Aliyeomba ugoro akiwa amefukiwa Mgodini Geita aongea

  Рет қаралды 43,894

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Habari kubwa miongoni mwa 10 kubwa za mwanzoni mwa mwaka 2017 Tanzania ni pamoja na hii ya Wachimbaji 15 wa madini Geita walionusurika kifo baada ya kufukiwa Mgodini kwa zaidi ya saa 70 lakini wakasalimika.
Wahanga waliomba chakula na wengine wakaomba Sigara na ugoro ambapo AyoTV Geita imempata mmoja wa hao 15 aliyeomba Ugoro atueleze aliwezaje kupata ujasiri wa kuomba ugoro wakati walikua kwenye hali ya hatari.

Пікірлер: 15
@mangupaul4679
@mangupaul4679 7 жыл бұрын
Mungu ni mwema nyakati zoote za Maisha yetu
@christinabiyengo2955
@christinabiyengo2955 7 жыл бұрын
Umemuomba Mungu kakuokoa, badala ya kutubu unaomba ugolo!!!
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Duu poleni kila kazi inaugumu wake
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
tushukur MUNGU n mwema👏,,at ugolo😆
@chifumirambo1013
@chifumirambo1013 7 жыл бұрын
Poleni sana watu wa Chief Mirambo
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
hatua ya pili ukaamua kuomba ugoro sasa!!!!!! kweli Mungu ni mwema kwetu sote hunyeshea mvua wema na waovu!! sehemu ya kutubu! kumkumbuka Mungu na kumlilia kwa hali zote na kujutia dhambi zako! ndo kwanza unapata na nguvu ya kuomba Ugole mwanawane!! hakika Mungu ni mwema kwetu sote
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
hahaha hujawah kuona mtu anakata roho badala ya kutubia nakutoa shahada maneno ya mwisho yakumridhisha mungu unaomba kilevi hahahaha hiyo kubwa kuliko.Tumuombe Allah atupe mwisho mwema.kk sio ugole ni ugolo.
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
Miss Muuna Sharifu ha ha ha haaaa chaaa nawe naeeeee
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
pole sana
@shedumlazii7992
@shedumlazii7992 7 жыл бұрын
Polen sana
@mimifulani948
@mimifulani948 7 жыл бұрын
pole sana bro
@AliAli-mj9tj
@AliAli-mj9tj 7 жыл бұрын
SOFY OMARY mambo sofi
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
ugolooo
@badboy2577
@badboy2577 6 жыл бұрын
Hawa ndo wakongo mani ama?
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 7 жыл бұрын
Ha ha ha ha
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO
31:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 282 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 12 М.