No video

Annoint Amani Ft Bahati bukuku - YE ALISIKIA WAPI ? ( Avoir c'est mauvais Official music Video)

  Рет қаралды 1,435,429

Annoint Amani

Annoint Amani

Күн бұрын

#annointamani#bahati#bukuku#
Moyo wa Mwanadam ni fumbo kubwa sana,
Usijaribu kuamua kabra ya kujiridhisha vizur na tarifa au jambo lililo tokea ,
Hata kama unaona kabisa kuna ushahidi wawazi kuwa muhusika kafanya ,
Bas jarbu kuvuka mpka zaidi kwa kutaka kujua je? nia yake ilikuwa ni hiyo au mazingira yalimfanya akakosea ,
Ili usikurupe usiamua mbela ya weng maana penye weng pana meng,
Tulia peke ako na kama utataka mtu akushaur tafuta alie kuzidi umri na maarifa ,
Pia hakikisha huyo mtu ni mzewefu wa hilo lililo kupata ,
Hasira ni mbaya sana katika maamuzi
(Mwanadam akifurah sana anaweza kuahidi vitu vikubwa ambavyo hata hawez kutimiza ,
vilevile mtu akikasirika anaweza akaongea au kufanya vitu vigumu ambavyo badae vinaweza kumuweka pabaya)
Ivyo usiamua Bila Mungu kuhusu utakosea chunguza kwanza usje Hukumu bila kosa )
(MTUNZI NA MWIMBAJI ANNOINT AMANI)
Artist Annoint Amani ft gospel legend Bahati Bukuku
( Language Swahili & French)
Audio A.E.A Tones studio
pro by Meddy+255712621330)
Video;A.E.A quality Video,director by Meddy+255712621330)
Bookngs
email;amananoint@gmail.com
istagram;annointamani
+255767240181 = +255755099942
Dar Es salaam Tanzania)

Пікірлер: 420
@brothercorrmuyonga4998
@brothercorrmuyonga4998 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏Tusije hukumu bila kosa wapendwa wa Afrika Mashariki,, Ujumbe mwafaka kaka Annoint ,, naupenda sana pamoja na Wakenya kiujumla twabarikiwa zaidi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🙏🙏🙏neema na itoshe daima
@christopheraine6446
@christopheraine6446 3 жыл бұрын
Kaka wewe ni kijana ambae Mungu anajivunia usitoke kwenye neno la Mungu tuna kupenda saaana
@khadidjaniyonkuru4171
@khadidjaniyonkuru4171 3 жыл бұрын
Kbs nikweri
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Wimbo umenigusa sana,nipo mbali na nchi yangu,lakini nyumbani baadhi ya ndugu zangu wanalalamika na kuniesema vibaya,kuwa siwatumii hela lakini awajui changamoto ninayo pitia
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
Kwa wote iko ivyo ndugu ,Tuna rahumiwa mnoo mnoo .
@barakasimon2075
@barakasimon2075 Жыл бұрын
Hongera kaka kazan utufikishe nchi ya a hadi wimbo mzur tena saanatu,.
@wesongaeugine4530
@wesongaeugine4530 3 жыл бұрын
Bahati umejipaka sana hadi unakaa Jezebel katika Bibilia
@fideleharerimana8534
@fideleharerimana8534 Жыл бұрын
Na umwambie yure mpigaji wa piano aweke viungo tena zaidi tunakupenda sana bujumbura burundi tuko sambamba na wewe lakiini viungo kwenye piano
@mariahrose1494
@mariahrose1494 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri❤️
@jedidakimotho6421
@jedidakimotho6421 2 жыл бұрын
Mungu u najua zaidi waliofungiwa bila hatia wewe tu waokoe wimbo mzuri Sana.
@gaudenceharerimana7743
@gaudenceharerimana7743 3 жыл бұрын
Amani nakupata kilasiku from America
@lizychris4776
@lizychris4776 3 жыл бұрын
Mimi nikajua mose iyobo jmn watu wawil wawili barikiwa sana
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 жыл бұрын
Hata me
@elizabethjames2693
@elizabethjames2693 3 жыл бұрын
Eti wanafanana sana
@neemaherman5684
@neemaherman5684 3 жыл бұрын
Amina watumishi wa Mungu nyimbo imenitoa machozi nikikumbuka maisha yangu Mungu awabariki
@soniaathumani4378
@soniaathumani4378 Жыл бұрын
Mungu akubarik sanaa mtumish
@jeannettefuraha854
@jeannettefuraha854 3 жыл бұрын
Bukuku wewe ni mama muzuri
@janetmasinde9691
@janetmasinde9691 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe
@fideleharerimana8534
@fideleharerimana8534 Жыл бұрын
Annoint tunaitaji uwe unafwatiria kwenye wimbo hii ilidufundisha sana tena sana katika maisha yetu
@omidopatrick9029
@omidopatrick9029 6 ай бұрын
huu wimbo unagusa kweli mafunzo makubwa haya God bless you all
@bahatijeremie1236
@bahatijeremie1236 3 жыл бұрын
Hujambo ndugu yangu mimi hapa bahati Jérémie ,niko DRC Congo goma,mimi ni muimba jipiaya wanyimbo za injili piya Muhubiri wa neno la Mungu ,naomba nita fute in mbox tungee zaidi
@agnesindimuli
@agnesindimuli Жыл бұрын
Wimbo mzuri. Pongezi kwenu
@hatungumanalahmabintiyusuf6722
@hatungumanalahmabintiyusuf6722 3 жыл бұрын
Nc song my brother kutoka Burundi tunakupenda bure🥰🥰🥰🥰🥰💔💔💔kakayetu Mungu akupe maisha malefu my brother 💔💔💔💔
@janetmwelu5132
@janetmwelu5132 Жыл бұрын
Huu wimbo wanitia nguvu . am watching from Kenya
@beatriceamisi4196
@beatriceamisi4196 3 жыл бұрын
walio sikia kifaransa tupo wangapi tujuane wapi like zawacongomani ✌️🙏😊
@wamunguliliane2389
@wamunguliliane2389 3 жыл бұрын
Nipo hapa mswahili francophone
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
@@wamunguliliane2389 yani tuko weng saana ,
@amanisalim7939
@amanisalim7939 3 жыл бұрын
Ubalikiw baba ANNINT. ujio wa mngu ukulinde daima
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Namuombea sana pia
@FRANK.WK-hx4sz
@FRANK.WK-hx4sz 6 ай бұрын
Very nice song ❤❤❤
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 2 жыл бұрын
Waimbaji WENGI wa nyimbo za injili hawajaokoka unaimba unanyonga nyonga mdomo mtoto wa KIUME utafikili wa kike wewe siyo mtumishi wa Mungu wewe muelimisha jamii wakawaida
@neemamwakapala4980
@neemamwakapala4980 3 жыл бұрын
Kweli kabisa umesikia wapi nimependa hii Mungu awabariki sana
@bensonnyongesa4653
@bensonnyongesa4653 Жыл бұрын
Beautiful
@annastaciakingooofficial1249
@annastaciakingooofficial1249 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri nitakutafuta tufanye collabo
@AdonisSifa
@AdonisSifa 3 жыл бұрын
Kazi safiii😘😘😘... Annoint you are my Role model
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
Wimbo umefanya ni pigwe na Butwa mpka nisahau Ku comment , Hakika Annoint umejua kumi shangaza kwa hii nyimbo , King of gospel music East Afrika .
@happykimaro1080
@happykimaro1080 3 жыл бұрын
Uko vzr sana kk
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
@@happykimaro1080 Ina ujumbe mzito sna
@felisteredward164
@felisteredward164 Жыл бұрын
Hongela Kaka wimbo unaujumbezur
@GracePius-bp9pz
@GracePius-bp9pz Жыл бұрын
Nakukubali kwanyimbo zanjili zinanibaliki sn
@sitellamatni6878
@sitellamatni6878 3 жыл бұрын
Hi imenibaliki sanaa🙏🙏🙏🙏
@naomimartin1620
@naomimartin1620 Жыл бұрын
Bukuku nakupenda wewe ni mtumishi mzuriiii
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 3 жыл бұрын
HAKIKA WWE nisiraha ya Mungu nakupenda sana
@annointamani3285
@annointamani3285 3 жыл бұрын
UTUKUFU KWA YESU KAKA ANGU ,NASHUKURU KWA SAPOT YAKO HATA WEWE NI SILAHA YA BWANA IPIGAYO KUWILI, SHETAN ANAKUOGOPA SANA , TUKO PAMOJA SHUJAAA
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Napenda kuona huu umoja wenu na ushirikiano ,Mungu awape maisha marefu na yenye baraka tele .
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
Kwapamoja ƙwakweli BABA zangu Annoint Amani FT Pascal Cassian
@bonirapha796
@bonirapha796 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa bwan
@catherineamani7671
@catherineamani7671 Жыл бұрын
inatisha sana nyimbo mziki sana
@estermachea3373
@estermachea3373 3 жыл бұрын
King of Gospel East Afrika na kati yani umekuwa chachu kwa vijana weng sana kwa sasa , Saut yako tam sana ina kila radha unashuka unapanda unaimba kat yani , Hii ni zawad tumepewa na Mungu ,na mshukuru Dada Bahati Bukuku kwa kutambua kitu ulicho nacho na kukupereka kwa weng zaidi ,weng walijifanya hawakuoni wamekupotezea Fran ivi wakat mioyoni wanajua kabisa huyu dogo hakuna wakugusa moto wake kwa sasa ,Lakini Bahati Bukuku Mungu ambariki kwa kuvunja ukimya kweli kabisa ,Levo yako Annoint ya sasa sio sawa nguvu ya uwezo ulio jaliwa na Mungu kwa dalili hizi za mwaka huu mpka mwisho kila mtu atakuwa ataja jina lako, unaenda kuinuliwa saaana sana.Tena sio gospel tu utavuma kwoote maana nyimbo zako zinagusa kwa watu wote. BILA KUFICHA WEWE NDO MFALME WAWAIMBAJI KIZAZI KIPYA WA GOSPEL EAST AFRIKA NA KATI NA AFRIKA NZIMA . HILI TAJI TUSIPO KUPA SISI WATAKUJA WATU WA MBALI WATAKUPA Nakuombea sana unyenyekevu baba angu.
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 3 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa Hata Yesu aliuliza wanafunzi huko nnje wana nizungumziaje,Ikawa tofaut sana lakini Petro akatambua yakuwa Yesu ni mwana wa Mungu alikuja kwa majila sahihi ,NASISI WENG TOKA MWANZO TULISHAJUA HUYU NDIE MFALME SEMA TU WAKAT ULIKUWA BADO SASA NDO WAKAT WAKE ,MAANA HUYU KATUMWA NA MUNGU KABISA SIO ILE YA KUIGA NI MTEULE KABISA . NILIPOONA BAHATI BUKUKU NILIJIKUTA NATAKA KUTOA MACHOZ MAANA NDO WA KWANZA KUONESHA AMETAMBUA KITU CHA HUYU MTOTO KWELI MWAKA HUU A.E.A TUMEUANZA KWA KISHINDO .
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
@@atupelemwitiki Ni wakat wake huyu mtu wa Mungu .
@ValentinaScovia
@ValentinaScovia 27 күн бұрын
May God bless u and pray for single mothers
@elishamollel9146
@elishamollel9146 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana Akili za kuambiwa changanya na zako utahukumu bila kosa
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
Kenyans huwa hamchelewi❤️❤️❤️dedication to diaspora workers
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Kanya no 1 kwa gospel East afrika
@JosphatKasoloj-k
@JosphatKasoloj-k Жыл бұрын
Nice woooowe 💕❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️
@faithmachuma
@faithmachuma Жыл бұрын
Amen amen be blessed brother anointe amani
@elizabethclipperofficial811
@elizabethclipperofficial811 3 жыл бұрын
Kongole kwenu. Mungu awabariki kwa hudumu hii mnayoifanya kujenga ufalme wa Mungu. Mungu anapowatambua nawatambua pia. Baraka
@officialteddy1448
@officialteddy1448 3 жыл бұрын
Kabisa wimbo wa mwaka 2021 na kuenderea ujumbe mzito saana .
@angeljohannes8630
@angeljohannes8630 3 жыл бұрын
AMINA KUBWA, Mungu awabariki kwaujumbe wenu kwetu nakwa mataifa yote nakwawale walio vunjika mioyo nakuvunjwa mioyo yao, hakika wamepata Amani kubwa kupitia Ushauri wenu wakiroho,
@moseswanjala6799
@moseswanjala6799 2 жыл бұрын
Praise God man of God
@jacobokeyo-vl6os
@jacobokeyo-vl6os Жыл бұрын
Am blessed my brother from Tanzania
@reginamanchula5037
@reginamanchula5037 3 жыл бұрын
Bahati hapa ulicheza kama ww.Representing fellow Kenyans... Nane Wamanch.
@ruthruth6877
@ruthruth6877 2 жыл бұрын
Wooow be blessed pipo of God
@cynthiaroda8247
@cynthiaroda8247 3 жыл бұрын
Ulisikia wapi wewe wonderful song
@starbongo853
@starbongo853 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuli umetujenga
@reginaachola9077
@reginaachola9077 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sanaa from kenya
@janetonsongo7321
@janetonsongo7321 3 жыл бұрын
Reality ata mm niliambiwa Ivo I ended up being house girl may Lord bless all house girls in this world
@humphreymsauzi6880
@humphreymsauzi6880 3 жыл бұрын
We Nouma sana mkuu
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Noma sana sana kabisa Huu wimbo uta hiti sana.
@naomnyaboe8163
@naomnyaboe8163 Жыл бұрын
Mtumishi usikilie hapo kipawa ni chako
@aronkipyego6668
@aronkipyego6668 3 жыл бұрын
Those who unlike this song mmerokwa kwani,,? such wonderful song
@nancysinoya6816
@nancysinoya6816 2 жыл бұрын
Wow good job
@burtonmwansamale2512
@burtonmwansamale2512 3 жыл бұрын
Huu umeimba kihalisia mzuri. Nyingine unaimba kama mwanamke inaboa. Sasa vizuri.
@meshaelmwaijumba3223
@meshaelmwaijumba3223 3 жыл бұрын
Hongereni sana dada ang mmejitahidi
@tumainkwayabarazani5040
@tumainkwayabarazani5040 3 жыл бұрын
Una bongo mkubwa sana , Niseme ni neema kubwa Mungu kakupa mfalme tunakuombea ,lilo kusudi la Mungu kuokena Bahati bukuku hapa .
@priscaandrew7306
@priscaandrew7306 3 жыл бұрын
We Barazan ya wap jmn... Mang'ola nn?
@catherinemurugi3718
@catherinemurugi3718 3 жыл бұрын
From Kenya here I'm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wilfredmusyoka8400
@wilfredmusyoka8400 3 жыл бұрын
In Kenya we say Ooooooliskia wapiiiiii....
@rosetriza2846
@rosetriza2846 3 жыл бұрын
Niwo
@estherkatunge4926
@estherkatunge4926 3 жыл бұрын
Ooliskia wapi , fantastic song much represented from Kenya
@florampessa8342
@florampessa8342 3 жыл бұрын
Mkono wa bahati wameuedit vibaya mmoja mnene mwingine mwembamba
@estersteven1720
@estersteven1720 3 жыл бұрын
Et au mmoja umevimba
@lilianwaanda7224
@lilianwaanda7224 3 жыл бұрын
God bless you brother you are delvering atrue msg tunapitia hayo hayo.
@ritanofear4634
@ritanofear4634 3 жыл бұрын
Wow! It's TRUE, Kuna watu wako gerezani bila hatia yoyote. Oliiisikia waapiii.. such a nice song. U always bless my heart, much love for u n mmy Bahati. God bless u
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Yani mhh Mungu atusaidie
@Lilian-su9jv
@Lilian-su9jv 2 жыл бұрын
Pray for me mtumishi salary yangu.u haki inakatwa plaese. Naomba.niko Saudi Arabia.iam the one who breaks the spirit of poverty in my home.
@marykawira9084
@marykawira9084 3 жыл бұрын
Hii ni kweru juu my brother hamefungwa na makosa sio yake
@Starlighttz538
@Starlighttz538 3 жыл бұрын
huu wimbo unaujumbe mkubwa sana sichoki kisikiliza
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
Yani ni kubwa lao hapa tutakaa Wang kusikiriza bila kuchoa alafu video imetendewa haki., Yani aidia mpya kabisa kwajili ya wakat wa miaka yote .
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
@@mlokolekaokoka8962 kabisa nimependa sana
@lenatiusjonas4714
@lenatiusjonas4714 3 жыл бұрын
Kaka mshukuru mungu kwa kukupa kipawa cha saut mi naukubali
@marykmusiq8442
@marykmusiq8442 3 жыл бұрын
Kaka anointing napenda sana nyimbo zako huwa zina mvuto na ujumbe wa kutujenga sana..natazama nkiwa Kenya nami nkona video mpya..mwenye KZbin naomba ukautazame tambua mungu ndio Jina LA wimbo mwenye mvuto watambue mungu kwa yote wanayopitia wawe na subira mungu atatenda maishani mwao
@nickomwazembe671
@nickomwazembe671 3 жыл бұрын
Ameniiiii
@lameckmahona2058
@lameckmahona2058 Жыл бұрын
Ulisikia wap
@fransicochunji327
@fransicochunji327 3 жыл бұрын
Safiii hongera saana kwa wimbo maalum ambao nifundisho kubwa kwa jamii. Mungu akubariki.
@bigirimanasamson2064
@bigirimanasamson2064 3 жыл бұрын
Hiyi sasa kali yes habari za kuambia canganya na zako
@milliamjohnie624
@milliamjohnie624 Жыл бұрын
Wow this is amazing
@Nkotanyi1990
@Nkotanyi1990 3 жыл бұрын
Mubalikiwe Sanaa I love this song
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
We kijana unaakili nyingi umeona mbali ndivo tunavolaumiwa hvohvo
@susanmukami5807
@susanmukami5807 2 жыл бұрын
Wow I love your songs alot ,kwanza hii ya mama Iko mwaaaaah
@anordfrance9968
@anordfrance9968 3 жыл бұрын
Nimeupenda sana huu wimbo
@Starlighttz538
@Starlighttz538 3 жыл бұрын
Akili za kuambiwa changanya na zako
@Starlighttz538
@Starlighttz538 3 жыл бұрын
sana nimependa apo wazazi kijijini wakienda kwa mganga Lengo kumrudisha mwanao alieko mjini kwa madaikua anakura bata na wazazi awakumbuki, kumbe mtoto ata jero ya kula mihogo hana Kweli aidia kali sana. NA KWETU TABIA IYO IPO SANA
@tumainkwayabarazani5040
@tumainkwayabarazani5040 3 жыл бұрын
@@Starlighttz538 Hahahha kwenu wapi huko ,ni kweli vijijin wanajua tunapesa ukisema sina hawaelew kabisa .
@Starlighttz538
@Starlighttz538 3 жыл бұрын
@Tumaini kwaya barazani Ndio alafu ata ukirudi mkaishi wote uko kijijini akuna kitachoongezeka zaidi ya kutazamana tu na kuombana chumvi ya Mawe😁😂😂😂
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
@@Starlighttz538 wewee kweli kabisa
@carolmwenda6202
@carolmwenda6202 2 жыл бұрын
I missed bukuku😭thank God she is back,i love her songs alot
@happinessshirima3279
@happinessshirima3279 3 жыл бұрын
Wimbo mzurii sana
@charugamba218
@charugamba218 2 жыл бұрын
Siku nyingine mpe na Bahati Bukuku aimbe tusikie radha ya sauti kutoka kwake tafadhari
@prosscoviabisoboka7319
@prosscoviabisoboka7319 3 жыл бұрын
God is great
@jonathanmtm3159
@jonathanmtm3159 3 жыл бұрын
Wimbo ulio na masomo kibao ndani yake, hongera kaka Kenya twakupenda
@robbertjames3668
@robbertjames3668 3 жыл бұрын
Mnampenda mama yake hawqtoshi?
@kansiimefuraha7397
@kansiimefuraha7397 3 жыл бұрын
Hongereni jamani Mungu awazidishiye zaidi musichoke
@millygatakaa6621
@millygatakaa6621 3 жыл бұрын
Wow wimbo mtamu sana
@emmanuelmwambogha1088
@emmanuelmwambogha1088 Жыл бұрын
Your songs touch me and you song always teach good thing
@celinejepchumba6483
@celinejepchumba6483 3 жыл бұрын
254.. Wimbo nzuri sna all the way from Cairo Egypt 🇰🇪🇪🇬
@tabbywamtz501
@tabbywamtz501 3 жыл бұрын
Mambo celine
@celinejepchumba6483
@celinejepchumba6483 3 жыл бұрын
@@tabbywamtz501 poa how are you
@tabbywamtz501
@tabbywamtz501 3 жыл бұрын
@@celinejepchumba6483 am fine thanks, pls my siz I need your help pls
@martinbruno9071
@martinbruno9071 3 жыл бұрын
Jamani we kaka nimekupenda bure...asante sana kwa mahubili mazuri,,Mungu akubariki,,
@astahilikifyas3524
@astahilikifyas3524 3 жыл бұрын
Wimbo unaupako hatar Mungu akubariki sana Kaka
@rachelelias6522
@rachelelias6522 3 жыл бұрын
Ubarikiweeee mpaka ushangae kaka
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 3 жыл бұрын
Nimeipenda
@merveilleajabu
@merveilleajabu 3 жыл бұрын
Thanks for French I hear inside. Love from Congo
@lucykemboi6238
@lucykemboi6238 3 жыл бұрын
Nice one watching from Kenya
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
Woooow nasubiriiiiiiii spati pichaaaa .
@seinlenkaimusic7296
@seinlenkaimusic7296 2 жыл бұрын
This reminds me how God is fighting for me 😢 My testimony 🙏
@staciepaul111
@staciepaul111 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hasira ni hasara,tunaitaji kutafakari kwa undani
@amochephel4852
@amochephel4852 3 жыл бұрын
oooh love this song.barikiweni sana
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 жыл бұрын
Tumerud tena msiba wa baba magufuri ulituchanganya tukasahau mpka nyimbo zetu kal kama izi ,sasa ni mwendo wa view kama wote tuifikishe hii ngoma ,Lak 5 haraka ili mjini M1 tusichelewe woyoo.
@janethjames6864
@janethjames6864 2 жыл бұрын
Kaka unaimba sana ubarikiwa,name nahitaji kupiga korabo nawe
@mildredalukudo7385
@mildredalukudo7385 3 жыл бұрын
Much love I'm from Kenya
@davidndungumburu1642
@davidndungumburu1642 2 жыл бұрын
Congorlation Anointed for that song
@alexinamushila9186
@alexinamushila9186 2 жыл бұрын
Amen i like this song
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 24 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 279 М.
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,7 МЛН
Annoint Amani = Yesu Naomba Miguu ( official music video )
6:14
Annoint Amani
Рет қаралды 975 М.
Annoint Amani - UNAJITOA AKILI ( official music video )
7:14
Annoint Amani
Рет қаралды 186 М.
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 244 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 24 МЛН