Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni

  Рет қаралды 18,257

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@LatifahDollah
@LatifahDollah 2 ай бұрын
Inalillah wahinaillah rajiun 😢
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 2 ай бұрын
Kwanini msiwanyonge na wao 😢😢
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 2 ай бұрын
Tunaomba sana jeshi la Polisi hii statement ya kusema "wivu wa kimapenzi" itolewe.. maana hii naona ndio inaleta hisia kuwa mtu ameua bila kukusudia.. Muuaji abaki kuwa Muuaji tuu.. inaumiza sana hasa sisi wazazi
@jonasnzemya7700
@jonasnzemya7700 2 ай бұрын
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms 2 ай бұрын
Ogopa mtu anayesema anamwachia Mungu pole baba😭😭😭
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 ай бұрын
Hapo sasa 🤲🤲
@silvanomuhumha9760
@silvanomuhumha9760 2 ай бұрын
Poleni sana na msiba
@ZuhuraAlly-tr4uy
@ZuhuraAlly-tr4uy 2 ай бұрын
Pole sana
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq 2 ай бұрын
Jaman
@verombwambo3703
@verombwambo3703 2 ай бұрын
Pole wazazi dah inauma sana
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 2 ай бұрын
Hamjui Alimfanya nn na yy anamengi
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 2 ай бұрын
Poleniii
@lugatakitula3855
@lugatakitula3855 2 ай бұрын
Dah!jamani mnapeleleza nn wakati ameua tayari?
@JacklineJames-i5o
@JacklineJames-i5o 2 ай бұрын
Jaman Jana nilipita maeneo hayo nikiwa naenda stand kupanda bus Boda akanionesha palipotokea tukio 😢sana jaman
@chikujuma18
@chikujuma18 2 ай бұрын
😢😢😢 inalilah wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia
@JacklineSwai-z9y
@JacklineSwai-z9y 2 ай бұрын
😢😢😢
@MariaKitundu-l1m
@MariaKitundu-l1m 2 ай бұрын
nayeye atakufa tu
@debolaizer-j5p
@debolaizer-j5p 2 ай бұрын
Duuuu jamn me binafs n mkazi wa Cheyo na ñipo jiran na sehemu ya tukio, duuuu inauma sana polen ndg wa marehem mung awatie nguvu Kwa wakat huu mgumu, ila Cheyo jamn punguzen matukio
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 2 ай бұрын
Ubinadamu hakuna mwisho wetu niupi Yaarabbi tuwekee ulinzi
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 2 ай бұрын
Katikati ya magomvi shetani hujihudhurisha kutenganisha watu na kuacha maumivu kwa wengine, Mungu atupe mioyo ya kusamehe na kuchukuliana madhaifu yetu.
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 2 ай бұрын
Itawanda wanawake wakati kila siku wanauliwa
@neemareuben311
@neemareuben311 2 ай бұрын
Mmmmh
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 ай бұрын
Sasa mtu ukiua si na wewe utauliwa?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 ай бұрын
Hao ndio mliotakiwa kuwashulikia jmn,sio kupiga watu kwamambo ambayo yaweza kuzungumzika.Pigeni .R8sasi hao.Anaeuwa kwaupanga auwawe kwaupanga.
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary 2 ай бұрын
Wanadamu tumekuwa zaidi ya wanyama😢😢 jaman mapenzi haya,Mungu akupe pumziko jema
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 2 ай бұрын
Hivi hamioni.kuwa shetani anaganya kazi wivu gani huo mpaka umuue mwenzio sasa ukishamuua ndio inakusaidia nini yeye anaishia kaburini na wee unaishia jela ni hasara kwa familia ya marehemu na yako pia acheni mnapopata hasira fikiri kwanz kabla ya kutenda mwisho nawe kunyongwa tu faida gani?
@WastaraMandute-fl2dv
@WastaraMandute-fl2dv 2 ай бұрын
Dunia njia kiukweli kifo hakina huruma, lala salama Juliana mbogo
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 2 ай бұрын
Simuachane na mapenzi. Mmelazimishwa. Hii y kuuana ina maana gn sasa
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
TOFAUTI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA NA VINGINE
8:51
ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI
25:46
Dar es Salaam to Tabora Road Trip 2023
26:16
Malango Travels 🇹🇿
Рет қаралды 8 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26