Fuatilia simulizi za Watumishi na Viongozi mbalimbali waliowahi kuhudumu Ikulu kwa nyakati mbalimbali. Hizi ni Simulizi za Ikulu.
Пікірлер: 5
@boniphacelusato Жыл бұрын
Asante Zuhura Yunis kwa kuandaa kipindi hiki. Kuna mengi nimejifunza.
@tubeminamiwa Жыл бұрын
asante
@abdallahally84210 ай бұрын
Kwanini historia yetu inafichwa mficha historia ni mtumwa ukweli huu hausemwi kabisa
@matipashankanawaaooo1199 Жыл бұрын
Mashalah
@abdallahally84210 ай бұрын
Hio bandari yenyewe imejengwa na sultani wa zanzibar leo kelele bandari yetu bandari yetu umeinunua wp 😊😂 hostoria ya Tanzania imefichwa kwa maksudi tunadanganywa damganywa ila ukweli unajulikana