Рет қаралды 61,408
Wengi sana huongeza kiwango cha maumivu pasipo kujua mara mahusiano yanapo vunjika. Kuna vitu hutakiwi kufanya mnapo amua kuachana, na kwa kutokujua utajikuta unazidisha maumivu badala ya kupona. Karibu nikufundishe uelewe #DrChrisMauki#Mahusiano#Kuvinjika