Tunashukuru kwa hapo❤,, ingawa sauti mwisho mwisho hakuna kabisa kabisa.
@EsterSwilah-jv6ns14 күн бұрын
Hongereni watumishi WOTE mliotembelewa na baba na mama ameeen
@EvaristoRemsi14 күн бұрын
🎉Amen
@alunekyusa490514 күн бұрын
Amen kubwa
@barakahhawu232412 күн бұрын
AMEN AMEN
@ashelikilele16714 күн бұрын
Ametusaidia sana mzewetu
@RehemaMtono13 күн бұрын
Nikweli kabisa haya mavikundi niyahovyo tu eti kufa nakuzikana yaani unatoa hela ili mwenzio akifa azikwe vizuri wakati aliishi maisha magumu hata kakibanda alikuwa hana