Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kuna Hatua Tano (5) Lazima Upitie

  Рет қаралды 58,502

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 253
@jemimasibonike7776
@jemimasibonike7776 5 жыл бұрын
Nimekubali kuwa bila yy nitaishi na tayar nimeanza ukulasa mpya wa maisha yangu ila kaka sijajua kwa nn tukikutana nnpoteza mudi nashidwa kuwa jasili
@idayanuru2499
@idayanuru2499 4 жыл бұрын
Umeona ee
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 4 жыл бұрын
inauma jmn.. Kujipa moyo na kukubaliana na Hali.. Sikomi na siachi kupenda...
@edsonlaurencemwagamasasi9074
@edsonlaurencemwagamasasi9074 5 жыл бұрын
With emphasis.... "I can live without her" thanks so much my dearest brother Joel..... I have passed from this brother... but ultimately it ended with a lot of pains.... I thank God now all pains have gone away... and I am living my new life without her.... before that I thought my life would be more harder without her... but it was a matter of time....
@judithnyonyi703
@judithnyonyi703 5 жыл бұрын
So sory brother Edy
@edsonlaurencemwagamasasi9074
@edsonlaurencemwagamasasi9074 5 жыл бұрын
JUDITH NYONYI ... thanks so much my dearest...be blessed there
@bizimanabizimana2131
@bizimanabizimana2131 2 жыл бұрын
kaka
@nematz9270
@nematz9270 Жыл бұрын
Nashukuru sana kaka Joel, ila mimi ninachangamoto kwenye mahusiano, naomba japo ushauri maana nipo njiapanda, naomba kama naweza kupata mawasiliano yako
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ni kweli brother mimi nilisema sitomuamini mwanaume yeyote kwani wote wanafanana lakini now nimetoa hiyo kitu kichwani nimekua vizuri now siwazii wala sifikilii kilichonikuta so na angalia mbele niendako ya nyuma yatakua tuu kama kumbukumbu thanks brother🙏🙏
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Hivyo mahusiano yanahitaji kua makini sana bila kukurupuka kikubwa kumuomba m mungu kwa sana yeye ndio muamuaji wa kukupa chaguo sahihi
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 4 жыл бұрын
Dah pole sana mi niliacha kuwaamini wanawake wote duniani kumbe nilikua nakosea sana
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 2 жыл бұрын
njoo kwangu.
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
Asante sana Mr
@petrosamwel2528
@petrosamwel2528 2 жыл бұрын
Thank you brother
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 Ай бұрын
Asante sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Ukweli kabisa napia usivunje ma penzi kisa umepata mpenzi mpya kabla hujamfaham... napia usivunje mahusiano kabla hujamkosoa huyo mpenzi wako Tabia zinazo kukera. Napia usianze mahusiano mapya ili umkomoe mpenzi wako wazamani utajikuta umeingia kwenye shida zaidi.. Pamoja Bro.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Maneno Lugendo kabisa Maneno,ni kweli unayosema???
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 жыл бұрын
Fact
@kelvingitau6814
@kelvingitau6814 3 жыл бұрын
@@joelnanauka hae bro... Naomba nipigie na hii naba, 0719483205, naitwa Kelvin kutoka Nairobi kenya.,, nakuomba ndugu yngu.
@agathakayanda3427
@agathakayanda3427 3 жыл бұрын
💓💓
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 3 жыл бұрын
@@agathakayanda3427 🙄
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 5 жыл бұрын
Asante sna bro Joel kwa somo zuri nimekuelewa sna ubarikiwe
@saidimkombe9842
@saidimkombe9842 5 жыл бұрын
Asante
@victoriamerura9382
@victoriamerura9382 Жыл бұрын
Thanks so much 🙏🙏🙏 kwa SoMo lako zuri . Na nimejifunza mengi kutoka kwako , lakini katika point ya kutokukubali hiyo Ni kweli kabisa na ningumu pia
@dancangichabasaka3369
@dancangichabasaka3369 2 жыл бұрын
Asante sana
@anisiamedard3775
@anisiamedard3775 5 жыл бұрын
Daah! Asante kaka ndio neno langu ilo nimepata kitu cha kujifunza
@gresiaalexander546
@gresiaalexander546 3 жыл бұрын
Nice class🙏🙏🙏
@fredjaffu8903
@fredjaffu8903 4 жыл бұрын
Dah nimekubali sana hii, nilipitia na nimefika kwenye acceptance
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 5 жыл бұрын
Shukran Kaka kwa somo zur
@aboubakaribakari988
@aboubakaribakari988 5 жыл бұрын
Thanks broo me nipo katka hatua ya 3 najaribu kumuweka sawa ila naingia kwenye hatua ya 4 nikiona haelekei daaah haya mambo hayana ubingwa.
@glorylucas6070
@glorylucas6070 Ай бұрын
Nashukuru kaka saivi nipo kwenye hatua ya tano .
@user-no7fg8kh9y
@user-no7fg8kh9y 2 ай бұрын
Asante kaka
@marimuhamis3471
@marimuhamis3471 5 жыл бұрын
SHUKRAN SANA
@isackisack5549
@isackisack5549 5 жыл бұрын
ahsante kaka minaachaga tuu sijawai kuachwa unakua makini ukiona anabadilika unamwelekeza haelewi unamuacha kabla yayeye kufikiria kukuacha
@wazuuonlinetv9796
@wazuuonlinetv9796 5 жыл бұрын
Asante Teacher wngu JoelNanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ali Saleh pamoja sana Saleh
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 жыл бұрын
Fact brother
@gcmcharles5192
@gcmcharles5192 3 жыл бұрын
Asante nmejifunza kitu kwa kwer
@joharysamwel6416
@joharysamwel6416 4 жыл бұрын
Kaka Joel asante kwa somo lako
@paulsaimon8750
@paulsaimon8750 5 жыл бұрын
kweli Nanauka unafundisha broo
@jonsaclajohn6979
@jonsaclajohn6979 2 жыл бұрын
bless
@jacklineomae7832
@jacklineomae7832 5 жыл бұрын
Ahsante kaka.
@magretymabuga2987
@magretymabuga2987 5 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI
@jumatwalib8104
@jumatwalib8104 5 жыл бұрын
Yap kweli kabisa kaka
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 5 жыл бұрын
Nilipitia kipindi cha mahusiono kuvunjika tena bila ya kunambia tena akahama nchi ila nashkur nimevuka salama
@fatmaazizi4792
@fatmaazizi4792 2 жыл бұрын
Nimejifunza
@jacobmathias6811
@jacobmathias6811 5 жыл бұрын
uvizur sana tunajifunza
@ivanisack5252
@ivanisack5252 4 жыл бұрын
Nice Mr Joel upo vzr sn
@judithmzava4161
@judithmzava4161 2 жыл бұрын
Thanks nimeshapitia zote now nipo kwenye acceptance
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 5 жыл бұрын
amen
@wakudatamjanja
@wakudatamjanja 5 жыл бұрын
NakubaLiii Kaka tupo pamoja
@ReginaNassoro-sj9gz
@ReginaNassoro-sj9gz 7 ай бұрын
Nimepita asee!
@lightnesselia765
@lightnesselia765 5 жыл бұрын
umenifanya nitoke sehem moja na kwenda sehem nyingine... thanks my brother
@issaamir7894
@issaamir7894 3 жыл бұрын
Nshafik.hafua y 5 ss Alhamdulilah
@user-py2lt5yu7t
@user-py2lt5yu7t 7 ай бұрын
Umenigusa sana mastar
@haulebh5007
@haulebh5007 5 жыл бұрын
Najuaje kama nimesha fika hatua hiyo ya acceptance
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Nakuelewa kinomanoma
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Uko sahihi kaka
@togolanisaidi704
@togolanisaidi704 5 жыл бұрын
Somo zuri, Naomba pia uweke njia ama solution ambazo mtu atachukua baada ya mahusiano kuvunjika maana Kaka Joel wapo waliowengi hawajui wafanyeje baada ya mahusiano kuvunjika,
@joelnanauka
@joelnanauka 4 жыл бұрын
togolani saidi sawa,tafuta video yangu inayosema Usiogope kuanza upya
@sihabarajabu5509
@sihabarajabu5509 5 жыл бұрын
Yaani hizo atua zote zinanihusu mm kaka jamani nimeachwa na baba mtt wangu juni 25 lakn kwa video zako najihisi mm ni mt tena asante kwa elemu yako
@kulumagala866
@kulumagala866 5 жыл бұрын
asnnte kwa elim yako
@annamwakalobo4575
@annamwakalobo4575 3 жыл бұрын
Thanks,mwenzi tatu still na jaribu kutaka kusahau na shindwa kinachoniumiza nikiwanza miaka sita yote nilikuwa na danganywa na fake promises . But mungu mwema ipo siku nitasahau complete
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 2 жыл бұрын
Havisahauliki my dear, na usijaribu kulazimisha... Yapokee yabebe ishi nayo taratibu utapona, ikubali hiyo hali
@christiannkurunziza686
@christiannkurunziza686 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@melkisedekkabambo2120
@melkisedekkabambo2120 5 жыл бұрын
Yeah
@samuelnyirobemakongo.3037
@samuelnyirobemakongo.3037 5 жыл бұрын
Mimi hapa wala siamini but nimeshafika hatua ya mwisho ya kukubali na nianze life yangu upya
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
Santeeee Joel
@mageandrew5550
@mageandrew5550 5 жыл бұрын
Tangu na x wangu yapata miez 11 sasa mwanzo ilikuwa ngumu lakn now naweza sana na nimeamin bila yeye naweza tena zaidi
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 Жыл бұрын
Hajawai kurud kukutafuta?
@exzaverymichale7673
@exzaverymichale7673 5 жыл бұрын
Hii darasa linanihusu kwa 100%
@sifasango2369
@sifasango2369 2 жыл бұрын
Yes nilisha nimeyapitia hayo tena sio mbali sana ni Leo hii
@omarizuberi7135
@omarizuberi7135 3 жыл бұрын
Naomba unisaidie nimsahau aliyeniumiza
@janenelson5462
@janenelson5462 4 жыл бұрын
Masomo mazuri endelea kuktuelimisha kaka Joel
@roseetrony1482
@roseetrony1482 2 жыл бұрын
Yaaan nakosa cha kuandika
@eliasdani4542
@eliasdani4542 2 жыл бұрын
Yaa
@tarikideu8380
@tarikideu8380 5 жыл бұрын
brother mimi nipo kwenye kipengele cha dépression ,,naumia xanah
@colmanmallya1032
@colmanmallya1032 5 жыл бұрын
Tari Kideu pole
@tarikideu8380
@tarikideu8380 5 жыл бұрын
Colman Mallya thank
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 4 жыл бұрын
@@tarikideu8380 pole ndugu sali sn
@rabiarajab6116
@rabiarajab6116 4 жыл бұрын
Tunafanana
@paulinastephano236
@paulinastephano236 2 жыл бұрын
Somo zur Sana.. Naendelea kurud kwenye hali yangu nimefikia Hatua ya 4 ila siezi jinyonga kabisa japo chamoto nipo nakiona... Wanaume Mungu awape sehem zenu zakuishi mbingun... MUNGU nisaidie nivuke salama 😔😔 🙏
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Haupo pekeako tupo wengi 😔
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 2 жыл бұрын
Bado hamjapenda mnanusanusa tu
@mohammedadam8261
@mohammedadam8261 Жыл бұрын
Nimecheka kama mazuri but tuko pammoja sana ,,allihamndulillah skuweza kuchukua uamuz hatarish but now walau mood ya kazi imeanza kurud
@adellajohnbokato8453
@adellajohnbokato8453 3 жыл бұрын
Basi Nipo ktk Hatua ya Tano....Asante Mungu akubariki Sana Kaka!! Dah..
@herimgonja7209
@herimgonja7209 2 жыл бұрын
Hapo ishu mtu anaposhindwa kukubaliana anakumbuka gharama aliotumia, hivyo n manufaa aliotarajia hakupata , so we don't have four is very annoying, I'm very scared, when you see a person you don't want to see even his face.
@adellajohnbokato8453
@adellajohnbokato8453 2 жыл бұрын
@@herimgonja7209 hakuna budi it's better to let Go kabisa.
@vincentmuli4283
@vincentmuli4283 5 жыл бұрын
mie ndo nko katika kpind hicho cha mpito nmetokea kuachana na mke yapata tar 29-01-2019
@dottowilsoni4703
@dottowilsoni4703 2 жыл бұрын
Pore kaka angu tunao texeka na Ayo Mambo no wengi
@christelle9690
@christelle9690 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@priscapili4938
@priscapili4938 2 жыл бұрын
Ni kweli kaka napitia magumu lkn naona bado kazi ninayo
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Mm ni mwanafunzi ya kwanza kuingia darasani leo hii
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Kombo Omar umetisha,hongera sanaaaa 👏👏👏
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 жыл бұрын
Karbu jifunze
@candycosta5823
@candycosta5823 2 жыл бұрын
Mm napitia sahv
@fatmaazizi4792
@fatmaazizi4792 2 жыл бұрын
Kabisa
@machibyacharles5230
@machibyacharles5230 5 жыл бұрын
Ni ukweli asilimia kama zote bro,,endelea kuelimisha
@dinabana8000
@dinabana8000 Жыл бұрын
Habari samahani me Nina mtu wa karibu anasumbuliwa na Hilo tatizo tafadhari naomba msaada
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Hapo sasas👌🏽🤦‍♀️
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 жыл бұрын
👏👏👏Asante kwa mafundisho kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mwajuma Mwishehe karibu mwajuma
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 жыл бұрын
Joel Nanauka Asante Kama tuko pamoja
@aronemakanyaga7284
@aronemakanyaga7284 2 жыл бұрын
nashukur kaka mafundisho mazuri mnoo nabarikiwa sana
@frankdaniel9815
@frankdaniel9815 4 жыл бұрын
Congratulations Mr for your good lesson
@bryannassary3255
@bryannassary3255 3 жыл бұрын
Hii ni kwel bro
@josephinechendi9527
@josephinechendi9527 4 жыл бұрын
Baada ya miaka minne ndo nikafikia hatua ya 5 hatua ya hasira ilinitesa Sana namshukuru Mungu nilivuka salama
@user-vd1kb7og4p
@user-vd1kb7og4p 4 ай бұрын
Msaada
@SizzoSela29-sh8nz
@SizzoSela29-sh8nz 5 ай бұрын
Niko hatuwa ya nne nasijui nifanyeje maana nateseka sana
@mpolesanga5869
@mpolesanga5869 3 жыл бұрын
Mm kaka napitia ayo
@selinamoses1268
@selinamoses1268 Жыл бұрын
Mm
@hassammtaima2374
@hassammtaima2374 2 жыл бұрын
Nanauka mm ndio napitia wakati mgum sana kaondoka na familia yangu
@fridamuss922
@fridamuss922 Жыл бұрын
Mm mwanaume aliyenambia ninywe dawa za mitishamba nipate mimba tukahangaika maporini kutafuta dawa nikanywa zilikuwa chungu leo hii ananiacha na mtoto mdogo mdogo sana MUNGU anisaidie kwakweli labda kuna siku na mm nitakaa sawa namlea mtoto nyumbani pekeangu nmeharibu kila kitu sijui niseme vipi naona kila rangi ya dunia kwel wanajinyonga wote wanachoka yanaumiza haya mambo ila ALHAMDULILLAH🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@bensonkishery4535
@bensonkishery4535 5 жыл бұрын
Dar mm yalinikutaa yakanisubua miaka miwili na kutumiaa hela ovyoo hapoo kwenyee depression nilkaah muunda mwing
@joelnanauka
@joelnanauka 4 жыл бұрын
benjamin kishery Pole sana,hongera kwa kupona
@husseinmrisho1348
@husseinmrisho1348 5 жыл бұрын
hakika sichoki kukufatilia kk
@gracenesto76
@gracenesto76 2 жыл бұрын
Jaman mm napitia changamoto hii kwasasa naombeni msaada wenu
@mohammedadam8261
@mohammedadam8261 Жыл бұрын
😀mungu azidi kukupa umri tele Last year nimetoka kuachwa bahn n mchumba ang bahat mbaya san hii ndo naion video hii ila mule mule kuna muda nilkuw n mtu wa hasira sana ikafika muda nikaon no siko sawa kuna kitu yan nilijarb kuanzisha mahusiano mapya but hata week skumaliza yakanishnda so now nahis niko hatua y mwisho coz nishakubali now hyo mwanamke ashaolew mwanzon mw mwaka na me now naanda mpango wa kuoa nishaanza kusset mipango upya
@johnjoseph3212
@johnjoseph3212 2 жыл бұрын
Nimekuelewa bro vyote nimepitia mm
@benjaminkimaro8348
@benjaminkimaro8348 3 жыл бұрын
Brother Unanifanya Nijiamnii zaidi
@pauldenyoo303
@pauldenyoo303 5 жыл бұрын
yaaaan broo kuna rafikia angu limemkuta hilooo lakn haaaamin anasema yy bora hata amrudie alf aje kumwacha kwa njia nyingine em nisaidie sa hapo namsaidiaje
@thebroski9763
@thebroski9763 5 жыл бұрын
Anza na kusalimia kidogo mfano Habari? Then Leo Tunazungumzia hiki hiki then unaendelea huo ni mtazamo wangu binafsi maana video inavyoanza tu unaanza kuongea huwa nahisi tofauti sana au ndo kuenda na mda?
@omarabdallah2918
@omarabdallah2918 5 жыл бұрын
Thank you my mentor, i get you from 254 My bro Joel .
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Omar Abdallah Thanks Omar,pamoja sanaaaa
@LeahIsaya-jn9hj
@LeahIsaya-jn9hj 2 ай бұрын
Kipindi unashauri hiki sikukuelewa kbsaa,maana nilikua ktk kipindi kigumu mno..akili yg iliganda kbsaa.. niliwaza ivi huyu anatushaur hivi anajua maumivu kweli yakuumizwa ktk mahusiano/ndoa?kiukweli sikukuelewa kbsaa..sasa nimiaka 5 ndio nakuelewa kaka.namshukuru sn mungu nmepona kbsa nimeanza upya na sikumbuki tena kuumizwa kule kulikonikosesha kbs furaha..nmekua nikikufuatilia sn kupitia mafundisho yako nmejifunza mengi mno yaliyonisaidia..jp kiukweli nimekua muoga sn kuanza mahusiano mapya mpk leo.
@janenelson5462
@janenelson5462 4 жыл бұрын
Umenigusa sana hapo kwenye aina za marafiki wanaoua ndoto zangu
@frankmashaur3867
@frankmashaur3867 Жыл бұрын
kwel bro mm naumia mka sas hata sielewi kabsa
@fredrickdanielndegea2490
@fredrickdanielndegea2490 3 жыл бұрын
Hakika yote no sawa
@anethlema8318
@anethlema8318 3 жыл бұрын
Yani nikwli kabisa we kaka wew mimi nishapita hizo zote Now niko kwenye acceptance yani had nilikonda
@issaamir7894
@issaamir7894 3 жыл бұрын
Nimeamz n mahusian mengn now niko vizur sili tena upuz na nimemuapia Alla sitoka nimtafte
@benfrancis8288
@benfrancis8288 5 жыл бұрын
Bro kazi nzuti sana unayoifanya naomba unisaidie katika hili
@benfrancis8288
@benfrancis8288 5 жыл бұрын
Ninarafiki yangu ambae urafiki wetu ulianza mwaka jana maongezi yetu yalikuwa yanahusu maisha kuelekeza namna ya kuishi kwenye mahucano huyu kqka alikuwa anapenda sana kuniita dada kila anaponipgia au tukiwa tunachati....mwaka Jana mwishoni ile hali ya kuniita dada akaacha mm nikimuta kaka haitiki na tukiwa tunachat nikimuita tu kaka ananiaga ananiambia atanitafta badae badae aliniambia nipange Siku tuonane anamazungumzo na mm ambayo hataki tuongee kwa simu na kabla hajaniambia kuonana alianza kuniita majina ya kimahucano kila akipiga cm utackia anaitaa baby wang,my n.k na siku moja akaniambia katokea kunielewa kutokana na mazungumzo yetu nyuma...... Mpaka sasa sijaonana nae lakn Jana alinipgia akasema kavumilia kashindwa inabidi aseme tu kwa cm sababu sijaenda kuonana nae na md unaenda nikamwambia Sena akaniambia anahitaji anivishe Pete ya uchumba na mwaka huu afunge ndoa na mm mpaka sasa cjamjibu kitu chochote.....napata shida bro kutoa majibu sababu kutokana na maumivu nilopata huko nyuma naomba unisaidie bro kwa kunishauli nn nifanye maana dah
@vincentmuli4283
@vincentmuli4283 5 жыл бұрын
ila kwa sasa nimeamua kukubali kwamba niko peke yangu
@kassimgeorge3036
@kassimgeorge3036 3 жыл бұрын
Unachokiongea ni kweli kwangu toka nimeachana na mpenzi wangu mpaka sasa siamini lakin imeshatokea nifanye nini ingalikuwa bado ninampenda sana ila yeye ana tena muda mimi naomba msaada
@jamaljaphar1577
@jamaljaphar1577 5 жыл бұрын
Kweli bro mm nipo kwenye changamoto hii ya Mahusiano saiv ni week tatu zimepita nimetengana na mpenz wng sema nimejifunza vitu vingi toka kwako ingawa Bado na mahumiv rohon
@fatmaswaleh4023
@fatmaswaleh4023 3 жыл бұрын
Kweli mm nipo acceptance
Njia Tano (5) Za Kurudisha Thamani - Joel Nanauka
10:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
Makosa Saba (7) Ambayo Watu Wengi Wanafanya Kuwakosesha Fursa
11:18
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 20 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
ONDOA UCHUNGU NDANI YA MOYO - JOEL NANAUKA
7:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 90 М.
Jenga mahusiano chanya na mtoto
6:25
Elias Mwinuka
Рет қаралды 36
Jinsi Ya Kuongeza KIPATO CHAKO SEHEMU YA KWANZA (PAR 01)
21:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
JOEL NANAUKA - UTAMJUAJE MTU MWENYE MAUMIVU YA MOYO?
6:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 378 М.
Mambo Ya Kufanya Kabla Ya Saa Mbili Asubuhi - Joel Nanauka
5:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 138 М.
Dr. Chris Mauki:  Usifanye makosa haya mara tu mnapo achana
8:21
Chris Mauki
Рет қаралды 10 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 20 МЛН