No video

JOEL NANAUKA - UTAMJUAJE MTU MWENYE MAUMIVU YA MOYO?

  Рет қаралды 10,545

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 49
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Nikweli kabisa bro elimu mzuri ubarikiwe kwenye maumivu ya moyo kila mtu nivile ukabiliana nalo🇹🇿🙏.
@lucianambalamwezi1864
@lucianambalamwezi1864 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka kwa mafunzo yako ila wanadam nao ukiwaambia unachokipitia sometimes ndo wanakitumia kama Fimbo kukuchapia na kugeuzwa matangazo.
@194summer
@194summer Жыл бұрын
Isaya 38:15 nitakwenda pole pole maisha yangu yote sababu ya uchungu wa nafsi......kitu cha sta ni mtu kupoteza bidii ya kweli ya utendaji hta akiwa busy sio kwa ku focus ni kwa maumivu...Asante mtumishi Joel
@user-wy4tg2pg8e
@user-wy4tg2pg8e 8 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Mimi naona kuguswa Sana nawew
@ibrakyambo6266
@ibrakyambo6266 Жыл бұрын
*MWENYE MAUMIVU YA MOYO* *Anajitenga na wenzie* *Kukaa kimya* *Huwa busy kuliko kawaida* *Muda mwingi hukaa ndani* *Kukumbusha kitu kilichomuumiza* I Ibra thanks life coach
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 2 ай бұрын
Br Joel sitachoka kukufatilia...uko.. Sahihi barikiwa xana
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Жыл бұрын
Duuuu!!! ni mimi kabisa🙌
@enockkamwela817
@enockkamwela817 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@priscapascal9177
@priscapascal9177 Жыл бұрын
Yote hayo nimepitia Ila kupitia mafundisho yako haya kila siku nasikiliza yananijenga afya yangu Mungu akulinde na akubariki
@nzaliglobal
@nzaliglobal Жыл бұрын
Ameeni
@athumanshadrack6065
@athumanshadrack6065 Жыл бұрын
Ebwana kwel kaka mie ni mmoja wapo
@MadlyneDaudi
@MadlyneDaudi 3 ай бұрын
Be blessed
@SeliliaAlly
@SeliliaAlly 2 ай бұрын
Asante mutumishi
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Asante sana Leo naona umeniongelea Mimi tu upweke na kazi ndio ninacho kipenda kama sijaenda kazini ntakaa peke yangu mke wangu na mtoto kama hawapo ndio nafungaga na mlengo kabsa.nikiwa njiani nikiona watu nao wajuwa moyo unashtuka mda mwingine na jificha wakiwahi kuniona najikaza nacheka nao kidogo Ili nipate na fasi yakuendelea .mda mwingine sim nikama kelo kwangu.baada ya kusikia ujumbe huu Leo nafikiri utakuwa mda mzuri wa kujitafakari.asante sana
@RamadhaniJuma-bb6zo
@RamadhaniJuma-bb6zo Жыл бұрын
Umegusa moyo wangu kaka Joel kiukweli maumivu ya mapito yanaumiza sana.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Pole Sana ata Mimi uwa nakabili Hali Kama yako lakini nikimsikiliza Joel uwa najisikia vizuri
@adrianobihabwa3464
@adrianobihabwa3464 Жыл бұрын
blessed chief
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 Жыл бұрын
Asante sana naweza kuwa mmoja Kati ya uliyoyazungmza sasa ningependa unisaidie kwa ushauli tu nitumie njia gani
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@user-uc7lv8sz4g
@user-uc7lv8sz4g Жыл бұрын
Nashukuru brother kuhusu his elimu , Hatamimi nakuwaga hivo, Naomba ushauli?
@user-ds2em7or1w
@user-ds2em7or1w 6 ай бұрын
Asante kaka Kwa madam nzuri, lakini Mimi nilipitia maumivu lakini nikijalibu kuwa sawa, nikikwazwa tu kidogo nakumbika Yale ya zamani
@beatricemabula4783
@beatricemabula4783 Жыл бұрын
Mimi.nipo.kwenye halii..lakin najitahidi sana nisifike pabaya hasa ninaposikiliza makala zako nasonga mbele
@mussakaparatus4230
@mussakaparatus4230 Жыл бұрын
Mm ndo nko had mda huu niko kwenye hii hali
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Yote unafundisha Ni kweli Ila kupitia click zako tunaponaMungu akukumbuke,
@salmanassor4852
@salmanassor4852 Жыл бұрын
Mwaka wakumi nipondani sipendi kukaanawatu najiskia hasira kunawakati hatasautizawatu zinanikera ninaetamani kukaanae amakuongeanae hanamda huo natamani kurudi kamazamani lkn sijui sielewi naanzaje naona akiliyangu imeganda ninamengi moyoni
@hildamushashu5056
@hildamushashu5056 Жыл бұрын
Niliesi kupitia maumivu ila nilipata rafili akanipoza.
@yasminsalim291
@yasminsalim291 Жыл бұрын
We Bro Unaishi ndani Ya Watu Dah kila ulicho kisema Ni kweli Na Nilisha Wai Kutafuta ila sikukwambia Kitu Niliamua Nikae kimya Tu but Umesema Ila Hujasema Tiba Yake a
@estherndola4900
@estherndola4900 Жыл бұрын
Ninajifungia tu chumbani na sijiskii kuzungumza na mtu yeyote yule
@deusdedithsalama8234
@deusdedithsalama8234 Жыл бұрын
Nilikua napitia maumivu Sana ikabidi nipte ushaur labda kwa marfk lakin kilichotokea mwarafki waliniongeze amivu sahv naona no kuwa mwenyewe
@binflory
@binflory Жыл бұрын
🤝
@malaikaanselm5795
@malaikaanselm5795 Жыл бұрын
🤔
@user-pc9ne6wr4k
@user-pc9ne6wr4k Жыл бұрын
Naomba namba yako nikupigie nikuelezee maisha ninayoyapitia kaka labda unaweza kunisaidia
@Madam255
@Madam255 3 ай бұрын
Kaka shida watu tunaowambia huwa wanageuza matatizo yetu kuwa story zao vijiwen
@baboudeira9249
@baboudeira9249 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏻
@user-fy7vg5el9x
@user-fy7vg5el9x Жыл бұрын
Brother joel hii back ground sound kusema ukweli hatuipend saiv ingependeza uweke ile ile ya mwanzo inasisimua sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙏☝️
@rizikiakyoo2089
@rizikiakyoo2089 Жыл бұрын
Mm nataka vitabu vyako ntapataje
@rahimaali6501
@rahimaali6501 Жыл бұрын
mm kuna kipind nimeptwa na mitihn bas nitakaa tu nitakumbuka cjw nifanye nn nisiyakumbuke
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Жыл бұрын
ASANTE KWASOMO
@user-pc9ne6wr4k
@user-pc9ne6wr4k Жыл бұрын
paka sasa ninaishi maumivu hayo muda mrefu kwa sababu ya changamoto ninazozipitia
@masawigroup3479
@masawigroup3479 Жыл бұрын
Kweli kaka kuna maumivu napitia ila sina waku mwambia siku nikiamua kumwambia mwwnzangu anachukia anaona kama namuonea kumwambia kina nacho ni sibu juu yake naomba ushauri kaka nifanyaje maana mke wangu nampenda
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Pole Sana,tafuta watu wazima wanawake wakomavu na wazee wakomavu waongee nae,
@eliamartine4720
@eliamartine4720 Жыл бұрын
Karibu kila kitu ulichotaja hapo napitia maumivu makali sana sijui nitapona linii.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Pole Sana Mungu akukumbuke,ata Mimi uwa namtumia Nguvu nyingi kulima shambani ili niwe na amani kidogo, soma51)1
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Zaburi51)1
@eliamartine4720
@eliamartine4720 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Kama ni saikolojia,hii ndiyo saikolojia,100%ni ukweli mtupu,watu wengi wanapitia hizo hali tunawaona,wengine mpaka kujipenda na kujijali
@MadlyneDaudi
@MadlyneDaudi 3 ай бұрын
Be blessed
@sikituukololo1161
@sikituukololo1161 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maarifa no 5 inanihusu nifanye nini nisahau?nilizingiziwa jambo ofisini.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 9 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 71 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 31 МЛН
HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU  - JOEL NANAUKA
8:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 113 М.
Faida Zilizojificha Kwenye Maumivu - Joel Nanauka
6:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 34 М.
Mambo Manne (4) Ya Kufanya Unapopitia Katika Maumivu
6:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
USIPUUZIE ISHARA HIZI - JOEL NANAUKA
4:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 64 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 205 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
LIFE WISDOM : NDUGU MWENYE MAUMIVU - JOEL NANAUKA
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,2 М.
ONDOA UCHUNGU NDANI YA MOYO - JOEL NANAUKA
7:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 92 М.
Dalili Za Mtu Anaekuacha - Joel Nanauka
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 115 М.
MAMBO YA KUFANYA KUONDOA STRESS - JOEL NANAUKA
4:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 9 МЛН