BABU WA SHADHULY AMLIPUA MTOTO WA BACHU AMUITA BWEGE WA ELIMU HAWEZI KUTAFSIRI MANENO YA WAKUBWA

  Рет қаралды 14,984

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
DAH!! MASHEKH WA BAKWATA JIBUNI HOJA ACHENI MATUSI....HAMNA HOJA
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Mimi nnapata Shaka kwenye kupigwa dufu na wachezaji dufu wamekuwa kama wanamuziki..
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
HUYU NI SHEIKH ABDALLAH SEIFU SHEIKH WA WILAYA YA MUHEZA TANGA AMBAE NI MWANAFUNZI WA SHEIKH NURUDIN BIN HUSSEIN SHADHULIY ALLAAH AMUHIFADHI NA AMRAHAM
@fahadfahmy
@fahadfahmy Жыл бұрын
Jopo lamashekhe wamekaa wanamdiscus Mtoto mdogo wabachu kutoka Mjini Unguja,sijui nani yupo sahihi
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Muhammad Nassoro Bachu yupo sahihi kwakuwa ametoa maneno yaliyopo kwenye vitabu vyao Sasa wao ilitakiwa kazi ni ndogo tu waseme maneno haya hayasemi hivi yanasema vile lakini kuingiza akili zao ndio eti wanajibu Hoja za Bachu ndio kwanza wanawafumbua macho watu.
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 Жыл бұрын
Kwakweli huu ni msiba mkubwa mizee yote hii inashindwa kuelewa wanachotakiwa kujibu ili uma unao wafuata walau upate usingizi kwamaneno ya kijana mdogo bachu, cha kushangaza wameng'ang'ania vilemba utazaniwana majipu kichwani kilemba bila elimu ya ukweli ni mzigo mzito mbele ya Allah.
@hassanabdalla9688
@hassanabdalla9688 Жыл бұрын
Mashaallah.kheir hizoooo.
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Tunaotaka majibu hoja 19 alizotoa sheikh Muhammad bachu.Acheni kujibabaisha
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Mmrshindwa kihoja wataka kumnyonga pumbavu peupe ..
@saidali5964
@saidali5964 Жыл бұрын
Badilikeni njooni mumjibu masuwali hamuna uwezo mabwege muko wengi hapo hatandevu hamuna poleni Allah swaongoze
@daudijuma5914
@daudijuma5914 Жыл бұрын
wafugeee ndevuuu hao masufiiiii thubutuuuu
@AlawiKahema
@AlawiKahema Ай бұрын
Kwani kuwa na ndevu ndo ufunguo wa pepo tutumie akili vizuri ,Elimu ndogo ni shida
@rajabnyoka-vv5vh
@rajabnyoka-vv5vh Жыл бұрын
Watu Wa maulidi tuxhawazoe zao huwa ni mbwmbe tu nyingi lakini hakuna hoja za mxingi,vyao ni vichejesho tu vingi na kujifakhiri kwingi,tushawazoea hata hawatubabaixhi cc tulikuwa huko,sasa hwazi tuambia mtu kuwa maulidi nisawa tukamuekewa,kabisa kabisa na huu ndo ukweli wa mambo,sema ukweli ijapo kuwa niuchungu,watu wamaulidi hili Jambo washalizoea zanani sana sasa kuliacha basi nitaufiki ya Allah, Allah awajalie waione haki na waikubali haki,hatuendi kufurahixhana tu Bali kila mmoja arasimamixha peke yake mbele ya allah.atakaye okoa anaokoa nafsi yake
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Жыл бұрын
بمحمد دامت لنا الأفراح وقلوبنا بذكره ترتاح
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 Жыл бұрын
Maa Shaa Allwah
@amuraneibrahim2776
@amuraneibrahim2776 Жыл бұрын
Hawa kueli ni weslamu kueri?
@SalimoIbraimoIbraimo
@SalimoIbraimoIbraimo Жыл бұрын
Na awawezi kumjibu kwa sababu wao ni waabudia ma babu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
😂😂😂 Mtoto wa shk Bachu amewanyima usingizi, na bado hamjajibu nukta hata moja.
@Mauya23
@Mauya23 Жыл бұрын
Dawa imeingia barabara kila mahala...neno Bwege kama limesemwa kweli basi wajitafakari kama ni sahihi
@aidarusabubakar5776
@aidarusabubakar5776 Жыл бұрын
Acha akasome huyo mtoto wenu. Huyo ana Elmu kushinda Al Imam Barzanji??? Imam wa Madinatul Munawara.. 😂 😂 😂 Usingizi mwingi ni Uzembe pia Kaka wacha Maustadh wamnyoreshe
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Wanajiharishia tu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
@@ibnhassan9980 😅😅😅 Masufi yamewafika ya shingo, wanahara na kutoa mapovu tu.
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h Жыл бұрын
Ni wapi wewe muhabi umesikia aya za qur ani kutupwa muislamu mwenye imani kamili akalala sasa nafikiri sasa mume wafahamu ni nani wenye qur an.nyie mawahabi endeleeni kulala sbb kutupwa kwa maneno ya qur ani hakuwaumi Japo kijana wenu aliomba msamaha lakini hatulali lazima afanywe kuwa fundishio mwingine asije subutu kurudia huo ushenzi.
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Masufi wamechanganyikiwa baada maji kwaingilia kwenye shimo lao, Sheikh M Bachu ku kashifu uwongo na ushirikina ya kitabu wanacho amini kama kitabu chenye tukufu sawa na kurani. Badili hao masufi kuzingia na kupima hicho kitabu chenye uwongo na shirikina , badilie wametunga mashairi kumtukana Sh M Bachu, mwenye hana suna ni amrad من شبه بقوم فهو منهم hana ndevu nimfano wamajusi
@abdililahahmed3095
@abdililahahmed3095 Жыл бұрын
Narudia tena maneno yangu, elimu bora hasa hizi za kihistoria ni ile ya zamani, tatizo sikuhizi vijana wanasoma Nyambari Nyangwine wanajiona magwiji, hawa wazee walisomeshwa na wazee wenye fikra kubwa haswa na umri wao ulikua na baraka, huwezi kuwapata hata kidogo.
@hassanabdalla9688
@hassanabdalla9688 Жыл бұрын
Swalluu alaa Muhammad.
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Mwamwita Mtoto lakini kawatimua mpka sasa mwababaika hamuaminiani jazba zawapanda
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Wameishiankutukana tu hawawezi kujibu hoja hata moja ni matusi ndio fani yenu. Kutukana ni rahisi kusoma ndio kazi na hayo ndio majibu ya masufi hawa matusi ndio elimu yao
@abubakarhajjabubakarhajj1252
@abubakarhajjabubakarhajj1252 Жыл бұрын
Mzee amepoteza mwelekeo hizo ni dhambi unazo zifanya
@rajabnyoka-vv5vh
@rajabnyoka-vv5vh Жыл бұрын
Sheikh twakuhutaji sana hiyo siku ili uje ufunzwe haki mana tunaona maneno ni mengi tu lakini ahluxunnah tupo we hiyo siku pia twakuhitaji sana kama inavyo dai sheikh
@khalidilymo2301
@khalidilymo2301 Жыл бұрын
Rajab nyie ni mawahabi .masalafi sio ahlu sunnah nyie
@ibrahimmsabah440
@ibrahimmsabah440 Жыл бұрын
Hamna kitu apo,minhaj ya kielimu haipo apo labla kuwasifu walomfunga kilemba.
@abuurayhana-zu1ew
@abuurayhana-zu1ew Жыл бұрын
Masufi mnatumia lugha zenye ukakassi kuwasemea waislam wenzenu Nany mkijibiwa kwa mfano wa lugha hizo mnadai vijana hawana adabu jiheshimuni muheshimiwe
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Uislamu hauna vilemba wala majoho. Ndio maana tupo nyuma. Hatuna dunia wala akhera kwa kukumbatia uzushi.
@mullestv2680
@mullestv2680 Жыл бұрын
Nilichogundua Hawa wenzanke wanamcheka kwa kejeli uskute km hajavta bangi ugoro au tembo hpo
@hassanabdalla9688
@hassanabdalla9688 Жыл бұрын
Maulidi yatazidi Kuwa MAKUBWA.
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Hivi vigenge uzushiii maulidi Bado vipo tu.Uislamu tunaupeleka wapi na bidaa hizi
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Chukueni sehemu mtakapo paona sawa ila sehemu za shirki zimo humo
@MusaYusuphu-y2l
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Munacheka nini sasa nyinyi watu bidaa? hakuna hata mwana twarqa mmoja aliejibu hoja zote 19, bali mna bwabwaja tu, hakuna chochote
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Жыл бұрын
Mh😮
@JamaliMndeme
@JamaliMndeme Жыл бұрын
Elimu juu yaelimu mungu tuwekee wazee wetu Hawa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Nyie hamumuwezi
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Жыл бұрын
Huyu mzee n mganga wilaya yake hawamtaki kwasabab Ana tuhuma za ushirikina, nashangaa watu wa Bida'a mnahangaika sana wa kumpa heshima kwenu ni LAZMA awe mganga kama huyu mzee
@Captainome
@Captainome Жыл бұрын
Mzee kidevu cheupe kanzu ya kuburuza akiteremsha mkono vidole havionekani jamaa huku ndio kumpenda bwana mtume.kaa chini atafta fea yakurudi kwao mtuzeni akae.uchinzi mwingi tu.
@mwambamuyango9002
@mwambamuyango9002 Жыл бұрын
weemzee acha uongo kama unaweza jibu hoja mwazikimbia
@jumamajid7557
@jumamajid7557 Жыл бұрын
Mzee atajibu hoja Baada ya wewe kua na adabu
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 Жыл бұрын
Mzee wako kachangwa na Bachu na akachanganyikiwa kabisaaaaa! 😂😂😂😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Hakuna Taqwa hapo. N kuchekesha na kucheka tu basi hapo hakuna aliyoondoka na mazngatio. Msemaji hana TAQW wakitoka hapo ni kufanya UGANGA TU. Basi. Hawa, ndio walewale " Mama fulani mtoto hyu karogwa twende kupiga LAMRI . Hapo , kaimba tu nyimbo zilitungwa na MASHIA Haya cio Mawaidha ndugu zangu. Hawa ndio walee walioharibu Dini Africa MAShARK leo kijana wa kitwarqa anasoma quran lkn Haswali. Halaf mambo haya ni Afrika Masharik tu . Cjui Mtume SAW atasemaje kwa umma huu.
@YunusHamis-wk7kj
@YunusHamis-wk7kj Жыл бұрын
Kuwa na akil unachobisha nn kwan!?
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h Жыл бұрын
Ok nyie mawahabi wenye kuabudu mingu mitatu mulikuwa ili hali nyie ndie mumutakasika mbona hamuku usambaza uwahabi afrca mashariki.kwanza hio imani ya waganga ni haramu kwa muoslamu yoyote mbona nyie mawaha minaiyakidi hio imani ya kichawi hata kww mawahabi kwa nyie ndio washirikina kuanzia imani hadi vitendo Mnaponga daawa ya tabligh.munapinga mihadhara..munapinga swallatul nabii.kisha rububia na uluhia ndio mungu wenu pamoja na mtume wenu muhamed wahabi saswa na makadiani pia wamejitengezea mtume wao ahmed mirzai gulam.katoto kenu kabachu kalikosa adabu kakatupa maneno ya qur an kakaomba msama.hata mtume wenu wahabi hajawahi tupa barzanji na aliikuta sasa anapelekewa moto mnaanza kuona kuwa ni waganga wanamuangamiza ni sawanafir aun alivo ona musa kazidisha miujiza akaanza kumuita musa mchawai Hata mtume muhamad wakina abujahal wali muita mchwi na huo ndio unakuwa mwisho wa mawahabi mukishindwa huwa mwaanza kuwatusi maulama kama walivo makafiri wa zama hizo. H
@alawikihema8676
@alawikihema8676 Жыл бұрын
We ni Jahili huna elimu ya dini kasome ndo uanze kupambana na wasomi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Ahal Al Bidaa
@amritwaha-kp3hu
@amritwaha-kp3hu Жыл бұрын
We unaonaje maana isije kuwa ushaa vuta bangi lako huko sasa huwajui
@niwezeshe5907
@niwezeshe5907 Жыл бұрын
Hivi nyinyi mbona wapuz sana mtusi yaninu Sasa km imekuuma tulia
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Ahlu bid'aa wanapigania ugali wao
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Povu lote hilo wanaona hivi Sasa hawapokei michango mingi ya kufanya Maulidi wanaona vijana wanazinduliwa
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Sidhani kama Kuna kijana yupo ktk utafutaji maeneo ya mbali na kwao Kisha akiambiwa atume pesa za mchango wa maulidi na Arobaini au Hitma kama atatuma
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
@@ibnhassan9980 Hakuna, hata aliye karibu na kwao. Ila yule aliyeghafilika.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
@@ibnhassan9980 😀😀
@SaidShabani-s4o
@SaidShabani-s4o Жыл бұрын
Hapo ndipo tunaofeli waislaam wenzetu wanapambania maslahi Yao ya bandali sisi tunagombana kwa sababu ya Maulidi ghtima na kujengea makaburi vitu ambavyo sisi tumevikuta na halazimishwi mtu kufanya wala kutokufanya wewe Kama hutaki acha hulazimishwi waache wanao fanya wafanye bwana
@masoudabdallah9878
@masoudabdallah9878 Жыл бұрын
vilemba vya maruhan??? hii inamaanisha nn??
@jumamajid7557
@jumamajid7557 Жыл бұрын
Just a joke
@jumamajid7557
@jumamajid7557 Жыл бұрын
Wenye kuelewa wameelewa
@AbuAmmar2012
@AbuAmmar2012 Жыл бұрын
Mjadala Wa Sakina. Kujengea na Kuyavunja Makaburi. Salafi v Sufi kzbin.info/www/bejne/qZa5n2mlfLeEptEsi=ulI2k3GxEmO6saG-
@saidali5964
@saidali5964 Жыл бұрын
Kweli machizi bado wengi wewe hata ndevu na kanzu zanisfi saki hamujuwi kuwa nisuna nyinyi suna zenu za masharubu
@daudijuma5914
@daudijuma5914 Жыл бұрын
Videvu kama wanawakeeee
@MusaYusuphu-y2l
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Majaahill murakkab, watu wa motoni, hakuna chochote cha kielimu hapo. Upuuzi mtupu,
@hajikhamis6544
@hajikhamis6544 Жыл бұрын
Uko motoni unawapeleka wewe au umeoteshwa kuweni na hikma basi
@hatibukazembe4055
@hatibukazembe4055 Жыл бұрын
Matusi ya nini basi waungwana hawawi hivyo
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Huwezi kumuita binadamu kuwa ni mtu wa motoni ikiwa hujui mwisho wake wala wako
@nassorothabiti7237
@nassorothabiti7237 Жыл бұрын
ushaa anza kugawa moto na ww nikiumbe dhaifu jee ukimkuta peponi na ww uka angukia motoni utasemaj
@khalidilymo2301
@khalidilymo2301 Жыл бұрын
User xi4 wewe sio kazi yako kumpa mtu moto au pepo.
@MusaJuakali-m1c
@MusaJuakali-m1c 2 ай бұрын
Q
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
19-0
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Upumbavu kama huu Bado mupo tu na uyo mwehu
@amuraneibrahim2776
@amuraneibrahim2776 Жыл бұрын
Hawa wajinga wa napenda sifa
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 Жыл бұрын
موتوا بغيظم
@amuraneibrahim2776
@amuraneibrahim2776 Жыл бұрын
Hawa kueli ni weslamu kueri?
@jumamajid7557
@jumamajid7557 Жыл бұрын
Kwani waislamu wapo VP..?
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Apana muislamu ni wewe tuu
@khamishabibu2505
@khamishabibu2505 Жыл бұрын
Hao niwachekeshaji ALLAH awaoneshe haki na waifuate
@hajikhamis6544
@hajikhamis6544 Жыл бұрын
Siwo hao si hio dini umeletewa peke yako
@hamisimkwembo1007
@hamisimkwembo1007 Жыл бұрын
Waisilamu ila wazushi
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
RADDI KWA MTOTO WA BIEDH MUONGO WA MAMBRUI || Muhammad Bachu.
45:06
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 20 М.
BACHU ARIPULIWA NA KITOTO CHA SHEIKH KUSOMA APIGWA ZA USO REJEA UKASOME VIZURI
29:14
Ayaa Sayyiidiy Qalbiy - Shadhuly Qaswida ᴴᴰ
12:43
Shadhuly East & Central Africa
Рет қаралды 18 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН