Alikiba amsaidia Zabibu baada ya kushindwa kutambulisha familia yake
Пікірлер: 72
@modesterdavid85004 жыл бұрын
raha ya kua na kaka anaejua Zabibu ni mwoga
@saadnahoda7074 жыл бұрын
Hongera abdi banda hongera zabibu
@jennyrayman25055 жыл бұрын
bravo king kiba for helping out your sister
@rayaali75515 жыл бұрын
Kuwa na hayaa ndio uislaam na kuwa na hayaaa ndio ubinaadamm hiyoo ndio familiyaa bwanawee yenye hashima na nidhwaamm sio kina vikuku mijunda heka humjuwi mama dada waka yupi kaka woote mimwehu na ulimbukeni MWENYEWE NI KING KIBA NA FAMILIYAA YAKEE TUU BWANAWEEEE KIBA NA FAMILIYAA YAKE NDIO NO 1
@chistinawallasch28275 жыл бұрын
Familiar hii kwanza inajielewa, inajiheshimu, Hekima yenu inapelekea mpaka Party zenu kupendeza,,Mwenyezi Mungu awatangulie kwa kila jambo na mafanikio Mema.
@irakundazawadi20215 жыл бұрын
Allah awazidishiy busara mapenzi ongera sana mama kiba kwamarezi mazuri uliyo waleya wanao
@zabibugodi3415 жыл бұрын
Zabibu ukija Kenya naomba somo yangu unitembelee jamani
@siwemajuma43995 жыл бұрын
Hii familia imejaa busara#mashallah
@mbodzebemasika74776 жыл бұрын
Ndio nkawambia Bi. harusi hahojiwi..ni kilio raha
@jeanneassani76093 жыл бұрын
Yeeereee baba nakukubali sana king wetu...umehowesha ogera saaaaaaana
@ashashabani49684 жыл бұрын
Jaman umependeza sana mashallah na mumeo mzuri
@daudodulu80804 жыл бұрын
Nipigieni makofii Jmn Hahahahaaa
@phostinemulongo90515 жыл бұрын
This is awesome. God bless your marriage.
@bettymasitsa44256 жыл бұрын
Wow nice family
@jesaispasjecherche73015 жыл бұрын
bonheur à la famille zabibou soit fier de tes frères qui t'ont honoré
@julianapetro38974 жыл бұрын
Wazuri kwao wote mashalla
@nusaibahassan58425 жыл бұрын
Congratulations Dear
@nunniznurcky97244 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@sadaibrahm74695 жыл бұрын
Mashallah
@nasrajumaa90256 жыл бұрын
mashaallah kiba
@julietwilliam15165 жыл бұрын
Nasra Jumaa
@kahindoazida97435 жыл бұрын
Aww when she almost cried ❤️❤️❤️
@zabibugodi3415 жыл бұрын
Jamani Zabibu mbona unakua na haya sana, mm ni Somo yako kutoka Kenya naitwa Zabibu Mohamed, , kongole sana lkn kua mchangamfu bwana, usiogope
@user-tb4lj6zv5p5 жыл бұрын
hawa ndio tunataka kwenye ndoa sio wale viherehere hata ni aibu kuwaoa...drama za kila siku utazichoka
@ahmadamran25104 жыл бұрын
SULTAN 001 wanzul
@fahadalbalushi73625 жыл бұрын
ali na kings wako juu sna
@AliM-di8dz5 жыл бұрын
Mwanamke alokamulika lazima awe na aibu
@omilove36732 жыл бұрын
Zabibu mashallah
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Nimempend mdog wako jamoni wew kiba huyo Abu bakar kiba
@halimakhalid1345 жыл бұрын
Masha allah
@hakimuhemedi67025 жыл бұрын
Angekua shilole hapo... angetambulisha mpaka vikongwe.. chezea shishi tramp wewe.
@tunsumejohn65874 жыл бұрын
Hahahaahhahha
@allahisone63864 жыл бұрын
@Hakimu ttzo han mfup ten waaibu,
@ramadhanimkwama85734 жыл бұрын
Ahahaaaaa
@abdulkheri73224 жыл бұрын
Hahahaha mungu anakuona ww
@annastaciasamuel76123 жыл бұрын
Hahahahaha
@carenmwaka21175 жыл бұрын
Very nice.♥️😍
@busarajacob41242 жыл бұрын
Angekua mange kimambi hapo Hadi vitukuu
@salmacadey75485 жыл бұрын
mashallah
@nimubonashabani28275 жыл бұрын
ASSALAM ALLAYKUM NA BWANA YESU ASIFIWE. AYO NI MAFUTA NA MAJI. AMEHARIBU SAANA APO.
@nerisonleons59115 жыл бұрын
hongera Sana dada
@allyshaban97655 жыл бұрын
Nice
@user-ku1kq1mo2z8 ай бұрын
1:08
@hanafhamad28012 жыл бұрын
tunachukulia kawaida ila kiislam dressing code bado wanawake munakwenda uchi sana why ?
@feristersam89605 жыл бұрын
familia Idumu hii siyo ya diamond hii inajielewa
@dianaemanueli9015 жыл бұрын
Ferister Sam sanaaaaaaaaaa
@user-tb4lj6zv5p5 жыл бұрын
diamond au alikiba?
@filbertnashon71605 жыл бұрын
She loose confidence,
@nancyalbert58815 жыл бұрын
Magufull
@neemareed20255 жыл бұрын
Ndo Raha ya kuwa mwanke peke yako na ukiwa ,na makaka Kama .alikiba ndo Raha zaid.
@pennyjohn13065 жыл бұрын
😂😂😂 ila alikiba unapenda makofi mwee
@mgishajafali99045 жыл бұрын
Noma
@abdallahali54745 жыл бұрын
Penny John hhhh
@lydiaagwuma6565 жыл бұрын
Bi na bwana harusi lao huwa Ni jicho tuu.. Zabibu nivizuri ulimwaga chozi.
Baba wadogo hawapo, wajomba, mashangazi, mababu, marafiki?
@msisisalim25855 жыл бұрын
Lkn mama dangote utammic xana zali kwa vizawad vyake
@maymunshali42025 жыл бұрын
msisi salim
@saumbilunda91395 жыл бұрын
Hahahahah
@abdibakari6415 жыл бұрын
kumbe busara ipo.. usiendeshwe na maneno y wtu
@gabrieljohn98545 жыл бұрын
Kweli
@saedbare87335 жыл бұрын
Napenda gauni lake AJAB
@onesmolembrislongidare73575 жыл бұрын
.
@jacklinkangero33395 жыл бұрын
Mmh hakuna mashangaz wajomba
@missmoona44975 жыл бұрын
Sifikirii kama angelikuwa Esma angeshindwa kuongea🤣🤣🤣🤣
@asnathsweeth49185 жыл бұрын
miss moona 😂😂😂😂😂angeongea wangezima mic
@aronadam16335 жыл бұрын
Alli kiba nimekukubali sana sana kwa salam zako zote mbili za dini zetu mungu akubaliki sana ukuweka udini mbele uliangalia mchanganyiko wetu na jinsi tulivyolelewa na mwasisi wetu baba wa taifa