashidi8353
@fatmarashidi8353 5 жыл бұрын
Asant somo zur nakuelewa sana
@andreyfesto4900
@andreyfesto4900 5 жыл бұрын
Thanks so much bro for ur lessons, , , keep movng
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Shukran sana
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 жыл бұрын
Ahsante brother nimekupata sana tu, tunaomba uongelee na wahasibu ambao ni ma- careless anatoka nje kuongea na simu wakati mlango na droo yake yenye hela ameacha wazi na office ina wafanyakazi wengi akipata shoti ni kelele ya matusi bila kujua ni nani anahusika.
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Thankx Sir,,, This is Strong Nondo to move in next level.....👏👏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Pamoja sana mrope
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 жыл бұрын
thanks a lot brother,!!,,you are exactly correct for those things,.!,very sensitive lesson,.!,..
@achiamwenda8788
@achiamwenda8788 Жыл бұрын
ASANTE mwl nimejifunza jambo kubwa sana
@emmanuellaizer4548
@emmanuellaizer4548 5 жыл бұрын
shukrani sana, kiukweli namba 6 inanihusu hivyo nahitajika kubadilika;;;;~
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Hongera kwa kijigundua Anza kufanyia kazi leo
@mbelyterry1584
@mbelyterry1584 5 жыл бұрын
Joel mimi nimtu wa kwanza kukusikiya Na kukukubali ila unapo kaha kimwa kidogo tu nakuwa tuna kukumbuka usiwi unakaha kimwa kiasi hicho kaka unakuwa unatuhumiza sisi wengine ambaho tunaanza kufanikiwa kutokana Na mawazo yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 💰👉🏿
@judithwambura9234
@judithwambura9234 5 жыл бұрын
Many thanks nimejifunza
@rev.prosperchao
@rev.prosperchao Жыл бұрын
Barikiwa Kwa kazi njema ufanyayo.
@josephchristopher1887
@josephchristopher1887 2 жыл бұрын
Najifunza mengi kupitia video zako nachukua hatua pia Changamoto bado zipo lakni tutafika see u at the top
@peninaancon1256
@peninaancon1256 5 жыл бұрын
Umenibadilisha Bro.. Fundisho Safi, keep it up!!
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 5 жыл бұрын
Asante sana kk Joel mi no sita inanihusu
@berthakafuko9849
@berthakafuko9849 5 жыл бұрын
Kwa nashukuru sana Mimi lipo tatizo,kuchelewa kufika kaxini.nikiwaizaid na nikichelewa nachelewa zaid
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 5 жыл бұрын
allah akuzidishie ndùģ
@alphamelodytz2356
@alphamelodytz2356 Жыл бұрын
Thanks you for your lesson my brother,godbless you
@glorydavid387
@glorydavid387 5 жыл бұрын
Asante brother Joel
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 5 жыл бұрын
Yeah ni ukweli kabisa asante kwa haya mafundisho ni mazuri
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Nashukuru sana karibu sana tuendelee kujifunza
@joycebudotto9831
@joycebudotto9831 4 жыл бұрын
Asante sana kaka ,nimepata tiba ndani yangu.
@grandsonnyamwelo3632
@grandsonnyamwelo3632 5 жыл бұрын
Iseee mm nikati ya wafuatiliaji wazuri wawmafundisho yako,ila nilikuwepo na ombi tofauti na your tube hakuna njia nyingine unayoweza pata mafundisho.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
grandson nyamwelo karibu sana,unaweza kununua vitabu vyangu pia.
@josephisrael508
@josephisrael508 2 жыл бұрын
Thnx bro kw darasa zur
@davidmbilinyi3314
@davidmbilinyi3314 5 жыл бұрын
Nimejifunza kitu muhimu sana
@almahafudhiabdul9082
@almahafudhiabdul9082 Жыл бұрын
Excellent
@sheddyclevertz2738
@sheddyclevertz2738 Жыл бұрын
Daah hapa kwenye uchelewaju bro nimejifunza
@elizabethleonard2429
@elizabethleonard2429 2 жыл бұрын
Nimependa sana ubarikiwe ndugu na Mungu
@eliamkamba6899
@eliamkamba6899 5 жыл бұрын
Nzuriii sana hiyo kiongozi umenena vema
@mohammedrashid7990
@mohammedrashid7990 5 жыл бұрын
Kaka. Kweli nimekutana nayo iyo kitu. Asante sana
@jumasaid1206
@jumasaid1206 5 жыл бұрын
Daa!! Mi sina chakusema Joel,ila tu nikupe hongera sana,UNATISHAAA!!!
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 5 жыл бұрын
Nimejifunza.Ahsante sana na ntafanyia kazi penye udhaifu.SEE U AT THE TOP!
@faidasonmdimi2992
@faidasonmdimi2992 5 жыл бұрын
Ahsantee nimekusoma sir
@godlistenmbuya6265
@godlistenmbuya6265 5 жыл бұрын
Saluute👌
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 5 жыл бұрын
then you very much, Tz we will move for sure
@kaisikimajid9529
@kaisikimajid9529 5 жыл бұрын
Nakufatilia sana, nataka kubadilika kupitia Inspiration zako.
@kitegwelucas1562
@kitegwelucas1562 5 жыл бұрын
Dah! nimekuelewa sana kiongozi maana point nzuri sana hasa namba 2
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Жыл бұрын
Thank you
@kapembwamulenga9052
@kapembwamulenga9052 5 жыл бұрын
Ahsante brother Joel me fundi cherehan tatizo langu kuchelewesha nguo nisaidie nifanye nini
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Panga Muda wako vizuri,usichukue zaidi ya unavyoweza kufanya na jizoeze kumwambia mteja ukweli-Kama nguo unajua kabisa itachukua wiki mbili kumalizika usidanganye na kusema itamalizika siku 5...itakusaidia.Watu wengi ni bora uwambie nitachelewa na wawe radhi kuliko kuwaambia itawahi huku unajua kabisa utaichelewesha
@kapembwamulenga9052
@kapembwamulenga9052 5 жыл бұрын
Joel Nanauka nashukuru kwa ushauri brother Joel! thanks Naanza sasa hivi kuufanyia Kazi!!!
@mercyadam9803
@mercyadam9803 5 жыл бұрын
No 1 hapo nahitaji kupona kabisa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Yaani Anza kulifanyia kazi leoleo
@linardamuindi6856
@linardamuindi6856 3 жыл бұрын
Thank you Jw genius of all the time.
@josedorothea7939
@josedorothea7939 5 жыл бұрын
Wambea na kufanya vitu ontime vinanisumbua sana
@marianuswilla4814
@marianuswilla4814 5 жыл бұрын
Really, I hv benefited from this video
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
Asante kaka kwaushauri mzuri Nakupenda 💙💙💙
@tysonjohn4972
@tysonjohn4972 2 жыл бұрын
Daaa kaka nashukurusana kwa somo hivi vitu vilikua vinanitesa sana
@bernapaul1388
@bernapaul1388 Жыл бұрын
Duuuhhh siamini kabisa !!!
@emedibyaombe5849
@emedibyaombe5849 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu
@stainamwannda3700
@stainamwannda3700 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@aronrwebembera3306
@aronrwebembera3306 5 жыл бұрын
Kuchelewa kazini mm jamn naomba unisaidie mbinu za kuacha kaka joel
@rennyjohnbosco5674
@rennyjohnbosco5674 5 жыл бұрын
Asante Mim Yote yananihusu mim Asante umenikumbushaa
@deusmjinja5883
@deusmjinja5883 5 жыл бұрын
Asanteh sana kaka Mungu akupe akili na ubunifu zaidi
@joyponera8036
@joyponera8036 4 жыл бұрын
Kazi nzuri ya kutufundisha
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Mim best yangu ni kiherere balaa na anafanya kitu hata bila kuagizwa na anafanya kinguvu kumbe hawez matokeo yake anadhaarauliwa kazini na mabossi. Sante Joel
@christinakaria2679
@christinakaria2679 5 жыл бұрын
Maryam Maram mmmh wapo hao
@christinakaria2679
@christinakaria2679 5 жыл бұрын
Maryam Maram ila kuna wale ambao anaagizwa na mabosi wake afanye atakavyo Fanya watu wakiona majungu yanaanza hawaulizi imekuaje kufanya hiyo kazi matokeo yake wanaanza majungu na kukutangazia kuwa anajipendekeza na kiherehere na na kuanza kukuchukia na kutaka ile vkazi waifanye wao wakati wao hizo kazi zao wanazishndwa wanaosema hivyo kazi yao wako mtandaoni na wengingie kufija saa 3 hadi saa 4 hivyo nimekuwa wakati mwingine nashidwa hata kuwaelewa in watu wa namna gani nisaidie nifanye nn kuwafanya wasiendelee kuniharibia kazi yang. Please Mr. Joel naomba msaada.
@nestorywoisso6061
@nestorywoisso6061 5 жыл бұрын
asant kaka mwambie ajifunze kupitia kaka joel nanauka
@geraldmassawe3955
@geraldmassawe3955 5 жыл бұрын
Wemasepetu
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@christinakaria2679 daa pole sana Tina nilikuwa sijaisoma comment yako
@gabrielpweleza3852
@gabrielpweleza3852 Жыл бұрын
shukrani sana
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Kuna jamaa ninaye ofisini, Yaani anajua Everything japo nimemzidi ujuzi na ofisi imekuwa kama ya Mama yake mzazi na kila kitu anadai ni chake ofisini kiasi kwamba Hata akikuta nimesogeza kiti ninachotumia anahoji 😊 basi nimebaki nainjoy Vioja vyake tu sasa sijui anawehuka au uzee unamuingia vibaya.
@lubungakakozi2959
@lubungakakozi2959 5 жыл бұрын
Hongera. Kazi nzuri
@abdornephotidas3848
@abdornephotidas3848 5 жыл бұрын
Bro ahsante kwa somo
@mariamisuja6256
@mariamisuja6256 5 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu.
@gozibertdeogratias5986
@gozibertdeogratias5986 3 жыл бұрын
Very good bro, thanks
@abelyedson6483
@abelyedson6483 5 жыл бұрын
OK be blessed kaka
@winfridapatrick9865
@winfridapatrick9865 5 жыл бұрын
So powerful, thank you Joel
@jamesjilala337
@jamesjilala337 3 жыл бұрын
Umenena kweli brother mungu akubariki sana
@ellizabethndumburu8306
@ellizabethndumburu8306 2 жыл бұрын
Umenifungua ufaham,Mungu akutunze kaka Joel
@barakamwangama3453
@barakamwangama3453 5 жыл бұрын
Br Mimi kuchelewa ila nikifika nachapa kz wengine wanawahi ila wavivu
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
Kwanini uchelewe?😂
@endirickantony3896
@endirickantony3896 5 ай бұрын
Uko sahihi kaka kwamafundisho yako
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
Asanteee
@mwangazajoyce2287
@mwangazajoyce2287 3 жыл бұрын
Thank you very much brother
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Ahsante kaka
@stanslausmhema1482
@stanslausmhema1482 5 жыл бұрын
Daaah very nice jamani Mi sita kwakweli sipendi kama nini
@bukuruphilibert8658
@bukuruphilibert8658 2 жыл бұрын
Nataman uwe mwl wa kiroho uhubiri jumbe hiz makanisan na mikutano mbal mbali hata semina za kijamii maarifa haya yangeleta tija kwa nchi yetu
@subiramahmoud6863
@subiramahmoud6863 Жыл бұрын
Brother Nanauka, MUNGU akubariki Sana 🙏🏾
@lilytotos4087
@lilytotos4087 5 жыл бұрын
Umesomeka kaka mkubwa
@shimbamabeshi9854
@shimbamabeshi9854 5 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel nakuelewa sana boss
@gwamakamalema2696
@gwamakamalema2696 3 жыл бұрын
Nimejifunza kaka asante sana
@schoolofsuccess666
@schoolofsuccess666 2 жыл бұрын
Wooooh
@samwelpeter1384
@samwelpeter1384 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel
@kiballakstakintu4494
@kiballakstakintu4494 5 жыл бұрын
ahsante
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Upo vzr sana.
@williamkimario
@williamkimario Жыл бұрын
ASANTE sana
@bonfacemasharia5843
@bonfacemasharia5843 5 жыл бұрын
Amazing Joel.big up sana
@user-lt7dv9ei4l
@user-lt7dv9ei4l 5 ай бұрын
Naomba injue napataje vitabu viako
@kins8045
@kins8045 5 жыл бұрын
You have never disappoint me! Thumbs up
@abdallahsuleiman3550
@abdallahsuleiman3550 5 жыл бұрын
Tumejifunza kaka
@ramamsuya90
@ramamsuya90 4 жыл бұрын
Nakupenda bro
@Drivcub
@Drivcub 5 жыл бұрын
Nengipenda kuku jua
@felicianchuwa6732
@felicianchuwa6732 5 жыл бұрын
Asante Sana kaka nimejifudha sitachelewa tena kwa office
@mwangazajoyce2287
@mwangazajoyce2287 3 жыл бұрын
Ukweli kbs
@atuenemsalilwa2548
@atuenemsalilwa2548 Жыл бұрын
uchelewaji
@samwelmacha7864
@samwelmacha7864 5 жыл бұрын
safi sana kaka
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 5 жыл бұрын
mimi kwenye swala la muda Siko vzr ila nabadilika.
@tedymadeha2381
@tedymadeha2381 Жыл бұрын
Mmi natalajia kuanza kazi ya kuwaongoza wenzangu kazn lakn sijawahi kuongoza wala kusimamia
@moses_oscar
@moses_oscar 5 жыл бұрын
Relationships
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Aina 6 Za Boss Wakorofi Na Jinsi Ya Kuwakabili
14:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,9 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
LIFE WISDOM : AINA 6 ZA UTAJIRI - JOEL NANAUKA
18:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 13 М.
BIASHARA YA UWAKALA wa pesa/ Mbinu za Siri katika biashara hii
9:57
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
LIFE WISDOM : FANYA MABADILIKO HAYA UFANIKIWE - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
Hatua Tano (5) Za Mahusiano
7:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 47 М.
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.