ANAFANYA KAMPENI CHINI CHINI NIKOSA KISHERIA. DR.SLAA KAIVAA CCM, MWABUKUSI KAWAKA KUKATWA URAIS TLS

  Рет қаралды 8,585

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

22 күн бұрын

Пікірлер: 18
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c 20 күн бұрын
Wakili Mwabukusi Wanakuogopa lakini Mungu atakutetea Utashinda kwa Uwezo wa Mungu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Jamani hayo ni mateso kwa watoto Mungu wangu kutu gani hiki
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 19 күн бұрын
Wanaharakati wetu tumewaelewa sana, Waalimu ni aina ya machawa waliokubaliana na hali ingawa fani yao,na wao wenyewe wanadhalilika katika jamii ya watanzania wanaojitambua lakini na TLS nao wamenunulika,ama kutishwa, wakatishika. Kipindi cha Hosea na Sungusia vimedhalilisha fani,chama,na mawakili wote katika sheria mbele ya jamii ya watanzania wanaojitambua!
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 20 күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 20 күн бұрын
Hawa walimu wamelogwa na nani ??? Kwani wao wanaishi nchi hii kweli ?? Wao hawaathiriki na haya maisha magumu?? Ee Mungu usyeahindwa sikiliza kilio chetu baba . Tumechoka janani .
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 20 күн бұрын
Mimi naona kama ccm iko juu ya sheria za nchi hii au nyie mnaonaje wadau.. maana ndio wavunjaji wa sheria hizo ila hawaguswi wala kukemewa. Mara hongo ya pikipiki ila tume ya uchaguzi na takukuru wao wamevaa miwani ya mbao.
@RajabuLanda
@RajabuLanda 20 күн бұрын
Hiyo imetokeya paka huku eti anakuja rais kumbe yanakuja mazombi Kama haya 😂😂😂😂 ma ccm
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 20 күн бұрын
asante sana baba Dr silaa saaita tukaze mikanda kupambana na serekali dhalimu iache mizengwe na watanzania wafanye nini tunataka yafuatayo mashamba yetu ARUShA yalichukuliwa na CCM wanaeuza nchi yetu kama mayai ya kisasa ni kinyume Cha Sheria atutapenda kichini chini Cha CCM wajipange tutawatoa mamlakani. mchana peupe nauliza kizazi kipya waamke kuitetea nchi yetu bila kumuogopa mtu yeyote tukifa ni. alali tutakubali kufa sababu nchi yetu ni yetu Kila raia ana. haki ya kusema bila kutishwa na polisi Wala jambazi la. serekali linaloitwa wasio julikana wako ndani ya serekali atutaki mabeberu ndani ya serekali ndio maana kunawauwaji je nauliza nikwanini tumezingirwa na maraisi madkteta chuma Kiko jikoni kinachemka na CCM wanajificha makanisani ili Wawa onge wachungaji watuubirie ujinga makanisani mwananchi zinduka usikubali kuhongwa kataa hongo ya Samia mbona tunaona ni ukoloni mambo Leo na Samia mkitazama pia ole sendeka alipigwa risasi na nani serekali mungu amlinde sana olesendeka pongezi kubwa kwa kazi nzuuri Kila siku na Kila wakati oja wananchi masikini wasumbuliwe mpaka hostali ya patandi wanchi awatibiwi waambiwa bima ya afya je nauliza kwanini tuuziwe vitambusho sisi watu arumeru ushahidi tunayo ARUShA wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 20 күн бұрын
Hii wanaweza wakenya chanjo ya corona iliwachanganya kichwa walishakua vichaa lakini wao bangi halali sisi hatuwezi uwana
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 20 күн бұрын
Sawa Dr Slaa asante sana barikiwa
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 20 күн бұрын
Ccm wanajuwa eananchi asilimia 85. Hawana ubavu wa kushindana na Chadema! Wanatumia mabavu tu. Watanzania hawawapendi KWA NINI MNALAZIMISHA? PUMBAVU!!
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 20 күн бұрын
Walimu wooote Tanzania, acheni ujinga wa kuwa viraka wa kutumikia ccm. Ccm inawabaka, na kuwanyi ma stahili zenu. Kwa ujinga wenu mmebaki kulamba matako ya ccm.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 20 күн бұрын
Magufuli alifaya huu mchezo huu mchafu pia
@knight6757
@knight6757 20 күн бұрын
U lice
@husseindinongo4798
@husseindinongo4798 20 күн бұрын
we mzee unabana sauti.si ulipewa ubalozi na hukukataa.tuachie samia wetu
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 16 күн бұрын
Wewe mzee sasa unataka wachukuliwe Nani
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 16 күн бұрын
Uliongea na wazazi WA Tanzania tote acha uongo
Mimi ni Mmoja ya Waanzilishi wa CCM - Dr Salaa
4:20
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 6 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 861 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Lissu aanika ushahidi tuhuma za rushwa Chadema asema...
5:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
Nani Atagombea Urais CHADEMA 2025?
3:59
The Chanzo
Рет қаралды 3,8 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН