ASKARI ASHINDWA KUJIZUIA TUNDU LISSU AKIWAPA KICHAPO CCM | AMSHUGHULIKIA MBUNGE KINGU JIMBONI KWAKE

  Рет қаралды 9,341

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@AbdiRahmanIsmail-t3s
@AbdiRahmanIsmail-t3s 3 ай бұрын
Lissu big up
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 3 ай бұрын
TRA watuambie wamekusanya tsh ngapi kwenye hizo pkpk? Like twende sambamba
@lupakisyoassa1579
@lupakisyoassa1579 3 ай бұрын
Mungu akuongoze Ubarikiwe sana.
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 3 ай бұрын
Kwa nini hawamjibu Lissu hela za pikipiki Samia katoa kwa Waarabu. SIMPLE AND CLEAR
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Kuwaondoa mafisi bila tume huru I tawezekanaje maandamano yaendelee
@NathanielRajab
@NathanielRajab 3 ай бұрын
Kweli kiongozi wetu tutalinda kurazetu
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 3 ай бұрын
Makonda mtetezi wa haki za wanyoge.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 ай бұрын
Watanzania tumeingia mkenge kinoma kumpitisha huyu mwanamke Ikulu. Kumuondoa ni shida sana kama hatutaungana wote na ccm wenyewe wamkatae kwanza asigombee kbs
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 ай бұрын
Kwani nyie mlipata wapi hela za kukodi machopa kwenye mikutano Si ni huo huo ufisadi tu ? Hapo hakuna msafi kila mmoja ana uchafu wake We shukuru umekombolewa kutoka utumwani huko kwa mashoga ukarufishwa nyumbani Ukakombolewa toka kifungoni ukaachawa huru Ukapewa uhakika wa kua huru bila kesi kama alivyotaka kukushtaki magu Ukapewa na mafao yako bado unamtukana aliekuhurumia Mwanasiasa wa nyoko kweli
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Wanaipenda CHADEMA matajili wanajitolea kutokana na madhira wanayopitia kodi za nguvu mabavu watu wanajitolea tu kuiangamiza ccm kwa namna nyingi mwenye hela gari mafuta watu wanajitolea tu
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Usidanganye watu LISU hajapewa mafao yake usibebe dhambi isio na lazima wala msingi ameliongelea swala la mafao yake na malipo mengi ikiwemo matibabu ni haki yake hakuna hata malipo aliopewa LISU kama wanasema wamelipa wajitokeze waseme waonyeshe kidhibitisho
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 3 ай бұрын
Huyo anayesema lisu kapewa mafao ni mlevi acha naye mpuuzi.
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 ай бұрын
Sio mafao tu na uhuru wa kuropoka kapewa Enzi za mjomba alikimbilia kwa mashoga huko Hakuthubutu kusema nyoko
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Fisiyemu mtupishe tunamuelewa mbeba maono dunia ya jana siyo ya leo
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 3 ай бұрын
Nina mashaka na hiso pikpk labda hata Kodi hazijalipiwa
@YassinRajabu
@YassinRajabu 3 ай бұрын
wakulima EFD ina wasubili na nyinyi mtoe lisiti 😂😂😂😂
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 3 ай бұрын
Tanzania inabd tufany km french walivomtoa mfalme lous
@lymondmande4422
@lymondmande4422 3 ай бұрын
Then ukishafanya kama french hio nchi umpatie nan unamkubal atakuwa mzalendo???. Kwa nchi tulionayo ili tupate haki na maendeleo halali lazima tuwe na kuongoz kama Magufuri mwenye nia ya kwel na msimamo asieyumbishwa na upepo wa kisurisuri.
@anastazialushika
@anastazialushika 3 ай бұрын
Wewe c unataka madaraka tyu wala hakuna kingne njaa hizo acha kutupoteza cc
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 3 ай бұрын
Waloko madarakani walitaka Nini ?
@jakalwambemanyalla6287
@jakalwambemanyalla6287 3 ай бұрын
Wewe usie na njaa Ongera zako Lisu amekuzidi kila kitu ktk Maisha yako Kuanzia Kiumri Kielimu Kiumaharufu Kujulikana Kieshima Kifedha Kutembea Nk adi Zambii
@JohnMwansile
@JohnMwansile 3 ай бұрын
Wewe hujui ulitendalo ko tunakusamehe tu lissu sio saizi yako
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Hayo maoni ni ya kibaraka. Mwenye kuijua historia yake huchutama !
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Umesahau sio mlitaka kumnunua huyu mmeshindwa mkaona mumuundie mpango wa kumtanguliza mbele za haki waliomuundia wametangulia wao yeye bado Mungu amemtunza ana kazi nae maalum upo uliejaa bendera ya ccm?
Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Akifunguka Wilayani Itigi, Singida
38:25
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 90 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 63 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 96 МЛН
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 47 М.
TUNDU LISSU AICHAMBUA SERIKALI "HAKUNA LOLOTE"
9:35
JAMBO TV
Рет қаралды 27 М.
MOTO WA TUNDU LISSU MAKYUNGU HABARI NYINGINE JIMBONI KWAKWE WAMLILIA
49:16
TUNDU LISSU AMSHUGHULIKIA MBUNGE EMMANUEL KINGU JIMBONI KWAKE
53:45
Chadema Media TV
Рет қаралды 10 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 90 МЛН