nani anataka mtoto wake aje awe msomi kama mheshimiwa lissu kama ninavotaka mimi?
@happyemmanuel25606 жыл бұрын
Hongera sana raid wetu kwa kazi zako njema
@DottoMussa-fx8pn Жыл бұрын
Hotuba hii inaweza kua chanz Cha bwana lisu kupgwa Risas tundu lisu mungu akulinde
@The1979bornagain2 ай бұрын
Kwa kweli lilikuwa shambulio halali na la kumfedhehesha sana Magufuli na serikali yake. Obvious, hii hotuba ni moja ya sababu ya kushambuliwa kwake mwaka 2017!!
@DottoMussa-fx8pn Жыл бұрын
Huyu ND anatumikia vzr feza za watanzania
@DottoMussa-fx8pn Жыл бұрын
Lisu shikamooo
@musasahani62777 жыл бұрын
asante lissu
@emanuelmichael91997 жыл бұрын
Wenye uchungu na nchi ni hawa hapa hata wangekuwa mafisadi lkn wangetupeleka tunakotakiwa kuwa coz ukweli ni kwamba tunazo rasilimali za kutosha ila hatuna uongozi bora. Shujaa Lisu utafia haki utakuwa na historia tamu duniani mungu akutangulie.
@juliethbujiku84097 жыл бұрын
pongenzi nyingi sana kamanda kwa kuitumia elimu yako vizuri kwa kutusaidia watanzania ,
@ibrahimmlunza37532 жыл бұрын
Tundu Lissu wewe ni hazina ktk taifa letu ndio maana Mungu alikuponya barikiwa Sanaa
@kenedymalindi45743 ай бұрын
Uko sawa kaka
@conasmalale10734 жыл бұрын
Ni yeye 2020
@nasibumatutera7862 жыл бұрын
Lissu for the record utakumbukwa milele bungeni na hata nje ya bunge
@michaeljoseph99033 жыл бұрын
Sitochoka kuwa nakusikiliza mh tundu lisu kipenzi cha moyo wangu
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Kuna siku tutajua umuhim wa huyu jamaa siku akiwa hayupo dunian,allah akuweke lissu
@faustinebahenobi20724 жыл бұрын
Hahaaahaaa lissu ntaendelea kukupenda bure
@machinjashabani56617 жыл бұрын
Wanao kupinga ni masikini waakili
@delebm5437 жыл бұрын
Hapo ndo tofauti yako na wengine ww ni fundi MUNGU AKULINDE MH.LISU
@kudramkoma54437 жыл бұрын
thax almight God for providing special activist people as Tundu lisu.
@saimonijoseph22547 жыл бұрын
tundu lisu endeleaa kuonyesha uwezo wako kaka
@johndamian50614 жыл бұрын
Kweli huyu ni shujaa
@michaelkunambi45317 жыл бұрын
Lisu nimekuelewa
@dionisgabriel7864 Жыл бұрын
Unajua sheria hadi unaikera ccm
@mayalaelias62107 жыл бұрын
bravo
@ibrahimshaban4787 жыл бұрын
uko sawa jembe
@Daniel-g2f6vАй бұрын
Machine gun lissu
@kudraharuna94106 жыл бұрын
iv magu hamuon huyu jamaa kua anafaa kua wazr wa sheria na katba
@kudraharuna94106 жыл бұрын
yaan hich kichwa tukikkosa tz tumekwsha
@BIGCHENDREADLOCKS6 ай бұрын
Kweli uyo ndo alkua spika had analusu kuunga hoja
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Lissu Babaaa
@hassanmashambo13274 жыл бұрын
We ni shujaaaa
@mrishomdogwa61657 жыл бұрын
koffi oromid
@TaikoShalai9 ай бұрын
2:18
@nasirmmaka71887 жыл бұрын
Duuuuuuuuuuuuuuu
@stevenhinjo8417 жыл бұрын
raisi hata angefanya mazuri kiasi gani kamwe asingekubali na angeendelea kuponda MUNGU bariki raisi wetu
@swaburyrwamlaza14797 жыл бұрын
hatari sana
@saidmbawala91726 жыл бұрын
Hii ndio kazi ya watu wenye akili timamu
@aroonmuchunguzi34426 жыл бұрын
tundu lissu wewe jamaa upo vizuli
@mwambaotv11867 жыл бұрын
aseee
@margweemanuel55877 жыл бұрын
hii clip ni ya mwaka Jana.
@kelvinalex56447 жыл бұрын
hata kama ingekua ya mwaka juzi inatosha Kwa wajinga Wa Leo
@allanraphael39917 жыл бұрын
kelvin alex fact
@plachidiusrenatus58343 жыл бұрын
kweli kabisa
@giftjosephat2936 жыл бұрын
ARE YOU SURE
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@selemanlukinga29744 жыл бұрын
Utofauti wa MSOMI na msomaji unapokuja kuonekana
@stevenhinjo8417 жыл бұрын
hapo hakuna kitu uchochezi ndio umejaa hata alimtaka raisi atangaze TANZANIA kuna njaa kama ethiopia
@michaelmethod9703 жыл бұрын
Una kichwa wewe au boksi la kuifadhia meno
@mohamedhamza88192 жыл бұрын
Stven hinjo ninge kupa maneno magum acha nikueshim maana utambui lolote
@amosmerama3680Ай бұрын
Duuuh akili mfu zimejaa Kila kona
@muhdsseif57854 жыл бұрын
Tundu mpenda haki. Ni sibu kwetu sisi Watanganyika kuwadhulumu waafrika wenzetu kwa visingizio vya kijinga vya kina Lukuvi
@bugdadiajm82707 жыл бұрын
AAH WAPI
@mutakabaka7 жыл бұрын
HII MBONA YA ZAMANI, MNALETA USANII, KWA NINI USITUWEKEE VITU VIKO UPDATE, HII NI KUCHANGANYA RAIA ILI KUIJENGEA SERIKALI CHUKI NA WANANCHI WAKE, VERY STUPID..
@dominicphinias50407 жыл бұрын
Hacha ujuaji husio na maana tunaitaji maharifa sio ujanja ujanja