Alichokisema Tundu Lissu baada ya CCM kumchangia Sh5.3 milioni

  Рет қаралды 124,439

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameendesha harambee ya kumchangia Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu ili aweze kutengeneza gari lake analolitumia kwenye shughuli zake.
Harambee hiyo imefanyika leo Alhamisi, Agosti 14, 2024, Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza kwenye mkutano wa hadhara ambapo Sh5.3 milioni zimepatikana.
Makalla ameendesha harambee hiyo kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi kwa kile alichoeleza ni kuguswa na hali ngumu anayopitia kiongozi huyo wa Chadema.
Amesema amesikitishwa na taarifa iliyotolewa na kada wa zamani wa Chadema, Mchungaji Peter Msigwa kwamba wakati kiongozi wake akipaa na chopa angani na msafara wa magari 15, Lissu amekuwa akitumia gari moja bovu na walinzi wake licha ya hali aliyonayo.
"Nimesikitishwa sana na Lissu kuendeshwa kwenye gari bovu. Nimesikitishwa sana, naomba tumchangie, mwenye kuchangia chochote alete hapa.”
"Lissu ni ndugu yangu, natoka naye Singida, yoyote aliyeguswa amchangie Lissu gari lake likatengenezwe. 4R za mama zifanye kazi yake," amesema Makalla huku baadhi ya makada wa chama hicho akiwemo Katibu Mkuu wakichangia.
Baada ya harambee hiyo iliyoendeshwa kwa dakika 15, zilipatikana Sh5.3 milioni ambazo zitakabidhiwa kwa Lissu ili zimsaidie kutengeneza gari lake analolitumia kwenye ziara mbalimbali za kichama.
Makalla amesema fedha hizo zitawekwa kwenye akaunti ya Lissu moja kwa moja na risiti ya muamala huo atapatiwa muhusika kama ushahidi wa mchango huo wa wanaCCM.
Alipotafutwa kuzungumzia kitendo hicho kilichofanywa na CCM, Lissu amewashukuru CCM kwa mchango na kwamba atazipokea fedha hizo kama ambayo amekuwa akipokea kutoka kwa makundi tofauti ya watu.
"Nawashukuru, kama nilivyosema...hatukusema tunachangiwa na wanaChadema peke yao, kama nilivyotibiwa, sikutibiwa na wanaChadema peke yao. Kwa hiyo, wakichangia nitazipokea, sina sababu ya kukataa," amesema Lissu.

Пікірлер: 551
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 26 күн бұрын
Mmh mwaka huu mtasema,Magufuli hayupo
@NicodemBarantanda-ud7qy
@NicodemBarantanda-ud7qy 26 күн бұрын
Aibu kwa ccm mnayofanya ila nimewapongeza kwa kuwa mmetabili raisi ajaye imekaa vizuri Sana mtaongeza kufanya hayo akiwa anaelekea Ikulu mtenda haki pamoja na kwamba wanaoendelea kumdhalilisha bila 7bu, Lakini ndivyo ukweli unavyokwenda kutumia maana hata Yesu akiwa amebeba hatima ya Dunia alidhalilishwa kiasi Cha kutemewa mate ndiyo maana tupo hapa leo.Tanzania MUNGU anakwenda kutupatia kiongozi wa kutoka kwake ikiwa mifumo ya kuwapata VIONGOZI haitaingiliwa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 25 күн бұрын
Nani anaelekea ikulu?
@EliasPaul-qs2ib
@EliasPaul-qs2ib 24 күн бұрын
Unaota wew
@edwinamos9734
@edwinamos9734 24 күн бұрын
😊😊😊
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige 26 күн бұрын
Iyo kejeli
@user-yk6rd9xe2z
@user-yk6rd9xe2z 26 күн бұрын
Tundulisu chukuwa hiyo hela
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w 25 күн бұрын
Lisu, Ana busara''' sana'
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp 26 күн бұрын
Mchango mtego huo, mchango wenye masimango kiasi hicho hapana. Mnamchangia lisu alafu mnaponda lissu.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 25 күн бұрын
Chama chako ndiyo kilisababisha hayo yote. Ni aibu kuona bado naishi
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 26 күн бұрын
Mi namkubali lisu apokee hiiyo hela kunawatu wapo ccm lakini wanampendalisu Kwa moyo kabisa
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 26 күн бұрын
Uwakika
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 26 күн бұрын
Sanaaaa tu huyo ni mwanadamu kuna maisha baada ya Uchaguzi nq Siasa binadamu inapaswa mpendane duniani tunapita tu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 26 күн бұрын
Hiyo ni njia moja wapo ya kumdhalirisha kwani yeye peke yake ndio ameumizwa?
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 26 күн бұрын
@@husseinmkanga7794 hela ichukuliwe gari ikatengenezwe mengine ya siasa yataendelea
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 26 күн бұрын
Ni ya kutoka moyoni hii enyi CCM...au unafiki fulani na kumdhalilisha mtu...pamoja na changamoto zake alizonazo za afya yake? Kwani utaratibu wa Mbowe Mbowe kutumia chopa hauna maelezo na sababu zake? Kwani usafiri anaotumia mwenyekiti wenu CCM ndo unaotumiwa na kila mtu huko? Maridhiano makubwa na upendano wa kweli ingekuwa ni kuacha kutekana, kufunguliana kesi za uongo, kutesana kwa vipigo vya polisi visivyo na sababu, kushirikiana kwa pamoja kujenga mustakabali mwema wa kuendesha nchi kwa kuwa na katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mihimili imara ya kitaasisi ya kuhakikisha kuna utawala bora...kujenga nchi yenye kufuata HAKI! Haya ya kuchangiana, kusaidiana yataoneka mema zaidi katika mazingira ambapo kila mmoja hamtilii mashaka meingine. Yataonekana ni utani wa kweli na si utani wa kushushiana heshima au kumzodoa mtu. Simba a Yanga hutaniana sana na washabiki wa kweli hununuliana hata vinywaji huku wakitaniana. Lakini wapo katika ushindani wa mpira ambao husimamiwa vizuri na kwa haki na waamuzi...japo kasoro zaweza kuwepo za kibinadamu kwa marefa.
@martinigabriel702
@martinigabriel702 4 күн бұрын
Wee msigwa mnafiki sana
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 26 күн бұрын
Nafikiri mmeona ndani ya ccm Lisu anashangiliwa. Msigwa kawaponza indirectly ndani ya ccm wafuasi kibao wamfuata Lisu, maana ilipo mali yako ndipo roho yako ipo.
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 25 күн бұрын
Mama mungu atakulipa Tundu lisu anamchango mkubwa sana ktk nchi yetu ingependeza kama Utojali Mpe gali jipya mungu mungu akulinde sana mama
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 26 күн бұрын
Lisu ukipokea tunakulaani wananchi Haki na batili havikai pamoja
@willymwasakyeni4393
@willymwasakyeni4393 26 күн бұрын
Heee we vip unamlaani kama nani we MUNGU au
@saddychavala2052
@saddychavala2052 26 күн бұрын
Hivi shetani akisema Bwana asifiwe utaitikia Amina au utamkemea
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 22 сағат бұрын
Anaanzaje Mimi nasemaga wachungaji ole wenu😢😢😢
@sabrinafadhil8835
@sabrinafadhil8835 26 күн бұрын
Aina maana
@remtulanassary
@remtulanassary 26 күн бұрын
Kwan nnani alienpiga RISASIIII??
@clementmgongolwa8316
@clementmgongolwa8316 26 күн бұрын
Hilo gari mbona mliharibu ninyi wenyewe
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 26 күн бұрын
msigwa ana fanya kazi nzuri sana
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 26 күн бұрын
Kazi Gani nzuri mnafiki tu huyo
@monicamwita7865
@monicamwita7865 25 күн бұрын
Si kweli
@reginas1832
@reginas1832 26 күн бұрын
Mheshimiwa Lissu usipokee hiyo fedha
@goodluckkombe994
@goodluckkombe994 26 күн бұрын
Imewekwa ktika account yake ...
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 26 күн бұрын
Lisu nikushauli hiyo hera chukua umechangiwa na watu wanaokupenda ndani ya CCM na nje ya CCM saaafi
@MWAMPAMBA
@MWAMPAMBA 26 күн бұрын
Baba siyo Njia ya kumuvuta ccm
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 26 күн бұрын
Acheni figisu ccm
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 26 күн бұрын
chadema wana taget nzuri tulia mwanangu ccm lazima tuiangushe
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 26 күн бұрын
Ni mtego alafuwametia kashfa​@@MWAMPAMBA
@Pascaltz
@Pascaltz 26 күн бұрын
Hili shoga nn
@mohamedkwiga6870
@mohamedkwiga6870 26 күн бұрын
Dahhh' Msigwaaa siasa ubao
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 26 күн бұрын
Acheni Mabwege kujipendekeza kwa mh.LISSU
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 26 күн бұрын
Bwege wewe usiyejua Siasa kafie mbele
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 26 күн бұрын
Cccm nashauri. Mchangieni apate urais .Kura zote ,2025 ushindiuwe Kwa lissu😂
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 26 күн бұрын
Wanafiki hao lisu .ujuwe Wana taka kututoa Kwenye reli tusahau ya mbeya.
@Mumewangu
@Mumewangu 25 күн бұрын
Mtajuwa hamjui
@jeffhard5773
@jeffhard5773 22 күн бұрын
​@@Mumewangunaam nipo hapa mumeo
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 25 күн бұрын
Mungu akubariki sana list kwakukubali mchango
@hapaupdates9277
@hapaupdates9277 24 күн бұрын
LISU ATAKUWA RAISI TANZANIA 2035
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 25 күн бұрын
Iyo pesa nipeni mimi ntampelekea lisu
@SalomeFrens
@SalomeFrens 5 күн бұрын
Wangemsaidia kuwakamata waliompiga risasingekuwa wema zaidi
@rastheunique
@rastheunique 26 күн бұрын
Mbona mi sielewi hii scene
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 26 күн бұрын
Hongera sana ila msigwa ni jipuuu
@user-bw9rt1cq3e
@user-bw9rt1cq3e 25 күн бұрын
Mmefanya vzr Ila nanyie wabunge mchangieni kuonyeaha kweri mnampenda mbarikiwe sana
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 26 күн бұрын
Msigwa dhambi hii itakugharimu
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 26 күн бұрын
Hapana mana imeandikwa yafaa mtu mmoja afe kwa ajir ya wengi ukouko kwenye wabay kuna wazuri
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 19 күн бұрын
Nyie ndiyo mliharibu gari lake
@getrudematee9899
@getrudematee9899 26 күн бұрын
Wanamtaka
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 26 күн бұрын
Vizur upende sana
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw 26 күн бұрын
Mbona wewe imekonda shida ni nini?
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw 26 күн бұрын
Kisu hiyo pesa ni ya aibu ni matusi
@BeatusNgereza
@BeatusNgereza 25 күн бұрын
Lisu usiache hela ,ila angalia hao wasikurubuni
@eliajimmy95
@eliajimmy95 26 күн бұрын
Mlimpiga risasi, leo mnajifanya mnahuruma, Lissu kuwa makini wachonganishi hawa
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 26 күн бұрын
Hakika
@josephineokama2200
@josephineokama2200 26 күн бұрын
nakuambia hivi washaanza kujitafuna wenyewe ccm ndani kwa ndani we unafikiri kinnana kujiudgulu ni mjinga nape kuwa kando ni mjinga yajayo yanafurahisha
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 25 күн бұрын
Unafungwa macho wanajuana kwakile walichokifa mbea
@mberaemmanuel9091
@mberaemmanuel9091 26 күн бұрын
Good🎉
@SarahEdithchambo
@SarahEdithchambo 26 күн бұрын
Safi sana chama Cha mapinduzi kinalea watu wote mama Yao ni 1 tu
@amaniamani6391
@amaniamani6391 24 күн бұрын
Akipata urais hatowaacha kabisa mlipeni stahiki zake basi
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 26 күн бұрын
Kuna nn hapooo Kwa nn isiwe serikali kuwaj ibika badala ya CCM Hapo lazima kuwepo na Jambo. Changa la macho hilo
@user-uk3eg3uo7s
@user-uk3eg3uo7s 26 күн бұрын
Wanazofisadi ni nyingi kuliko iyo ya sadaka lisu pokea ila kesi ipo palepale Hadi mahakama ya kimataifa.
@georgemwaikusa4451
@georgemwaikusa4451 25 күн бұрын
Waishi na Msigwa kwa tahadhali sana vinginevyo watajuta
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 23 күн бұрын
Game of mind
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 26 күн бұрын
Honourable Lisu don't accept that donation.The blood u lost in that horrible attack is still speaking against your enemies.If u receive the money THE DIVINE VENGEANCE against your enemies won't work out well.The value of your soul is not 5m shs.The act of raising the money through the CCM ALTAR has a spiritual impact against u.Thank u.JESUS IS LORD.
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
True
@elizabethkweji7304
@elizabethkweji7304 26 күн бұрын
Hebu mpe bas hiyo pesa
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 26 күн бұрын
True. First they should answer the jig zaw puzzle around your assassimation attempt conducted against u by CCM. 2ndly they are attempting to buy u. 3rd. On acceptimg that money u will automatically as a human being soften your stand against them to the detriment of the poor masses your fighting for. Lastly u can get that money many more fold from other tevolutionnery sorces. Therefore I kindly advise u to accept the money and then return the money and u will see how u will be annointed by God.
@AnnaMwanakatwe
@AnnaMwanakatwe 26 күн бұрын
Mmekosa Sera watoto wenu wanaona ujinga wenu
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 26 күн бұрын
Lisu usuchukue hizo Fenham zinalaana
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 26 күн бұрын
apana wapo watu wanashida muwache achukue awapelekee watoto yatima ccm aiwajali au wazee wasiojiweza chukuwa laisi wangu Kuna wazee Awana uwezi kawape iyo pesa tuwafundishe uluma kwa wazee na yatima
@MaulidihamisiHamisi
@MaulidihamisiHamisi 26 күн бұрын
Kwahiyo ccm pekeyake ndio ina luksa ya kufanya mikutano
@twahirabasi9765
@twahirabasi9765 26 күн бұрын
Yuda aliponzwa na pesa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 26 күн бұрын
Hatutafuti urafiki kwa kashfa makaka tayari Anatola kashfa ktk huo michango kumsaidia lisu au kujaribu kumaliza kisiasa ila tundundulisu Hilo makini hoja anayo ktk kutafsiri hiyo hoja ya ccm
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 26 күн бұрын
lisu pokea hiyo hela lakini usiache kuwa shuhulikia wale walio kutendea ujinga juzi ili wasizowee kuchanyasa wapinzani
@greysondavid6445
@greysondavid6445 26 күн бұрын
Usipokee unafiki.pesa ya kinafiki
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 26 күн бұрын
Good tundu lisu
@ngusawales2039
@ngusawales2039 26 күн бұрын
Msigwa ndo kaniharibia kuangalia hii chaneli jinga kweli ila makala na nchimbi 👍👍👍👍
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 26 күн бұрын
Msimgwa anaonyesha kumpigia debe lisu kwamba anakubalika
@kirungekirunge5920
@kirungekirunge5920 26 күн бұрын
yaani siasa Tanzania ni ajira safi ya kuishi Kwa kufuatiliwa maisha yakko Kwa uzuri
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 26 күн бұрын
Wewe njaa msigwa subiria kipenga
@JamesZakayo-o2f
@JamesZakayo-o2f 26 күн бұрын
Hii ni kupoteza mada ya wabakaji
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 26 күн бұрын
Hii ni nzuri mno inatakiwa kuigwa wote ni wa Tanzania mmeifundisha jamii ya kitanzania Itikadi zetu zisi tutofautishe Watanzania ❤❤❤❤
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 26 күн бұрын
Baada ya kuwafunga na kuwapiga
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 26 күн бұрын
Wewe msigws tapeli sana tunakujua ukikosa cheo hapo utahama tena
@nyagwisnyagwis9306
@nyagwisnyagwis9306 26 күн бұрын
Msigwa kataja hadi walinz alionao mboe
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 26 күн бұрын
Hii siyo sawa ,nyie mnafanya vikao wao mnawachapa bakora
@NoelyMziray-gi4xv
@NoelyMziray-gi4xv 26 күн бұрын
Nakushauri lisu pesa hiyo usichukue waambie wapeleke kwa mayatima
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 26 күн бұрын
Wazo zuri
@AnnaMwanakatwe
@AnnaMwanakatwe 26 күн бұрын
Jamani zungumzieni kuwanyima haki vijana wa Mbeya
@briankatani6770
@briankatani6770 26 күн бұрын
Hakika siasa bhana,Lisu Lisu Lisu
@viootanzania9080
@viootanzania9080 23 күн бұрын
Ila hizi ni sanaa tena sanaa za wazi wazi hivi ndivyo tunavyocheza na hisia za watanzania
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h 26 күн бұрын
Afrika bado sana
@TumainiMaswanya
@TumainiMaswanya 26 күн бұрын
Mchungaji msingwa mwongo mungu wewe ni mtumishi wa mungu.
@user-nn1zo3lr2x
@user-nn1zo3lr2x 26 күн бұрын
Mpeni msigwa masikini huyo
@athumanijuma8404
@athumanijuma8404 26 күн бұрын
😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 26 күн бұрын
User maskini ni aliyekosa baadhi ya viungo ni mkamilifu kwani Chadema ni baba yake na mama yake ana uhuru wake paka wewe
@dabigregory3221
@dabigregory3221 26 күн бұрын
Msigwa anampenda Sana lisu.
@adinanikuwe6474
@adinanikuwe6474 26 күн бұрын
Wao ndio waliharibu gari lake
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 26 күн бұрын
Mnatafuta Laana,damu ya MTU haidhihakiwi,Nani aliliharibu Nani?
@abdallasheha4173
@abdallasheha4173 26 күн бұрын
Mbona msigwa umekonda sana yangu kutoka ccm
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 26 күн бұрын
Anenepe kwani anachinjwa?. Saiv ana afya. Unene kawa tembo.
@LusunguWatsonMgeni-gr8zt
@LusunguWatsonMgeni-gr8zt 23 күн бұрын
Lissu hanunuliwi wananunuliwa wasio na akili timamu kama hao wakina Tomaso mnaowatumia Kijani Chadema ni chama makini sana nasio vyama vingine kama vyo Watanzania CHADEMA ni kweli tusifanye makosa Tena watu watuchangulie hapana
@khamismansour5932
@khamismansour5932 24 күн бұрын
CCM NI MIJITU MIJINGA SANA HUO MCHANGO SI WAWAPELEKEE WATU MASIKINI WANAOKOSA HATA MLO MMOJA
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 26 күн бұрын
Mungu angu😊😊
@user-hy7zh6uw7e
@user-hy7zh6uw7e 25 күн бұрын
Msigwa ni chenga hakika! Mungu amponye
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 26 күн бұрын
Msigwa ataiharibu CCM Lisu pokea hizo pesa wanachofanya CCM ni dalili ya Uchaguziphobia lakini Lisu kuwa makini isije kuwa rushwa Ili takukukuru wakufuatilie
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 26 күн бұрын
Ingekuwa mimi nisingepokea.Hebu angalia maneno ya uchonganishi na kejeli waliyoyatoa.Hayakuwa maneno ya busara,sijui watanzania tunakwama wapi.
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 26 күн бұрын
Ndo kusema msigwa Hilo kaliona baada ya kuhamia ccm?! huo ni udhalilishaji, Kwan hakuna wenye shida zaid ya LISU?!
@freyjuma8426
@freyjuma8426 26 күн бұрын
Ovyo ovyo Ata yuda alikuwa miongoni mwa wanafunz wa YESU
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 26 күн бұрын
Mlimpiga mkampors ubunge juzi mmpiga kama jambazi msijipendekeze kea kitendo mlichokifanya sikuvijana mahakani panawahusu na miwani ya mnyika mtailipa sim mtailipa na sugu akifa damu yake mungu hatawaacha atawakomesha
@AloyceKaspari
@AloyceKaspari 26 күн бұрын
Duuuhh, Tanzania yangu Mungu tuhurumie.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 26 күн бұрын
Unafiki ni kitu kibaya sana.
@VotanVotan-gb3hd
@VotanVotan-gb3hd 26 күн бұрын
Heshima sana chama letu
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 26 күн бұрын
Haya majitu ya kijan siyapendi kabisa wangetutafutia aliyempiga lisu lisasi tungeona mna akiri mnaleta maigizo wakati bado mnaendelea kutesa watu mbeya ila mungu anawaona
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 26 күн бұрын
Chukua pesa mzee wetu hizo ni zetuu tuu
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 25 күн бұрын
Hela ni hela yeye apokee
@paulkamete2947
@paulkamete2947 26 күн бұрын
Mheshimiwa Tundu Lisu na mim naungana na wanaokuambia usipokee hiyo hela kwa sabab mil 5 sio kitu according to what these people don to u! Akufae kwa ziki ndio Rafiki wa Kweli kipindi kile chote hakujitokeze hadharani hivyo kukuchangia then sas hiv ndio wanafanya hivyo achana nao!
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 26 күн бұрын
Unafiki sana
@MikaelMelita
@MikaelMelita 21 күн бұрын
Sissim acheni sarau mbona nyinyi ndiyo ulipiga lisu risasi kumi nasita 🤪🤪🤪
@LabanChrisKivuyo
@LabanChrisKivuyo 13 күн бұрын
Aposasa kaanswszee wanchi tuijenge nchi paspo na wazee tutajengaje nchi
@user-wc5jc8vp6u
@user-wc5jc8vp6u 26 күн бұрын
Juzi mmemkamata n kumpga leo nnamchangia ela huo ni unafk uloptlza kwnn hamjachang mda au mnafany ivy il kuua so
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 25 күн бұрын
Lisu usichue pesa za hao mbwa wakubwa
@VenaEliki
@VenaEliki 26 күн бұрын
Acheni unafiki ccm Kodi zetu ndio mnatamba nazo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 26 күн бұрын
Kwani wangeluwa Chadema wasingetegemea kodi za wananchi nyau wewe hujui kitu kama ni mti mpapai
@christineaimtonga9872
@christineaimtonga9872 26 күн бұрын
Wapate cha kuongea wakati wa kampein
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 26 күн бұрын
Lisu pokea pesa haraka
@josephineokama2200
@josephineokama2200 26 күн бұрын
kumekucha kumekucha naiona 2025 hiyooo mambo ni ubaya ubwela
@mwajumaomary1918
@mwajumaomary1918 26 күн бұрын
Lissu kataa hiyo hela watakusema
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Kabisa yaani asichukue atasemwa sana hii ni mpango mkakati maalum
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Lisu kaniudhi mno
@flova7022
@flova7022 26 күн бұрын
Naijuaa hiyo
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 26 күн бұрын
Yaani risasi mumpige nyinyi halafu mjidai mnamchangia hela ati!!
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 26 күн бұрын
Kupigwa na mbowe.
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 26 күн бұрын
Unafiki
@YahyaOthman-et2ki
@YahyaOthman-et2ki 26 күн бұрын
Mm nakushauri lisu pesa usichukue
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 26 күн бұрын
Mnazima soo la mbeya kwa kujifanya mnamchangia? Aliwaomba?
Mahojiano kamili na Balozi Masilingi na Mbunge Tundu Lissu
8:42
VOA Swahili
Рет қаралды 400 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 17 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 76 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Kinachoendelea msiba wa Askofu Sendoro, kuzikwa Septemba 17
5:04
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,3 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 17 МЛН