ASKOFU SHOO AMEPEWA GARI LA MIL.500 NA RAIS. ASKOFU MWANAMAPINDUZI ANAFICHUA MAZITO KAULI ZA SHOO

  Рет қаралды 42,906

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 239
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 2 ай бұрын
Sawa !Asante askofu Mungu yupo na Tanzania wengi watayaanena kwa lugha kabla ya 2025 ,kama umenajasi nchi yako gizani yatawekwa bayana mchana kweupe, tumeshuhudia Bao la mkono Sasa chaguo la Mungu, "Tunasubiri Anguko la Babel kwa Tanzania!!
@JacobMassawe
@JacobMassawe 2 ай бұрын
Mama samia MUNGU amemkataa
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 2 ай бұрын
Shoo anetukosea sana sisi Walutheri. Askofu wenzake wajue kuwa matamshi ya Shoo yanadhoofisha Kanisa letu.Kwa ujinga huu, Waumini tutahama Kanisa hili.KKKT itoke hadharani na kukemea matamshi ya Shoo.Na asirudie tena.
@AlphaMollel
@AlphaMollel 2 ай бұрын
@@jonathanakhabuhaya1693 Shooo ni mpumbavu kama pididi tyu
@johnkessy4966
@johnkessy4966 2 ай бұрын
Vazi siyo roho. Alikuwa akisubiri muda ufaao ili aonyeshe rangi zake halisi. Hajalogwa. Hii ndiyo hali halisi. Genes na chromosomes zake ndiyo hizi.
@HamismohammedHamis
@HamismohammedHamis 2 ай бұрын
Hamuoni aibu nyie maaskofu pesa zile mlizo zila wakati ule mnadhani tumesahau wakati ule watu walikuwa wanauwawa kibiti mlikuwa wapi hamkusema Leo mnasema watu wanatekwa kwani Rais ndio anawateka kwa kuwa Rais ni Muislamu
@RhodaKibona-w9j
@RhodaKibona-w9j 2 ай бұрын
Mungu bado anaitwa, Mungu, hata kama wamkane, bado Mungu...
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 ай бұрын
KAMA YOTE YANAYOZUNGUMZWA KUHUSU ASKOFU SHOO NI KWELI....BASI ASKOFU 'AMEUNAJISI' UASKOFU....AOMBE TOBA....WATAKE RADHI WATANZANIA WOTE PIA.
@HamismohammedHamis
@HamismohammedHamis 2 ай бұрын
Wange sema mashekh mgesema wanachanganya dini na siasa Leo yatawarudia tu Ilunga alisema sana akiwa Raisi muislamu mnasema mengi lakini saga tunasema ukweli huwa unakuja polepole lakini utajulikana na watu wataufwata
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 ай бұрын
Mungu wetu ni Mwema na Mtakatifu.Atatenda haki kwa ukweli.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 ай бұрын
Wamesahau kupea makanisa mengine wanapewa wenye manabii wa uongo kwakuwa wana watu wengi na wadanganyifu wengine hongo mpaka maknisani yaana rushwa mpaka makanisan kweli jaman tutafika pole sana watanzania.
@AweMagdalena
@AweMagdalena 2 ай бұрын
Kweli mnamdhalilisha yesu huyu mama anahonga pesa nyingi anatoa wapi wakati mshahara ya watumishi hajaongeza
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 ай бұрын
ASKF SHOO MIMI NAOMBA UJITOKEZE KWA JINA LA YESU UJITETEE IKIWA UMEONEWA AMA URUDISHE VIPANE VYA SHEKELI MAANA VITAANGAMIZA WENGI KTK UZAO WAKO.NA HILI NI NENO LA BWANA.
@godfreyassey3833
@godfreyassey3833 Ай бұрын
Poleni
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 ай бұрын
Mwanaume n mmoja tu shekh ponda,,
@happygombe1969
@happygombe1969 2 ай бұрын
Kabisa
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 ай бұрын
@happygombe1969 ashapigwa RISAS,, Na aliaanza kukosoa dola toka awam y kwanza,,,ILA sio Hao maaskof fursa
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 ай бұрын
Hatumtaki shoo na samia wake kujakuongea ujinga
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 2 ай бұрын
Cha Muhimu tuombe MUNGU Maana Mungu kwake nafsi Moja Ina Maana sana hamjawahi kufurahia mabaya yakimpata Mtu mwema, Mungu Anaweza kuchagua Tena akamkataa Mtu mafano Kuna Sauli na Saudi wote walichaguliwa yalioendelea hapo wasomaji Wa biblia tunajua Mungu ni mwaminifu Yeye aingilie kati sisi Kazi yetu kuomba Yeye ataleta jawabu ila tupe de haki na viongozi wajue kama hawapendi Kufa basi wajue wote binadamu wanataka Kuishi na Ndilo alipendalo Mungu
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 2 ай бұрын
Mwachen iyo ni sadaka ya Samia Kwa kanisan analohudumu katusaidia Ili sis kusichangishane kumnunulia gari,
@MuseiMeleki
@MuseiMeleki 2 ай бұрын
Kweli pesana mali za dunia ni shetani ndio maana yuda alimsaaliti Yesu mwana wa Mungu
@LinosJohn-dp9xi
@LinosJohn-dp9xi 2 ай бұрын
Urais unapigiwa debe mpaka kanisani😂😂
@victorrobert7797
@victorrobert7797 2 ай бұрын
Askofu wa njaa ,tutamlilia Mungu hata kama wameongwa sisi waumini hatujaongwa na wataaibika na laana iko juu yao
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h Ай бұрын
Huu ni uongo Dr Shoo hakupewa gari na serikali. Gari hiyo alipewa na marafiki wa Mch Dr Kimaro. Msiwapotoshe wananchi ili kumchafua Askofu Dr Shoo. Ogopeni uongo. Askofu anaweza akawa amepewa pesa ila sio hilo gari
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 2 ай бұрын
Hiyo gari ya land cruiser nyeusi amepewa zawadi na Mbowe na marafiki zake hasa waumini wa kkkt kilimanjaro .Uliza tunaojua.Acha kumchonganisha mama na wakristo... Unafiki umekuzidi..Milioni 500 kwa wachaga ni pesa ya mboga...
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
Watanzania hatutakiwi kuchukia dini ya mwingine bali tunatakiwa kuheshimu viongozi wanaosimamia kiapo cha kuilinda , kuifuata na kuiheshimu katiba iliyowaweka madarakani. Alipofariki Mh Magufuli waumini wa dini zote waliiheshimu katiba na kumweka madarakani makamu wake bila kuangalia jinsia na dini yake . Hilo ndilo jambo la msingi. Tuongozwe kwa katiba daima . Malumbano marika mbalimbali nchi hii hayataisha hadi hapo katiba ya watu ( umma) itakapopatikana nchi hii.
@gastonjohn537
@gastonjohn537 2 ай бұрын
Shoo must go
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Ni askofu wa maslahi yake sio dini 😂
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 ай бұрын
Huyu Mzee ni kiongozi wetu Walutheri kwa hiyo akipotoka, tumepotoka
@AlphaMollel
@AlphaMollel 2 ай бұрын
@@mosesmacha1080 sio samki mmoja akioza wote tumeozaaa,hapana,yeye ale pesa za mama ,atuachee asitulete usengese
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 2 ай бұрын
Hakika kanisa limefedheheka mno,sasa ni wakati wa kutoamini maaskofu wote na watuachie kkkt yetu ,
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
Hao hata yesu alisema tuwemacho na manabii wa uongo hao maasikofu wanao unga mkono ccm ni wachumia matumbo sio waamifu kwa waumi wao hata kwa mungu wanaemutumikia
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 2 ай бұрын
Hii fimbo nzr sana
@benedictsenya
@benedictsenya 2 ай бұрын
Huo ni usaliti wa Kanisa kama ni kweli !! Gari ni njia ya Peponi ?
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 Ай бұрын
SAA NGAPI KUMEANZA KUCHANGAMKA HUKU HAKI NA BATILI HAVIKAI PAMOJA
@ansmsimbe1236
@ansmsimbe1236 2 ай бұрын
Kazi ipo duniani
@VashtyBurge
@VashtyBurge Ай бұрын
Hao maboss wenu walipopewa chochote wakaanza kumpigia debe na kumsifia sana. Kwani Shoo hakuyaona hayo? Acheni unafiki. Anzeni na boss wenu. Hakulambishwa asali?
@OttoChiduo
@OttoChiduo 2 ай бұрын
Maaskofu RC hawawezi kuwa chini ya Padre !
@JaphetChusi
@JaphetChusi 2 ай бұрын
Duu! Askofu kapatwa na nini? Ni njaa 2kweli? Au kapuliziwa dawa ya kugeuza akili mruungula😅😅😅😅 mim niliamini shoo ni moja ni miongoni mwa viongozi sauti ya wasio na sauti. Lakini kachagua kuishi akiwa amelala kuliko kufa akiwa amesimama. Kapoteza heshima yake hana thamani tena!
@HassanIshau-hk7is
@HassanIshau-hk7is 2 ай бұрын
Kumbuka kuwa mungu huyo huyo ndie alie mpa kwa hio kumnyanganya sio ajabu. Ila chuki na maneno haviwezi kumtoa mitano tena.
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 2 ай бұрын
Mmh Mmh! Matusi hapama!!
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Waambie.yanga.na.simba.hayo.magoli.wanayonunua.ni.ruswa.kwa.nini.magori.ya.mtibwa.hayanunuliwi?
@RichardDaud-q4i
@RichardDaud-q4i 2 ай бұрын
Zee limepagawa hilo nchi inaongozwa na katiba kiongozi anachaguliwa kwa kula leo ww utoke zako uko na upumbavu wako eti and hoo tumpe tena mitano SSH Kwahyo tusipige kula mzee kapagawa sana
@johnkessy4966
@johnkessy4966 2 ай бұрын
Siyo wote wasemao bwana,bwana watauona ufalme wa Mungu.
@JohnSanga-p8g
@JohnSanga-p8g Ай бұрын
Kwa kweri huyu asikofu amejivua vazi la uasikofu ni aibu
@immamunisi1312
@immamunisi1312 2 ай бұрын
Yaani nilikuwa namuamini sana Show ila kwa hili lakumpigia rais debe ni ujinga
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa baba majambazi hawa
@OscarGregorymosha
@OscarGregorymosha 2 ай бұрын
Ezekiel 14:9
@gladys4878
@gladys4878 2 ай бұрын
Alipokuwa anasema kweli mbn hukumsifia?
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Karogwa na mamilioni ya pesa aliyopewa na samia
@ZiggysebahZiggysebah
@ZiggysebahZiggysebah 2 ай бұрын
Ni aibu kwake puuuuu
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 2 ай бұрын
Ni katiba ya ccm inayomruhusu kuendelea acheni uongo askofu kanena ukweri na ndivyo itakavyokuwa
@FranceJulias
@FranceJulias 2 ай бұрын
Pimeni maneno ya vinywa vyenu mtayatolea hesabu
@AmbakisyeMbwaga
@AmbakisyeMbwaga 2 ай бұрын
Hakuna mkristo anaeteseka na utawala huu mbovu ila tunakemea heshima ya nchi serikali hii machawa ndio wenyemamlaka popote narushwa imezidi ajira sukuhizi ni mchongo
@yusufmunisi4796
@yusufmunisi4796 2 ай бұрын
Kipi cha tanganyika kimeuzwa?
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 ай бұрын
Ukweli wengiwe tulishagaa sana na shoo kachanganyikiwa au hafai tena au ajitokeze kukanusha maongezi yake ndipo tumwamini sasa.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 ай бұрын
Kama yanayosemwa Kweli askofu bora ujiuzulu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
USIJALI WEWE MGALA NA WEWE UTAPEWA BAJAJI 😢😢😢😢😢😢
@JohnShileMunisi
@JohnShileMunisi 2 ай бұрын
Njaa zinakusumbua.
@KajunaBuhari
@KajunaBuhari 2 ай бұрын
Naona bado mna hali ya utumwa vichwani sasa askofu ni binadamu nafusi yake imemtuma asifiwe mtu kuna shida gani tatizo letu ni uvyama ndilo limetawala kanda yenu ya kaskazini
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 2 ай бұрын
Kama kuna rais anayejua kuhonga huyu mama kwa kweli anahonga Utashangaa anakomesha rushwa au unapanda rushwa??? Kweli viongozi wa dini jamani kuweni na hofu ta MUNGU neno linasema 'MYAKEMEE MAOVU"
@hashimhassanimassawe8366
@hashimhassanimassawe8366 2 ай бұрын
Sisi.watuwwnyeakiliyetu.tunajuwakuwa.maasikofu.ndowanalega.vita.afrika.ndomaana.hapa.Alcc.waliletwa.wengisana.kibokoyenu.alikuwamaghufuli.lakini.endeleeni.nakama.shoo.hanaakilikweli.basimaaskofu.wote.hamnaakili.kulikoyeye
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 ай бұрын
Nikisema Toka hapo kua shoo alikua anamchukia Jpm mama kamlambisha asali
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Kwani kumsifia raisi ni kosa mbona wapo kunawachungaji walijitokeza kuisifia chadema waziwazi mbona hamkuongeq acheni siasa ni ujinga sana
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 ай бұрын
Kwani kamsifia au kamchagua ili awe Rais 2025
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 ай бұрын
WALUTHERITUPO TUNAMKODOLEA MACHO , TUNAMSHANGAA KAYAANZAJE?
@RichardMadebe-f1m
@RichardMadebe-f1m 2 ай бұрын
Watanzania kumpa kura Rais Samia ni makosa makubwa sana hafai hata ujumbe wa nyumba kumi
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 ай бұрын
Mama Samia mitano tenaaa..
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 ай бұрын
Wajinga ndio pekee wasioona maendeleo yaliyoletwa na mamq Samia
@IsmailOmarDahir
@IsmailOmarDahir 2 ай бұрын
Shoo ni mkweli mbaka rohoni
@magaigwa4204
@magaigwa4204 2 ай бұрын
Shoo hamkuelewa, shida yake ilikuwa magufuli
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 ай бұрын
Selikari ,ama samia kunapesa za kuchezea ndo tunasema imekuwa sio selikari tena kilakitu samia ni inchi ya kikundi fulani si yawananchi
@OttoChiduo
@OttoChiduo 2 ай бұрын
Ni zawadi kama zawadi wala sio hongo
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 ай бұрын
Uzeee wake umekwenda kubaya sijui kama alikuwa Askofu au
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 ай бұрын
Kwa mtazamo wako lakini kwa mstakabali wa nchi yetu kiuchumi mama Samia hatoshi kabisa akipewa awamu nyingine nchi hii itafirisika kabisa
@IsraelJacobo-r9r
@IsraelJacobo-r9r 2 ай бұрын
Mmefanya mengi mazuri ! Ila kwa Holi! Mmenishangaza Tena masikio yangu yanawasha mnaongea upuuzi mtupu mmenikera sanaa!
@gladys4878
@gladys4878 2 ай бұрын
Gari jeusi alnunuliwa na watoto wake wa kiroho akiwemo mchgj kimaro na wengine wengi kadiri ya walivyokubaliana. Gari lilipelekwa nyumbani kwake na wala haikuwa siri.
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 2 ай бұрын
Wewe unabwabwaja,Shoo siyo mwanasiasa msimlazimishe asimamie uwongo wenu.kama mlishuhudia,kwanini hamkumtia hatiani kwa wakati? tatizo una mhemko.
@zachariamakamillo1965
@zachariamakamillo1965 2 ай бұрын
Hoja za uongo kabisa. Wale watu walisema wazi kuwabwalipeana muda wa kukamilisha michango.
@AweMagdalena
@AweMagdalena 2 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli ambao COM wanafanya uchaguzi iki karibia hadi kiongozi mkubwa kutoa rushwa kweli aibu aibu huyu mana shoo ana shida gani kuna maskini walemavu wanatambaa kwa magoti bor an😅
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 2 ай бұрын
Kwa hoja hizi za mwanamapinduzi, kama kweli Askofu Shoo bado ana chembechembe za uhai ndani ya mwili wake atatoka hadharani aombe radhi kanisa na watanzania Kwa ujumla. Lakini kama amekufa atanyamaza
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 ай бұрын
Au ajiuzuru.
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 2 ай бұрын
WE TAPERI UNÀJÌÌTA MCHUNGAJI ÀCHA KUMVU NJIA HESHIMA MZEE DR SHOO ALCHOSEMA AMELETÈWA MUNGU KUPITÌA KWA MALAÌKA WEWE NA YULE SHÒGA MTASHANGA MANENO MZEE SHOO YATAKAPO TÌMIA 2025
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 2 ай бұрын
Tapeli huyu jamaa....
@reginaruta3249
@reginaruta3249 2 ай бұрын
Kama kweli alipewa rushwa na yeye nikiongozi Mungu atamuhukumu kwa kadirii ya matendo yake siku hipo. Maana anayeona ni Mungu.
@AthumanKinyange
@AthumanKinyange 2 ай бұрын
Wewe askiofu unaesoma huna akili nyie ni wanafiki hamuogopi mungu mnapenda sana dunia na mtakufa vibayya mnakuwa waongo mnocww meenyewe hapo umerogwa Hana akili mshenzi mkubwa
@samsonsengi7574
@samsonsengi7574 2 ай бұрын
Ni aibu kwa kiongozi mkuu wa kanisa kama askofu kushindwa kutetea haki za watu badala yake anaungana na watawala wanaotesa na kuua raia wake. MUNGU ISAIDIE TANGANYIKA YETU.
@WillfredyMollel
@WillfredyMollel 2 ай бұрын
Hivii askofu hagopi kupofushwa mocho mungu hukumu
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 ай бұрын
KWELI RUSHWA HUPOFOSHA AKILI YA VIONGOZI WANAOAMINIKA NA AKILI ZAO.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 ай бұрын
Shoo bwana hafai kabisa kushawishi wananchi maana najua kuwa amekula kitu.
@kihongole87-ns1bo
@kihongole87-ns1bo 2 ай бұрын
Askofu damu za wanaouwawa inakulilia geuka nmefrah et enyi Wana wagaratia Nan kakuroga duuuh askofu huna akili utashangaaaaa bado anasimama madhavauni na kutoa baraka kwa waamini duhh
@mohamedhussein3583
@mohamedhussein3583 2 ай бұрын
Acheni chuki ya kiasi hicho nyie ni vio gozi wa dini kisa chama chenu pendwa
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 2 ай бұрын
Gari lagharama analomiliki askofu shoo ni mchango wa washarika wanaoishi nje wakiongozwa na mchungaji mchungaji Eliona.Lilichangiwa na humu humu You Tube kuna video yake.Huyu anayejiita askofu mwanamapinduzi wa chadema anapotosha.
@IsraelJacobo-r9r
@IsraelJacobo-r9r 2 ай бұрын
Chama chetu Sasa mnaelekea pabaya! Fanyeni siasa acheni umbea! Mnatuudhi Sasa kwa staili hiyo 🤫
@PaullyzmundaPaullyamunda
@PaullyzmundaPaullyamunda 2 ай бұрын
Huyu mtumishi anazidi kuwa bora kadri siku zinavyozidi! Anajenga hoja nzito kabisa!
@victorrobert7797
@victorrobert7797 2 ай бұрын
Hiki kipindi alichotuongoza kimetosha apumzike ,tupate Rais mpya
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 2 ай бұрын
Uelewa mdogo sana mchungaji kwa sababu siasa uchwara zimekutawala na zina kuchanganya mno!
@tugemwakilewa1298
@tugemwakilewa1298 2 ай бұрын
Sijawahi msikia akiizungumzia nchi huyu askofu, watu kama hawa hata wakipewa uongozi huwa wanaishia maneno tu ubunifu zero. Kwa nini mmuandame mtu na msimamo wake? Mnataka wote mfanane msimamo?
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 2 ай бұрын
Gari ipi ya milioni 500?
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 ай бұрын
Tuliwaambia magufuri alikuwa mwema ndio maana alipingwa na shoo na wenzake kwa kuwa hela za wizi zilikuwa hakuna.
@JosephIsrael-t6n
@JosephIsrael-t6n 2 ай бұрын
Abuumuhamad hujui lolote nawewe umo ktk mateso uliyosema rais Samia atayaleta,pili utawala wa kudumu Hadi 2035 ni fikra yako na wenzio wasiojitambua Wacha uchawa soma nyakati
@frankmtei6318
@frankmtei6318 2 ай бұрын
Nakubaliana na wewe kabisa mwana mapinduzi, huyu kalogwa na hajalogwa na tunguli kalogwa na vipande thelathini. Kawa mtu wa hovyo kabisa . Bure kabisa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Mchaga huyo mbona Mbowe alilamba asali qlivyokoromewa na Chadema wenzie akaanza kubadilika kisa anaona atakosa Uwenyekiti
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 2 ай бұрын
Askofu shoo aliandika waraka wakati wa Magufuli leo hii kageuka chawa Jamani, hapana kwa busara zake angesubiri demokrasia iamue nani atakuwa Rais.
@HaroldTarimo-g6f
@HaroldTarimo-g6f 2 ай бұрын
Shoo ametia dosari heshima aliyojijengea kama ni rushwa basi Mungu wetu atusamehe
@AweMagdalena
@AweMagdalena 2 ай бұрын
Chawa wa yezebeli
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂eti pigia mstari hilo neno wewe huna akili
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 2 ай бұрын
Kwa hili askofu na sio baba..! (Askofu Shoo) Amepotoka!!! tukisema labda ni uzee bila shaka ni hapana. Kwani viongozi wengi wa makanisa kadri umri unavyokwenda na busara pia inaongezeka
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 2 ай бұрын
SHOO KAKOSEA TAIFA JAPO MIMI NI MSABATO KAKOSEA SANA UCHAWA TAIFA LINAANGAMIA UTADAIWA HIZO DAMU ZILIZOULIWA NAUCHUMI KUUZWA VITU VYA MSINGI BANDARI NA MENGINE
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 2 ай бұрын
Wapewe wote,tu tufanyeje ?
@janelunanilo162
@janelunanilo162 2 ай бұрын
KUMBE HAJALA MNAHISI TU😅
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Pesa sabuni ya roho hiyo imetoka ikirudi pancha
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
This is just an inferiority. Kanisa letu kkkt lina uwezo mkubwa sana wa kumnunulia askofu shoo gari hata la 1b.umaskini na wivu ndio vinawaponza maaskofu uchwala ninyi, acheni kumtukana askofu.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
LENNOX LEWIS vs SHANNON BRIGGS
14:35
FRIZALZ
Рет қаралды 1,9 МЛН
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
AGANO LA DAMU Part 1 -Zachary Kakobe
56:32
Nyumbani Habari Media
Рет қаралды 9 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН