Annoint Amani = Hako Kadudu ( Official music Video Skiza Code 9039319 to 811)

  Рет қаралды 2,245,059

Annoint Amani

Annoint Amani

2 жыл бұрын

#hakokadudubyannointamani#
Kadudu ni tabia ngeni ambayo mtu kabra ya kuolewa au kuoa anakua haijui kabisa kwa mwenzie,
Watu wengi wakati wa uchumba hujitaidi kuzificha tabia zao za asiri wakihofia kuachwa,
Hilo sio jambo sahihi kwako, maana mme au mke ni mtu ambae Mungu anakupa tangu unapo funga ndoa mpka kufa,Huyo ndo msiri wako anae takiwa kujua kila kitu kutoka kwako,
ili hata kama mnaoana awe anajua anaoa au kuolewa na mtu wa aina gani.
Kama unampenda saana huyo mwenzio,ila unaona kabra ya ndoa kuna tabia hutaiweza,
bas ujue si riziki ni bora kumuacha ili mbele msi harbu sifa ya ndoa mka achana,
na kwenda kinyume na matakwa ya Mungu maana Mungu anachukia kuachana.
( NIA YAKO IKIWA NJEMA, UKAAMUA KUMFICHA MWENZIO KITU KWA FAIDA YA BAADAE,
HILO SIO KOSA KABISA,LAKINI NI KWA WALIO OANA TU,
NNJE YA HAPO KUWE NA SABABU NZITO ILI KUJENGA NA SIO KOBOMOA,
MAANA NI BORA NUSU SHARI KULIKO SHARI KABISA,
KAMA KWELI UNAMPENDA NA UNAONA KUNA SHIDA,
MUACHE ILI KESHO USIJE UKAMUUMIZA BAADA YA NDOA )
Annoint Amani Bookings,
Instagram Annoint Amani,
+255767240181 = +255755099942 )
VIDEO,
Directed by Kheri/Hanscana brand
+255693 354 566)
AUDIO,
A.E.A Tones studio,
producer by Meddy.
Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 481
@StephenKasolo
@StephenKasolo 2 жыл бұрын
hayo makonde aaa noo siwezi vumilia haka kadudu kanipige.. hahajaaa
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 2 жыл бұрын
😂😂😂
@godsvoiceintheworld1362
@godsvoiceintheworld1362 2 жыл бұрын
😅😅😅😅hata Mimi hayo makofi hapana naona Annoint ameacha bila kurudisha ila mimi wooooi🙆🙆🙆🙄
@nekoyevayola801
@nekoyevayola801 2 жыл бұрын
Mimi siwezi vumilia makofi ata kama
@veronicayasenti6091
@veronicayasenti6091 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-ko5rq6jw9u
@user-ko5rq6jw9u Ай бұрын
Kwanza ww kasolo ebu jiheshimu mwanzo nliona ukimjibu kaka flani wa kikamba baada ya kukemea kwa mienendo zako hovio jehanam inakusubilia ww mkenya mpumbavu agai 1
@phillisgari5515
@phillisgari5515 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli the King of Gospel, mapenzi ya siku izi nikama Bluetooth device any time any where Yana connect other Bluetooth divices bila kujali lolote.
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Yani King hapa ametuweza saaana.
@godwinluxumay6472
@godwinluxumay6472 3 күн бұрын
Wimbo mzuri badili mtindo wanywele
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Jaman twende haraka zaidi ili hii wimbo itikise East Afrika na afrika mpka dunia nzima 🏋️🏋️🏋️.
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 жыл бұрын
waiiiiiiiting 😊💪🏿💪🏿💪🏿
@maliyotebundala6756
@maliyotebundala6756 2 жыл бұрын
Uko vizur mtumishi Wa Wa Mungu ...ubarikiwe ila tunaomba ubadili mtindo Wa unyoaji ili usadifu Maudhui.
@puritygatwiri2032
@puritygatwiri2032 2 жыл бұрын
Thanks allot brother Anoint Amani,, yanikumbusha jinsi kadudu kananimalizia ndoa yangu... MUNGU ingilia kati😭😭😭
@IrakozeEv
@IrakozeEv 2 жыл бұрын
Amen 🙏 ubalikiwe sana kaka kazi unayo yi fanya ninzuli sana napenda sana nyimbo zoko zina mafunzo mengi hakika yasu alikupatia kipaji si mchezo hongela sana mungu akulinde uishi mda mlefu kaka angu 🙏❤️💗👍
@neemasolozi8460
@neemasolozi8460 2 жыл бұрын
Mungu akumbuke ndoa
@CeciliaMutua-pu8ds
@CeciliaMutua-pu8ds 4 ай бұрын
Ujumbe mzuri KAZI nzuri ❤❤❤❤❤ annoint amani from Keny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elizanzisa1459
@elizanzisa1459 2 жыл бұрын
Songs zako kaka zinakuanga na mafundisho ya hali ya juu sana, Nimejifuza mengi sana kupitia nyimbo zako, na naweza sema zimenijenga ki-imani. Barikiwa sana na Mungu akuzidishie neema🙏 much love from 🇰🇪
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Hunishindi mimi jamani
@964d
@964d Жыл бұрын
Staili ya nywele mtumishi
@epmarkchami2536
@epmarkchami2536 Жыл бұрын
Kawimbo kazur sana
@epmarkchami2536
@epmarkchami2536 Жыл бұрын
Nikiingia youtubu lazma nikaangalie kwanza
@gib3888
@gib3888 2 жыл бұрын
wow Wimbo nzuri snaa uparikiwe snaa 👏👏👏👏
@ImanueliGilibeti-df5pf
@ImanueliGilibeti-df5pf 9 ай бұрын
Huu wimbo unanitoa machozi nimegombana na mke wangu ila baada ya kuusikia huu wimbo najihisi mwenye hatia maana nampenda kuliko yeye anavonipenda najuta sana kuona hivo
@pacificah5575
@pacificah5575 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏,Brooo barikiwa kwa kz nzuri unafanya
@dorkasessau3651
@dorkasessau3651 Жыл бұрын
Hongel san huanakukubal san
@pascalinamukui8400
@pascalinamukui8400 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana inatufunza kitu,na kwakweli ukingia kwa ndoa na uwamini ako kadudu utaibomoa ndoa,barikiwa sana ndugu.
@godsvoiceintheworld1362
@godsvoiceintheworld1362 2 жыл бұрын
Yani kadudu ni hatari Mungu tudaidie kweli 🙆🙆🙆
@monicashine3106
@monicashine3106 2 жыл бұрын
Wow , wimbo mzuri, yatufunza kufanya maamuzi mazuri Kila wakati
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@berniceivui8127
@berniceivui8127 Жыл бұрын
jm are ha😂l lol kills a asada odd as medk I'm ka2 aww k was aww qwk
@solangerechol6881
@solangerechol6881 2 жыл бұрын
Ndowa kadudu kweli kabisa jamani ❤
@carolinekayz2002
@carolinekayz2002 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri broo naupenda sana, barikiwa Sana kwa kazi mzuri
@vailethrajabu7204
@vailethrajabu7204 2 жыл бұрын
Yaaan nyimbo imetulia kinyama Mungu azidi kuwaongoza zaidi
@robypetrice8267
@robypetrice8267 2 жыл бұрын
Wow lovely song amen 🙏 ubalikiwe sana
@mrrta3162
@mrrta3162 2 жыл бұрын
Hongera dady Kuna mafundisho Sana Bora nisiolewe maana mpaka kuuana Mungu mwazilishi was ndoa tusaidie by ester machea love it
@edinahmoraa2096
@edinahmoraa2096 2 жыл бұрын
when I see Annoint I see my sons in gospel industry in future... They love " mama Sukuma mtoto song "alot . be blessed alot brother from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Ni hatari sanaaaa
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 2 жыл бұрын
Mungu,niwema
@donnasulle8605
@donnasulle8605 2 жыл бұрын
Aaaaaaaah huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@janerose6882
@janerose6882 2 жыл бұрын
Napenda sana wimbo wa mama sukuma
@janerose6882
@janerose6882 2 жыл бұрын
Asante sana
@mcjose2544
@mcjose2544 2 жыл бұрын
Mungu tukumbuke kutokana na hako kadudu.
@b3falampendwa758
@b3falampendwa758 2 жыл бұрын
Roundy hii ni back to back,I like it Annoint Amani...
@silveysilvey7744
@silveysilvey7744 2 жыл бұрын
Waiting bro
@hellengithiaka8886
@hellengithiaka8886 2 жыл бұрын
Looo Wimbo poa kabisa. Unamafunzo makubwa sana mnoooo…. 👌👌👍
@justinog3105
@justinog3105 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuli⚘⚘⚘💞💞💞🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 2 жыл бұрын
Mtumishi umeupiga mwingi sana! Umetoa summary ya hali ya ndoa za siku hizi kwa dakika 5 tuu! Mungu aendelee kukupandisha viwango na viwango 💪
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Yani kaupiga mwing hasa hasa sio mchezo kabisa.
@lordofmercy9997
@lordofmercy9997 2 жыл бұрын
Amen
@danyymollel7887
@danyymollel7887 Жыл бұрын
Hakika
@justinsamwel7433
@justinsamwel7433 Жыл бұрын
Weng wanajifunza kupitia nyimbo zako
@shadrackkipkoechkirui
@shadrackkipkoechkirui 2 жыл бұрын
Mkutano kwisha kama ingekua mimi ,nikule kofi!!
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 2 жыл бұрын
Jamani kadudu kumbe njo ivyo tena Mimi siowi kama ni ivyo jamani ndugu zangu Naogopa kupigiwa na muke Baba yangu pole sana kabisa
@langatevanskitolindet8675
@langatevanskitolindet8675 2 жыл бұрын
Keep going meeeeen, naenjoy sana nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fearful254
@fearful254 2 жыл бұрын
Kweli kazi ya Mungu si ya kubatisha good job annoint from Busia county Kenya
@janetmutisya5977
@janetmutisya5977 2 жыл бұрын
Wow congratulations mungu akuzidishie
@estherkamate8061
@estherkamate8061 2 жыл бұрын
be blessed, this is reality for nowadays mariage. especially phones, passwords. so 😔
@margretokuku8220
@margretokuku8220 2 жыл бұрын
Barikiwa.sana.na.uzidi.kufika.mbali.utubariki.kupitia.nyimbo
@winnieonsongo2833
@winnieonsongo2833 Жыл бұрын
Wow,,,,,fanya collabo na mwimbaji mmoja wa Kenya tafadhali🙏🙏🙏you bless me alot
@user-ed3qm6rq8t
@user-ed3qm6rq8t Ай бұрын
Glory to God 🙏,,,if you are a lady say hi please 🥰🙏 this man is God sent 👌😭,,,,how many of us we are planning to marry ❤ drop like 🎉
@MrTonyTv254
@MrTonyTv254 2 жыл бұрын
Hii imeniguza sana jamani. Kazi Zuri sana hii Amani
@tabithabasiga5462
@tabithabasiga5462 6 ай бұрын
MUNGu azidi kukupa maarifa BARIKIWA sanaa
@judithmbithe7018
@judithmbithe7018 2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤wow just wow...wimbo wenye funzo kwangu....Mungu akubariki zaidi.
@maggieann9518
@maggieann9518 2 жыл бұрын
Napenda song zako 😍 Neema ikue juu yako
@fidelkisoi9388
@fidelkisoi9388 Жыл бұрын
My current situation but I thank God for his overwhelming peace.Nani kama wewe Jehovah🙏🙏🙏🙏
@b3falampendwa758
@b3falampendwa758 2 жыл бұрын
Thank you for continuing to bless people through music...you are Blessed too In The Name Of Jesus Christ Son Of The Living GOD.
@ashamsokele5305
@ashamsokele5305 2 жыл бұрын
A
@EdithAndia-er5eh
@EdithAndia-er5eh Жыл бұрын
Ni Edith
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 2 жыл бұрын
Tunasubiri wimbo jamani baba!! kwani aifunguki. Ao aija fika Coming soon-kadudu-by annoint essau amani
@joycesinkala225
@joycesinkala225 2 жыл бұрын
Wimbo mbona upo ushatokaga mda sana my dear
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 2 жыл бұрын
hako kadudu nyimbo hii kuna kitu nimejifunza
@juneserastochales7172
@juneserastochales7172 2 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana Mungu akutunze nyimbo zako zinamafundisho yakutosha asanteee sana, okoa ndoa kaka za watu sasaivi ndoa zimekuwa nivita zaidi ya vita.
@godsvoiceintheworld1362
@godsvoiceintheworld1362 2 жыл бұрын
Yani wengi tumepata somo kubwa sana sana.
@EstherBorive-eh7bz
@EstherBorive-eh7bz Жыл бұрын
Vraiment uko n'a ma composition ya maogno Kaka annoit Amani achat mungu akubariki
@marthamashinji6830
@marthamashinji6830 2 жыл бұрын
Daaaa unatisha barikiwa
@petronkashapa
@petronkashapa 2 жыл бұрын
Beats, vocals, story, pictures, all are fantastics. Goodwork Annoint Amani. Hii neema ni kubwa.
@user-uf5go1yj1d
@user-uf5go1yj1d 5 ай бұрын
Mutumishi mungu humewenzaa.athimwa,,,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@oneboybillionaire9601
@oneboybillionaire9601 2 жыл бұрын
Gonga like kama umekubali ujumbe💯💯❣️
@r.m.c.i7567
@r.m.c.i7567 Жыл бұрын
Drll
@melkiaelisha3624
@melkiaelisha3624 2 жыл бұрын
Uwiiii Mungu awasaidie Watoto wetu jamani😭😭😭
@gemangowi8041
@gemangowi8041 Жыл бұрын
Ndo picha halisi kwa ndoa za sasahivi,mungu ingilia kati
@damariskamene5809
@damariskamene5809 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zinanitia nguvu sana
@gracepeterofficial1326
@gracepeterofficial1326 2 жыл бұрын
Wow...hako kadudu ni dangerous!👉 Nice song,
@manakazadi1855
@manakazadi1855 2 жыл бұрын
Barikiwa sana wa congo wanakupenda sana annoint
@manakazadi1855
@manakazadi1855 2 жыл бұрын
Aksanti nduku
@reggygreatmommy4688
@reggygreatmommy4688 2 жыл бұрын
Waiting
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 2 жыл бұрын
Bona,kanuna
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Ongera Sana, Ila ndoa ni dis kwa Sasa, ombea Sana ndoa,
@joanchepkemoi9888
@joanchepkemoi9888 2 жыл бұрын
Good work bro God bless you so much
@donnasulle8605
@donnasulle8605 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi...hongera sana unapasua miamba👐👐👐
@loemapanga6087
@loemapanga6087 2 жыл бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu kweli Uko vizuri mtumishi wa Mungu. Barikiwa
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 жыл бұрын
😊😊💪🏿Najivunia Muziki wako Annoint.Una mafunzo sana. Na pia kazi ni safii. video top, sauti top Audio quality top 💪🏿🔥💯💯Zidi kuinuliwa. nakuombea sana 🙏🏿
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Yani anatukosha kabisaa,sasa mwanamke naona ataharbu Annoint wetu jamani nimelia 😭😭 mbona anampiga makof siku ya ndoa,hata hajavua shela jamaniiii🙆🙆 Ambieni Annoint ache huyo mwanamke kabra hakujawa kubaya.
@edithkananu1788
@edithkananu1788 2 жыл бұрын
More grace more glory
@queensuzy6437
@queensuzy6437 2 жыл бұрын
So nice hongera Daddy hongera sn
@alanyulukendo1085
@alanyulukendo1085 Жыл бұрын
Honge sana kaka kwawimbo wako amenigusa sana nakusapoti jikase nimambo ya dunia 2
@agnesnzioki4584
@agnesnzioki4584 2 жыл бұрын
Wow, keep it up, Good job, I'm blessed
@edutheartist
@edutheartist 2 жыл бұрын
Hope the time to shoot my video will be coming soon, my desire is to change our Kenyan gospel music, guys just remember me in your prayers.nice job Amani, lovely message.more grace.🙏🙏
@angelataab8259
@angelataab8259 2 жыл бұрын
Together in prayers brother 🙏
@luceebaby1999
@luceebaby1999 2 жыл бұрын
Nice song keep it up my brother
@sharondanofficial4801
@sharondanofficial4801 2 жыл бұрын
Unaitwa nani na Mimi Kenya😂
@edutheartist
@edutheartist 2 жыл бұрын
@@sharondanofficial4801 naitwa seven star.
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Mungu atimize maono yako.
@robertmwanakaya4233
@robertmwanakaya4233 7 ай бұрын
Safi sana mtumishi umejua sana kunitakasa hongera sana ❤
@sakshiwinnie3859
@sakshiwinnie3859 2 жыл бұрын
Wow very true 🙏 hako KADUDU kame tawala sana Mungu atusaidie haki ,,huu ni ukweli kabisaa ubarikiwe sana kwa huu wimbo ❤️😇😇🇰🇪🇰🇪🙏 Anoint Amani🙏
@princessvimala1424
@princessvimala1424 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥Good song wth clear message!!!much love brother Annoint from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@magnusmedard6971
@magnusmedard6971 2 жыл бұрын
Viima vimaa😀you have KADUDU plz erase everything before marriage😂😂😂i know you
@princessvimala1424
@princessvimala1424 2 жыл бұрын
@@magnusmedard6971 😂😂😂😂😂😂😂😂😂God is watching you.Nakemea roho ya "KADUDU""
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Yaani Laiti ingekuwa watu Tunajuwa toka mwanzo kama Mweza wako atakuja kuwa mimba aisee tungeogopa
@juddiewandera
@juddiewandera 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana.....keep it up
@TroupeLaPromesse
@TroupeLaPromesse 8 күн бұрын
Hongera sana ndugu yangu
@wakuinnocent1218
@wakuinnocent1218 2 жыл бұрын
Annoint nakuaj mim tonny nakubali we jembe kweli
@silviamwende7210
@silviamwende7210 2 жыл бұрын
🔥🔥the lady knows nowadays both men ad women are cheatng with friends😅😅😅
@johnmavusyu6193
@johnmavusyu6193 2 жыл бұрын
Yah juu see pretends aky, MUNGU atusaindie kaka ongera ni vizuri mtu kuomba sana do apate mke/mume mwema
@damaclinemoraa9175
@damaclinemoraa9175 2 жыл бұрын
Waiting for it bro
@juniorjosphatjosee
@juniorjosphatjosee 2 жыл бұрын
congratulations dear friend
@AugustinoYonga
@AugustinoYonga 3 ай бұрын
Nywele izo sasa mtumish 😮
@elizabethkaluki8601
@elizabethkaluki8601 Жыл бұрын
Wow! Amani Wimbo huu umenibariki sana.
@Valentinomichael367
@Valentinomichael367 2 жыл бұрын
Hataariii 💥💥💥
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi ANNOINT Amani MUNGU Ametuliya wetu wengi ujumbe UHUU Nani kweli imewafikiya
@shadrackmwalyego2700
@shadrackmwalyego2700 2 жыл бұрын
balikiwa sana mtumishi kazi nzuli ya ukomboz
@deborahthomas1828
@deborahthomas1828 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua bro unanibarik sana na nyimbozako
@dinaandray7721
@dinaandray7721 2 жыл бұрын
Nimependa hiii wimbo🥰
@eunicemuhonja3690
@eunicemuhonja3690 2 жыл бұрын
Barkway sana brother mungu akuongeze neema
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Saidieni Mfalme wetu wa Gospel jamani😭😭😭 huyo sie mke wakuoa🙆🙆🙆😭
@frankmwaipopo844
@frankmwaipopo844 11 ай бұрын
Hongera, Mungu akuongezee ubunifu ktk kumtumikia kupitia kumuimbia.
@wasafiwasafi3500
@wasafiwasafi3500 2 жыл бұрын
Safi sana mtumishi wa mungu 🙏🤲🙏🙏
@Profmodekai
@Profmodekai 17 күн бұрын
Aai hayo makofi siwezi vumilia na mimi ningemlegeshea ila sisi ni watumishi, ukipigwa kushoto mgeukiebkulia
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Mungu watu heee 🙆🙆🙆🙆 Huyo sio mwanamke kabisa Annoint, ungejua usingeoa kabisa looo🙄🙄 Anapiga mwanamume wake makofi siku ya harusi 🙆🙆🙆🙆🙆🙆 Hii ime nistu kweli pole kaka annoint 😭😭🙆
@MachameMachame-tx3bk
@MachameMachame-tx3bk Ай бұрын
We kadudu mbalikiwe sana
@jackymacharia8097
@jackymacharia8097 Жыл бұрын
Huu wimbo ni ujumbe sahihi nimeupenda
@dianawayela7433
@dianawayela7433 Жыл бұрын
Nahisi n kama huu wimbo umenigonga mm Yani yote haya nayapitia
@jloruth7422
@jloruth7422 2 жыл бұрын
Kadudu 🥰🙏🏻💪🏻
@damariskaluki7241
@damariskaluki7241 Жыл бұрын
Hako dudu 🙏🙏🥰
@nyaperagetray4767
@nyaperagetray4767 2 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako mtumishi annoint much love from kenya
@m.junior254.k
@m.junior254.k Жыл бұрын
God praise you......kwa huyo moyo uko nao ........nyimbo zako sinatutia tumbo joto wale tuko single kama maisha ni hayo tutaenda wapi #MHUBILI mwena wewe
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 210 М.
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 102 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 33 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
Annoint Amani - Njia yangu niya Mateso ( official music Video )
6:03
Annoint Amani
Рет қаралды 747 М.
Annoint Amani - Nashindwa kuyazuia Machozi ( 0ffial music video )
7:22
Yona Chilolo - Nakutegemea Baba 0fficial 4K Video 2023
6:40
Yona Chilolo Official
Рет қаралды 1,6 МЛН
FENNY KERUBO X ROSE MUHANDO -MBWEHA  (OFFICIAL VIDEO) DIAL *875*505#
6:32
Fenny Kerubo Music
Рет қаралды 738 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 7 МЛН
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 554 М.
Қанат Ерлан - Сағынамын | Lyric Video
2:13
Қанат Ерлан
Рет қаралды 3,2 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 83 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 56 М.
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 550 М.