Mzee Makamba akitoa somo la ufugaji wenye tija na jinsi alivyoanza

  Рет қаралды 23,831

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 ай бұрын
Acha kukejeri wazee wenzako wew mtoto wako waziri, na wew ulikua na nafasi kubwa na hukupata shida kulipwa ulipostaaf tena ulilipwa hela nyingi kuliko mwl au daktari mshukuru Mungu usione wazee wenzako akili hawana
@African511
@African511 Ай бұрын
Mzee wangu nimekuelewa
@wollefernando1257
@wollefernando1257 Жыл бұрын
Hakuna inspirational yoyote hapo. Ilikuwa TBC mumtafute mtu wa chini ndio kuwa inspire watu ila sio kwa kigogo kama huyo.
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
Anajifurahisha to wazee wanao kula mema ya nchi hawa
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 2 жыл бұрын
Jifunze juu ya mafanikio pitia mtu wa kawaida na wachini aliefanikiwa, na si kwa mtu aliestaafu na pesa nyingi na akiwa na miradi lukuki kila kona ya nchi, utafrastrate tu, labda hii inawafaa wastafu wenzie matajiri
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 жыл бұрын
Safi Sana mzee Makamba
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Bado mnakuka Serikalini kupitia Mtoto wako ndio maana unampigia debe
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 8 ай бұрын
HILO NALO NENO
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 2 жыл бұрын
Hana kitu kipya, hii yote nikuwa na pesa, yy na mstaafu mwingine ni vitu2 tofauti anavyanzo vingi vya siri vya pesa, asizarau wasiobahatika kuwa ktk fungu lake, yoote haya ni jeuri ya pesa hawa wazee walivuna sana wanavuna sana nawatavuna sana, so better u flight by your own
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Ww umezulumu mwizi mkubwa ww
@alistairelias536
@alistairelias536 2 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiri kusikia Mama January akitajwa... na ametajwa 😄
@PendoXavery
@PendoXavery 20 күн бұрын
Wazee wanapendana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Mzee unaheshimika, usiwaneneee vibaya wastaafu wengine! Ni muhimu kukumbuka kuwa si kila mstaafu alikuwa Katibu Mkuu wa CCM,,,
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 309 М.
Kisa cha Mganga na Mtu asiye na Subira - Mzee Makamba
3:38
Azam TV - Mzee Makamba awasha moto tena, ampiga dongo Lowassa
12:52
Motsepe akagua dimba la Benjamin Mkapa
2:48
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
Baada ya kustaafu, haya ndiyo maisha ya Mzee Yusuf Makamba-2
8:18
Daily News Digital
Рет қаралды 152 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН