No video

"Alikuwa Kiranja wa Afya na Mazingira" Mwalimu wa shule aliyokuwa akisoma mwanafunzi aliyeuawa

  Рет қаралды 9,412

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakianza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi jana mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba Farida Makuya (16) ameshindwa kufanya mitihani hiyo baada ya kuuliwa na watu wasiojulikana.

Пікірлер: 15
@denicgodfrey8762
@denicgodfrey8762 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake Mahal pema pepon
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Innalilah wainnalilah rajiun! Mwenyezimungu amrehemu huyu bint!
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 Жыл бұрын
Mungu ampe pumziko la amani 😭😭 poleni family
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 Жыл бұрын
Poleni sanaa sanaa family
@festomlunya7538
@festomlunya7538 Жыл бұрын
polen sana wanamtumba
@aishahamad7923
@aishahamad7923 Жыл бұрын
Inahuzunisha Kwakwelii...police kamata panyarodi wotee watatumalizaa
@catherinrutagatina6995
@catherinrutagatina6995 Жыл бұрын
M,mungu ampokee ktk ufalme wake,,wamezurumu nafsi yake .
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Жыл бұрын
Poleni sana. Mwenyezi Mungu amuweke pema peponi malaika wake. R.I.P little angel
@aggy8272
@aggy8272 Жыл бұрын
Pollen
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
May God rest her soul in peace .na pia Mungu akampe kauli thabit na amuepushie adhabu ya kaburi. 06. 10 .22 .
@sofi_1940
@sofi_1940 Жыл бұрын
Daaah,,, 😭😭😭 jamanii roho inaniumaa mnooo
@salehesalim6310
@salehesalim6310 Жыл бұрын
Innalilah waina ilaihi ranjiun
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Tz imekuwa ni Nchi yenye matukio makubwa sana Yani utadhani Tuko Vitani ya Palestine na Israel
@eggybaby5312
@eggybaby5312 Жыл бұрын
Tanzania yang weken camera mitaan barabaran sio mjin tuu wakumbuken had waliopo mikoan jaman mbona nch za wenzetu wanaweka camera had kweny mistimu ya umeme sisi tunafel wap na sisi wananch tucsubir serikal waweke ikiwezekana tujichangen kla mtaa kuwe na camera hata moja moja itasaidia sana sabab itaonyesha tatzo mwanzo mwsho na wahuckaa watajulkana kwa urahc mfano camera lak 150 nyumba 15 tukjchanga elf 10 kla mmoja itasaidia pa kubwa Aman itakuepo My Opinion 🙏 Polen sana wana familia😭
@wemasamir9451
@wemasamir9451 Жыл бұрын
Mm naona ni chuki tu apo
Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni
10:37
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,3 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 33 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
SEHEMU ATAKAYOZIKWA MANDOJO HII HAPA, WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHIMBA KABURI
1:39
Miraji, Mwalimu Yanga wacharuana kisa Sh5 milioni
7:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,3 М.
SHULE ALIYOSOMA MANDOJO HII HAPA, MWALIMU ATOA OMBI KWA WASANII WENZAKE
5:17
TAHARUKI YAIBUKA / MTOTO AUAWA, SEHEMU ZA SIRI ZAKATWA.
3:42
ITV Tanzania
Рет қаралды 106 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22