SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA.

  Рет қаралды 86,687

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

5 жыл бұрын

Пікірлер: 849
@hatibmintanga7325
@hatibmintanga7325 5 жыл бұрын
Mashaallah Shekhe Muhammad iddy umeongea Vzuri sanaa,Allah akubarik Sana uendelee Kutoa Elim Alla atakulipa... Nlitaka Mashekhe wote wanaokataa utofaut wa Muandamo wangekuja na Hoja Thabit za Kujibu kuhusu Mashekhe hao
@abuuammar4924
@abuuammar4924 3 жыл бұрын
Sikujua kuwa Shekh Muhammad Ayoub alikuwa hakosei
@parasuminazi4403
@parasuminazi4403 5 жыл бұрын
Asante shekh hatamimi nimeliona hilo Leo nilipomskiliza shekh kilemile nanikatoa maoni yangu nikawaabia wakae watupe jibu moja kwamana wanakhitilifiana
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 жыл бұрын
Swadakta parasu minazi jazakallahu khairan
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 5 жыл бұрын
Al allama sheikh Muhamad Idd uko sahihi kabisa na Allh amekujaalia ilmu na istiqama, Usichoke kuwarudisha ktk mstari wasemaji semaji, Allah baarik.
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 7 ай бұрын
It is not easy to keep somebody in the right track who willingly ignore the truth because of personal interest OR illiteracy.....IN FACTS MUHAMMAD IDDI IS LOGICALLY CORRECT FOR ANYONE WHO UNDERSTANDING LOGICAL STATEMENTS............OOOH ! ALLAH GUIDE US......... OOH ! ALLAH BLESS MUHAMMAD IDDI.......... .......JAZAKA ALLAH KHAIRA YA SHEIKH MUHAMMADI IDDI ; WAKO ONLINE STUDENTS HAMIDU MTANDIKA
@hashimfarsy1828
@hashimfarsy1828 5 жыл бұрын
Usiifiche haki ukaidhikhirisha baatil ila jitambue hiii dunia tu usione unapta nofu ukaonaa ohook kuna mauti
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Huna sifa ya kusikilizwa yan ndevu zako umeweka wapi unaboa wewe yan hakuelewi ila mtu bariidu katika watu
@rehemasalimini5466
@rehemasalimini5466 5 жыл бұрын
Shukrani shekh uko sahihi haswa mwenye kuelewa na kaelewa asielewa basi ache afate tv sababu mwezi ni mmoja ila muandamo unatofautiana kwa masaa na mdio tunafuata muandamo wa mwezi nchi tulipo sio kufata ushabiki wa watu furani Shekh Allah akuhifadhi duniani na Akhera
@saidhoki6502
@saidhoki6502 5 жыл бұрын
Ivi shekhe nikulize ujasiri wakushambulina mitandaoni mmepatawapi ndivo Shekh wenu muham madi ayubu ndivo alivo wafundisha
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 5 жыл бұрын
Tatizo lao huwa wanakusikiliza kwaajili ya kukujibu, badala ya kusikiliza kwaajili ya kuelewa. Shukran sana Sheikh, Allah akulipe.
@muslihmohd3685
@muslihmohd3685 Жыл бұрын
Huyu sheikh yupo kimakundi zaidi na sio kutoa elimu, Allah akuongoze uache usufi
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 2 жыл бұрын
Hongera Sana Shekhe, Allah akuhifadhi. Tunapitia fitna kubwa katika Uislamu.
@m.othman866
@m.othman866 5 жыл бұрын
Mi binafsi nimekuelewa sana tena sana na zaidi ya saaaaaaaaaaana.
@theworldandcraziestguys2729
@theworldandcraziestguys2729 5 жыл бұрын
Nieleweshe na mie Maalim mimi sijaelewa badoo la3laa wewe umemuelewa kuliko wengine
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Mimi nasema Abu idi kabla hujausemea uislaam chochote kaondoe sharubu zako katafute ndevu ulizonyoa una hata haya
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 5 жыл бұрын
@@jumamnyage5395 Nini aliekufundisha sheria ndevu ni fardhi ni sunna ilio kokotezwa. Kwahivyo mashia na mabohora wako sawa.
@theworldandcraziestguys2729
@theworldandcraziestguys2729 5 жыл бұрын
@@jumamnyage5395Ahahahahaahahahaha Linajifananisha na majusii....من الذي أمرك بهذا يا أبى عيد!!!!!!
@abdulhameed-ur9pu
@abdulhameed-ur9pu 5 жыл бұрын
Lamwisho sheikh Mohammad ayyubu na sheikh khamis bin khalfan walikua wachamungu sana Allah awarahamu wazee wetu hawa moja ya tofauti katiyenu na wao nyinyi wengi ni usalama WA taifa Kwaio acheni hyo ni Kazi ya kiyahudi msigeuke kuwa askari wa pelelezi kwani walinganiaji wafundishaji wandishi acheni usalama wa taifa mtaulizwa mbele ya Allah
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 жыл бұрын
Usisahau kuhitimisha hoja zako kwa kutathimin kuwa wafuasi wako wanazidi au wanapungua
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 жыл бұрын
Athuman Mohammad hoja cio kuzid au kupungua kw watu, hoja ni kufuata haki tu
@bokerarahaa6533
@bokerarahaa6533 5 жыл бұрын
Mi niliongezeka inshaallah
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Ukweli ni kuwa wafuasi wake wanapungua!!!!
@jumasaid8777
@jumasaid8777 3 жыл бұрын
Mohamed iddy wewe ni mbishi , hauna elimu ya ikhtilafu .adabu ya ikhtilafu , unajifanya wewe jambo hilo unalijua zaidi kuliko maulamaa , kwa sababu hilo ni katika masaili mukhtalafu fihha ., usijifanye wewe ni msomi sana. Wakati ni ikhitlafu ya wanazuoni .
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
jitahidini masheikh mkae pamoja muwelewane
@saidimiraji1903
@saidimiraji1903 5 жыл бұрын
hassan mahmud mohamed hapo ndugu yangu ninakuunga mkono
@amrihamis5420
@amrihamis5420 2 жыл бұрын
Wallhay mwenyezi mungu akusamehee na a kuingize peponi shekh ni mkweli sana amini
@mohamadally5732
@mohamadally5732 5 жыл бұрын
Sheikh nimekuelewa sana na asiekuelewa hatukuelewa mpka roho yake inatoka
@electronicstechnician939
@electronicstechnician939 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jajGe2lqqqp7sM0
@brotherissesu
@brotherissesu 5 жыл бұрын
Mm hoja yangu kwa shekh eid naona uislamu ni dini pana sana sasa tunatakiwa tumfuate Allah na mtume. Mashekh wanaweza kukosea na mwamedi Ayoub ni binadamu pia anaweza kukosea. Mkishindana kwajambo lolote rudini kwa Allah na Mtume.
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 5 жыл бұрын
Hehee me naunga mkono maneno yako kaka. Lakini hii dini twasomeshwa na kupata ufahamu wa dini kutoka kwa mashekhe hakuna malaika aliyetumwa kwako au mtume kukufundisha. Mashekhe wanachukua nafasi katika dini kaka
@jumasukari8082
@jumasukari8082 5 жыл бұрын
@@hamidharunsaid1666 Shukrani kwa Mwongozo wako unaolinda heshima ya Masheikh.
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 5 жыл бұрын
Upo sawa lkn dini yetu tukufu, mafundisho yake yapo kwa lugha ya kiarabu na watu wengi, tunamatatizo ya kuijua lugha hii ya kiarabu kwa ufasaha wake na upana wake bali tunachukua tu tafsiri za juu juu na ndo maana hua tunakua wabishi na hatunufaiki kabisa na elimu yetu tukufu
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 5 жыл бұрын
Na hatuwezi kumfuata Allaah na Mtume bila kupitia kwa Mashaykh walosoma vizuri nafasi yao ni kubwa sana ktk hii dini na tukifuata tu kama tutakavyo, ndo utaona tunavyo pingana kwakuto elewa kama sasa
@fahadomar6177
@fahadomar6177 2 жыл бұрын
Alafu hoja nyengine Sheikh Muhammad iddi kuhusu awo wanaopinga mwezi mwandamo mm nawauliza jee, dini haikukamilika adi ilipokuja utandawazi maana hapo Zamani watu walikuwa wakihitalifiana kwasababu kulikuwa hakuna mawasiliano ya kujua kama Maka wamesimama arafa?, 2.) Hoja ya pili wao wakisema kama tufunge mwandamo wa kimataifa Sasa Ramadhani inaingia siku Moja na wakati mmoja jee, swali ikiwa unataka kufungua si unaangalia wakati ikiwa jua limepinduka yaani limezana basi kwa kurudia kuangalia wakati Sasa ikiwa adhuhuri imeingia Tanzania, 🇹🇿, Oman, Kenya, Sasa huyu marekani, ambae yupo nyuma kwa masaa 13, na Canada wapi nyuma kwa masaa 8 na china wapo mbele kwa masaa 7 jee wataswali vp adhuhuri mbna ktk swala tunahitilafiana Sasa wao wanashangaa kuhitilafiana kwenye mwandamo wa mwezi
@mustayoo
@mustayoo 3 жыл бұрын
Assalam alykum. Sheikh kutoweka ndevu ndo upotovu.weka ndevu kama alivyotuusia mtume
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
Umekosea hojja sasa waingilia masala ya ndevu ukweli unaumma toa dalili zako wa ngonjera
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 5 жыл бұрын
Sheikh Abu ldd usijupaue moyo kuna watu ni summun bukmun ummyun na wengi wengine siwasomi wao wamjibu Sh. Swaleh Al Utheimin.
@abuualban12
@abuualban12 5 жыл бұрын
Wanachuon wanamuheshimu sheikh swaleh al utheimin lakin, amekosea katika hilo Na zipo qauli sambaba na sheikh Alban na ibn baaz wakielezea juu ya kufunga siku ambayo mahujaji wanasimama siku ya 'arafa.
@abuualban12
@abuualban12 5 жыл бұрын
firqatunnajia.com
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Abu idi kwanza ndevu zako umeweka wapi msizame kwenye arafa kua kidevu kama .....alafu sharubu umeacha ni mafunzo ya nani ?
@kanyasicongo7918
@kanyasicongo7918 5 жыл бұрын
Hebu jifikirieni sana mufti waoma kazaliwa Zanzibar na akaja kuwa mfuti waoman hiyo nidalili yaelimuyake kubwa mimi naona allah kampakipaji kikubwa sana chakufahamu mambo allah amuhifadhi amin.
@hatjjuma6150
@hatjjuma6150 2 жыл бұрын
Tunajua kuna baadhi ya mambo yanamapishano ila yasiweke tofauti baina ya sisi waisilam.Alhamdulilah tupo kwenye haki kwajili ya shahada zetu.
@AbuuHaneef
@AbuuHaneef 5 жыл бұрын
La kunyoa ndevu na kufuga sharubu mbona lenyewe liko wazi zaidi, inakuwa vipi hujalielewa? Unaweza kutunukulia fatwaa ya Ibn Uthaymin kuhusu kunyoa ndevu pia, au unahitaji fatwaa yake unapotaka kufitinisha?
@alishariffshariff9083
@alishariffshariff9083 5 жыл бұрын
Abū Hanīf Utheymin is one the moat notorious sheikh our time calling Muslims to the gates of hellfire
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 5 жыл бұрын
Yes umemjibu
@zakirkatabwa4501
@zakirkatabwa4501 4 жыл бұрын
Kwanza nyoa sharubu zako
@alishariffshariff9083
@alishariffshariff9083 5 жыл бұрын
Kweli yako Sheikh Mwenyezi mungu ashasema katika surah arrahmaan (mola mashariki mbili na mola magharibi mbili)
@kaulimakame9444
@kaulimakame9444 5 жыл бұрын
Hoja siyo kumpinga au kumjenga MTU au kudhalilishana. Toeni hoja za kielimu zisizoonyesha kasoro za elimu ya Jiografia. Hoja za kbezana na za uchonganishi hazitusaidii sisi waumini wenu. Ilindeni Dino msilinde maslahi yenu au kutafuta umaarufu.Allah tulinde na elimu iliyofunikwa na hawaa za nafsi.
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 5 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUHIFADHI WANAKUELEWA SANA BALI KUKUBALI HAWATO KUBALI KWA KUTETEA HADHI
@MohamedAli-ip4iq
@MohamedAli-ip4iq 5 жыл бұрын
Acha upotofu lete dalili ya kuh arafa ni mwez 9
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 5 жыл бұрын
@@MohamedAli-ip4iq LETA KWANZA DALILI YA KUWA SIKU YA ARAFA NI SIKU WANAYO SIMAMA MAHUJAJI KWA MUJIBU WA HADITHI ZA MTUME
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
الزغوي الزغوي namu malimu
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 5 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
​@@MohamedAli-ip4iqfungua vitabu vyote vya fiqhi utaona vinasema siku ya arafa ni mwezi tisa wa dhulhijja wala hakuna kitabu chochote Cha fiqhi kinacho sema siku ya arafa ni siku ambayo mahujaji wamesimama kwenye viwanja vya arafa
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 5 жыл бұрын
HUNA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! MBABAISHAJI TU
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Ndevu Abu idi ebu achana na misimamo ya kihizbi jifunze upya dini umepoteza njia shekhe wangu Abuu idi ttz njia ushaikosa
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 5 жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh... Alhamdulillah nimefuatilia hii mada toka kwa masheikh zangu. Kama sote yaani makundi yote mawili wanaofuata Arafa kwa kufuata Saudia na wale ambao wanaona funga kwa kufuata tarehe za muandamo toka nchini mwao. Kama sote tunalikuabali hili na tunakiri kuwa kuna ikhitilafu za wanazuoni kwa nini basi masheikh zetu , wanazuoni wetu tunaowategemea kwa nini ninyi kwanza kwa elim mlizojaaliwa msilikubali hilo kwa vitendo? Kwa nini msiwaige wanazuoni wwliotangulia pindi walipokhitilafiana walishikamana vip ili kutokuuvunja ummah huu? Pia Sheikh Muhammed suala la kumpinga sheikh wako si dhambi mradi tu waamini kuwa hii njia ndo sahihi kwa sababu hata maimam wetu wakubwa , imam Shafii na imam Hambari walikhitilifiana , ila hawakuchafuana na kuona huyu yuko sawa ila hata nawe sheikh wangu unaposema hawa masheikh hawa niwapotoshaji mithali unakiri kuwa ni jambo lenye ikhitilafu bado nawe unakosema kwa sababu nao wanadalili wanazoziamini toka kwa wanazuoni wakubwa. Binafsi ninatamani kama masheikh wetu muwe na kauri zenye umoja kauri ambazo ktk jambo lenye ikhitilafu hazitofanya kujiona mimi ndo niko sawa na flani hayuko sawa kwani nyote ni wasomi , msirushiane maneno. Hakika mnadhima mbele ya mwenyez mungu kuhakikisha hamuugawi ummah allah atuongoze ummat Muhammad ikhitilafu hizi kama wanazuoni kama masheikh zetu msirushiane maneno kwenye vyombo vya habari kaeni shura mjadili kisha rudini kwa waumini mkiwa na jibu moja.
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 5 жыл бұрын
Yani hii ndio kauli iliyoenda shule kabisa. Upo sawa
@omarymussa4815
@omarymussa4815 5 жыл бұрын
Miongoni mwa masheikh wa hovyo tena mwenye chuki na answar ni huyu anaona bora mashia kwasababu jalala shia wa kigogo wamesoma kwa sheikh mmoja bin Ayub rh
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
Ansar ya upotoshaji
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Allah akubarik. wewe na Shekh wako
@kaifamstafa9871
@kaifamstafa9871 2 жыл бұрын
ABUU MUHAMMAD IDD WEWE NI SUFI UMEPINDA! ALLAH AKUONGOZE KTK SUNNAH .... Wewe ndiye mpotoshaji huna hoja kwa Abul fadhil
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
Huo usufi waingiaje hapo kama una dalili Lete wewe ndio mpotoshaji na mungu akuongoze
@aishamalaki116
@aishamalaki116 5 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie kila lenye kher na wewe tumekuelewa na wanakuelewa na watakuelewa! Wasione haya kurudi kundini
@abdullatwifujuma3745
@abdullatwifujuma3745 3 жыл бұрын
Sawa we Sufi unaongeaje HIV , umemwagiwa. Maji ya moto au , lipotoshaji likubwa hilo
@user-go3bk6wr8u
@user-go3bk6wr8u 5 жыл бұрын
Shekh kwani hitilafu zimeanza leo? Mbona unajibu kiubishi ubishi na maneno ya ovyo ivyo? Kwani nikuulize kuna nchi tumeachana (tofauti) masaa 24?
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
jirekebishe
@mroojnr.2756
@mroojnr.2756 5 жыл бұрын
Hana chochote cha kujibu zaidi ya yeye kupotosha umma, ye analinda tu tumbo lake.
@machedajanka669
@machedajanka669 5 жыл бұрын
Umeeleweka vizuri sana
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Hakika hii elim ni dini tazameni kutoka kwa nani mnachukua dini yenu ? maneno ya ibn siriin Shekhe wangu Abu idi umepoteza sifa ya kuchukuliwa elim yako wewe ni hizbi , Yan umenyoa ndevu umeacha sharubu Allahu akbar .
@captain_kharus4784
@captain_kharus4784 5 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Mohd unajitaahid na huo ndio uadilifu unatoa hoja na dalili na umesimama kwa ushahidi wa masheikh na wanazuoni wakubwa
@bakiryusuph9971
@bakiryusuph9971 5 жыл бұрын
Izondevu zako tuzinaonesha namna unavyo fata Mila zakiyaudi kwaiyo wasio nafikira ndio utaendelea kuwapoteza
@bakiryusuph9971
@bakiryusuph9971 5 жыл бұрын
Ndgu yetu we apo umewekwa kwaaajili yawatu sio dini
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 5 жыл бұрын
Yaani we Mohammed Iddy utaendelea kuwa mjinga kabisa pamoja na wingi wa vitabu vya madhehebi ya kishaafia kutoa maelezo kuwa wazi lakini bado wazidi kubisha na kupotosha watanzania na kua mkaidi tu.
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 жыл бұрын
Uwesu Sinde kw upande wangu mm cjaona upotoshaj wake hapo! Just kasimamia mcmamo wake kw kujenga hoja na cio vyengnevyo! Ktk masheikh wote nliockilza hoja zao wamekubal kua haya mambo yana khilafu tangu zaman lkn jambo nililoligundua na la kushangaza ni kua upande 1 unajiona bora na upo sahihi kulko upande mwengne!
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 5 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 c kazi yetu kumfanye mtu aongoke ni kazi ya Allah hiyo sisi kazi yetu ni kuwabainishia watu haki.
@whonshineargay2543
@whonshineargay2543 5 жыл бұрын
Ahsant ya Sheikh Saddaqta.Hao si makosa yao illa ni Uchache wa Elimu...Na waki Elimishwa hawataki Hao watu Hatari Sana.
@mzeewa6999
@mzeewa6999 4 жыл бұрын
Mtume Muhammad s.a.w. anasema nyoweni mustachi na fugeni ndevu mtofautiane na mayahud
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
Hayo mambo ya ndevu na masharubu yaingia wapi hapa hali mjadala ni kuhusu saum ya arafa Wacha fitina zako hizo zako ni chuki kama una hojja jibu
@abdulhameed-ur9pu
@abdulhameed-ur9pu 5 жыл бұрын
Sheikh Mohammad ayyubu ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa sana tanzania Allah amrahamu ila kwa usulubi wenu huu nyote mmemukhalifu sheikh wenu moja ya Kazi alizo zifanya ni uandishi wa vitabu Mpaka hata sisi tuishio nje ya nchi twa visomesha sana Kwaio fanyeni dawa pili safisheni nyoyo kwa kusoma vitabu kma vya Kina imam ghali ibnu aatwaillah ssakandary imam haddad alhabibu Ally Mohammad alhabshy Al imam abdallah ba saudani alafu mushughulike na utunzi wa vitabu
@abubakarimwanyuki4963
@abubakarimwanyuki4963 5 жыл бұрын
Huyu jamaa bado akasome
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 5 жыл бұрын
Asalan alaykum, Sasa mbona maneno yako unajikanyaga. kama tunaangalia tareh mbona Arafa ilikua tar 9 hio hio halafu idi ikaswaliwa tar 11 wakat sio sawa?? Ina maana hii din inawekewa sheria na Mufti??
@seydouside4081
@seydouside4081 4 жыл бұрын
Kumbe inawezekana kuswali.. Siku moja.. Mwaka huu.. 2020..tumeswali pamoja duuuh..sikusikia Kama siku ya pili paliswaliwa na waislam wengine..
@mbossowcb1915
@mbossowcb1915 4 жыл бұрын
Shekhe Muhammad ayub Allah amlipe khery
@princeshurem9575
@princeshurem9575 5 жыл бұрын
Allah ni mmoja dini ni moja mtume mmoja jua ni moja mwezi mmoja mwezi ulionekanwa saudia ndo mwezi huoo huoo tuliouona huku tofaut yake ni ukubwa tu..... Na siku ya kuona je kma hatujaon kwetu kutokana na mawingi inabd tusifunge
@bongatv3157
@bongatv3157 4 жыл бұрын
Wapo watu wa astronomy Tanzania lazma utaonekana kwa vyombo hatakue na mawingu vp, tatizo ni tarehe za muandamo wa mwez kila eneo ndio tofaut ya arafa inaanza apo.
@abdulhameed-ur9pu
@abdulhameed-ur9pu 5 жыл бұрын
Allah amrahamu sheikh wetu sheikh khamis bin khalfan mudiru WA madrasat ihyai mtoni kwa azizi Ally amewafundisha wanafunzi wake taswaufu ya hali ya juu kabisa hutowasikia wakibishana na yoyote kiukweli ni mfano wa kuigwa sana natamani wanazuoni waleo wangefata silsila kama hii wallah wange izza kubwa
@salmarajab8707
@salmarajab8707 5 жыл бұрын
abdul hameed daaa
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Mufti.sio.mpango.wa .mungu.mpango.wa.ccma
@dullysavage5939
@dullysavage5939 2 жыл бұрын
Unganisha waislamu tuwepamoja usitutenganishe na tumche mola duniani tunapita .
@ibrahimracho4203
@ibrahimracho4203 5 жыл бұрын
Mwanzo we mwenyewe umekhalifu hadithi ya mtumeﷺ aliposema khaliful yahuda wa nasara.sasa we we umenyoa ndevu ukaacha masharubu itakuaje sasa.nani mpotoshaji
@harunankusa1705
@harunankusa1705 5 жыл бұрын
Muhammad idi hadithi ulizo tajiwa na qauli za ulamaa bado hajaelewa tu rudia hadhi hizo na uzitafakari uzuri alivyo taja mtume saumu ya arafa hakusema saumu ya tisa angalia mudhwafu na mudwafu ilayhi angalia haqi na uifuate
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 5 жыл бұрын
Shekhe msengenyaji
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Kusengenya ni kusema akiwa mwenyewe hajui. Hem kasome clazma useme
@barakasinna844
@barakasinna844 3 жыл бұрын
Dunia inaweza kuwa ndan ya siku Moja Ila tutakua katika vipande tofauti vya siku wengine watakua usiku wengine watakua mchana
@safinabakari9140
@safinabakari9140 5 жыл бұрын
Shaikh Muhammad Eid najua utapitia comment zetu. mimi nina maoni yangu kwako kwa maslahi mapana ya dini yetu..... kosa halirekebishwi kwa kosa, wale unaowaona katika mashaikh tunaowahishimu kuwa wamekosea andaeni meza moja ya sulhu haya mambo muyaoongee indoor n sio humu mitandaoni, italeta fitna kubwa. pili nakushauri tena mwalimu wangu, mkubwa hakosei,kama unakiri kuwa shaikh ni kaka yako basi yeye ni mkubwa kwako jishushe msishindane, nachelea zaidi fitna ambayo itaondosha mapenzi baina yenu. Tatu waliokujibu sio hao tu, nimesikia clip z mombasa kutoka kwa salafiy na nyingine ya qasim mafuta markaz pongwe, nae ametoa hoja nzito tu kama ukipata muda zisikilize na kama unaona kuna majibu dhidi ya hoja zake kwa maslahi ya umma basi unaweza kutoa darsa za kuzijibu ili watu wajue mbivu na mbichi. mwisho kabisa mnaweza mkaratibu mdaharo baina yenu na jopo la mashaikh wa msimamo huu na jopo la mashaikh wa msimamo ule na mufti akiwepo na ikiwezekana mwalikeni na mufti wa suudia aje aamue mtafaruku wetu ili tujenge umoja wetu na si kubomoa. Naomba kuwasilisha na Tawfiq inatoka kwa Allah.
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
Jazakallahu lheir umezungumza kwa busara na hekima,tatizo elimu ndogo,mdahalo utaleta muongozo,lakini kuna wengine wanatengeneza umaarufu.
@yahayaathumani1588
@yahayaathumani1588 5 жыл бұрын
Hawa masheikh wanatumia hii mitandao kwa maslahi binafsi, wanasubiri likes na subscribers wachukue mshiko KZbin, wangekuwa na busara wangeitana na kumalizana wenyewe halafu wangetujuza nini sisi tufanye
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Ahsante Yaa Sheykh. naamini wako wanaobadilisha misimamo yao kupitia daawa zako. usichoke mzee wangu. Alla akuhifadhi
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 жыл бұрын
Upo vzr sn Allah akupe umri mrefu mashaa Allah
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 5 жыл бұрын
Video ya Ward Imam wa Magomeni kichangani kweli ilikatwakatwa, na nia ilikua kupotosha mimi ni Editor na nakubaliana na Ward....
@saidimiraji1903
@saidimiraji1903 5 жыл бұрын
Haji Mgwami ndugu yangu hawa jamaa lazma wakate kwakua wanahitaji kiki
@abduliddy9620
@abduliddy9620 5 жыл бұрын
sheikh wangu abuidd uko vizur sana nimefurai ukwausaili wavitabu nimependa.sana
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Shekhe ndevu mtoto wa kiume wewe umezinyoa umeweka wapi unalinga apo kidevuni umenyoa ndio pambo gani ilo uwoni haya shekhe wangu ?
@zaidumohamed8118
@zaidumohamed8118 5 жыл бұрын
HAKUNA SABABU WEWE SHEKH MOHAMED KUMUOMBA RADHI KILEMILE NI MPOTOSHAJI TU NA NI MKOSA RADHI WA SHEKH WAKE MOH AYUUB SALAMA YAKE AJIREKEBISHE
@abdichamshama9460
@abdichamshama9460 5 жыл бұрын
Kwa hiyo sheikh hakosei!?amekuwa malaika!!?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Al marhumu sheikh kilemile alikuwa mwanachuoni mkubwa, huwezi mfananisha na huyu mhuni abuu idd
@abilahihaule1251
@abilahihaule1251 5 жыл бұрын
Hivi nyinyi amuoni munatuharibia funga zetu hadi tunashindwa kufunga kwasababu ya elimu zenu? USHAURI 1.ufanyike utafiti wa kisayansi dhidi ya mwezi na maeneo yote duniani kisha litolewe jibu sahihi. Kwa sababu tukisema tuwasome na kuwafuata mashekhe kila shekh anaupande wake alioutolea fatuha, hii haitoi jibu sahihi zaidi ya maneno ya vitisho. 2.Turudi ktk Quran na hadithi wakati wa kufanya utafiti huo. 3.Tumwogope Allah tuache kuiharibu dini yake. Inshaallah.
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 жыл бұрын
Abilahi Haule saf sana, umetoa hoja nzuri coz wakituambia tukasome bac hili jambo halitokaa saw mpka wao masheikh waunde jopo LA wasomi wa pande zote 2 walitafutie ufumbuzi hili jambo. Lkn maswali ya kujiuliza ni!! 1) Mbna Oman hawafuat Saudia tangu zaman!? Na hujawahi kuwaskia Oman wakilumbana na saudia kuhsu hayo mambo ilihali wao ndio wana elimu kubwa za dini kulko cc Tanzanian 2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu haya masuala ya khitilafu hawasemi kua Tanzania lazma mufuate saudia!?? Na badala yake hua wanasema watu wamfate mufti wao ktk eneo husika!
@abilahihaule1251
@abilahihaule1251 5 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 Amani ya Allah na rahama zake ziwe juu yako. Hata hayo maswali yako yanaonesha kuwa utafiti wa kisayansi unaitajika ili kuliondoa hili.
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 5 жыл бұрын
Sheikh gani wewe una sharubu kama wapishi wajikoni.sheihk ajiweke kama makufar wewe hatukutambuwi kasome mwanzo ujuwe dini yako vizuri alafu uje utupe elmu
@sefosaide7014
@sefosaide7014 5 жыл бұрын
Wewe unamtukana shehe kisa ndevu tubia uchungu sio midevu
@ahmedkhamis2567
@ahmedkhamis2567 5 жыл бұрын
Hana maneno
@allyhassan7522
@allyhassan7522 5 жыл бұрын
Hata mi namshangaa kujifananisha na makafiri kufuga masharubu haliyakuwa tumeambiwa kuzipunguza.May Almighty Allah guide him to the right path.
@allyhassan7522
@allyhassan7522 5 жыл бұрын
@Mustafa Jumah Sasa hayo ni meneno au au povu?
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 5 жыл бұрын
@Mustafa Jumah mazuzu muko wingi sana.hata wewe zuzu mwengine
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 4 жыл бұрын
Unaacha mustachi Duh huyu kwelii mjinga wa ilmu ya Dini
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Ww ndomjinga
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Ww ndomjinga
@salumalabry9627
@salumalabry9627 5 жыл бұрын
Allah akuhifadhi inshaallah. Unaeleweka vizur tu
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Yan ungejua nikikutana na mtu amenyoa ndevu ameweka sharubu naona kama nimekutana na mmajusi na nikumuona mtu ameacha ndevu ameondoa sharubu naona kama nimekutana na swahaba wa mtume .
@machanochum1969
@machanochum1969 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana kuona leo masheikh wetu wanasimamia misingi ya kutokupingana lakini wanazidi kudidimiza na kuleta taharuki na sitofahamu kwenye dini ya allah
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 5 жыл бұрын
👍
@jumahussein7579
@jumahussein7579 5 жыл бұрын
Shekh hakki unaijuwa ktka nafs yako bali njaa 2 na kujipendkeza kwa mayahudi
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 жыл бұрын
kina Kishki ndio wa njaa kwa kujipendekeza kwa mfalme Sudi wala hawana lolote ...
@jumahussein7579
@jumahussein7579 5 жыл бұрын
@@officialkamdudu umemuona kishk m2 wa sunnah yule ibadh
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 жыл бұрын
Juma Hussein wamjibu Sheikh kwa hoja sisi wasikilizaji tutachambua ila kama wako kimya wanabakia kwenye hoja ya Arafa ni moja dunia nzima bila kujibu hoja tayar sisi tunakua na maswali juu yao
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 5 жыл бұрын
Juma Hussein oa vibaraka wa Saudia. Wanaujuwa ukweli maslahi tu yanawaponza wanapotosha wati
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
Mmeshindwa kuunganisha waislam na kusimamisha hukmullah mnachapana mwenyewe. Masheikh pesa bhana
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 5 жыл бұрын
Jaman Saudia na Tanzania wanatarehe tofauti?!
@omarmnyeto6608
@omarmnyeto6608 5 жыл бұрын
Nop. Mimi niko Saudia saahii ni saa nne na 23
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 жыл бұрын
Yaani jamani hata hao wanaopishina masaa pia wanafata saudia siku ya arafa ni moja tunapishana wakati wa kula tu lakini siku ni hiyo hiyo siku haipiti
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 5 жыл бұрын
@@mariamfaki1166 kuna shida kubwa sana juu ya hawa masheikh, yaan watu wanaona sifa kutofautiana na wala hawaoni haja ya kuwa wamoja. Dini moja, ardhi moja, kitabu kimoja lkn watu wanatofautiana na kulazimisha kwamba hiyo ndo sawa.
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Uwelewa wako ni kuelewa mambo kinyume nyume umeondoa ndevu umeacha sharubu. mtume kasema ondoeni sharubu acheni ndevu
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh 5 жыл бұрын
Hatutofautiani muda.
@allisekondo4951
@allisekondo4951 5 жыл бұрын
Allah akulipe kila la Kheri kwa kazi kubwa,unayo ifanya.
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Abuu idi shekhe uliopoteza manhaji ndevu zako umezizika wapi ?
@user-pz8cb9cj3i
@user-pz8cb9cj3i 5 жыл бұрын
wallahi mm namkubali huyu sheikhi coz huku saudia hata iDD inaswaliwa sakumi na mbili na kwetu africa hua ni sambili mda haupo sawa kwahio sheikh apo sawa
@hatjjuma6150
@hatjjuma6150 2 жыл бұрын
Je yote sawa?yani (a)kuangali waliokua arafa? (b)kuangali mwezi wa kwako?
@fahadomar6177
@fahadomar6177 2 жыл бұрын
Mshaallah kwa majibu mazuri Sheikh Muhammad iddi
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 5 жыл бұрын
Uyo sio sheikh mropokaji tu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mhuni tu huyu!!
@HamisiAli-uy3sg
@HamisiAli-uy3sg 2 жыл бұрын
Haki ndo hio lakin Njaa na tumbo linadai Enakuwaje umesomweshwa ukiwa Mtoto Hadi umekuwa..mtu mzima..lakin unakubali vipi na kutojiamini Kujidharau na kumfharau Mwalimu wako wa zamani... Kumkubali haya ya kugeuzwa kwa maslahi Basi pia kubali mlioyaabudu mda huyo pia hayakuwa sawa...anzeni kufanya hoja mlipe mlichokikosea siku zile..
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 5 жыл бұрын
Allwahumma aamiyn,
@madinkeymadinkeymcn1681
@madinkeymadinkeymcn1681 3 жыл бұрын
Sheikh uko sawa
@mohamedmnjeja70
@mohamedmnjeja70 5 жыл бұрын
Tarehe yetu na makka ni moja shekh
@athumanikaroyo5999
@athumanikaroyo5999 5 жыл бұрын
Kumbe mnadini yenu ya shekh Mohamed ayubu
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Athumani Karoyo nyinyi nyinyi mnavineno Sana
@AthumanJuma-hg2cl
@AthumanJuma-hg2cl Жыл бұрын
ACHA uwongo
@ismailally1866
@ismailally1866 5 жыл бұрын
Ndugu zangu Asalaam alaykum , naomba msitumie maneno mabaya , huyo sheikh mohamed iddi kazungumza kutokana na ilmu yake na yale aliyosoma katika vitabu alivyovinukuu. Lakini sambamba na hilo dini yetu aiangalii sheikh fulani kasema, bali inaangalia usahihi wa dalili katika kitabu na sunnah. sasa nawatumieni link ambayo kuna sheikh kamjibu kuhusu msimamo wke , ni sheikh ABUL FADHIL hafidhahullaah , kisha kila mmoja aangalie wapi penye dalili zenye nguvu. kzbin.info/www/bejne/n5-thqaMhLxsh8U
@s.nassor5062
@s.nassor5062 5 жыл бұрын
Allah akujaze kheri
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Abu idi mimi ndevu tu wewe mtoto wa kiume uwoni haya kuondoa hizo ndevu vp tukuelewe vp shekhe wewe wa ki islaam ? wamajusi nao waweje
@hassanvuai9167
@hassanvuai9167 2 жыл бұрын
Inaonekana we we shekhe ubwabwatu usidanganye waislamu
@ummusumaiyahmwinyiamani7119
@ummusumaiyahmwinyiamani7119 5 жыл бұрын
shekhe hawawezi kuchambua vitabu wale kwaanza kusoma hawajui
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 жыл бұрын
Swadakta ummusumaiyah
@jumajafari7206
@jumajafari7206 3 жыл бұрын
elimu hunna acha bidaa zako ww huna hoja za msing nakushaur Taft kitabu Cha fiqh us Sunnah upte SoMo kwanz pia naona huelew kuhusu dini pia ptia vzur fatwa inb uthayeemen uelewe vzur we co shekhe we ni jahiri ebu uache porojo prove your words with correct words as akhar Sunnah waljamaa do asalaf Saleh cjw tukuite jna gan we kwanz ndev unenyoa na tumekatazwa kuwasikilza nyiny watu wa bidaaaaa dah subhanallah
@mshuzashshuza4577
@mshuzashshuza4577 5 жыл бұрын
Uso tu unajua huyu Taahira mashekhe wapo kisiasa zaid ili kuepusha ugomvi tu ila haki wanajua ipo wapi
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Abu idi huna la kusema hujui mtume kasema tuwakhalifu washirikina tupunguze sharubu tuziache ndevu
@duidala3228
@duidala3228 5 жыл бұрын
Mufti waOman ni Ibadi
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Mnjikomba.serikalini.njaa.mbaya
@ismailmansour8013
@ismailmansour8013 5 жыл бұрын
Kwani kuna aibu gani kwa Sheikh kuteleza?!! Mbona Maimam walipingana,ijapokuwa wao kwa wao wamefunzana?!! Hakuna ubaya,ikiwa ww ni Mwanafunzi ambae ni مفيد,kushika njia unayoiona ipo sawa
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Mimi nipo hapo kwenye sharubu zako hizo kama wamajusi ndio nini sasa unaona sifa au ndio inadi ? kama ndio unaamini sunna kufanya hivyo je kuwakhalifu wamajusi uwoni jambo jema tena mtume kalihimiza umekwama wapi shekhe wangu ?
@amrimatole337
@amrimatole337 5 жыл бұрын
Swali. Arafat unaitambua Kwa jambo lipid. Nitarehe au nikisimamo? Kipi nikipi?
@aminajuma1435
@aminajuma1435 5 жыл бұрын
Arafa utaitambua kwa tarehe ambayo utaanzia muandamo wamwezi kwa eneouliopo… sio kufuatatu kisimamo cha makka. Ila ikitokea tarehezikafanana yaani mweziulipoandama maeneoyenu nakule kwaopia basihapo arafa itakuwa moja.
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 5 жыл бұрын
Abu idi ndevu zako umeweka wapi umewakhalifu wacha mungu walokutangulia kabla yako nani katika wacha mungu walopita alinyoa ndevu akaacha sharubu ? Allah akuongoze
@aminayusuph9839
@aminayusuph9839 5 жыл бұрын
Kwan Shekhe wako yy ni nan ambae hakosei au anakitu gani hadi asipingwe mbona unabwabwaja tu
@muhsinmwambule9435
@muhsinmwambule9435 5 жыл бұрын
Saudiya ukienda kuhiji kuna vibanda vya fatawa. Kuuliza ni bure na wala hawana mushker. Fatwa wanayoitoa kuhusu swaumu ya Arafa ni hayo anayoyatoa Sheikh Muhammad Iddi. Ubishani si mzuri ni muhimu tujielimishe. Tusiwe wenye itikadi bali tuwe wenye itikadi yenye msingi wa Elimu.
@aminayusuph9839
@aminayusuph9839 5 жыл бұрын
@@muhsinmwambule9435 kwahyo wanasema kua mahujaj wakiwa katika kwenye kisimamo cha arafa sisi tusiokuwa kule hatufai kufunga?
@zuwenamkwizu337
@zuwenamkwizu337 3 жыл бұрын
Ila kwa ss Tanzania na Saudi Arabia tarehe yetu Moja kigeographia kuhusu utafauti ni kwamba hata neema mungu hajatupa sawa kunawengine watapata wengine watakosa acha kwenda nchi nyingine je tz na Saudi Arabia tumetofautiana masaa ?hata tusiwafate mahujaji?
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Allahumma baarik yaa sheykh
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 жыл бұрын
Kama umeshindwa kuelewa hata tofauti ya ndevu na masharubu huko ndio utaweza?
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 5 жыл бұрын
Una uhakika sheikh ana umbile la ndevu kama zako kabla ya kumhukumu
@katalayshemndolwa3146
@katalayshemndolwa3146 5 жыл бұрын
Mashaallah
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 5 жыл бұрын
tatizo mashehe astronomy hajakaa vizuri, waambie.
@alakhhassanomar6077
@alakhhassanomar6077 3 жыл бұрын
Huyu Iddy mjinga sn alaf anajiona yupo sw kasoma lkn hana mpango wowote bora bangi kuliko huyu jamaa
@alakhhassanomar6077
@alakhhassanomar6077 3 жыл бұрын
Tunamuomba Allah huyu jamaa amuuwe haraka ili wapone waliokua hajawapoteza
@abdulhafidhkilimbi3939
@abdulhafidhkilimbi3939 3 жыл бұрын
Muhammad iddi keshaelewa somo ila anamuogopa kiumbe ambae ni shekhe weke
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
hawawezi kusem ivo kwa sababu wanafuata matamanio yao
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 5 жыл бұрын
Hebu sachini kwenye You tube clips yenye jina (JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDDY) Msikilize elimu enye waislamu wa afrika mashariki acheni kuzubaishwa na kutiwa ujinga na hizo talanta za huyu jamaa mwenye uchache wa elimu asiejua hata kauli za wana wa chuoni zinasemaje ktk masaala haya.
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 жыл бұрын
Uwesu Sinde "mm nishaisilkza alhamllah sheikh kajitahid sana kufafanua lkn still kw upande wangu bado nashikilia hoja nliyofundishwa ambayo inaenda sawa na abuu iddi mana kw uwezo wangu wa akil bac naamin hiz hoja zao(mtoa mada) zna mashiko ukilinganisha na hoja za upande mwengne. But hayo ni mawazo yangu tu baada ya kuskilza hoja za pande zote 2
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 2 жыл бұрын
uwezo na elimu ya Abuu Iddi ni mdogo saaana
@princeshurem9575
@princeshurem9575 5 жыл бұрын
Kuna watu hawana haja ya kuwajibu kidini mda mwngne kiakili tu unawajibu Swali kuna arafa Oman au arafa ipo tanzania naje kma ipo Tanzania wa Tanzania na Oman wameenda kufanya nin makka? Na je kupishana kupishana kwa risali moja ndo tyr tarehe ishabadilika
@almuaiqlyseif7956
@almuaiqlyseif7956 5 жыл бұрын
Ilo nalo neno ukijiuliza watapasuka
@mrangi4454
@mrangi4454 5 жыл бұрын
Asalaam Aleykum warahmatulahu wabarakaki shekh kwanza hakuna takhala katika Asalaam
@mahmoodyahaya6058
@mahmoodyahaya6058 2 жыл бұрын
Shekh jikite kuwalingania watu waingie ktk Dini na waislam waache madhambi kuliko kuleta ushindani ktk Dini. Unazingua sana
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 4 жыл бұрын
Sikukuu ya Mufti
@elikambembela306
@elikambembela306 3 жыл бұрын
Tuludi katika quran na sunna shekh allah atatuongoza
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 5 жыл бұрын
sharubu tu zinaonesha kuwa hufuati ushahidi unafuata upltoshaji uliomezeshwa
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 жыл бұрын
suleiman suleiman hyo ya sharub cio hoja ya msingi, hem jenga hoja zenye mashiko
SHEKH MUHAMMAD IDD _ UHALALI WA MAULIDI I FAIDA ZA MAULIDI
19:38
BABDEO MILADU
Рет қаралды 19 М.
Shekh Waleed ajibu wanaomshambulia kutokana na Video yake kusambaa
20:43
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 30 МЛН
MAJIBU YANGU KWA MPOTOSHAJI KASSIM MAFUTA KUHUSU ARAFA _SEHEMU YA PILI
36:03
SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA AIELEZEA BID`AA
19:51
Masjid Riyadhwa - Kwa Mnyimaki
Рет қаралды 1,7 М.
Ni lini arafa / Sheikh Fadhil Muhammad omar
31:32
AL BAYAAN TV
Рет қаралды 8 М.
Shekh Muhammad Idd - Awakosoa Mashekh juu ya Ibada ya Arafa
15:05
BABDEO MILADU
Рет қаралды 148 М.
MVUTANO WA MUANDAMO WA MWEZI|| UTATA UKO WAPI ?Muhammad Bachu
1:06:57
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
Sheikh Mohamed Idd - Ukarimu Ni Njia Ya Peponi Part 1
24:27
SheikhIddi
Рет қаралды 7 М.
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART I)
31:02
BABDEO MILADU
Рет қаралды 42 М.
Siku ya Arafa ni Lini?  ::: Sheikh  Mbarak Ahmed Awes
40:01
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 43 М.
THE FLOOR IS LAVA 🌋🔥! Blippi Watch Out! #blippi #shorts
0:55
Blippi - Educational Videos for Kids
Рет қаралды 24 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
0:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН
MAGIC FINGER TRICK TUTORIAL 😱😳
0:11
Milaad K
Рет қаралды 16 МЛН
Самая крепкая лысина в мире😁
0:30
EpicShortsRussia
Рет қаралды 2,9 МЛН