Wapi likes za annoint amani be blessed man of God your songs blesses me a lot
@giftikakule89022 жыл бұрын
Amen amen Ubarikiwe MTUMISHI wa mungu na mimi naomba utu livu mungu aniumbiye utu livu
@annwafula90662 жыл бұрын
This man of God anatia watu moyo nyimbo zako mm huzikiza then natumia hayo maneno kupreach nimepata ujumbe mwingine be blessed
@nasthabeauty394411 ай бұрын
Ukweli
@nasthabeauty394411 ай бұрын
Ukweli mutupu
@nasthabeauty394411 ай бұрын
I tell you the truth Sina bariki
@godsvoiceintheworld13622 жыл бұрын
Mungu tusaidie Utulivu 😭😭😭😭😭😭 Huu ni ufunuo mkubwa sana 🙏
@carolynenasambu4592 жыл бұрын
Amen
@terry25712 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@mrnickmusician71392 жыл бұрын
Amina Mtumishi tunaomba utulivu wa Mungu nimebarikiwa uku kenya
@princeteddie2 жыл бұрын
Nyimbo zako zina mafunzo ... napenda kazi yako ndugu you really inspire me
@AdonisSifa2 жыл бұрын
Hallelujah. Sijutii kusubscribe hii channel. niko kujifunza🙏🏿Amen
@Diana-te2ft2 жыл бұрын
This man of God wimbo wake inafunza watu Sana continue like that plz watu wangu wakenya mwenzangu plz like subscribe and share
@MikeSimiyu21 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@maggiek26702 жыл бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sir we lombotove you 🙏🙏🙏
@joshuamuthuka84112 жыл бұрын
we,,, more fire 🔥,, hio goma manze inanitoa machozi ,,,yaani inashika mahali kwa roho, GOD bless you more annoint aman,,, amen,,
@joannabwire54912 жыл бұрын
From Kenya love u man of God 🔥🔥🔥🔥
@christinetatek85912 жыл бұрын
Woi Asante sana Mungu .ii wakati nipo naistahili tu UTULIVU . Wakati mgumu kwangu 😭😭😭
@name-less2 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, your songs are very inspiring.Napenda nyimbo zako nikiwa Kenya.
@danielikamwela20282 жыл бұрын
Daddy mungu akupe maisha marefu
@janerose68822 жыл бұрын
Nshukuru sana mutumishi Kwa maombi yako,my brother ameruti yumbani akiwa cm,god bless,,,nkiwa Kenya
@directorvendeko82292 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi. Wimbo mzuri sana.
@mulumbabienvenue7852 жыл бұрын
Ulifuta video please 🙏 turundishee tena video
@rebeccamukonyi34892 жыл бұрын
Asante sana Mungu kwa ajili ya mtumishi wako.naomba utulivu.mungu akubariki sana na akutende mema.mungu akuwezeshe usonge mbele nyimbo zako zinanifundisha mengi.
@eunicekariuki67562 жыл бұрын
Kenyan love. Good song. Mungu na akiwapa wengine utulivu anipe pia
@terry25712 жыл бұрын
I love this has a strong massage
@benedettawayua40782 жыл бұрын
Kazi poa kaka nyimbo zako zatia mtu nguvu God bless you
@leahnjovu12132 жыл бұрын
Kaziyakoninzuri kaka endelea nauimbaji
@damarisndeti38552 жыл бұрын
Pia mm baba niumbie utulivu🙏🙏
@happyjonh45872 жыл бұрын
MUNGU niumbie utulivu 🙏🙏🙏👌
@jukaelyelisha63112 жыл бұрын
MUNGU akubariki mnoo kaka anoint akuinue zaidi
@pauloelisha60412 жыл бұрын
Huyu mtu sio waichi hii nimtu kaandaliwa na Mungu kabisa nakupenda Dady
@StephenNyangweso-i7u Жыл бұрын
Nyimbo zako huwa zinanipa utulivu Na zinanifariji sana continue doing what God sent you to do my dia brother 👏 congrats 👏
@eunicendanu37202 жыл бұрын
Wow!Nice Job,I love your songs so much may God bless you abundantly and God's Grace be with you forever...
@janerose68822 жыл бұрын
Asant sana kaka kwanzi Zuri sana mungu akupengufu,naomba mutishi uweke my brother Kwa maombi ya upasuaji koo
@annointamani32852 жыл бұрын
Oo polen sana , Bwana Yesu yuko pamoja nanyie katika wakat huu ngumu wa kuvuka kuingia kanaani🙏💪
@brianuniquecop9432 жыл бұрын
Vocals are 🔥🔥 and beats are swit..mob love from kenya...i love the song
@deffencemsausi24982 жыл бұрын
Naomba utulivu, powerful
@gladysmutheu2 жыл бұрын
😭😭I receive the message in JESUS MIGHTY NAME
@carolynenasambu4592 жыл бұрын
Mwalimu wangu wa imani amenitia moyo kupitia mafundisho yake ili niwe karibu na mungu nakuombea mazuri ndugu yangu hata mimi niombe katika safari ya mbinguni mungu akutie nguvu
@mukhwanaisaac80132 жыл бұрын
Kazi poa bro 🙏🙏🙏
@sarahliyayi18732 жыл бұрын
All you songs are so sweet.nasikiza kila wakati I love all you songs mungu akubariki zaidi na zaidi
@honorinaestar25282 жыл бұрын
Kweli nyimbo zina ni bariki sana pia zina nipa sana moyo
@ruthmulonci994 Жыл бұрын
That word ,utulivu means alot.ii song nimeisikiza mara mingi kuliko nyimbo zote,imenibariki sana,na sitachoka kamwe kuisikiza,barikiwa mtumishi
@leonardkipkurui2314 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤q
@leonardkipkurui2314 Жыл бұрын
a
@edinahotuke Жыл бұрын
My morning prayer ni huu wimbo am strong
@dorcahnyabo47132 жыл бұрын
Wacha.mungu taupe utulivu ndani ya mioyo yetu you're the rock of God indeed love ❤ you from Kenya 🇰🇪
@mercybii46122 жыл бұрын
Aww a great song,, you keep inspiring me,,, your songs are just but a blessing to me 🙏 keep going and May God answers the desires of your heart 🙏🙏🙏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Magoo1-12 жыл бұрын
Wooowoooo.....Baba naomba Utulivu. Hii nyimbo imeniguza hadi kwa mabafu
@teclachepira66942 жыл бұрын
From Kenya,l love this song and all your songs
@elizabethmwende23192 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi ....nyimbo zako hutufunza mengi sana ....unatupa moyo sana tukiwa uku Saudi
@rodgersnyabuto67312 жыл бұрын
I love the song ,imenigusa moyoni na kunipa utulivu katika maombi.Nashukuru sana
@raychlucky20502 жыл бұрын
Mungu niumbie utulivu
@jackyjacky29302 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mungu naomba uniumbie utulivu
@dorinemalagho93352 жыл бұрын
Woooooooooooooooow 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏻
@atupelemwitiki2 жыл бұрын
Asante mtu wa Mungu kwa ujumbe huu unaotuhubiria.
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
Nakuona ƙwakweli
@Ima_Ali2 жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo, Mungu akujalie mengi mema, more ♥ from Kenya 🇰🇪
@metrine3082 жыл бұрын
Amani tena God bless u servant of God
@gracyenamumbi71382 жыл бұрын
Such a blessing song
@gladys56972 жыл бұрын
Naomba utulivu Nami bwana🙏🙏🙏
@lucypaulo69122 жыл бұрын
Barikiwa sana my brother
@Meshackmwakiworldwide72 жыл бұрын
My Hero, I want to be like u
@mwitiofficial95252 жыл бұрын
Good,I will answer you, just relax breath Inn breathe out,start reading Bible finishing chapters after chapter this is easy,please not just reading but reading and understanding finish all books you may be even more than him,my secret is I will not tell you what you will Achieve instead you will do it.
More Annointing Annoint Amani God's grace in this voice.
@gloriakainyu54662 жыл бұрын
I love the spirit in the song
@janetnduku66282 жыл бұрын
Wow , nami naomba uniumbie utulivu Bwana , much love from 🇦🇪🇦🇪
@joshuamuthuka84112 жыл бұрын
hiìi,, Janet,, I support you,,,
@paulinmari37222 жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo zako
@remybebs41562 жыл бұрын
Barikiwa kaka napenda nyimbo zako sana zinanitia nguvu Mungu akupe maisha refu uzidi kubariki na wengine aki tunakupenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪
@Magoo1-12 жыл бұрын
Subscribe
@jonasimwanzi36322 жыл бұрын
🔥🔥🔥utulivu mungu nisaidie
@ibrahimupamba80222 жыл бұрын
😭 MUNGU nipe utulivu
@peterkilusu69952 жыл бұрын
Very true ,utulifu unakupa maarifa
@titusomondi69932 жыл бұрын
Barikiwa sanaa
@Terryann252 жыл бұрын
Brother your songs always give mind peace no matter the situation with this songs I always find peace in my life. Nakupenda bure. Much love 💕💕💕💕💕.
@margretmorara41932 жыл бұрын
Nice song
@langatevanskitolindet86752 жыл бұрын
Utulivu👏👏👏👏🎤🎤🎤🙏🏿🙏🏿🇰🇪❤️
@dorinemalagho93352 жыл бұрын
This man is a blessing aky ...
@phelisterluosiofficial2578 Жыл бұрын
Love your work brother from kenya 🇰🇪
@susankavengemutinda390910 ай бұрын
Wokovu ni Jambo la maana cograt Annoint Amani MUNGU azidi kukubariki kwa kazi unayoteda kwake nyimbo nzuri sana😮.
@roquesilva44312 жыл бұрын
Eu sou o Rock do senhor jesus do brasil e curto seus louvo utulivo e outros
@marynchagwa1842 жыл бұрын
Good message be blessed ♥️🇰🇪👍🔥
@waithiraisaac66512 жыл бұрын
Waah 😊 mtumishi...May you live to serve God for he has seen you through...the songs are on point ...I just love your songs hivyo Bure so encouraging ..to God be the glory 🙌 kwa hizo songs anakupa .
@zachariajoseph5541 Жыл бұрын
Bwana Yesu naomba utulivu katika maisha yangu ili nipate kuingia ktk ufalme wako,haleluya🙏🙏🙏
@mwitiofficial95252 жыл бұрын
You are winner don't fear.
@osobewashington48982 жыл бұрын
Amen. Amen. UtuLivu🙏🙏😭😭
@christinemonthe38182 жыл бұрын
Have been listening to this music 🎵 since day one can't get enough of it,keep the gospel burning, always listen daily to your songs but this one is more fire🔥🔥🔥🔥 nice mssg...... blessings always.....
@zachariajoseph5541 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Anoint,hakika wimbo unanigusa, namuomba Mungu katika wokovu wangu aniongezee Imani ya utulivu🙏🙏🙏
@jerutochesaro64052 жыл бұрын
thanks song with revelation be bless
@eunicenduku73782 жыл бұрын
Amina
@andrewalexoyugi21122 жыл бұрын
God to continue to bless you. Great preaching through songs
@dannyallysmgonja Жыл бұрын
Mtu wamungu ubarikiwe sana kwanyimb zako Zina fundisha sana Mungu akuzidishie baraka
@LewisMwendwa-g5g4 ай бұрын
Hakuna nyimbo zingine hunibariki kama za annoint...sauti yake,mdundo wa beat zake hunipendeza abarikiwe sana sana
@Denodeno-b2q5 ай бұрын
😢😢mungu naomba niumbie utulivu... Annoint Amani may God expand your territories
@saujulianah78794 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa wimbo umenibariki kweli natakuusikia saa yote nasikia uwepo wa mungu
@mrnickmusician71392 жыл бұрын
amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪
@brendaamong8982 жыл бұрын
Anyone here please help to understand utulivu I love the song so much and I can't stop listening.it would be great to know the meaning. God bless you Amani . From UK
@ukurikuzatsinda40042 жыл бұрын
Calm. Or Peace of mind
@JanetKamama-vw9bq Жыл бұрын
Mungu akubariki aton nimejifu za kitu kwanyimbo zako jamani
@mcabrahamomoding2 жыл бұрын
Aminaaaa.Barakaa
@kerongofelistus70242 жыл бұрын
God bless you Bro Annoint Your songs are a blessing and heals many
@cesiliamathias Жыл бұрын
Mungu niumbie utulivu ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Kwa wimbo mzuri hakika umentoa sehemu
@maxmilianmartin95222 жыл бұрын
Mbona sauti kama ya rose muhando🤔
@mildredosore88162 жыл бұрын
Nice song man of God😊
@SharolineKhasandiprecious Жыл бұрын
Nyimbo zako huwa Zina mafunzo mengi na zipenda kazi yako ❤
@lynnbalton2923 Жыл бұрын
Mungu naomba ufunuo kama ulivyo MPA mtumishi wako annoint Amani amina
@ghchhgufy4081 Жыл бұрын
Ooh hallelujah Amen,kila kitu ninacho ila sina utulivu naomba yesu
@juliusmusembi31082 жыл бұрын
UTULIVU is the word. You are such a blessing, God's vessel. Do not tire doing what God called you to do.
@gladnessisaya5688 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana, hata huu wimbo ni matokeo ya utulivu.
@stecybeib9482 жыл бұрын
Amen
@roquesilva4431 Жыл бұрын
Aqui em salvador todo mundo curti suas música aleluia
@AgnesKilingo8 ай бұрын
Ameni Amen Mungu Akulinde mtumishi wa Mungu tunakupenda saaaaaaana