Hallelujah Na muana wa David Mokonzi wetu Yesu MASIYAH a Tukuzwe ana Stayili Echima Amen ❤✝️🇮🇱🥰🌹♥️💕🙏🙏🙏🇮🇱
@egnokapinga163 жыл бұрын
Director wavideo kafanya kazi nzur
@markuscharles94723 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@EmmyMasue-y2nАй бұрын
🎉kazi nzuri sana Mungu awabariki sana
@VeronicaJoseph-w4w6 ай бұрын
Hivyo ndivyo mungu anafanya sasa, amina, barikiweni sana, a special song❤❤❤❤
@jokersclubjokesonly17743 жыл бұрын
Safi sana
@overover68203 жыл бұрын
Swa
@fadhilimarwa19283 жыл бұрын
Hongeren Sana wimbo mzur San unanibariki vilivyoo Mungu azid kutukuzwa kwa ajili ya utume wenu wapendwa 💕💕💕💕💕
@teilom.lwandeaj19473 жыл бұрын
Safee sanaaa...
@bahatimashalo43353 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Hongera Kubwa SHJC Udsm
@felistawillhelem18512 жыл бұрын
Mungu atukuzwe daima... Wonderful 🎹🎶❤️ Mungu awajalie zaidi na zaidi,, katika roho na kweli mkilisifu jina lake takatifu.
@blandinasindani57313 жыл бұрын
Safii sana Nawapendeni sana kwaya yangu
@emdazzo54822 жыл бұрын
hongereni sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe ulioshiba. mbarikiwe sana
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm2 жыл бұрын
Ahsante sana
@laurenciafeya42833 жыл бұрын
Huu wimbo haipiti siku sijautizama😊😊😊hongereni sana🥰🥰🥰
@msokasgallery83233 жыл бұрын
"Amueni leo ninyi wenyewe, Ni Mungu yupi mtakayemtumikia?" ... Lakini, Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
@michaelmagoma88223 жыл бұрын
Ni kazi zuri
@raymondboy58393 жыл бұрын
Hongereni ndugu zetu........kazi nzuri from MUST mbeya
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Asante. Wasalimu MUST Mbeya. Mnakaribishwa pia Parokia ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam.
@raymondboy58393 жыл бұрын
@@kwayayamoyomt.wayesu-udsm tutakaribia MUNGU akipenda
@FanuelJoel9 күн бұрын
Good work 💖💝
@geofreymwanahanja39303 жыл бұрын
Hongereni sana kwaya yangu ya zamani. Nawapenda. Mungu mwenyezi azidi kuwabariki.
@gado2073 жыл бұрын
Tunakumiss kaka, siku moja uje utusalimie
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Ahsante sana mwalimu Mwanahanja. Tunashukuru. Karibu sana kila upatapo nafasi. Moyo Mt. wa Yesu, UDSM ni nyumbani kwako kabisa.
@leoniajohn867629 күн бұрын
Karibu sana mwalimu Mwanahanja
@klaudkiswaga9714 Жыл бұрын
Amina sana, daima tuchague uzima🔥🔥🥳🌹
@roseqaimo78152 жыл бұрын
Ķwaresma RC
@stevenmnzavajoseph3 жыл бұрын
Keep it up.....God bless you
@queenlizzy43343 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Amina.
@achileusaudax45443 жыл бұрын
Aisee nabarikiwa na huu wimbo 🙏🙏
@bonaventuretesha10393 жыл бұрын
Wakuu hongereni. Wimbo safi sana
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Ahsante sana Frt. Tesha. Mungu atukuzwe daima.
@tedyjames28023 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nmeupenda huu wimbo hakika Mungu n mwema sana
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Ahsante. Ubarikiwe pia Tedy James
@klaudkiswaga97142 жыл бұрын
best always..........
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm2 жыл бұрын
Thanks @Klaud Kiswaga.
@theresiajoseph19433 жыл бұрын
Hongerenii sanaaa
@lupirenatuslupi95823 жыл бұрын
Organist amefanya kazi kubwa saana,, hongereni nyote kwa pamojaa kazi nzurii mnooo
@fulgencetumaini813 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@experyshiyo81813 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwa utume huu uliotukuka..
@beatusshayo20373 жыл бұрын
Wonderful voices. Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. May God bless you!
@deulegervas13033 жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu awabariki mno.
@dorothyxavery61783 жыл бұрын
Mungu aibariki sana kazi ya mikono yenu kwa ajili ya sifa na utukufu wake mwenye 👏👏🌹🌹💞💘
@romanambelle63563 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki na kuwalinda mitunze imani. Mpendeza toka sauti hadi mavazi
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Amina.
@dorothyxavery61783 жыл бұрын
Hongereni sana sana ..hakika Mungu pia ameona na amewasikia...👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏
@filimonimusa37503 жыл бұрын
Hongereni sana...wimbo unanipa nguvu sana
@joachimbahati27922 жыл бұрын
Good music since day one
@theodorivicent76453 жыл бұрын
Mungu awabarik
@tesharose50413 жыл бұрын
hongereni sana mmeimba vizuri 🔥🔥🔥
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Asante sana.
@ShanelTemba-fg8jv Жыл бұрын
Hiii ni nyimbo nzuri sana
@klaudkiswaga9714 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa Kazi nzuri🔥🙏
@fabianmelkiades3 жыл бұрын
Great .......,🥳🥳❤️
@peternguru45333 жыл бұрын
Wanachoir hoiyee!wimbo mzuri na melody yake ni nzuri,na message ni very clear,MUNGU azindi kuwabariki.
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Amina. Tumrudishie yeye sifa na shukrani.
@dazookman64172 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@kwayayamtakatifusimonmtume2 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa
@edwinkusenge91773 жыл бұрын
Wimbo mzurii...
@tabithaisaac Жыл бұрын
Kwaya yangu❤
@bahatimashalo43352 жыл бұрын
💯💯💯 that's SHJC 🔥
@joanneskatoto60613 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sanaa Hongereni kwa kazi nzuri Sanaa. Mbarikiwe🙏☺️
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Ahsante. Ubarikiwe pia.
@fredetal6523 жыл бұрын
Wimbo ulojaa baraka..mtulivu kikweli,ubunifu wa kiwango Cha juu.. mungu awabariki sana waimbaji.. I am blessed..niamue mwenyewe ni Mungu yupi. Asanteni
@victoriamsekela25163 жыл бұрын
Hongereni Sana kwa wimbo mnzuri hakika unanibariki
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Tunakushukuru sana. Tunafurahi ikiwa unabarikiwa kwa utume huu.
@emmanuelkimambo10912 жыл бұрын
Amina Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@estherndenzako42623 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥congrats to you 🤗🤗🤗
@piuspiusbenuward72752 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@dorothyxavery61783 жыл бұрын
Kwa maombezi ya Mama Bikira Maria msaada wetu wa Daima, Azidi kuwapa nguvu ya kumwimbia kila siku bila kuchoka na kuwajalia kila neema na Baraka zake kwenye maisha Yenu kupitia utume huu🙏
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Amina.
@glorylaizer90883 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Asante sana Glory
@maryfesterzengwe75343 жыл бұрын
Mungu ni mwema ❤️❤️❤️
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Kila wakati! Na hiyo ndio asili yake
@highmajesty54663 жыл бұрын
Udsm ❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@happierkomba95363 жыл бұрын
Amen.
@emanueladrian20233 жыл бұрын
Nice song
@EsterKalinga-x3q4 ай бұрын
Asante kwa kutuburusha
@markuscharles94723 жыл бұрын
Mungu ni mwema, mbarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia kaka Marcus.
@adrianthadeylyamuya47803 жыл бұрын
Nice song with blessings 🙏🙏
@klaudkiswaga9714 Жыл бұрын
Amina sana🙏
@StudioiRisPro3 жыл бұрын
Great One🙏🏾🙏🏾
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm3 жыл бұрын
Asante #Studio iRis Pro
@klaudkiswaga9714 Жыл бұрын
Amina sana
@tigerchristmas54913 жыл бұрын
Wow, Groly to God The creativity is of highest quality Mariana nakuona classmate Hongereni kwa kaz ya Bwana
@ludovicmjili84803 жыл бұрын
Nice
@mariashidati572 жыл бұрын
Waoooooooh
@dismasgechame58223 жыл бұрын
MUNGU anayekaa katika sifa awpandishe mpaka hatua nyingne?
@ChristopherChole-wz2tt20 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@edithwakara41403 жыл бұрын
💕💕🥳👏
@elibarikimkwizu18183 жыл бұрын
❤️🥰
@AntipachiusFaustine7 ай бұрын
👏👏
@marywakati65042 жыл бұрын
Amaizing 😊😍😍🔥
@ndemasdonald2893 жыл бұрын
Glory to God
@onyabukolawrence8942 жыл бұрын
I hv no prob with your dancing styles,God bless you all.
@kwayayamoyomt.wayesu-udsm2 жыл бұрын
Amen. Thank you. Karibu sana
@ritaramale43742 жыл бұрын
Waooooh❤️❤️such an amaizing song
@livinusmuhimbula53562 жыл бұрын
Just a good song
@FebroniaZebron Жыл бұрын
❤👍👍
@loleusamuel24432 жыл бұрын
Wow wonderful the song is very nice I like and play it everyday continue with the same Spirit and I request you at least to translate into English also for better understandable to us who doesn't know Kiswahili well thanks 👍👍
@denismaunda31023 жыл бұрын
You did better Guys💯💯
@ligangamedia3 жыл бұрын
Mimi na nyumba yangu tutamikia Mungu,, tafakari nzuri