Waziri Mkuu aongoza mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya moto Morogoro

  Рет қаралды 359,842

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Maziko ya miili 53 kati ya 63 ya waliokufa kwenye ajali ya moto mkoani Morogoro yamefanyika na kuongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa huku akitangaza kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha ajali hiyo.
#Morogoro #Tanzania #Pray4Morogoro

Пікірлер: 74
@angerinamathayo7036
@angerinamathayo7036 5 жыл бұрын
Poleni jamani mwenyez mungu azitie nguvu familia zilizopatwa na matatizo haya kazi ya mungu haina makosa
@lukaslesineth602
@lukaslesineth602 5 жыл бұрын
Angerina Mathayo
@fredsonmkumbo4677
@fredsonmkumbo4677 5 жыл бұрын
poleni sana ndugu zetu wafiwa mungu awape mioyo ya imani na awape faraja
@mwanalelee6
@mwanalelee6 5 жыл бұрын
Poleni Mungu awape nguvu familia
@rosedigina7488
@rosedigina7488 5 жыл бұрын
Poleni sana.wafiwa wapumzike kwa amani wale wako hospital mungu wapiganie.kila jambo
@priscamkona6846
@priscamkona6846 5 жыл бұрын
Mwenyezi munguu awalaze mahali pema peponi
@rashidiselemanimtangi9150
@rashidiselemanimtangi9150 5 жыл бұрын
Pole morogoro Pole tanzania
@salmanjalale8591
@salmanjalale8591 5 жыл бұрын
Innalillah wainnaileyhrajiunn..... Poleni sana wafiwa allah awapumzishe mahala peponi Aamiin ...mi Naamini kila nafsi itaonja umauti tuclaumiane kwa kupeana lawama zczo na maana hyo yote nakuombea mipango ya mwenyezi mungu na kila mtu atakufanyia kwa kifo chake
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 5 жыл бұрын
Innalilah waina ilalh rajiun mungu awaweke mahala pema peponi amiin
@zaharahabibu7929
@zaharahabibu7929 5 жыл бұрын
M.mungu awalaze salama amin
@josephlucas3360
@josephlucas3360 5 жыл бұрын
Poleni ndg mliopoteza ndg zenu katika ajali ya moto Morogoro
@johnsulleiy1398
@johnsulleiy1398 5 жыл бұрын
Atari sanaaaa Aisee
@linussnovathi478
@linussnovathi478 Жыл бұрын
Poleni sana
@namwanozaituna6353
@namwanozaituna6353 5 жыл бұрын
Noma sana rip
@georgekavwanga1165
@georgekavwanga1165 5 жыл бұрын
Mungu awalaze pema peponi
@omarysaid9437
@omarysaid9437 5 жыл бұрын
polen sana ndugu zang wa morogoro
@LisamamaLisaMama
@LisamamaLisaMama 5 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa
@puritymukei7642
@puritymukei7642 5 жыл бұрын
Poleni na tuwe atlist tumesoma kitu na mungu awape nguvu walioachwa na wenzio
@atiangsylvia1344
@atiangsylvia1344 5 жыл бұрын
My God rest the soul's of those WHO perished in peace
@emanuelmakumbo6462
@emanuelmakumbo6462 5 жыл бұрын
Mungu awajaze rehema wanandugu kipindi hichi kugumu kwao
@johnketo2844
@johnketo2844 5 жыл бұрын
kazi ya mungu haina makosa polen wafiwa wote na majeluh wote mungu awapenguvu mludi kwenye uzima Kama zaman
@nestorymtweve7356
@nestorymtweve7356 5 жыл бұрын
Dahhh R.I.P
@ruqiyaruq5142
@ruqiyaruq5142 5 жыл бұрын
Wainalilah wainalajilun hao ahadi zao zishafika muda ukitoka hakuna pingamizi hakuna tume wala kuunda kitu mungu atoa na mungu ametwaa
@rashidkilingo7924
@rashidkilingo7924 5 жыл бұрын
tume ya nini wakati ukweli unajulikanika acheni kutuchezea akili. mungu awalaze mahali pema ndugu zangu. amen
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Acha ujinga wewe, huwezi kukurupuka ni lazima kujiridhisha usije kuonea watu bure!!!!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Acha ujinga wewe, huwezi kukurupuka ni lazima kujiridhisha usije kuonea watu bure!!!!
@samweleliastanzania9718
@samweleliastanzania9718 5 жыл бұрын
Polen jamn mung azilaze roho zao mahal pema pepona amn
@ibraringi8072
@ibraringi8072 5 жыл бұрын
Dah mungu awalaze mahali pema peponi ila kuhusutume tangu nimejielewa zinaundwaga to sijawah sikia siku tume imefanikiwa ila nikutulia to nakusubir miaka 39 huenda zikafanya kazi tume zilizoundwa nawaombea pia waunda tume Mungu awajaalie qafanye haki maana naona chanzo kiko wazi ni ajali lkn hiyo tume sijui anaye enda kuumia ni nani ila tukumbuke ALLAH pekee ndo mkweli katika hukmu zake na nipekee ndo anayejua nn kingetokea sikuhiyo.
@boniphacd.nkunzumwami5694
@boniphacd.nkunzumwami5694 5 жыл бұрын
Mung azilaze loho za malehem mahalapemapeponi naawajalie familia kuwapa falaja kwan sis sote tusafarin amin
@badbeats5637
@badbeats5637 5 жыл бұрын
Ni roho, sio loho. Ni marehemu, sio malehem.
@frenkkusema7999
@frenkkusema7999 5 жыл бұрын
Ay
@zainabatieno6115
@zainabatieno6115 5 жыл бұрын
Poleni sana Tanzania
@kervinmbazu8721
@kervinmbazu8721 5 жыл бұрын
Polen ndugu zangu ssfali ni moja haijaridhi itakuaje. Safali ya kuondoka dinian
@yunushassanminawandu9848
@yunushassanminawandu9848 5 жыл бұрын
Poleni,Mungu amewapenda zaidi.
@moisebaledijr6728
@moisebaledijr6728 5 жыл бұрын
Samani kwenu wa tanzania from Drcongo
@justusmaluki2650
@justusmaluki2650 5 жыл бұрын
Poleni majamaa na marafiki ,
@vanessamaombi2371
@vanessamaombi2371 5 жыл бұрын
poleni saaaana kweli
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 жыл бұрын
acheni sia askari ndo anapenda kufa. kama alikuwa hana vifaa angefanyaje acheni izo tamaa za kipuuzi zimewaponza. acheni kuonea maaskari acha watu wajifunze waache uwizi
@bigtv3145
@bigtv3145 5 жыл бұрын
Inalillah waina lilah lajuun
@abubakaryomary3985
@abubakaryomary3985 5 жыл бұрын
Inalilah Wainaliyah rajiun"kila nafsi itaonja umauti
@lilianmwakapala3658
@lilianmwakapala3658 5 жыл бұрын
polen San
@salumushabani9825
@salumushabani9825 5 жыл бұрын
jaman mbn wanatufanya km vile hatuna hakil chanzo kinajulikana
@SarafinaJMapas
@SarafinaJMapas 5 жыл бұрын
polen wafiwa wote.
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 5 жыл бұрын
Haku sababu ya kuunda tume mwisho wa siku mtawawajibisha watu ambao hawana kosa lolote.ushauri wangu tujifunze kutokana na makosa.
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 5 жыл бұрын
Kila nafc itaonja mauti pumzikeni Kwa amani kumbukeni kazi yake mola haina makosa.
@6ix9inemohamed37
@6ix9inemohamed37 5 жыл бұрын
poleni sana
@lilianmwakapala3658
@lilianmwakapala3658 5 жыл бұрын
inauma San jaman daaah
@shalonmtesigwa2104
@shalonmtesigwa2104 5 жыл бұрын
Polen San jamn
@tatukondo-qi2jx
@tatukondo-qi2jx Жыл бұрын
No kids
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Tume ya nn watu wenyewe wana TAMAA zao
@muhammedsaidi360
@muhammedsaidi360 5 жыл бұрын
Muhammedi
@victorjunior2073
@victorjunior2073 5 жыл бұрын
Sasa tume ya nn mzee
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 5 жыл бұрын
Haku sababu ya kuunda tume mwisho wa siku mtawawajibisha watu ambao hawana kosa lolote.ushauri wangu tujifunze kutokana na makosa ili matukio kama haya yasijirudie🤔😱😱
@magangamdogo3301
@magangamdogo3301 5 жыл бұрын
Waziri usituzingue inamana waliokuja kuchota mafuta walikua wakingojea Lori ritapita nakuanguka wakajiandaa yani waziri mzima kwenyeuma Wawa Tanzania unaongea upuuzi Kama huu 🤔
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 жыл бұрын
Mmh, mdomo huo👈👈
@lengaisiara7822
@lengaisiara7822 5 жыл бұрын
Kazi ya molahaina makoxa
@keita.wallet6984
@keita.wallet6984 5 жыл бұрын
Tume juu ya nn sasa wakat unajua chanzo kiongoz
@patrickkambale777
@patrickkambale777 5 жыл бұрын
Wapumzike kwa amani
@sadasaid4408
@sadasaid4408 5 жыл бұрын
Haya jamani nendeni salama wenzetu mmetutangulia burianini dah majonzi
@hajiali7840
@hajiali7840 5 жыл бұрын
Sada Said u
@mustafamuidini1252
@mustafamuidini1252 2 жыл бұрын
Kudevela .
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Kila kukicha tume cjaonaga tume zikitimia
@fadmokinglove9954
@fadmokinglove9954 5 жыл бұрын
Hao wote waliokufaa niwezii mshala wa dhambii ni mauti
@jumakhamisi3030
@jumakhamisi3030 5 жыл бұрын
Acha tu wafe hiyo ndio hukumu ya mwizi
@abrahmanabdullmalik3926
@abrahmanabdullmalik3926 5 жыл бұрын
Ingekua mkutano wa upinzani polisi wangefika maramoja eneo latukio
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Abrahman Abdullmalik hivi watu wengine nyinyi mlizaliwa saa ngapi?unaleta siasa kwenye jambo la kusikitisha
@najmarushda4390
@najmarushda4390 5 жыл бұрын
Acheni ujinga huwo askari anaweza kuzuwiya kifo cha binadamu hatakama wangefika hawawezi kumzuwita zirail asifanye kazi yake aliyotumwa na Allah aliye tuumba ameshasema kila bafsi itaonja umaut
@hafsaabdi9295
@hafsaabdi9295 5 жыл бұрын
BA's km una watu wengi squadron
@kojjagulimuyesenga8025
@kojjagulimuyesenga8025 5 жыл бұрын
How can you risk your life for just 2 liters of fuel.ignorence
@badbeats5637
@badbeats5637 5 жыл бұрын
We are still sad man. Ignorance or not, subiri tumalize mazishi then we'll try to hear your opinion.
@shalonmtesigwa2104
@shalonmtesigwa2104 5 жыл бұрын
Polen San jamn
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 5 жыл бұрын
Haku sababu ya kuunda tume mwisho wa siku mtawawajibisha watu ambao hawana kosa lolote.ushauri wangu tujifunze kutokana na makosa ili matukio kama haya yasijirudie🤔😱😱
@Ibnmoza
@Ibnmoza 5 жыл бұрын
sasa utajifunza nn bila kujua nini tatizo?
VILIO NA HUZUNI.... MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA
16:15
Millard Ayo
Рет қаралды 3,6 МЛН
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 348 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
mambo ya  vijana wa kanisani part 2 utafurahi🤣🤣
1:45
T . A .G KIBIRIZI
Рет қаралды 2
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 218 М.
БАШКИРЫ - КТО они на САМОМ деле?
20:11
ОКАСЦА
Рет қаралды 724 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO
17:49
TAZAMA SIKU YA PILI ABIRIA WAKIWASILI DAR KUTOKA MOROGORO
3:27
TRC RELI TV
Рет қаралды 13 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Septemba 22, 2024
57:55
ITV Tanzania
Рет қаралды 21 М.