PAMBANO ZIMA: Hassan Mwakinyo alivyomtwanga Jose Carlos Paz - Usiku wa Vitasa 13/11/2020

  Рет қаралды 1,331,277

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

MWAKINYO VS PAZ: Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ametetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welter Weight baada ya kumtwanga Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne.
Ndondi hizi zimepigwa kwenye ukumbi wa #NextDoorArena usiku wa Novemba 13, 2020 chini ya utayarishaji wa Jackson Group Fight na kuruka LIVE #AzamSports2HD
#HassanMwakinyo #JoseCarlosPaz #VitasaNight
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 904
@victorrobert1701
@victorrobert1701 3 жыл бұрын
Mwakinyo katika kutoa shukrani zako jaribu kuwashukuru watanzania kwa ujumla na sio kusifia tu mkoa wako kumbuka mashabiki wako wapo Mikoa mbali mbali, mwisho nikupongeze kwa mchezo nzuri 🇹🇿
@fatumaabuu8989
@fatumaabuu8989 3 жыл бұрын
Acha unafiki we utopolo kwani hakutaja Tanzania apo, nyooo Italiwa kwa umbeya
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Ni sawa kbs..ila shida ni elimu na tunakulia sn kwenye dhiki harafu hatuwez kubadirika kuwa professional...nashukur km umeliona hlo pia anapiga kaz na tunamsapot hlf kauri ni sifur
@aishaasumany561
@aishaasumany561 2 жыл бұрын
Wacha ataje sinimtanga lazima aseme kwao mnaumia nni sasa?
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs Жыл бұрын
Na ww pambana mzee
@swimamasumira7261
@swimamasumira7261 3 жыл бұрын
Hongera Sana Mwakinyo Wabongo tuna tabia ya kumchukia mtu ambaye anaonekana kuchomoza, si Vyema kabisa. Huyu dogo kapambana Sana hadi kufika hapa, mafanikio yake Yametoka mbali Sana alidiriki kwenda nje Wakati AKIWA na Hali ngumu kipesa. Kapata jina kwa juhudi kubwa. Hao wengine ambao wanaonekana wazuri watoke nje wakapigane KWANZA na watu wengine bila ubingwa tuwaone then waombe pambano na Mwakinyo. Mnataka kumtoa nje ya Reli. Mwacheni hizo mambo. Mwacheni Ang'are familia yake na Taifa bado linahitaji Sana. Nawaombea akina Twaha kiduku watafute Pambano nje KWANZA ndo Uungwana then mengine Yaje. Kila Bondia anajua kupigana na Mwakinyo ni Deal kwa sasa
@abdulomary6128
@abdulomary6128 3 жыл бұрын
Ndugu umeongea kitu sawa kabisa, jamaa amepambana na hali yake hadi hapo alipofikia, na inshallaah atafika mbali sana, kwa upande wa mashabiki kuna tatizo, kwann ghafla watu wanamchukia?mm nahisi mwakinyo angekuwa na tabia ya kuchunga ulimi wake tu, zaidi ya hapo hakuna ubaya wowote.
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Umeongea poit ndugu maana cc tunakuw na tabia mby sanaaa
@mudaslihseleh3591
@mudaslihseleh3591 3 жыл бұрын
Unaona pale alipigwa sawa mukasem ameteleza Mtu kachukua hileee
@binbaya923
@binbaya923 3 жыл бұрын
Hongera bro. Ila jifunze kuongea ktk kadamnasi. Usitafute uadui na watu. Respect
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@massvpro
@massvpro 3 жыл бұрын
Mwakinyo Uwezo wako Mungu Amekuchagua kwenye fighting. Naamini Utaenda Kung'ara Tena Marekani Au Uwingereza. Staili uliyotumia Kama Mayweather Endelea nayo. Naushauri (Chunga ulimi wako Kama vitabu vinavyosema) pili Usicheze Pambano Na Mpiganaji wa ndani Hadi Ufikie ndoto Zako. Kwani Wtz Tunapenda kuona Mtu Kashindwa Sio Kushinda kwa maana ya wivu wa kijinga nakupenda story mbaya kuliko nzuri. Hongera Saana kwa ushinfi wa no court.
@sudihomaofficial1400
@sudihomaofficial1400 3 жыл бұрын
Sio kwamba Mwakinyo anajisifia huyu ndo 🇹 🇦 🇳 🇿 🇦 🇳 🇮 🇦 🇹🇿 one💪💪💪
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 жыл бұрын
Leo nimemshuhudia Hassan Mwakinyo ninaemjua vizuri sana Hongera mdogo wetu Hassan ,Hongera Raise wetu magufuri ,Hongera Tanzania ,tunakuomba uwe unacheza hivi.
@pascalpembamoto8611
@pascalpembamoto8611 3 жыл бұрын
Big up sana mwakinyo,mwakinyo mzarendo kweli kweli ,Hongera sana Tanzania, Mpira wa miguu wajifunze kwa uzarendo wa mwakinyo.
@jimmycroud1027
@jimmycroud1027 3 жыл бұрын
Kusema kwel mwakinyo sasaiv Yuko vzur kuna vtu ameongeza aisee good 👍
@danieloluoch2148
@danieloluoch2148 3 жыл бұрын
Watanzania wako na boxer mzuri Sana ,a country that value sports such boxers will be relocated to America and fight there,a good gym with a good trainer he will go far even get a little shot.Like in Ghana such boxers are relocated immediately to America,
@nasranyerere6920
@nasranyerere6920 3 жыл бұрын
Safi San broo
@philipolusesa9716
@philipolusesa9716 3 жыл бұрын
Hongera Sana kutuwakilisha vema wazalendo wa Taifa hili🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
@petermsangi2701
@petermsangi2701 3 жыл бұрын
Hongeraaa , umebadilka umepigana professional kabisa ,good job
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 жыл бұрын
Mwakinyo kazidi kuimarika this guy talented San hongera san mwakinyo
@suleyhaji5313
@suleyhaji5313 3 жыл бұрын
hongera sana mwakinyo kwa ushindi pia nimefurahi sana ulivyompitezea uyo kiduku maana anaongea sana juu yako ila ww level yako nyengine sana ya kimataifa
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 3 жыл бұрын
Wooow!! Congratulations Hassan Mwakinyo. Team Tanzania Hongereni sana. Hizo ngumi za kishujaa tu!
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
Sawa tumekubali umefanya vizuri ila kama unajiamini kiihivyo tunataka pambano upigane na twaha kiduku.sho shoooo....
@abdulazizsuleimani3391
@abdulazizsuleimani3391 3 жыл бұрын
Hongera mwakinyo kwa kuiendeleza kuitangaza tz ww ndio bondia bora hapa nyumban kwa renk yko big up my young bro!
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
From oman mascat hongera sana mwakinyo kwakutuwakirisha vizuri wa tanzania
@mohamedsaalim4254
@mohamedsaalim4254 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@levisdominick2296
@levisdominick2296 3 жыл бұрын
Hakika mgumi jiwe big up mwakinyoooo Tanzania one no one can stop you in the world of fighting Big up again
@du8284
@du8284 3 жыл бұрын
TANZANIA OYEEEEE💃💃💃💃 TANGA TUJUWANE... KISHA TUPIGE KELELEEEEE💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@saadikibinjazaa1511
@saadikibinjazaa1511 3 жыл бұрын
Acha ubaguzi wewe
@mshihiliramadhani9088
@mshihiliramadhani9088 2 жыл бұрын
Oyoooo
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 жыл бұрын
Nikambia watu hapa hassan ni jina ya kenya wata kataa....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 big up mwakinyo..😂😂🙈🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@niceboy255obby2
@niceboy255obby2 3 жыл бұрын
Marefa nao huwa wanakazi jaman nimeona kapewa ✊ ya mbavu
@bonifacemwakabana4127
@bonifacemwakabana4127 3 жыл бұрын
Duuuuu nimeiona kachezea ila naye yupo fiti nilijua atakaa
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 3 жыл бұрын
Ni Hatareeee
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 3 жыл бұрын
😀😀😀
@jaredngota289
@jaredngota289 Жыл бұрын
Mabondia wengine waone jinsi boxing hufanywa kupitia mwakinyo
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 3 жыл бұрын
Kijana amecheza vizuri sana kuliko mapambano yote safari hii kweli ameiva amekuwa mwepesi sana sana
@jumandaro9214
@jumandaro9214 3 жыл бұрын
Safi Mwakinyo, Raundi Ya 4 Mtu Chaliii. Sio Yule Aliesumbuana na bondia mzee hadi raundi ya 7. Watakuelewa tu na roho mbaya zao.
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
Wewe utamponza mwezako,twaha bahari nyingine,shoo shooooo
@godfreymwaka3646
@godfreymwaka3646 3 жыл бұрын
Bondia kazeeka ndio munatuletea anamiaka 46 atangumi alushi wanacheza hope tuleteeni vijana kama hawa
@husseinswaleh9581
@husseinswaleh9581 3 жыл бұрын
Tujuane wangap wanaludia kweny ngumi ilomfany dogo akae chini kwanz gong like tujuane Fundi mwakinyo
@zananabalozi670
@zananabalozi670 3 жыл бұрын
Tazama vizur ngumi au weka slow motion alafu utajua usiongee ushabiki mwambie twaha akauze korosho sio kwa kutuletea muuza vitumbua alafu anasema bondia wa mapambano 101
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 жыл бұрын
Dah mwankinyo amebadilika viwango vya Hali ya juu Safi sana
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 3 жыл бұрын
Haya semeni na leo kuwa amebebwa!!!safi sana Mwakinyo
@deogratiasruvwamabo6524
@deogratiasruvwamabo6524 3 жыл бұрын
Najivunia mwakinyo endelea kuitambulisha tz🇹🇿🇹🇿
@popperkuch669
@popperkuch669 3 жыл бұрын
Hivi ndivyo tunavyotaka wa tz Haiwezekan rais wetu jpm afanye vzr arafu cc watu wake tuwe tunazingua I'm proud of u Ila azam jitahidin kutuwekea warembo wakali mbn tunao wengi tu
@smartboy-cd3qn
@smartboy-cd3qn 3 жыл бұрын
Vzr ipi
@mumanyimulyowa8361
@mumanyimulyowa8361 3 жыл бұрын
Congratulations Hassan Mwakinyo go on Tanzania
@simonanthonykayombo6913
@simonanthonykayombo6913 3 жыл бұрын
Hongera saana Mwakinyo kwa ushindi usio na makandokando. Sasa usiwe na kebehi kwa mabondia qenzio wa ndani, na usijipe utanzania one kwa mdomo huku unamkimbia Kiduku weka heshima nje ndani.
@aishaasumany561
@aishaasumany561 2 жыл бұрын
Haja mkimbia anemwambia ukweli Stoke nnje kisha wapigane shombo lote la nni kwa nni mnateseka na mtanga anawaumia nni ??????
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Nimekuwa sio mpenz wa hanya mapambano ila hassan mwakinyo somo yng kwa hili hongera sana upo vzr mkuutu sifa yake apewe hongera sana umefight Hongera mwakinyo Hongera mama / mama wa mwakinyo Hongera familia ya mwakinyo Hongera wilaya ya mwakinyo Hongera mkoa wa mwakinyo Hongera TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA HAKIKA WAAFRIKA TUNAWEZAAA Hongera
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Ahsante sana Mwakinyo kwa kusema maajabu ya miaka mitano ya Magufuli na maajabu ya miaka mitano ya mwakinyo. Hayati Magufuli hoyeeeee. Hassan mwakinyo hoyeeee hapa kaz 2
@andrewmmasi5951
@andrewmmasi5951 3 жыл бұрын
a11a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1a1
@rensonmwangi9719
@rensonmwangi9719 3 жыл бұрын
Keep it up kid
@fredjoseph1130
@fredjoseph1130 3 жыл бұрын
Wakati anashinda kwa '"points" mlidai anabebwa sasa ameshinda kwa kwa TKO analetewa mabondia dhaifu, daaaaah sijui tuna shida gani waTZ , kwa nini hatupendi vya kwetu?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Watanzania wamezoea kushindwa akili zao zimejaa negativity tu
@ceejay_gaming9636
@ceejay_gaming9636 3 жыл бұрын
Yes my brother watanzania hatujui jinsi yakuthamini vya kwetu wenyewe ila tu nimejifunza kitu kimoja kwenye haya maisha when you begin to elevate in life haters watajitokeza to tena weeengi sana
@chikumwinyi1017
@chikumwinyi1017 3 жыл бұрын
Tatizo hatupendi maendeleo ya wengine kila kitu tunakitia kasoro instead of kupongeza
@furahambughi4977
@furahambughi4977 3 жыл бұрын
Mwakinyo uko vizuri sana, ila 1. Punguza kebehi kwa wenzako, sisi sote ni watanzania, tunatakiwa kupeana support, sio kubezana. 2. Mapambano ya kimataifa uwakilisha taifa, hivyo jitahidi kujitambulisha na kuuchukulia ushindi kama wa taifa. Umevaa bendera ya taifa halafu unaongelea vijiwe vya Tanga sijui nini??? Acha hizo!!! Ukisema nawashukuru wote wanaonisupport/mashabiki zangu, unakuwa umetutaja na sisi ambao tunakushabikia ila hutufahamu, na wengine wako nchi za nje. Watu wa muhimu kuwataja ni kocha, kamati ya ufundi ya kempu yako, wafadhili, familia na mashabiki wako kwa ujumla. Sio lazima utaje kila mtu!!! Anthony Joshua ni moja ya mabondia bora wanajua waongee nini baada ya pambano. Unaweza kuiga kitu kwake kama unataka kuwa bondia wa kimataifa! Be humble mdogo wangu utafika mbali!
@mgendela2416
@mgendela2416 3 жыл бұрын
Well said Bro.. Kama anataka kufika mbali basi atafuata nini ume mweleza.
@aishaasumany561
@aishaasumany561 2 жыл бұрын
Sasa ulitaka atangaze wapi sinimtanga wataka ataje wapi?
@titomachite5020
@titomachite5020 3 жыл бұрын
Kwakua kashinda utasikia jamaa alie kitana nae wa kawaida ila kweli mwakinyo tz nambar moja
@ajmilee4204
@ajmilee4204 3 жыл бұрын
Kuna Jebu moja Mwamuzi alikuw anaamulia imetokwa kwa Muagentina imemparaza kwny Mbavu kdg km inampata naamini maisha yke yangekuw Rehani kdg!😀😁
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@blizzokassim6495
@blizzokassim6495 3 жыл бұрын
Mawe aloyashusha mwakinyo n balaa sana znaitwa hard shot
@sweethandjon
@sweethandjon 3 жыл бұрын
Eddie Hearn needs to sign this man, he has a lot of talent and he seems he could mix up with a lot of super welters here, and also he will receive a warm welcome because of the shocking defeat he gave to Sam Eggington back in 2018!
@Ram_1893
@Ram_1893 2 жыл бұрын
I wish I could've Eddie's mobile number to talk with him about that issue This guy need to be promoted by big company to reach his goals.
@devievisent3772
@devievisent3772 3 жыл бұрын
Namkubali sana mwakinyo bgup mtz mwenzetu
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Nasoma tu comment lakini naona wengi mna kosoa tu dah wa bongo banah ndio mana hatu fanikiwi
@bachmbuthia7768
@bachmbuthia7768 3 жыл бұрын
Mwakinyo good job proud of uuu from Kenya
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 3 жыл бұрын
Hongera sana hasani mwakinyo umefanya kitu kikubwa sana Tanzania yetu we proud of you
@allyally1077
@allyally1077 3 жыл бұрын
Wasiomkubali Mwakinyo kwasababu hajapigana na Kiduku wote vitobo
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Kauri kauri kauri kwa mabondia wenzako wa Tanzania inabidi iwe nzur sbb hakuna aliyekubeza ila wanataka pambano na ww unawakimbia...huyu bondioa uliyempiga je wao wakisema kuwa ni mbovu wa mbavu za kuria utakataa maana dunia ndio yajua hlo ndio ilizungumzwa kabla na ndio kimetokea...lugha iwe nzur na isiwe kama yule masikini aliyepata...mimi ni supporter wako kila kukicha ila husije kunivurugha kwa kaur kwa mabondia wenzako wa hapa nchini ...maana walipohojiwa walikusifia vzur na kukuongerea vzur na kumtanguliza Mungu mbele...kuhusu wao kupigana na mabondia walevi ni sawa sbb na ww umetafuta bondia mwenye tatizo la kuwa na itilafu kwenye mbavu za kulia...je hapo ipo sawa???na wakihoji je kuhusu Tinampay kuwa alikupiga na Tz ilishuhudia hilo na dunia ikashuhudia pia je utakataa???lakin watu si tulifumba macho sbb ni wa kwetu???hv huyo bondia wa jana angekuwa mzima wa mbavu kwa utupaji wake tungepona kweli???bas tafuta wa philipino...wa mexico...wa marekan...wa argentina ...wa thailand na wa spain hata watatu tu mbeleni ili tuwaonyeshe ss ni wakina nani kutoka ktk nchi hii...pambana bhana mr. tukupe support husitangulize maneno mabovu maana watanzania kama unavyojua hatupend maneno ya kukashifiana...mfano unaikumbuka mech ya tanzania na ivory coast kipind cha maximo???tulipigwa moja bila lakin waliong'aa sn ni abdulihomoud na chuji???ila abduli alikuwa ndio mechi yake ya kwanza ya kuitumikia chi hlf alionekana yeye ndio wa ulaya ila kaina drogba...kone..dindane...kalou...na wengine wote ni local na hawamuezi lakin mechi ilipoisha alisifiwa sn kwa ubora wake na alipohojiwa na waandishi wa habari alijibu kwa kashfa sn dhidi ya akina drogba...na yale maneno pale pale watanzania wakamshusha sbb ya kuota mapembe ya dharau...mwisho wake kuanzia pale alikuwa akicheza vzur sn lakin alikuwa mara kazomewa mara kama haonekan sbb ya kujisikia...hvyo take care kuwa mpole baada ya pambano dhid ya maneno ya kashfa kwa wenzako...ila kwenye showoff pale kwenye kupima uzito aaah...pale ruksa wagaragaze kwa maneno ya kuwatoa mchezon na hata kupigana ww pigana tutakuunga mkono ila baada ya pambano onyesha urafik na pia maneno yawe mazur..amen
@Lky589
@Lky589 3 жыл бұрын
Mwakinyo ndo bondia,,,,uyo kiduku aanze Kama mwaki,,,, kiduku kapigana na wazungu wangapi wa nnje !???? Atutaki ubingwa wakuvizia,,,,,,kiduku aanze nawale wazungu wote waliopigwa na mwaki,,alafu ndo aje kwa mwaki,,,,,laaasivyo muacheni mwaki atambe aseme atakavyo,,,,fuateni utaratibu Tim kiduku msikurupuke🤣
@aishaasumany561
@aishaasumany561 2 жыл бұрын
Shida iko wap kwa nni waumia saana mwakinyo kutaja kwao tanga mbona chuki hizo kwani tanga sio Tanzania ,???.?????
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Fantastic performance by Mwakinyo, japo refa kazingua hapo mwishoni maana Paz was still on his feet na alikuwa anafight back
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Kumbuka marefa wanathamini sana usalama au afya ya mabondia ndo maana akiona hata kama bado anaweza kusimama ila kuna kiashiria chochote cha kutokua sawa mfano macho kubadilika rangi basi anamaliza pambano Tafuta pambano la Dany Garcia dhidi ya Amir Khan utashuhudia hilo au pambano la Anthony Joshua dhidi ya Andy Ruiz Jr au pambano la Floyd Mayweather Jr dhidi ya Arturo 'THUNDER' Gatti
@blizzokassim6495
@blizzokassim6495 3 жыл бұрын
Kwa wasiojua khsu boxing kujigamba mtu ni kawaida sana na hajaanza mwakinyo pekee hata kiduku nae alitoa kauli zake chafu mnajisahaulisha... Deontay wilder alimvimbia sana tyson fury na tyson fury alimvimbia sana deontay lakini akaja kuchakazwa deontay Kwhy kujigamba n kawaida
@jumabakari4422
@jumabakari4422 3 жыл бұрын
The best of mwakinyo
@handsomeboy5400
@handsomeboy5400 3 жыл бұрын
nyiye mnaosema anatafuta mabondia wachovu mwakinyo nakupigana nae kwann Na nyiye msiombe mapambano Na hao mabondia wachovu mkapigana nao au kwann msiombe mapambano Na mdogo wangu Hasan mwakinyo ili mpigane nae nyiye mnazani pale ulingoni nisehemu Ya kukata viuno
@ramadhanihamisi5859
@ramadhanihamisi5859 3 жыл бұрын
Mwakinyo atabaki kuwa juu 2,acheni roho mbaya
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Kutahara watu 🤣🤣🤣🤣🤣 ngumi za tumbo bila zoezi uharo lazma utiririke🤣🤣
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 3 жыл бұрын
Hongera Mwakinyo pambano lilikuwa la moto🔥 uyu muArgentina ni moto mwakinyo ni moto,ko pambano lilikuwa la💪🔥 moto pia
@chiddybwax7749
@chiddybwax7749 4 ай бұрын
Ni 🔥🔥🔥🔥
@mrmea1935
@mrmea1935 3 жыл бұрын
Kuna ngumi moja nimeona hapa kwenye replay imempata pata refaree,kumbe kazi hii ngumu!
@issathomas9468
@issathomas9468 3 жыл бұрын
Sana
@lupasaintertainment6166
@lupasaintertainment6166 3 жыл бұрын
Hatimae mwakinyo amtwanga beberu, na hii ni salamu kwa mabeberu wengine popote mlipo
@salehborri3137
@salehborri3137 3 жыл бұрын
Kama ww watanga na umemuona saidi muazini gonga like yako faster
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 жыл бұрын
Mwakinyo Noma Sana anatuwakilisha poa Sana wa tz.
@shabanimiraji5388
@shabanimiraji5388 3 жыл бұрын
Watanzania tofautishen professional boxer na boxer...musifananishe na pro hassani MWAKINYO na bondia yeyote tanzania..
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 3 жыл бұрын
Hawajui ,wanafikiri kupigana kwa mapepe km wakina kiduku na dula ndiyo kuweza...huyu jamaa n pro.
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
@@gervasbeno5589 kichwan hamna kitu ww😂
@saidikidato9737
@saidikidato9737 3 жыл бұрын
Safi Sana Hassan mwakinyo Yuko vizuri Sana Kira mechi anabadirika tofauti mkubwa Sana na ure mchezi wa Tina pampai
@lussevv1716
@lussevv1716 3 жыл бұрын
Safi sana mwaki sikuwa nakufuatiliaga b4 lakini sasa umeongeza shabiki mpya nimeenjoy u did it unajua nimekubali cut kinyamwezi nakusihi usilewe sifa endelea kukaa kijanja mbona tunafika babu gemu unaejua bless up ma niga big time for yah
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
🙏🙏
@maryamnassor8573
@maryamnassor8573 3 жыл бұрын
Bondia amemtoa bondia wetu namba 78 Hadi namba 41 alafu unasikia mtu anasema Mwakinyo ameletewa bondia mbovu
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Ni kawaida yetu kutovikubali vya kwetu
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 3 жыл бұрын
Hii gemu mwakinyo kabadilika kwenye footsteps imemsaidia sana big up...
@sufianikyombo5801
@sufianikyombo5801 3 жыл бұрын
Yes! Hivi ndo inatakiwa.katika watu amabo walikuwa Hawaelewi uchezaji wako mmoja wapo ni mie,Leo umekuja kivingine Sana...But Sijapenda kauli za Kudharau wenziyo na Usijipe Utanzania One Subiri Upewe..HONGERA SANA NDUGU!
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Ana dharau sana kwa wenzie icho tu ndo kitamuangusha coz hajui kesho yake
@officialkhantz785
@officialkhantz785 3 жыл бұрын
Sanaa kaka
@issathomas9468
@issathomas9468 3 жыл бұрын
Yeah
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
Hongera sana mwakinyo
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@akhiiyahya7629
@akhiiyahya7629 3 жыл бұрын
Aaaah sijawahi kumkubar kwa asilimia kubwa ila kwahapa hassani nakupa hngr yko umekua n mabadiriko makubwa gdi unailinda vzr ktu ambacho nlkua nakionglea kila kwnye pambano ila bado ktu kdg sn unapo tembea kwnye ringi miguu bado mzto kidogo ila naamn pia utabadilika hngr sana
@nasibumpanda9715
@nasibumpanda9715 3 жыл бұрын
nakubali hasani mwakinyo pambana wanao kubeza achana nao uko vizuli
@agnesantony6051
@agnesantony6051 3 жыл бұрын
Nafulai sana kuona masumbwi yetu y tz yanavyo pamba mtoto mkubwa
@omarygiriki9823
@omarygiriki9823 3 жыл бұрын
Daaaahy braz umecheza vizur San umepig ngumikali nimezikubali
@jumanguya9116
@jumanguya9116 3 жыл бұрын
Safi sanaa... Hongera hongeraaa. Acha tufurahi sotee
@tz7976
@tz7976 3 жыл бұрын
Mwakinyo bondia wa dunia
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 жыл бұрын
Love from Kenya...☺☺
@sportsfootball6681
@sportsfootball6681 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHbGfnt-gt2do9U
@wazirially4490
@wazirially4490 3 жыл бұрын
Unaonekana huna mwili wakiboxer,jaza mwili kwamazoez,pili wewe niwatanzania unaposhukuru usiwe kimkoa sana mwisho hongera sana
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Hongera sn broe...Tanzania stand up😍😍😍😍😙😙😙😘😗😗😗😗
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 3 жыл бұрын
Wanaosema huyu Muagentina ni dhaifu wasikilize kwa makini maneno ya Mfaumemfaume namna anavyotangaza....tuacheni chuki Watanzania Hassani Mwakinyo anajitahidi sana.
@fathisharif6842
@fathisharif6842 3 жыл бұрын
Mtangazaji anfanya kazi yake
@abdarahamaniabubakari4036
@abdarahamaniabubakari4036 3 жыл бұрын
Babkubwa ngamiani moja 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@nsrnsr5838
@nsrnsr5838 3 жыл бұрын
Hongera sana mwakinyo nakupenda mno wallah mungu akupiganie inshaallah
@boazysanga6320
@boazysanga6320 3 жыл бұрын
You're the one only Hassan! Keep it up!!👍💪
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Mwakinyo chuma baba wangu africa
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 3 жыл бұрын
Katika mapambano yote hili mwakinyo kwangu ndio naliona amecheza ngumi za kiufundi tanga kwanza Tanzania kwanza
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
Eti Maboxa Walevi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🙌🙌🙌🙌Nakupenda Sana Mwakinyo💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@muadhishaabani5936
@muadhishaabani5936 3 жыл бұрын
Saf bro mwakinyo kwa kazi nzur
@zakayodenis670
@zakayodenis670 3 жыл бұрын
Mi nashangaa watu baadhi wanakomaaa eti Ooh pigana na TWAHA KIDUKU hata mimi siwezi fanya ujinga huo, kama huyo KIDUKU anaweza apambane afikie level hizo ndo wazichape, nani alimjua Mwakinyo hapa, alikua uchochoroni huko juhudi yake Dunia ya Ndondi inamjua, Leo waje wala viazi vya PUMA eti pigana na KIDUKU, ngedeles kabisa, huyo KIDUKU wenu apambane huko nje alete mikanda mikubwa kama mwenzake tuwe na Mabondia wengi level tofautitofauti
@kibemassao5488
@kibemassao5488 3 жыл бұрын
Unazungumzia ushabik na unachokipenda ww ni vizuri pia lkn usiite wenzio ngedere. Nafkir ni vyema tungepata bingwa wa Tz kwanza afu tuendelee na huko nje kwa nyajati tofauti na mabondia tofaut ili ikitokea bondia lbd anayeshika namba tatu kupigwa na mgeni basi tumtumie namba 2 akipigwa tena tumtumie namba 1. Bila hivyo iko siku mwakinyo atapigwa afu tunasema bingwa wa Tanzania kapigwa wkt wako mabondia wazuri kuliko huyo Mwakinyo. Hilo ndo kusudio....
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 Ай бұрын
Safi kabisa
@malekangunza8609
@malekangunza8609 3 жыл бұрын
Nakukubabari Sana brother
@amanizosafal1871
@amanizosafal1871 3 жыл бұрын
Mwakinyo nimeona kabadirika ndumi inaonekana inatoka inanguvu . Mungu amsaidie andeleeé kukaza.
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 3 жыл бұрын
Ule Kweli ni Usiku Wa Vitasa
@florentbunzaly6391
@florentbunzaly6391 3 жыл бұрын
Shukrani sana mabondia mnaleta heshima kubwa kwa taifa letu
@mokitaa8750
@mokitaa8750 3 жыл бұрын
WASHAURI WA MWAKINYO MWAMBIENI AWAOMBE RADHI NDUGU ZAKE WAMEMSAPOTI SANA KWENYE KUONYESHA MAPENZI NA UZALENDO, MFAUME , TWAHA , IBRAH, NA WENGINE AKUBALI KATELEZA MDOMO ILI UMOJA NA UZALENDO UENDELEE, MIMI BINAFSI NAMKUBALI SANA MWAKINYO NA MFAUME SIPENDI KUONA TOFAUTI ZAO YANGU NI HAYO TU. TANZANIA ONE
@kheryhamadi6215
@kheryhamadi6215 3 жыл бұрын
Yaan wa bongo uwa atutaki kusema ukweli mtu kapigwa punch mpaka chin mtangazaji amesema ameteleza aise
@cleverboy3812
@cleverboy3812 3 жыл бұрын
Umefanya vizuri ongera sana mwakinyo.. Ila punguza dharau na jifunze kujibu interview vizuri.. Angalia unaweza ukapoteza mashabiki kibao kwa sababu ya madharau.. Tambua bado unasafari ndefu sana.
@jumashabani949
@jumashabani949 3 жыл бұрын
Hongera Mtanzania
@samahakihange6421
@samahakihange6421 3 жыл бұрын
Hongera sana kk angu mwakinyo wa tanga mwenzangu kwa kutuwakilisha vyema tz
@rashidiissa9258
@rashidiissa9258 3 жыл бұрын
Hapa mwakinyo amenikosha pia amerejesha ubora wake maana watu walikua wamesha anza kumbeza sasa hapa kila kitu kimekua wazi timu mwakinyo mpooooo
@emmanuelmgowole4542
@emmanuelmgowole4542 3 жыл бұрын
hongela mwakinyo kwaushind ila mashabiki tuna penda mwakinyo ukutane na twah
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 3 жыл бұрын
Hongera Mwakinyo...
@mokitaa8750
@mokitaa8750 3 жыл бұрын
hongera hasani ALLAH akufanikishie malengo yako
@MrSABYY
@MrSABYY 3 жыл бұрын
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
@abuuhashim3893
@abuuhashim3893 3 жыл бұрын
Hizi nd ngumi sio zile za skuile z yule kibongeeeee
@issaacogunya4748
@issaacogunya4748 3 жыл бұрын
Hongera mwakinyo kwa ushindi
@samisamiji3953
@samisamiji3953 3 жыл бұрын
Hongera mwakinyo kwaushindi usiona kumumunya
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
wow wow Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Mchezo wa Ngumi ukisimamiwa Vizuri tutapata vipaji vingi sana
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 3 жыл бұрын
Tunisia walitulaza na huzuni,ahsante umerejesha yetu asub hii
@andrewmashika3756
@andrewmashika3756 3 жыл бұрын
Fantastic finish by Hassan👌
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Wanaosemaga Mwakinyo anabebwa hawaamini kinachotokea
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 258 М.
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 4,7 МЛН
Купили айфон для собачки #shorts #iribaby
00:31
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 13 МЛН
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
Mike Tyson (USA) vs Evander Holyfield (USA) | KNOCKOUT, BOXING fight, HD
11:46
Килиану Мбаппе сломали нос на Евро
0:16
Вести Спорта
Рет қаралды 6 М.
⬅️🤔➡️
0:31
Celine Dept
Рет қаралды 40 МЛН
Footballers Crazy Kicks + Ronaldo🤯
0:25
Football Arena
Рет қаралды 11 МЛН
The impossible goal! Insane
0:13
Foot Africa
Рет қаралды 8 МЛН
❌⚽️ THE CONFRONTATION OF LEGENDS | DEXTERITY CHALLENGE 💨
0:19
ag_soccer team
Рет қаралды 48 МЛН
Почему Кобе Брайант его уважал🤔
0:53
EasyBasket
Рет қаралды 1,4 МЛН