Asante sana na baba kakobe kwa kuwambia kua barakoa sio kinga bari kinga ni Mungu pekee na asante kwakumuombea na kumwambia amtambue Mungu tunakwenda na Mungu hakuna chanjo wara barakoa Mungu atatenda.
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Nadhani hamkumwelewa vizuri Bishop! Anachosema ni kwamba, PAMOJA NA KINGA ZOTE, NA NJIA ZOTE ZA KISAYANSI TUTAKAZOTUMIA, tusisahau kurudi kwa Mungu wetu Muumba... kwa maana "Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure... Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure"...
@mimimoop26173 жыл бұрын
Amen askofu kakobe kwa kunikumbuka mpendwa wetu Jonh pombe magufuli Allah amsamege makosa yake
@elishamwaipaja2483 жыл бұрын
Huyu ni mtumishi wa Mungu kweli kweli!!!!!!!!!!! Mungu akubaliki sana baba
@mariaalenge21063 жыл бұрын
mtumishi wa Mungu aliacha anawaambia musimuache Mungu mukimuacha Mungu mutakwisha tafazali wandugu zangu watanzania musimuache Mungu
@robinahumphrey97252 жыл бұрын
God bless you Daddy Bishop Zachary kakobe .
@neemageorge9114Ай бұрын
Asifiwe Bwana
@jescarwegoshola72313 жыл бұрын
Amen tumeshinda na zaidi ya kushinda kwake Yesu aliye tupenda IMEKWISHAAAAAA💪💪💪
@praygodmtui14073 жыл бұрын
God bless you bishop zakaria kakobe you and bishop shoo. For your truth you have your really man of God .
@venelandakundi633 жыл бұрын
Asante kwa maombi Mungu yupo nasi daima milele usihofu wapendwa tujinyenyekeze tu kumlingana Mungu hakika tutashinda asante Mungu
@mussalugembemussalugembema36503 жыл бұрын
Mwenyezi mungu tunamuomba atusaidie kipindi hiki cha mpito
@reubenismail36723 жыл бұрын
Mama tunampenda Sana!na Leo katimiza siku 100.mungu ampe hekima na maisha marefu
@mssakihama64153 жыл бұрын
Hv? Wengine wameelewa kweli kuwa jpm aliendesha Kama kuhani? Mm nimekuelewa.
@rahmarahma9203 жыл бұрын
Sasa mnamuamini Mungu au barakoa wee mzee unayumba
@geraldrevocatus64203 жыл бұрын
We mbona unamwamini Mungu na ukitoka kwa unafunga milango na kufuli, si uache wazi Mungu atakulinda.
@hamisiselemani97773 жыл бұрын
Hap namkumbk tu magufuli
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Amen amen amen mtumishi wa BWANA WA MAJESHI
@dorcasseruhere68753 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu Kakobe Mungu akubariki Tanzania imepona Amen "Corona itayeyuka
@philemonpaulo17903 жыл бұрын
Ameeeèeèèen
@tulibakomwafula90793 жыл бұрын
Mungu Yeye ni Yule Yule Jana Leo na hata Milele. Aliiokoa Nchi yetu Tanzania Mwaka jana Ulimwengu uko kwenye giza la kutojua chochote. Lakini Mungu Jehovah Rapha aliisimamia Tanzania Akajitukuza Mwenyewe, na sasa kama Aishivyo ndivyo Tanzania itaokolewa na mkono wa adui korona🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@sabasjacob90383 жыл бұрын
TANZANIA CORONA AMNA AIPO kabisa ilo licorona nilipepo na limeshindwa kwa JINA LA BWANA YESU KRISTO AMEN.liende kuzimun.
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Imani za kishirikina hizi... Unayaona mapepo ww kila kona?!!! 🙄🙄
@mathiaslyaheha69423 жыл бұрын
Mungu Baba utuhurumie sisi na dunia nzima
@edwardnamakonde73103 жыл бұрын
AMEN! MUNGU yuko tayari kututetea.
@noahkusenha83853 жыл бұрын
Kakobe ariambiwa siyo mtz ndomaana anajinadi REO samia akiondoka atamsema tena semeni sana ju ya jpm ukweli ukopale magufuri baba LA maraisi wote was tz sitamsahau magu
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Sijaelewa mimi comment yako... Mtumishi wa Mungu huyu kafanya kosa lipi? Kuliombea Taifa letu ni kosa? Si alisema Magu aliongoza Nchi kama Kuhani? Mbona mnamlaumu, jamaani ? Au mlitaka asimuombee Rais Samia na viongozi walioko madarakani leo? Jitafakarini ndugu, na Mungu awasamehe... God bless you Bishop!
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Umemuelewa kakobe?_amesema magufuli alikuwa kuhani
We jamaa kwanza kajifunze kuandika vizuri halafu ukajifunze kusikiliza vizuri…. Umeongea makapi ya mashudu
@balewakwamustafa53983 жыл бұрын
Ujinga unakusumbua
@dianajohn85203 жыл бұрын
Tunakataa corona kwa jin la Yesu
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kama Corona ipo, mtuthibitishie kwa takwimu... Vinginevyo Watz watadhani ni uvumi tu...
@salimsaid72003 жыл бұрын
CORONA IPO DUNIA NZIMA LINALIELEWA HILO LAKINI CHANJO AKILINI MWAKO SIO LAZIMA.
@mussajabili68363 жыл бұрын
Ndoivo mikopo waliochukua mashart yake inabid mtiwe ofu na muwekwe lock down so Io ni biashara kwaio tutaona meng tutakua kama keny
@lasttrumpetmission12623 жыл бұрын
Asante Bishop
@charlesnassary66893 жыл бұрын
Amen Amen
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Naamini Sana kwa jina la YESU KRISTO... AMEN AMEN AMEN
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Mungu utuhurumie watanzania
@nyamangaking66083 жыл бұрын
Eti Yesu yuko ndani yako,Yesu unamvalisha baraka tea.kazi ipo
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kuchukua tahadhari sio kutokumwamini Mungu... Tusimfanye Mungu wetu kama hirizi! Mungu anawataka watu wake wajibike kwa kalama waliopewa na mamlaka waliyokabidhiwa... Huwezi kusema utupe mkate wa kila siku halafu usiende kulima! Utakufa kwa njaa! Na Mungu atakuhukumu kwa kujiua!
@romanusmwombeki56503 жыл бұрын
Hahahahaha!Lack of knowledge will perish you!Kwamba ukivaa barakoa unakuwa umemvalisha YESU!!!
@josephtemu26333 жыл бұрын
Viongozi wa dini tuongozeni kwa haki
@diamondgeyser79873 жыл бұрын
Tunakuombea Raisi wetu Mwenyezi Mungu Akusaidie, Yale tusiyoyaelewa Mungu atusaidie.
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kwa maana fadhili zake ni za milele...
@iddyjuma42793 жыл бұрын
Mungu yu nasi mungu ni mwema na ndio tegemeo letu
@mamylnkuzi84823 жыл бұрын
MUNGU ILINDE TANZANIA
@irenejohn20253 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@hitulilorajabu79343 жыл бұрын
Raisi ajifunze kumtumainia mungu asitutie hofu watz
@emmanuelmogela58713 жыл бұрын
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna neno gumu usiloliweza, simama na tz
@upendomasika80603 жыл бұрын
Yesu tukumbuke watanzania usituache
@tulibakomwafula90793 жыл бұрын
Ameeeeeeeeee🙌🏿🙌🏿
@samwelipima37953 жыл бұрын
Kweli watanzania walikuwa wameshamuelewa jpm namaono yake nchi ilikua inakwenda ktk mustard minyofu RIP jpm tutakukumbuka kizazi na kizazi
@chaomadedo3 жыл бұрын
Nae alikuwa na makosa yake kama mwanadam yoyote..
@revocatusrevocatus11303 жыл бұрын
Mungu ni msingi wa kila kitu
@soberkaleya51483 жыл бұрын
1 Mambo ya Nyakati 16 11 Mtakeni Bwana na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote. *TUMWENDEE MWENYEZI MUNGU MWENYE NGUVU; TUMWENDEE MWENYEZI MUNGU DAIMA!!!* AMEEEN!
@nicolasnkembo16063 жыл бұрын
Utusikilize ee Bwana Mungu wetu
@furahinimbise79693 жыл бұрын
Aaaamen sikuwai kufikiria kakobe kua ni mtumishi wa Mungu hivi
@balewakwamustafa53983 жыл бұрын
Akili zake Now zimerudi
@priscachenya70493 жыл бұрын
Amen Mungu usipo ulienda mji waulindao wafanya kaz bure
@joelmanda10643 жыл бұрын
Amina mtumish
@katendemmayara3723 жыл бұрын
YESU KRISTO ATARUDI TENA.
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Yule Mjumbe wa agano duniani uliyemfukuza, ndio suluhisho la mabaya yote duniani, John Isaya Igumi. Kutoka singida, kumbuka ulipoangukia,UKATUBU.
@paulinamassay51223 жыл бұрын
Huku mtaani tunaishi kama hakujawahi kutokea Corana, maana tumeumbiwa magojwa sisi kama binadamu kwa hiyo anayeweza kutuepusha ni Mungu pekee no body else.
@zacharianicodemas1843 жыл бұрын
Acha ujinga ww eti uliumbiwa magonjwa Tahira
@luganomwakyusa76973 жыл бұрын
Mama samia anashirikiana na mashetani
@jescarwegoshola72313 жыл бұрын
Zaburi 91 kweli zaburi 91 🙏🙏😭😭
@paulandrew73013 жыл бұрын
Watanzania tunaamini katika Mungu huko anakotaka Kutupeleka Rais Samia siko kabisa zaidi sana ni kuwajengea hofu watanzania. Mimi ninamshauri atembee katika nyayo za Magufuli aenende kwa imani kwani bila imani haiwezekani kumpendeza Mungu
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kwa hivyo, unafikiri Samia sio Mcha Mungu ? Ndugu zangu, maneno yetu yawe machache mbele za Mungu...
@paulandrew73013 жыл бұрын
Nadhani hatujaelewana, Mimi nimezungumza imani wewe unazungumzia habari za kumcha Mungu hebu kasome vizuri kitabu kitakatifu utaelewa tofauti kati ya kumcha Mungu na imani
@chaomadedo3 жыл бұрын
Usiniambie tena mama atembee kwenye nyayo za Magufuli na sio za Mungu... mmmh aisee iko kazi
@paulandrew73013 жыл бұрын
Daughter of zaion unamwelewaje Paulo mtume aliposema nifuateni Mimi kama mimi ninavyomfuata Kristo, kama unapinga Mimi kumshauri Rais Samia kufuata mema(kuenenda kwa imani) aliyoyafanya JPM kwa sababu yeye sio Mungu Nina wasiwasi juu ya imani yako juu ya Neno alilolizungumza Paulo mtume kwani naye hakua Mungu
@emanuelijulius72753 жыл бұрын
Na mungu aturinda.
@bibianajangandu17273 жыл бұрын
Ameen umenena vema
@janethandrew89882 жыл бұрын
Yohn14
@tumainsawe69603 жыл бұрын
Hasa mimi ninamajonzi makubwa sana
@curthbertsimbao46363 жыл бұрын
Corona hamna, Mungu amsaidie tu mama aone si corona. Tumsikie JPM alichosema ni kumtanguliza Mungu tu
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Hamna takwimu... Hamna uthibitisho wa Corona...???
@nathanmateow94553 жыл бұрын
Toka lini ugonjwa ukafichwa, afichae mardhi anatafuta kifo,hamjifunzi tu.
@nathanmateow94553 жыл бұрын
Mama amejifunza kitu,ndo maana kaamua hivyo.
@enockoward26563 жыл бұрын
Hiki k2 ndo mama alitakiwa aamini kabla ya ku Kimbilia chanjoo
@kiri58073 жыл бұрын
kitu gani ?
@samwelipima37953 жыл бұрын
Mama Samia kashatuuza kwa mabeberu
@amaniabdi97553 жыл бұрын
Acha ujinga,mnakalilishwa tu,kawauza kwa nani?kama huna cha kukomet kaa kimya
@josephmakutano70673 жыл бұрын
Samwer hospitality zote unazoona hizi wewenimujuzi wakutengeneza dawa dawa zaukimwi ss wafrica siwabunifu ilauliaminishwa namagu!!!
@godfreykashuli38593 жыл бұрын
Kakobe ni mnafiki, mwanzo kabla ya kutishwa uliisimamia kweli, kwa sasa ni mchumia tumbo tu.
@hekimanwaka3282 жыл бұрын
Tubu dhambi yako hiyo ya kumtukana mtumishi wa Mungu
@samsonhaule36473 жыл бұрын
Siku 100 Za Mama SAMIA, wagonjwa 100 wa Corona.
@mamahaiwawa94903 жыл бұрын
Upumbavu mtup huyu mama sijawahi kumuelewa
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Hata kama humtaki, ndio Rais wako... Ni sawa na kumkataa Mama yako mzazi, na utaonekana hauna akili... Ee Mungu usiyesinzia, mpe nguvu, hekima na ujasiri, Rais wetu Mama Samia... Kazi iendelee...
@tanunewstz3 жыл бұрын
AMEN
@teclahamidutv.24983 жыл бұрын
Ameen, imekua
@maidamwaipopo96033 жыл бұрын
Magufuli njoo baba
@samwellwiza10983 жыл бұрын
Maombi elekezi kwa viongozi wetu...tuzingatie haya maombi coz ndiyo wokovu wetu na njia yetu ya ushindi....TZ TUMEJITOFAUTISHWA NA MATAIFA MENGINE NA MUNGU AMETUTOFAUTISHA...TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU....
@solomonmbuna72293 жыл бұрын
Endelea kutuombea mchugaji wetu uwe kuhani wetu Kama Magufuli aliyemtanguliza MUNGU .
@katendemmayara3723 жыл бұрын
Nyakati za mwisho!.
@gracemima52343 жыл бұрын
Africa tuna shida ya udanganyifu Kia kona mpaka makanisani
@manoahongerasanahatamienil15113 жыл бұрын
Huyo samia hajatanguliza naomi kama Jpm kipaumbele chake BARAKOA za wazungu zituletee korona apate pesa za wazungu
@aristidestibaijukasebastia52253 жыл бұрын
Condom na Irv nnazitaka lakini barakoa za wazungu hamzitaki tutafakari
@barackleonardo77433 жыл бұрын
Kwanini chanjo za polio, pepo punda, surua mnawachoma watoto wenu kila mwaka na magufuli hakuzifuta ?
@chaomadedo3 жыл бұрын
@@barackleonardo7743 kweli
@Jackson-n2c3 жыл бұрын
Amen
@maikoandrew583 жыл бұрын
Mnauzunika Kwasababu mlinsahau Mungu kwa kuzarau watu na kumuona kama jpm ni Mungu hatokufa, leo hii jpm amekufa mmegubikwa na huzuni utazani MUNGU amekufa, mnatakiwa mkuwe na kuacha utoto
@hamismabula58133 жыл бұрын
Rais sisitiza Watz wamtangulize MUNGU! Mbona mwanzo mlikuwa mnatutangazia hadi kufunga!? Leo vp!?
@azizawadh59733 жыл бұрын
Kufunga mpaka utangaziwe
@hamismabula58133 жыл бұрын
@@azizawadh5973 Kibinafsi ni ww km ww cyo mpaka uambiwe! Naongelea Kitaifa, ww una mamlaka ya kulitangazia Taifa zima kufunga!?
@matatalomu86503 жыл бұрын
Your Grace Bishop Mama Devil Shatani is lying and I do not think you follow what JPJM said is having an impact in Tanzania
@salimsaid72003 жыл бұрын
USISEME MAMA NI SHETANI ANASEMA UWONGO BASI DUNIA NZIMA WANASEMA UWONGO???? INAMTUKUZA SANA MAGU BASI KAMA HUJUWI MAGU NDIE SHETANI KALA PESA ZA KUWAKINGA WA TZ KWA KORONA KISHA AKATANGAZA CORONA HAMNA DOLA MILONI 27 KAZIPELEKA WAPI?????
@salimsaid72003 жыл бұрын
KWANI MAGU MUNGU ATA AFUWATWE.
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Hata Mama akikosea, hapaswi kuitwa Shetani na yale majina yote mengine ambayo hayasemeki... Watz tumeharibika, na tumejichafua sisi wenyewe... Tunaomba utusamehe Mama, hatujui tulitendalo...
@chaomadedo3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 kweli umesema. Watanzania ni kuteta kila leo. Ndomaana itafika wakati Mungu wetu Atauondoa Mkono Wake kwetu. Tanzania tulikuwaga na staha na adabu lakini nyakati hizi, mmh mpaka nchi zingine zinatushangaa
@vagasonmwani51223 жыл бұрын
Hakuna kolona ni siasa na biashara ya colona
@neemajulius12563 жыл бұрын
Hata korona ikiwepo sisi tumtangulize Mungu mbele tusiingizs hofu ,hofu ndio mlango wa korona
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Hiyo ni kweli, tumuombe Mungu kwa kiasi kikubwa, aendelee kutuepusha na kutupa hifadhi yake, kutokana na janga la Covid, kwa kuwa yeye ndiye mweza wa yote... Lakini pia, ni lazima MAJUKUMU YA KIBINADAMU YATIMIZWE... Hapo ndio Mungu anafanya kazi... Ni Mungu pamoja nasi!
@simbabbq44273 жыл бұрын
Hakuna muongo yote kuziba makosayaoya kumkamata mboe nakuzuiya mikutano ya chadema sababu hzo zinajulikana
@nyabahailani31693 жыл бұрын
Kakobe ndio mtumishi pekee Tanzania wa kweli wengine ni mashetani tu
@miriammworia12973 жыл бұрын
Shetani mwenyewe.
@happinesszabron68113 жыл бұрын
Mpendwa kama unasali basi acha maana hakuna unachokisali huna roho was Mungu ndani yako ndo maana unaongea usiyoyajua
@christophernkokoyela46513 жыл бұрын
Mmhh
@nestoryjohn94253 жыл бұрын
Acha mihemko
@samsonfulgence55533 жыл бұрын
Mungu akusamehe Letty kwa maana hujui ulisemalo.
@ndimimaskati36413 жыл бұрын
UHAMIAJI UMESAHAU YALIYOKUPATA WAKATI WA JPM.
@maryerick54873 жыл бұрын
Jpm rudi tunateseka kwa kukuwaza ulikuwa mkomboz wetu
@mustafahmansoorchapu5603 жыл бұрын
Hakuna
@mussamalugu17933 жыл бұрын
Uwongo mtupu mnataka mkopo wa corona
@jacobmakono69833 жыл бұрын
..hahahahaaaa!umeona eee!
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@jacobmakono6983 HELA ZA CORONA MILIONI 27 US DOLERS KALA MAGU NA WENYEWE WANAZIULIZA KAZIFANYIA NINI???? MSIKAE MKADANGANYANA.
@zenaabdallah37973 жыл бұрын
WAJANJA HAWA JPM NDIO ALIKUWA MWANAUME
@mussamalugu17933 жыл бұрын
Watanzania wa siku hizi sio kama wale wa kitambo tumestuka kanyaboya pesa za IMF
@jacobmakono69833 жыл бұрын
@@mussamalugu1793 ..utasikia tu..Tanzania yapokea Msaada kupambana na covidiii
@melkizedekiwiliam55333 жыл бұрын
Jaman! Mbona hamtangaz idad ya walio na malaria? Au magonjwa mengine kwan hayatesi? Mbona Idadi ya wagonjwa hamtangaz? Yaan Mnatutangazia corona au covid 19 tu. OK! Hofu huja baada ya tangazo. Lolote ukiogopa latakupata.
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Nakuelewa brother... Lakini, kwa mtazamo wangu, ukweli humweka mtu huru... Mungu ibariki Tz...
@bishopmosesmagadula75723 жыл бұрын
Kakobe zamani uliweza KUJISIMAMIA SANA LAKINI ULIPOFIKA KWA JPM ULILEGEA HUKUYAONA MAOVU..WALA HUKUKEMEA WATU WANAO TEKWA .NA KUPOTEZWA AU MAITI ZA KOKOBICH ZILIZO OKOTWA PIA SASA JILEKEBISHE NA URUDIE MWELEKEO WAKO WA KWANZA...
@marialadslaus73873 жыл бұрын
Ameen baba kakobe
@blandinalukole55353 жыл бұрын
Tunakushukuru askofu kakobe
@micamathew25953 жыл бұрын
Amen.
@nyamangaking66083 жыл бұрын
Wewe kakobe unamwambia mtu Yesu alifufua lazaro huku waumini wako wameiba balakoa kweli imani tunatofautiana,toeni balakoa
@jacobmakono69833 жыл бұрын
..acha ubishi Wa kipuuuzi..dua inaombwa tega sikio lako!
@eatlawe3 жыл бұрын
Askofu Kakobe amekaa kwenye line baada ya kuonja joto la jiwe. Saa hizi ni pambio kwa kwenda mbele!
@katendemmayara3723 жыл бұрын
Huyo ni kakobe! au mwingine?.
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
huyu ni mpigaji km wapigaji wengne tu
@irenejohn20253 жыл бұрын
Sio Kakobe tu ni MTUMISHI WA MUNGU
@irenejohn20253 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 MUNGU KAMUAMINISHA NDIYO MAANA KAMPA KIBALI MBELE ZA WATU,WATUMISHI WAKO WENGI LAKINI KWANNI YEYE?HYO NDO UJUE KUNA KUSUDI ZAIDI NDANI YAKE
@jovincostantinedotto86542 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 hujui unsema nn
@sagandamalechampullo6593 жыл бұрын
UHIRU WA WATU SASA UMERUDI, AWAMU ILIYOPITA WATUMISHI WOTE WALIAMBIWA HAKUNA KUSEMA KUNA CORONA TZ, NA WAKATII
@saimonmanyerezi71693 жыл бұрын
Watasemaje kwani wao wanauthibitisho?,waliambiwa na mkuu hakuna corona,na sasa mkuu ametangaza kuwa kuna corona je unataka viongozi wa dini wakanushe?
@stephensandiko60493 жыл бұрын
Umeomba mkopo bado safari za Kenya na Uganda bado Kuna kamati ya Corona bado mkopo mmechukua unategemea watangaze nn
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Sisi tunataka uthibitisho tu, sio kusema tu Wimbi la 5 au Wimbi la 100...
@Worldunite3 жыл бұрын
Ndio ilikuwa salama yetu
@jaymore67853 жыл бұрын
Msha pewa fungu lenu la Mkopo wa wazungu wa Corona
@jacobmakono69833 жыл бұрын
..acha udaku!hahajaahaha!
@salimsaid72003 жыл бұрын
JAY MOOR KAZILA MAGU ZAMANI WENYEWE WANAZITAKA MILONI 27 US DOLERS
@josephmakutano70673 жыл бұрын
Kakobe nagwajima walioungajuhudi wakijuwa kabisa utawala haukuwa wahaki wamagu ilakwasabbu yahofu tu wakaangukia huko!!!!! Sasamkosalama!!!!!
@matatalomu86503 жыл бұрын
Baba wacha hi Shantani Kwa Jina Mama Samia.
@chaomadedo3 жыл бұрын
Mmh hapana jmni. Huyu ni President wetu. Tuwe na nidham kama watanzania
@zaidyabdalah36913 жыл бұрын
Huyo Kakobe enzi za Magu alitishwa mpaka akaporwa Passport na mwishowe akawa mpiga debe wa Magu, siyo huyo tu wapo Maaskofu kibaaaaaoooo wakiojipendekeza kwa kumuogopa Magu, je vipi tena leo? Tz. bhana, hahahaaaaa!!!! Agayaaaaaaaa
@pitargamba92083 жыл бұрын
Wewe ZAIDY ni ziro kabisa. Mc KAKOBE aligunduwa kuwa alikengeuka ndiyo maana akajirudi siyo kujipendekeza.
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@pitargamba9208 MAGU ALIKUWA DICTETA TANANZANIA NZIMA ILI MUOGOPA KASORO TUNDU LISU NA NDIO MAANA KAMTUMIA WASIJULIKANA WAMUUWE WENGINE WANA MLAUMU SPIKA NDUGAI WAKATI WANAJUWA KWAMBA UKIMPNGA MAGU BASI UMEKWISHA.
@pitargamba92083 жыл бұрын
@@salimsaid7200 kama MAGU alikuwa dikitete je utakubali kuwa watu wenye majina kama yako wengi ni magaidi?
@saluwatimalyeta55873 жыл бұрын
@@pitargamba9208 umeongea pointi huyu ni gaidi hawezi kumpenda hayat kwa sababu aliwanyosha
@fredrickfilbert39223 жыл бұрын
ingekua JPM alikua adui yake, basi asingeweza kuomba hivi. Tumia akili
@ashahamisi57703 жыл бұрын
Ugonjwa haufichiki mwachen mh raisi aseme ukweri kwake uwongo mwiko. Na hapendagi sifa za kijinga huku watu wanakufa.
@sylverjosiasy85363 жыл бұрын
Nani kwenu kafa kwa korona??
@tanzanian88473 жыл бұрын
No sense, and empty brain
@josephzitto48703 жыл бұрын
Subir vije vifo vya kubambikiziwa ili uendelee kumuamin c ndy mnachotaka!
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Tunahitaji takwimu ili tujue Corona ipo au ni uongo mtupu...
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@sylverjosiasy8536 MAGU KAFA KWA CORONA
@anitasita71533 жыл бұрын
UONGO
@micamathew25953 жыл бұрын
Uko wap huo uongo?
@nkololokwetu14383 жыл бұрын
Mngu Aku Samehe
@daisykilatu79033 жыл бұрын
Mungu akuhurumie
@nicolasnkembo16063 жыл бұрын
Utusikilize Ee Bwana Mungu wetu
@hamisiselemani97773 жыл бұрын
Hap namkumbk tu magufuli
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Minister Dr Gwajima mwenyewe anasemaje? Mbona hakutoa tamko lolote? 🤔🤔🤔
@emmanuelsimon5453 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 amebanwa na mamlaka hata akisema jua ni mamlaka