BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.09

  Рет қаралды 16,157

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#safari #baharia #dupamdupange

Пікірлер: 63
@vasmotz
@vasmotz Жыл бұрын
Kutoka FRANCE 🇨🇵🇨🇵🇨🇵 Nafatilia toka ya kwanza Daah nyinyi maisha yana story ndefu sana. Japo nipo ULAYA But na jifunza vitu kutoka kwa baalia 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@user-fq9nl1xy1g
@user-fq9nl1xy1g 7 ай бұрын
Katika interviews za mabaharia sijaona exclusive kama huu, huyo jamaa ni SUPERB role model wa wageni ndani ya nchi nyingine
@mwanaidiheintel1760
@mwanaidiheintel1760 Жыл бұрын
Naamuangali huyu jamaa tangu ya series ya kwanza . Salamu kwake kutoka Germany
@hamadimiraj6649
@hamadimiraj6649 Жыл бұрын
Germany kitaa gani mwanaidi
@kelvinmathew8540
@kelvinmathew8540 Жыл бұрын
Hellow
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Mbona sijakuona nimekuja likizo hapa Gelsenkirchen
@azizimustafa8214
@azizimustafa8214 Жыл бұрын
Nakupata vzr mwanaidi kutoka 🇹🇿
@allsportshighlite8027
@allsportshighlite8027 Жыл бұрын
Firts kukoment Story ya mnyamwezi kutoka TMK.
@user-pq6wp3qk4x
@user-pq6wp3qk4x 11 ай бұрын
From sauth naifatilia tokbnp bongo mwane2 balozi
@user-kb2us2sx7j
@user-kb2us2sx7j Жыл бұрын
Kutoka dzonga baharia balozi insha Allah nikija bongo nitakutafuta nichukue ushauri
@innocentrichard9316
@innocentrichard9316 Жыл бұрын
duppa mdupange upo makin saana ..nakubali kazi zako
@yazidusaidi8843
@yazidusaidi8843 Жыл бұрын
Huyu jamaa anafurahisha sana😀, niko New Zealand, anayosema kuhusu mifumo ya maisha ya wazungu ni kweli kabisa, wazungu wamenyooka mno, hakuna pereso pereso😁
@africanboy3714
@africanboy3714 Жыл бұрын
Vipi huko New Zealand ni beach zuri, mimi niko Sweden ila nalikubali sana
@yazidusaidi8843
@yazidusaidi8843 Жыл бұрын
@@africanboy3714 Huku beach ziko safi tu, lakini tunaelekea winter so kuna frequent changes of weather, rain, wind, mild temp, besides si unajua huku tuko karibu na south pole
@Entertainmen_tv2024
@Entertainmen_tv2024 Жыл бұрын
Huyu jamaa namjua Newcastle kitambo
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Dah- stering' mtafutaji👍 ikopoa saana' Veema ✔️ sana Dar24- kwastori zenye Mafundisho 👍
@obadiafredy4499
@obadiafredy4499 Жыл бұрын
Much respect kwa Balozi,,,,,Dupa tupia episode nyingine
@mrishoidd8920
@mrishoidd8920 Жыл бұрын
Salute malume nakupata kaka mkubwa
@MunirAbdullah-en9zi
@MunirAbdullah-en9zi Жыл бұрын
Apo kwenye kufaudu nakumbuka mbali sanaaaa
@yussufally4059
@yussufally4059 Жыл бұрын
waiting......
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
WANGAPI WANASEMA MWANZO MWANZO STORI NI NOMA KULIKO INAVOENDELEA?WANGAPI?
@khaledchadhouli6363
@khaledchadhouli6363 Жыл бұрын
Nimeikubali sana since sehemu ya kwanza 👌
@asumthamanyahi5255
@asumthamanyahi5255 Жыл бұрын
Jobcentre brother uko vizuri
@youngmu6098
@youngmu6098 Жыл бұрын
Mapema tu 👊👊
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 Жыл бұрын
Nakukubali sana mwana..Duuu pole sana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Kwanini usingetambuka apa🇬🇷ugiriki upande meli mwanangu🙋‍♂️🙏🇹🇿🇬🇷
@GIVEN994
@GIVEN994 Жыл бұрын
Sema dupa unavyodakia mpaka raha yaaani,jamaa anasema mama anasmoke halafu unadakia mtu wakupiga myoto yaaani kama ulikuwepo vile
@TheSimbaJr
@TheSimbaJr Жыл бұрын
Story nzuri baharia uyu alikua sio mtu wa kukaza ana penda sana kua mzigo kubebwa bebwa
@mwafrikaissa491
@mwafrikaissa491 Жыл бұрын
Nakubal
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Jamaa namwangalia kutoka day one 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@MohamedIddi-re9sc
@MohamedIddi-re9sc 7 ай бұрын
Office za Serikali zinaitwa Job centre government office called Job centre
@quwwangaemanuel7360
@quwwangaemanuel7360 Жыл бұрын
Safi .next pls
@AhmedAli-ns6ws
@AhmedAli-ns6ws Жыл бұрын
Inaitwa job center baharia
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 Жыл бұрын
Respect
@NsajigwaAmbakisye
@NsajigwaAmbakisye Жыл бұрын
The man anatoa story imenyooka Sanaa anafaa❤
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 Жыл бұрын
Presenter nakukubali Sana
@eddieeddie3196
@eddieeddie3196 Жыл бұрын
Prince Malima mbona hujatoa zile tukienda North Shield kucheza mpira 7 side
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Ooi! Pamoko na Baharia Balozi😅😅
@johnrambo9642
@johnrambo9642 Жыл бұрын
Dc huyo alikua mzungu au
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Jamaa aliyelalamikia mitungi yaani bado saana..! Mbele mitungi mara nyingi ni chee kuliko maji ya chupa?
@user-op5ty8nx9j
@user-op5ty8nx9j Жыл бұрын
Oy mamb vp na shd ya namb ya mxhua
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Balozi anasimulia Kwa vithibitisho kabisaa
@richardmoses7470
@richardmoses7470 Жыл бұрын
Inanikimbusha berlin nilipanda basi no 139 kwenda berlin main bus station. haha huyu jamaa anasema ukweli kabisa...
@pablo_066
@pablo_066 Жыл бұрын
Croydon
@hiuchionekwa9122
@hiuchionekwa9122 Жыл бұрын
Najifunza mengi Sana kutoka kwabalozi kiukweli huna baya
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Mbna huyu jamaa anafanana na child Benz,
@mrishomabrouk1646
@mrishomabrouk1646 Жыл бұрын
Watu wanaeza wakatengeza filamu
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 Жыл бұрын
Mwana Nakukubali Sana.hiyoo True story.
@user-fq2sk7ml3h
@user-fq2sk7ml3h Жыл бұрын
Uyu jamaa Yani uku temeke jirani yangu . Then mlambiti kwetu jirani yetu na kwao morogoro
@aplus3805
@aplus3805 Жыл бұрын
balozi
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Ofisi za serikali zinaitwa Job centre Kwa Uk
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Mwanaid wap hiyo?
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 Жыл бұрын
Na mimi mwenyewe Niko Kiwanja nomepitiya hayoo
@hashimrashid6380
@hashimrashid6380 Жыл бұрын
No sweaty yamungu mengi
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 Жыл бұрын
Story kali sana nakubali sana pindi hili
@ibnmoses979
@ibnmoses979 Жыл бұрын
Tag me part 10
@Mohamed-mt6xx
@Mohamed-mt6xx Жыл бұрын
Mwanaidi Germany pande gani mimi niko Hannover
@DirectorNoahkilima
@DirectorNoahkilima Жыл бұрын
Dupa
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Jamaa ana story nzuri na unatamani asimalize 😃😃😃
@user-kn6mz8li9v
@user-kn6mz8li9v Жыл бұрын
Baharia tuh tuh tuh
@user-kn6mz8li9v
@user-kn6mz8li9v Жыл бұрын
Jahazi limetua nanga mkokoni bahari kashuka mmoja kuchek mazingara
@zenanassor7118
@zenanassor7118 Жыл бұрын
Unatukubusha ssi ndo wakipindi kile kazi kazi si watoto wasasa wanataka kulelewa bgup
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
👁️👁️🇫🇮🇫🇮
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 786 М.
BAHARIA
26:52
S MEDIAZ ONLINE
Рет қаралды 13 М.
WALITAKA KUNIUA KUNITUPA KWENYE MAJI | NIMEENDA NCHI 15 KIBAHARIA
38:51
Maximum Tv Online
Рет қаралды 24 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН