Huenda unapenda kufuga samaki, lakini unashindwa kwakuwa hakuna sehemu ya kutosha. Makala ya Shambani iliyoandaliwa na mwandishi wa Azam TV Jamaly Hashim, inatoa darasa la ufugaji huo wa kisasa.
Пікірлер: 14
@amosijacksoni2 жыл бұрын
Azamu ni the Best Duniani Unga,michezo,Elim tv
@danielmwakajila68782 жыл бұрын
Somo zuri sana. Mawasiliano na hao wataalamu yanapatikana vipi?
@thobiasmboje15065 жыл бұрын
Naomba mawasiliano me nipo mjin mfumo huo nimeupenda na ninauhitaji sana
@lameckluwanda35066 жыл бұрын
We need contacts to get the experts.
@leonardkigutu77166 жыл бұрын
Mawasiliano ni muhimu, na je tunafanyaje hili kupata kuyatengeneza au mtengenezaji ni nani na anapatikana wapi!? kwa sababu umetuacha njia panda!