ANASTAZIA MKABWA HUO NI UMARAYA UNAFANYA EV PASCHAL AMJIA JUU

  Рет қаралды 11,943

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #0788871769

Пікірлер: 165
@sianagodson3690
@sianagodson3690 2 ай бұрын
Naacha kuvaa surual kuanzia Leo,kumbe ni dhambi,Mungu nisaidie ,nazichoma zote leo
@NeemaMango-k7j
@NeemaMango-k7j Ай бұрын
Acha kabisa me ndo lilikuwa vazi langu ila tangu nilivyofundishwa kuwa ni vazi ambalo halimpi MUNGU utukufu nilichoma zote na kamwe siwezi kuvaa,na hata mapambo yote nimeacha
@mauldmgema9043
@mauldmgema9043 2 ай бұрын
Bro. Paschal Mungu akutumie kwa ajili ya wokovu wa watu wake. Nabarikiwa sana na kazi zako
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 2 ай бұрын
Hii ni sauti yamtu aliaye nyikani , kila pando lisilo pandwa na Bwana motoniiiiiiiii Aminaaaaa ✊✊✊
@AnjelaTemu
@AnjelaTemu 2 ай бұрын
Amina mtumishi Asante Kwa mafundisho Yako juu ya mavazi
@mtotojoshuaeliya
@mtotojoshuaeliya 2 ай бұрын
Ninapenda sana vile unavyokemea uovu bila uoga.Mungu wa mbinguni akubariki sana.
@nancykirigo5874
@nancykirigo5874 2 ай бұрын
Hiyo diyo kazi ya mwijilisti.
@pastorjanekanini6204
@pastorjanekanini6204 2 ай бұрын
Nakuuga mko mtumishi wa mungu kemea dhambi kabisa
@Akinyisafi
@Akinyisafi 2 ай бұрын
Sasa naona unaitwa pastor na hata haujui jina mungu ni miungu soma Zaburi 81:9 inasemaje kuhusu hilo jina lenye umeandika na mandiko tu mengine kuanzia kitabu cha kutoka mbaka ufunuo wa Yohana soma utaelewa Amen
@LeahroseLeonard
@LeahroseLeonard 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka pascal kwa ujumbe mzuri: Maombi yangu MUNGU aendelee kukutunza na kuendelea kukutumia kutukumbusha wana wa MUNGU kuitangaza INJILI ya kristo katika maadili 🙏
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 2 ай бұрын
Walianza kwa roho, wanamaliza kwa mwili. Wahubiri wasije kua kama nyumba ya Yakobo. Wageuke wamrudie Mungu.
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Cassian nakupenda Bure kazi nzur tuonye maana kiu yangu kufika mbinguni lakn naitaji nizidi kufunzwa ili siku ni mwone MUNGU .nakuombea Kwa MUNGU azidi kukubaliki akulinde na akufunulie mambo yake yaliyo sirin ili uifunze Dunia ya Leo ubalikiwe
@MaryNgina-k4w
@MaryNgina-k4w 2 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
Hongera Mtumwa Ubarikiweee
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 ай бұрын
Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe. Wanatafuta kupendeza watu na kujipendeza wenyewe,wamemuasi Mungu. Utukufu wa Mungu haupo tena bali tuwaombee Bwana awarudishe kwenye zizi lake. Ubarikiwe mtumishi kwa kuendelea kuonya kizazi hiki kilichopotoka.
@eliamwamatandala
@eliamwamatandala 2 ай бұрын
Sauti ya mtu aliye nyikani itengenezeni njia ya Bwana Dunia hii inahitaji watu kama ninyi.
@ruthmwamburi756
@ruthmwamburi756 Ай бұрын
Mungu aturehemu,pongezi kwa kazi nzuri.
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 ай бұрын
Wakiitwa malaya wanakimbilia polisi badala ya kukimbilia kushitaki kwa Mungu😂
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 2 ай бұрын
Huyo Mungu wanamtaka Sasa ni hatari.
@AyubuJuma-df4pn
@AyubuJuma-df4pn 2 ай бұрын
Hawana mda huo wanaona Mungu atachelewa kiwajibu
@FestoJemsi-lr8pw
@FestoJemsi-lr8pw 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 2 ай бұрын
😂
@aframhenga8705
@aframhenga8705 27 күн бұрын
Cassiani Big up nakupenda hiyo gospel
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 2 ай бұрын
Tukikosa maonyo tutakufa vibaya Acha tukemewe huo ndo uhai wetu
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 2 ай бұрын
Kweli huo ndo upendo wa kweli.👏👏👏
@MaryannAlivitsa
@MaryannAlivitsa 2 ай бұрын
Very true tujirekebeshe tumrudie Mungu
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 2 ай бұрын
Nakupenda sana mama yangu, Mungu akusaidie uendelee kutunza agano lako na Mungu
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 2 ай бұрын
Ata mimi uwa nashangaa kwnn m2 anaaza vizuri badae anajipotosha kwnn lakn...kuna kifungu nilisoma kw bibilia inasema kuna wakati itafika tutamuacha mungu tufate mambo ya kidunia na ndyo hii ya sasa tunaona
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 2 ай бұрын
Kujiinua na kusahau MUNGU alikomtoa mie tangu namjua Jenifer mgendi sijawahi kuona kajichafulia jina kama Hawa wengine wanaojiinua
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 2 ай бұрын
@@AnethSwila-tw9mv Jennifer mgendi yeye ametulia na anajuwa ni nn anafanya siyo kama awa viruka njia
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
Veajabu kama vijuku vyashetani
@LylianeBaumaLyly
@LylianeBaumaLyly 2 ай бұрын
Mutumishi wa Mungu ubarikiwe sana Mimi nina amini ss wanawake ni wengi kuzimu wanawake hatusikii hatatuubiriweje MUNGU nisaidiye nipate kushinda mambo yote ya Duniani
@Genie-h9x
@Genie-h9x 2 ай бұрын
Mungu azidi kufunguliya mtumishi Paschal Cassian. Tatuwa tena baba usiwe nafu wala haya.
@rebecakikoti374
@rebecakikoti374 2 ай бұрын
Nimeipenda, ukweli mtupu. Japo inaumaa. Mungu akulinde
@LucasLaizer-if2du
@LucasLaizer-if2du 2 ай бұрын
Piga kelele paza sauti Yako usiache kuwaambia watu wangu maovu Yao sema baba na mungu akutumie
@alicejumaa89
@alicejumaa89 2 ай бұрын
uko sahihi kwa hili asante kwa ushairi
@JoyceFungo-c8k
@JoyceFungo-c8k 2 ай бұрын
Mungu tusaidie tusikengeuke Amen 🙏🙏
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 2 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe mwenye masikio amesikia
@LillianMunyaka
@LillianMunyaka 2 ай бұрын
Asante sana nashukuru Mimi mungu wangu
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 2 ай бұрын
Amen. Nakupenda sana na MUNGU akulinde na kukubariki
@AshaAshim-gy6jm
@AshaAshim-gy6jm 2 ай бұрын
Nakuombea kwa mungu akubarik xana kakaang uixhi umri mrefu ukimtangaza mungu, dunia imeixha maandiko yametimia, mollah wetu atunuxur juu ya haya Amina,,
@Akinyisafi
@Akinyisafi 2 ай бұрын
Jifunze kuandika jina la MUNGU kwa herufi kubwa mungu ni miungu tafadhali Amen
@anjelinaAnjela-ip9oj
@anjelinaAnjela-ip9oj 2 ай бұрын
sema mtumishi japo wengine awkuelewi ila iposiku watakuelewa tu endelea kusema na MUNGU wa mbinguni akulinde utokapo na uingiapo kwa jina la Yesu
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
Saluti mpiga kinanda..unapooza utamu sana❤
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 2 ай бұрын
Eeee! Yesu Kristo turehemu na uzao wetu 🙏
@AyubuJuma-df4pn
@AyubuJuma-df4pn 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Hapo nimepata somo
@ShadrakaAthumani
@ShadrakaAthumani 2 ай бұрын
Ukweli Mimi nakuelewa ev casiani,Mungu azidi kukutetea zaidi najua unavita kubwa Sana lakini Mungu atakulinda Wala hatakuacha kamwe usiogope kuusema ukweli nyakati hizi za mwisho
@Leah-mbilizi
@Leah-mbilizi 2 ай бұрын
A man of God with no fear ❤️
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 2 ай бұрын
Brother big up isee you difficut with other's.
@ekiliangoliga644
@ekiliangoliga644 2 ай бұрын
Wenye kukuelewa ni wachache mno, lakini endelea kupiga injili mtumishi
@furahag3098
@furahag3098 2 ай бұрын
Huu ndio ujumbe wawakati kweli tusipo chunga jehanam itatuhusu wapendwa tugeuke 😢
@IbuGang
@IbuGang 2 ай бұрын
Sana binadamu wanabadilika kwà kweli shetani yupo kazini
@eliamwamatandala
@eliamwamatandala 2 ай бұрын
MUNGU akubaliki sana tunahitaji watu kama ninyi katika kizazi hiki.
@MakaliusNgua-vb5sb
@MakaliusNgua-vb5sb 2 ай бұрын
Yani sijuwi tunakwenda wapi nyimbo za sasa hazina tofauti na za kidunia
@JanethMkala
@JanethMkala 2 ай бұрын
Mungu atuhurumie
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
MUNGU atusaidie sana wanawake tulio wengi sisi kibuli kimetutawala sana nakujiamini pamoja na tamaa Tunaomba mtuombee Watumishi
@Ursain.IKE.jesuis9365
@Ursain.IKE.jesuis9365 2 ай бұрын
👏👏👏👏 kabisa baba
@Ursain.IKE.jesuis9365
@Ursain.IKE.jesuis9365 2 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kweli Baba 👏👏👏
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 2 ай бұрын
samahani mweshimiwa nakupenda sana naomba mahubili yasiwe ya kusemezana maana wengine wana imani na watu hao samahani lakini mngu awe nawe
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 ай бұрын
Huyu ni muhubiri lazima aseme ,unataka afiche nini?
@estephanowakilwakilwakil6023
@estephanowakilwakilwakil6023 2 ай бұрын
Naku support saaaaaaana kwa hilo kaka!
@AMINAJOHN-tx5eb
@AMINAJOHN-tx5eb 2 ай бұрын
Safi sana kaka piga kelele
@dorcasmukhanji5231
@dorcasmukhanji5231 2 ай бұрын
Nauliza wakati bibilia inaandikwa kulikuwa na marazi au water walivaa ngozi tafadhali nijibu
@issayawakolela-r1y
@issayawakolela-r1y Ай бұрын
Apana mungu atulehem atutienguvu huyovni shetani ndaniyake huyo dada
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 2 ай бұрын
Paschal uko sahihi kabisa hata Mimi nimeona hayo mavazi hayamuwakilishi Mungu kabisa
@hanagango6922
@hanagango6922 2 ай бұрын
Mungu aturehemu
@Isaya-Anosisye
@Isaya-Anosisye 2 ай бұрын
kaka video haionyesh hapa nifanyeje
@SarahWilson-g2u
@SarahWilson-g2u 2 ай бұрын
Kamanda wa Yesu💪
@AnaAna-rb8fh
@AnaAna-rb8fh 2 ай бұрын
Kaka paschal uimbaji wa nyimbo za injili sasaivi nibiashara za masrah Yao wenyewe, kuabudu Wala kusifu kwa Leo ni asilimia 20 tu imebaki.
@Patience.67
@Patience.67 2 ай бұрын
Amen
@pauldaniel6227
@pauldaniel6227 25 күн бұрын
Mwinjilist ivoivo ata usipoe ni mda sasa Siyasikii aya mahubir wengi wanarembaremba sana tuchane tupone
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
Sana Baba
@cosme-h8e
@cosme-h8e 2 ай бұрын
Gog bless
@Patience.67
@Patience.67 2 ай бұрын
Hayo mavazi sio mazuri
@ThomasNghwani-nw6rx
@ThomasNghwani-nw6rx 2 ай бұрын
mavazi yenyewe kiatu
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwaajili pascal upo sahihi Waimbaji badilikeni rudini mlivokuwa mwazo JAMANI heshima kanisa iwepo.mmmh
@AliceNgandu2023
@AliceNgandu2023 2 ай бұрын
Ina sikitisha kweli walinza kwa Roho wana elekiya kumaliza kwa mwili 😭😭😭😭😭😭😭
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
Kweli kabisa Mtumwa
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 2 ай бұрын
Acheni kuzoea maonyo kwa JINA LA YESU KRISTO.hii sio sauti ya paschal oh! Ni sauti ya mtu aliayae nyikani Tengenezeni jamani
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 ай бұрын
Kwa anastasia mukabwa nimestuka mnooooooo😂😂😂😂hv wanapatwa nann jmn hawa watumishi wa Mungu ALAFU WAKIAMBIWA UKWELI WANAKIMBILIA POLISI KM SHUSHO WALITAKIWA WAKIMBILIE KWA ROHOMTAKATIFU
@ukweliwanenokatikahili7526
@ukweliwanenokatikahili7526 2 ай бұрын
Hahahaha 🤣 Wachape Baba , Nitakua nachukua nafasi ya kukuombea
@zacharianyanda5424
@zacharianyanda5424 2 ай бұрын
Waibaji wa Injili wanawake Shetani anawatumia kueneza upotofu na ukahaba.Mioyo yao waimbaji wa Injili sasa inaelekea ubaya tu kila wakati.Basi wajaze kikombe cha uovu wao. Endelea kupaza sauti Ev.Pascal mwenye masikio asikie na na asiye masikio asisikie. Ndiyo maana siku za Nuhu watu wachache waliookoka.
@Magrethw-xp4ru
@Magrethw-xp4ru 2 ай бұрын
Aaah baba una kasheshe 😂😂😂 umetoka kwa Tony sasa kwa Anna twende mkuyuni kwa Tony utapata hiyo pesa😅
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 ай бұрын
Huruma sana
@floraflora9490
@floraflora9490 2 ай бұрын
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe, piga injili watu waokoke achia Mungu ahukumu
@Franckmulaj-Officiel
@Franckmulaj-Officiel 2 ай бұрын
Ni mapepo muchafu inawaongoza awa 😭😭😭😭
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 2 ай бұрын
Wengi wameingia agano na mungu wao shetani ndiyo maana wanafanya mapenzi ya baba yao shetani,paza sauti mwenye maskio atasikia.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 2 ай бұрын
Huu ujumbe ulikuwa wake Mungu alimwambia avue hizo nguo yeye hakumsikia vizuri akazani wanamwambia Musa avue kiato. Vueni hayo mavazi mkavae mavazi yanayo sitiri miili. Sisi ni nuru ya ulimwengu.
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz 2 ай бұрын
Ni umalaya na freemason
@Apostledanielsmith2543
@Apostledanielsmith2543 2 ай бұрын
Hapo nikweli kabisa
@MeshackyMwashiuya-o3p
@MeshackyMwashiuya-o3p 2 ай бұрын
Kaka kwer huo ni umalaya tu
@lilyg2134
@lilyg2134 2 ай бұрын
UKIMUONA SASA HUYO BINTI YAKE ANAVOKAA UCHI MAPAJA NJE KILA SIKU ...BORA UMEMWAMBIA
@MeshackyMwashiuya-o3p
@MeshackyMwashiuya-o3p 2 ай бұрын
Huoo ni umalaya
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 2 ай бұрын
Mhuuuuuh hatari
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j Ай бұрын
Hakika nimekuunga mukono kukemea dhambi
@MwanahamisiHashim
@MwanahamisiHashim 2 ай бұрын
Kwel
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
Jamani binadamu tumehalibika
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
AMEIN
@jossymwambe7889
@jossymwambe7889 2 ай бұрын
Ukweli usemwe Ongea yote mtumishi wa mungu
@Akinyisafi
@Akinyisafi 2 ай бұрын
mungu ni miungu ndugu yangu soma bibilia yako kutoka mwanzo mbaka ufunuo wa Yohana ama soma Zaburi 81:9
@abiihellen2822
@abiihellen2822 2 ай бұрын
Utafika mbinguni kama umechoka
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 ай бұрын
Wimbo wa zaidi ya miaka 10.ndio.munaongelea leo?Wajuaje kama watu wametubu na kubadilika usihukumu usije ukahukumiwa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Sielewi hao wadada wanamwimbia nani
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 2 ай бұрын
Waaambie ukwel..pesa ndyo zimeaingia..
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL 2 ай бұрын
Mmm sio vzr kusema sema watumishi hivyo.huna hekima wewe.ungemtafuta private umksnye.wewe tafuta sadaka ni njaa Tu inakusumbua
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 2 ай бұрын
Biblia inasema nikimwambia mwanadamu utakufa na wewe usimwambie na mtu huyo akafa damu yake nitaitaka mikononi mwako lakini ukimwambia mtu huyo na asipokusikia damu yake itakuwa juu yake na wewe umenawa damu yake...... biblia inasema pia paza sauti usiache wambie watu wangu mwakosa yao
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 2 ай бұрын
AMINA
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 ай бұрын
Mmmmh yaani
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame 2 ай бұрын
Yani naon kam nakuon moyon mwako ambavy unataman watu waijue kwer n waach dhamb man unahubili kwa hisia san mung akubariki n tutend mema
@mwikalicatherini6092
@mwikalicatherini6092 2 ай бұрын
Waaambie Tena na Tena kaka
@estherbettyfavour
@estherbettyfavour 2 ай бұрын
Hakuna aliye mkamilifu, badala ya kuhubiri dhambi mhubiri Yesu ndio suluhisho tosha!!!
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 2 ай бұрын
Soma mandiko wewe
@estherbettyfavour
@estherbettyfavour 2 ай бұрын
@@stevenkipara9310 Wewe soma kwanza, nyinyi ndio mafarisayo wa Leo.
@FestoJemsi-lr8pw
@FestoJemsi-lr8pw 2 ай бұрын
​@@estherbettyfavourupo nyuma sana soma biblia kilasku uku ukimuomba MUNGU loho mtakatifu atakuongoza kujua ulimwengu unaendaje 🙏
@estherbettyfavour
@estherbettyfavour 2 ай бұрын
@@FestoJemsi-lr8pw Je wewe umekamilika? Hivi hayo ndio mahubiri ya jumapili? Mtu asimame kuhubiri Anastasia badala ya kuhubiri Kristo. Toa kwanza boriti Kwa jicho lako kisha utoe kibanzi Kwa jicho la mwengine.
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 2 ай бұрын
ONYEKENI JAMANI MUDA UKIPITA WA KUONYWA MTAKUNYWEA KIKOMBE KIKIJAA.
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz 2 ай бұрын
Ni kahaba
@irmichaelmbabaziheritier8416
@irmichaelmbabaziheritier8416 2 ай бұрын
Heeeee n'a shangaaa tu
@Leah-mbilizi
@Leah-mbilizi 2 ай бұрын
❤️❤️
@MeshackyMwashiuya-o3p
@MeshackyMwashiuya-o3p 2 ай бұрын
Huoo ni umalaya kuvaa mavazi ya mwanau wakati wewe ni mwamke😮
@abiihellen2822
@abiihellen2822 2 ай бұрын
Wewe nawe umekosa la kuhubiri ,huna mengine wewe mchungaji mzima huja haya,ivi unapo huburi na ww hujui pia ww kuna sadaka za hao malaya pia unakusanya.hukumu muachie mungu,unamuita mtu malaya wewe ya kwako huyaoni.hubiri neno na sio kushtumu watumishi.nyinyi ndio wale hamna yakuhubiri sasa munatafuta mambo yasiyokuwa na maana, yani utoke kwako tu ukamhubiri annastacia 😂😂😂😂😂una kazi basi
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL 2 ай бұрын
Nikweli huyu ni njaa Tu inamsumbua.na ushamba,mkewe mwenyewe mshamba anavaa kishambaaa ndo maana
@fredgonga
@fredgonga 2 ай бұрын
Ukiona unaambiwa ujinga wako ujue unapendwa!!
@MapendoManiraguha
@MapendoManiraguha 2 ай бұрын
God forgive us
CASSIAN SHABOKA WAPIGANA' KUMWITA MKEWE KAHABA EV PASCHAL CASSIAN
1:47:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 33 М.
VITA KALI CASSIAN NA PASTA TONI  IMERUDIA UPYA  EV PASCHAL CASSIAN
1:06:01
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,8 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 29 МЛН
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 222 М.
IDENTITY PURPOSE AND POWER || MIN. JOHN ANDONG || 5TH OCTOBER, 2024
3:32:05
Fatmanan Gabriel Mafulul
Рет қаралды 1,9 М.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 39 М.
OH LORD MAKE A WAY [ MIDNIGHT PRAYERS ] || APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:45:06
Journey With Christ
Рет қаралды 322 М.
13th Annual State Lecture Abuja
3:14:23
THE MUSLIM CONGRESS ABUJA
Рет қаралды 760
NABII IPM NA ASIKOFU GWAJIMA WAMJIA JUU  CASSIAN KUHUSU SIASA NA UCHUNGAJI EV PASCHAL CASSIAN
1:08:36
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 65 М.
MCH.KATEKELA:MALANGO YA KUZIMU NA MANABII WA UONGO WANAVYOSHIRIKIANA
1:34:31