ALIKIBA : Nyumba ya TABATA ni ya mama yangu, yupo vizuri ana MIJENGO mingi

  Рет қаралды 21,002

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 19
@benedictomb
@benedictomb Жыл бұрын
Mariooo ana adabu mpaka nime anza kumpenda kinoma noma
@OmegaKingKas
@OmegaKingKas Жыл бұрын
Kazi njema watu wetu ❤❤❤❤❤
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Ali kiba kama muhammed Ally ❤
@zakariamachibula1776
@zakariamachibula1776 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
KingKiba kama Ashraf Hakimi😂😂😂
@babap-dn7wq
@babap-dn7wq Жыл бұрын
Dah Brother king eti mama Ali ana mijengo mingi 😂😂😂😂
@pizzaz4333
@pizzaz4333 Жыл бұрын
Safi King, hakuna kama mama
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Sawa😂 Ashraf Hakimi wa Tanzania😂😂😂
@dogoshazzy9050
@dogoshazzy9050 Жыл бұрын
Duuuh😂😂
@user-yn7mt4mh8n
@user-yn7mt4mh8n Жыл бұрын
Zachini chini kabisa nikwamba alikiba ameandikisha Mali zake Zote kwa jina la mama yake ili aende Sasa Kenya kutoa talaka kwa Amina ili amina akianza mambo nakugawa Mali ajikute kiba ahana chochote
@benitokhanbenito7069
@benitokhanbenito7069 Жыл бұрын
😂😂😂kwanini unamuona hakimi Kwa Kila mtu😂😂
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
😂😂😂❤
@Fgldesigns
@Fgldesigns Жыл бұрын
​@@benitokhanbenito7069Yupo kila mahari
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 Жыл бұрын
Sikunyingine nanyie wasanii wabadilikieni hao wanahabari waonyeshe nyumba zao kwanini watake kuyajua maisha yenu,akatiyao wanayaficha.
@emmanuelbarakajunior7482
@emmanuelbarakajunior7482 Жыл бұрын
Mambo ya Hakim na KIBA
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Жыл бұрын
Yaani Huyu jamaa bhna Eti ile ni nyumba ya mama yangu Duuuuuuuuh
@ginimbifamily3995
@ginimbifamily3995 Жыл бұрын
Umeshindwa kumuelew..amesema ile ni Family House..kwasas ahana nyumba coz pale nyumban kwake anaish na mama ake kwaiyo anaona ile sio nyumba ake atakuj kujenga ya kwake sas ambayo ataish yey kama yye ss
@emmanuelmagnus1014
@emmanuelmagnus1014 Жыл бұрын
Uyo Ana mijengo mingi hapo kusema ni ya mama katutoa kwenye mstari tusimuelewe mjanja Sana uyu mshikaji
@victorguapo7827
@victorguapo7827 11 ай бұрын
Na jana ndio kaionyesha io nyumba yake mpya
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 63 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 25 МЛН
ONA BALAA LA MJENGO WA MARIOO, "NAISHII NA FAMILI |  MIMI SIO MUHUNI
11:58
MWIJAKU ALIVYO PEWA PESA NA CHIEF GODLOVE, ONA VURUGU ZAKE
9:31
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15