KAULI TATA YA KIJANA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA BAADA YA AACHIWA HURU

  Рет қаралды 83,717

Baharia TV

Baharia TV

Күн бұрын

Пікірлер: 369
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
Sasa fain iyo kalipwa samia au nani 😢😢😢 picha tuu milion 5 shikamoo tanzania
@talibsaid8096
@talibsaid8096 2 ай бұрын
Sheria ni sheria tu ingekuwa we we Mzee wako katukwanwa na mtu bila sababu ungesikiaje pia maisha magumu lakini kila usiku mko bar hamtaki kujishughulisha watanzania wacheni kuchezea amani waangalieni kenya ilivyo vurugu la muda mfupi lakini litawarudisha miaka kadhaa nyuma na Jawa mawakili hawana la kufanya
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
@@talibsaid8096 tusi gani alio tukanwa pengine kachora vibaya picha kaamua kuunguza,, kusema wa tanzania hatu ji shughulishi unatulidha weye,, ukome labda wewe una maisha magumu mwenzio nishajenga na maisha yangu tuu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Kwahio wakenya wote wameshindwa baa?
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Alitukana tusi gani
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
@@MfiriFulgensi hapo sasa ana njaa huyu mkenya
@iddidandodando6063
@iddidandodando6063 3 ай бұрын
Safi Sana mliosimamia kuhakikisha chaula yupo huru,Hali ya maisha ni mbaya Sana.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 ай бұрын
Kuna mijitu ipo serikalini mijizi ya pesa za umma lkn hawakamatwi wala hawashtakiwi, huyu mnyonge amechana picha tu na kusema ukweli kuwa maisha magumu amefungwa, yaani nyinyi mahakimu mtakwenda kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea wanyonge
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 2 ай бұрын
Kabisaaa na watahukumiwa kama wanavohukumu wenzao
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Anaetukana na mlarushwa nani mwenye madhara zaidi?
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 ай бұрын
TRA ni moja ya wahalifu
@dulaabdallarashid
@dulaabdallarashid 2 ай бұрын
Kenya twachoma hadi bunge na hafungwi mtu nyie picha tu raisi amepanik
@denicegaspar9479
@denicegaspar9479 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 ай бұрын
Yupo sahih ndoman wamemchangia😅😅
@johnbidya119
@johnbidya119 2 ай бұрын
Democracy zero..
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 2 ай бұрын
Kenya hamjafungwa bali mliuwawa😊kufungwa na kuwawa vipi hapo
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
​@@NuruJuma-zv3yzangekuwa angecomemti vip kakoment marehemu?
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 3 ай бұрын
Wacheni ujinga kwani amechoma picha ya Mungu mnaacha kushughulika na mambo ya maana kuna mijizi huko serikalini mbona hamuishitaki
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 2 ай бұрын
Iyo pesa ingeenda mojakwa Moja kusidia wananchi
@KASSIMMHILU-oh5ch
@KASSIMMHILU-oh5ch 2 ай бұрын
Yani 😀😀 MIMI ndio mana Adi umeme nimeweka wangu tu mana serikali Hamna kitu
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 3 ай бұрын
Watu wananyea Mavi picha ya Samia kwenye kanga mbona hamuongei.Sio kila mtanzania muoga.Safi sana bro.Salute
@nancolower_8032
@nancolower_8032 2 ай бұрын
Ujinga
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Na ya mama Yako ikifanyiwa mbele yako utasemaje samia ana familia yake
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 2 ай бұрын
Uyo sio Mama yako ukilala njaa hawezi kukuletea chakula ila Familia yake hawezi kuacha walale njaa.Sio Mama yangu ni raisi tu kama Marais wengine
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
@@HappyBooks-dj6oy nakuuliz ni rais Lkn n mzaz wa mwenzako je angekuwa ni mama yako mzazi ungefurahia
@floraflora5717
@floraflora5717 2 ай бұрын
Uyo kwaza. Sio raisa alipigiwa kura lini uchanguzi ulifanyika lini mimi naamini tuu tazania akuna rais rais alikufa atujachagua bado
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 2 ай бұрын
Kwa muujibu wa katiba ya Tanzania anapokufa raisi makamu wa raisi anachukuwa uraisi bila kupiga kura nyengine, kwani kawaida ya kura Tanzania mgombea wa urais na makamu wake wanachaguliwa pamoja kwa iyo ukisema hukumpigia kura unajidanganya,INSHA ALLAH mitano tena hata kwa shari maana kinachowauma ni asili ya huyo mama si jengine lolote wala hamukutarajia kuona raisi kutoka zanzibar lakini Mungu mkubwa ameficha tusivyovijuwa,kitawauma sanaaaaa na bado
@mariakabonga2
@mariakabonga2 2 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani uko sawa kabisa
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 ай бұрын
We ni mijnga sana hatakama ujui kusoma hata picha huni​@@jumahamadomar9124
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 2 ай бұрын
@@jumahamadomar9124 huyo mama hafai
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 ай бұрын
yes,,nakuunga mkono na ndio maana Hana uchungu na ardhi yetu ama nchi yetu
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 ай бұрын
Huu ni ujumbe mwenye akili na aelewe watu wanaumia maisha magumu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Ni kweli yy kasema kweli maisha magumu shida ni ipi hata huku ulaya maisha magumu juzi tumepiga kura tumechagua kiongozi mwengine muhindi tumempiga na chini juu maisha magumu 😢
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Kuna wezi wa CAG mnawaacha mnaenda kufunga mtoto
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter 2 ай бұрын
😂😂😂 mtoto😅
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 ай бұрын
😅
@harshkirit6780
@harshkirit6780 3 ай бұрын
Safi sana. Hongereni watanzania wenzangu kwa kumsaidia ndugu yetu.. kuna mijitu serikalini wanatunyanyasa wananchi. Haya sasa wajiandae 2025 kama watapita hayamajitu PIPOZ PAWA...HAPO SAWA
@jaybajay9973
@jaybajay9973 2 ай бұрын
Watapita maana wasanii wa sanaa totauti tofauti eanampigia Debe
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Ingelikua Samia ni mama yako mzazi ungekuj kupongeza watu km unavyofanya juu ya mama w mwengin
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 2 ай бұрын
Mama samia umeona nguvu ya watanzania ndo ujue tumekuchoka
@MnubiMm
@MnubiMm 2 ай бұрын
@@SalmaAthuman-hp3en nguvu Ujinga huo wangechoma ya Mama yako na kukashifu ungeshabikia hivi umechoka na Nani? Kwa nini mnakuwa mnapenda kuwachanganya watu kwenye mambo yenu ya na fikra zenu wewe na wenzio saw usifikili wa msifikili Kila unachoona sawa wewena wengine ni hivyo hili mnalo sifu ni Jambo la hivyo kabisa subili wazazi wenu waanze kuzaliliswa ndio mtajua
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 2 ай бұрын
Umemchaka wewe,
@AbdallaMpambika-bp6ub
@AbdallaMpambika-bp6ub 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe rais mwenyew hameifanya kesi iwe rahisi kama angeonesha amechukizwa uyo jamaa angekaa jera
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 2 ай бұрын
@@AbdallaMpambika-bp6ub milembe iko wazi muda wote muhimbili sibishani na vichaa
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 2 ай бұрын
@@NuruJuma-zv3yz tumemchoka ndiyo wewe anakusaidia nini 😂kichaa ww
@pyerinajilatu2884
@pyerinajilatu2884 2 ай бұрын
Mbarikiwe sana mnaojitoa kusaidia watu Kwa moyo wa upendo Atawalipa Mungu
@CeciliaShauri-vc7up
@CeciliaShauri-vc7up 2 ай бұрын
Kweli maisha ni magumu mno. Kuna baadhi wanakimbiwa na waume zao, mama wanabaki na watoto kwa mateso makubwa. Mungu tusaidie hatujui kesho yetu.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Anayeona ni vurugu ana maisha mazuri. Tunaoshindia buku tunafurahi sana
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Angefanyiwa mama yako je
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 3 ай бұрын
Musiwatukuze marais kama manabii
@Amirimwashembe
@Amirimwashembe 2 ай бұрын
P1 na koment zte nzur za kumpongeza kijana au kuwapongeza waliomsaidia ila mm namuombea dua ya maisha yke usalama wake kua Allah amhifadh aise
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 Ай бұрын
Na kweli kapote
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 ай бұрын
Uzuri amechangiwa na chenji imebaki amepata na kianzio
@EliaShirima-rh4wq
@EliaShirima-rh4wq 2 ай бұрын
❤❤tumechoka utawala wa kikoloni watupe katiba utawala huu ni wa utumwani
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 2 ай бұрын
Mwinyi alipigwa Kofi lkn alisema mwacheni huyo mtu asifanywe chochote hivi jamani viongozi tuangalieni nafasi zetu no mitihani tu wala sio raha kuwa hapo
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 ай бұрын
Hakimu rudisha pesa za fain kwani kamchoma rais au picha wizi ulokithiri tanzania yetu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Ugumu wa maisha ni kweli jamani kadi kwenye umeme kodi kubwa sana
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 3 ай бұрын
Jamani jamani inamaana Samia anahadhi kubwa sana kuliko Muumba watu wanamtukana Muumba mchana kweupe hatujackia hata kufikishwa kwa mjumbe
@BasiliClement-ql1yg
@BasiliClement-ql1yg 2 ай бұрын
Napenda tu kutoa hongera kwa makanda wenye uchungu na nchi yao mawakili wameonyesha uzalendo juu ya nchi yao na wananchi kiujumla
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Umoja Ni NGUVU moja
@TeleziaMwaipopo
@TeleziaMwaipopo 2 ай бұрын
Safii Sana kijana Kwa kumchamba MTU xxxx😅😅😅
@danielkanso
@danielkanso 2 ай бұрын
Hawa watu wameshindwa kutatua mahitaji ya wananchi kazi kufuatilia mambo ya picha si ichorwe tena kwa raisi au ndiyo tuseme raisi amechomwa short mind
@RajaaRajaa-id5wx
@RajaaRajaa-id5wx 2 ай бұрын
Mm binafsi huyu rais cmpend
@Neema-m6s
@Neema-m6s 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 2 ай бұрын
Msionee watanzania kwani hiyo picha ariyo choma niayamwenyez Mungu au niyamwanadam
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 3 ай бұрын
ASANTENI SANA WASHIRIKA. MBALI KIDOGO. LAKINI UMOJA NI NGUVU, NA MUNGU YUPO PAMOJA NA WENYE KUPAMBANA KWA HAKI
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
Mchanganyiko kiakili maisha magumu wachache wanakula maisha, maumivu ya ndani kwa ndani mpaka mtu anaona liwalo naliwe
@MsJuniormjunyhandsomeboy
@MsJuniormjunyhandsomeboy 2 ай бұрын
Mubarikiwe sana wapendw
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 ай бұрын
hongereni sana watanzania hongereni sana sheria wetu,hamjawah kufeli
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
Dogo wa Tz tumekuelewa na tumekupenda kwa udogo wako message imefika ila imegusa panapouma tuombe Mungu kwamba hawajakudhuru afya yako.
@MnubiMm
@MnubiMm 3 ай бұрын
Hebu usiwasemee watanzania semea wenzio na wewe Mliofurahi Mama kutukanwa na kuona ni Jambo lafahali na furaha Mama Samia KUTUKANWA mjiandae Mama zenu nao KUTUKANWA au kuzalishwa Kama huyu alivyomfanyia Mama nasi tutafurahi na kuchangia pesa kwa ajili ya sherehe
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Anajitambuà huyo kijani.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Uchawa unakusumbua wewe sio bure.
@Mona-pn2pv
@Mona-pn2pv 2 ай бұрын
Pole watanzania kwaku kosa uhuru wenu mpaka picha piya 😢 Allah awasamehe na viongozi wenu
@LeloJonas
@LeloJonas 2 ай бұрын
Hauna adabu kabisa una choma picha ya raisi
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 20 күн бұрын
Wew unaadabu
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 ай бұрын
Asante sana kwa kumsaidia huyu kijana.
@AminaHasan-n6l
@AminaHasan-n6l 2 ай бұрын
Mama umeshachokwa achiangazi
@RobertNdaskoy
@RobertNdaskoy 2 ай бұрын
Kwakweli mungu azidi kuwa barick sana
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf Ай бұрын
Nawakubali sana wanasheria😅 Picha ilikua ya dogo maana aliichora mwenyewe na sio Rais... Mpiga picha wa serikali aseme kama ile picha aliipiga yeye😂😂 Tofauti na hapo hakuna uthibitisho kama yule ni Rais😅😅
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@donatiKimati
@donatiKimati 2 ай бұрын
Tatizo katiba ya nchi imekaa vibaya rais anafanywa kuwa mungu
@MaywaTifurukwa
@MaywaTifurukwa 2 ай бұрын
Watu wanalalamika watoto wanapotea , wapotezaji hawakamatwi ila wanalinda Picha kuliko uhai wa watu
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 2 ай бұрын
Safi sana,ni uchawa tupu wote huo unao sumbua,yaani achore yeye afu ahukumiwe,mahakama zetu ni shida sana
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 3 ай бұрын
Una bahati angelikuwa mwamba sa hz ingelikuwa historia
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
Mwamba ndiyo kitu gani? Ni ujinga kusifia ukatili!
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 ай бұрын
Nikusifia au huo ndo uhalisia
@SanulaMustafa
@SanulaMustafa 2 ай бұрын
Wakina januali na nape wao hawaukumiwi mnakuja kuonea wanyonge mungu anawaona😂😂😂
@fotunatusiMsongole
@fotunatusiMsongole 2 ай бұрын
Mungu mlindee na wasiojulikanaa. Mungu anasamehee na wewe samehe
@zulekhamohamed3431
@zulekhamohamed3431 2 ай бұрын
Watanzania Wana njaa
@AliMahmoud-p7o
@AliMahmoud-p7o 2 ай бұрын
Nyinyi watanganyika rais wenu ni Nyerere tu.nduye muliyekuwa mnamheshimu.mna ubinafsi sanaaaaaa
@msemakweli243
@msemakweli243 2 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 sheria zinawagusa masikini tu mijizi ilitajwa na CAG ipo tu CCM hatari sana kuchoma picha kesi inachukua siku moja na kifungo hapo hapo
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 3 ай бұрын
Hii imewapa picha kuwa watanzania wamechoka,na cku wakiamua ndipo haya majizi yatatuelewa vzr
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Sahihi kabisa
@MwalimuAdamu
@MwalimuAdamu Ай бұрын
Vijana tufanye kz tuachane na mambo yasiyo na maana kwetu tusifate makundi
@hajjisanga789
@hajjisanga789 2 ай бұрын
Usirudie Tena dogo hapa sio Kenya tuna ustaarabu wetu kwahiyo uwe na adabu
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Acha kututisha Wew bado mimi najiandaa kumyoosha huyo mama yako
@hiyanimsangi73
@hiyanimsangi73 2 ай бұрын
Upo sahihi
@ShaahenAbas
@ShaahenAbas 3 ай бұрын
Mimi niulize kwamba kwanini aliamua kujirikodi kama picha kachora yeye na kaona hana haja nayo kwanini ajirikodi ? Kwanini aongee kwamfumo wa hasira kivile mbona hapo anaonesha mpole kama sio yeye au siku anajirikodi alilewa ? Mipaka ya wanasheria ikoje hata kutete ujinga nakooo ? Kwanini watu wamemtumia hela ili atoke kama hajafanya kosa kwa fikra zao ? Maneno ya atakaye taka kuelewa Jee wee uko tayari kuchorwa ama kupigwa picha na mtu kujitokeza na kuchoma picha yako hadharani na kuitupa hivo jee wanao ndugu jamaa watakuona wee picha yako iliyochomwa ni kama siiichochote wala lolote Jee rais wetu picha yake ya kuchora ama laa kuchomwa moto ni sawa na kwa kejeli ya maneno kama yale ? Akiiachiwa hamuon tatizo litakuwa kubwaa wengine wataiga ujinga zaidi ya huo Kuchomwa picha ya mtu ni sawa na kuchomwa mtu kweli ,kwakuwa picha ni nusu uhalisia wa mtu Kama anatumika kisiasa hatuwezi kuamini ? Jeee mtu akiiba kwako ukakuta picha imeanguka kwa kumfukuza mwizi jeee hatua ya kuanza kumtafuta mwiz utaanzia wapi ? DNA inaonesha damu na mtu husika kwanini isiwe picha pia inaonesha uhalisia wa mtu
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 ай бұрын
Wao wanakosea wanaiba pesa za uma wanafanywa nini Hao viongozi mtu anachoma picha kesi mungu ndio mtoa hukumu
@zulekhamohamed3431
@zulekhamohamed3431 2 ай бұрын
Mume wangu amechoma picha yangu nimshitaki??
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 ай бұрын
Fanya haraka iwezekanavo ila ujue asipochangia fain humpati tena 😂😂😂
@marthakimia4075
@marthakimia4075 2 ай бұрын
Mnamtania Mungu
@mosesmaduhutv7985
@mosesmaduhutv7985 2 ай бұрын
Mtu wa Mungu Mungu huyoooo
@issakazi2758
@issakazi2758 2 ай бұрын
Kichaa na vichaa wenzake
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 ай бұрын
Umoja ninguvu
@Sawaka-v9b
@Sawaka-v9b 2 ай бұрын
Safi sana mawaziri wetu
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 2 ай бұрын
Marahaba unthinking government
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo 2 ай бұрын
Wakati fulani wanao haribu taswila ya Rais ni watendaji wake wanao chukulia kila jambo kisiasa ushauri wangu watendaji waserikali kuna jumbe nikuzifanyia kazi kwa kuhojiana nao ili wajue namna yakumshauri Rais kwa faida ya nchi yetu na utawala bora
@jullythedone8615
@jullythedone8615 2 ай бұрын
Ndyo maana watoto wa wafanya Kaz serikalini hawafanyi vzuri mashulen maana wanavaa na kula Hela za damu
@fetyalmas698
@fetyalmas698 2 ай бұрын
Na yeye alisema kbs anachoma kwa sababu Ana mungi, na kweli Mungu kamuona
@FEBRONIAFABIANI
@FEBRONIAFABIANI Ай бұрын
Jamani tanzania tulikuw na amani ila kwasasa amani haipo ukifatilia swala la utekaji limezid usalama haupo na yote hay yanaumiza
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 ай бұрын
Picha limeanza tz kazi iko africa viongozi mmpaka waache kutumiwa na magharibi plz atutaki ujinga
@MomyMomt
@MomyMomt 2 ай бұрын
Kasema kweli bwana maisha magumu
@petermboje5839
@petermboje5839 20 күн бұрын
Dogo ungepotea mtaani ulifanya kosa la jinai ungetokomea
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Kwa hiyo mtamtuma akamtukane baba yake, mama yake au viongozi wake wa dini? Huyo dogo alikosea Watanzania hatujafika katika hali ya kuwadharau watu wazima achilia mbali kiongozi wa nje
@KamiliLyimo
@KamiliLyimo 2 ай бұрын
Hapo.sawa.
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 ай бұрын
CCM wengi wezi tufanyeni tuitoe mdalakani maisha magumu kweli tena kweli
@molenicharles9107
@molenicharles9107 2 ай бұрын
Mmemlopia 5mls...je yeye ana sh. ngapi mfukoni yakuanziaa maisha...hatari HAWA ndiyo wasomi wetu wa Sheria tz.☹️☹️
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 2 ай бұрын
Nchi hii naishangaa sana na kwa kweli inakwenda kubaya kwani imeacha maadili ya kwanza ya binadamu na kurukia madili ya kutetea viongozi na haki za binadamu zitokanazo na wazungu waliopotoka. Taasisi zinazoendesha mambo ya ushoga na upinzani dhidi ya maagizo ya Mungu hazichuliwi hatua kali. Ushoga na uinua juu wanawake dhidi ya wanaume ni uovu mkuu kuliko kuchoma picha ya Rais, japokuwa hilo nalo ni vyema. Miziki ya ovyo ipo huru kwenye mabasi na mitaani na kwenye TV; Wasichana na wanawake wanavaa mavazi ya uchi mitaani na maofisini lakini hakuna sheria au hatua zinazochukuliwa!!! Mfumo jike uko kazini duniani kwa matakwa ya shetani akiwatumia wazungu ambao nao hutumia wale wasiopenda kutawaliwa na Neno la Mungu.
@AllyKija
@AllyKija 2 ай бұрын
Ndo wajue wananchi wanechoka maisha magum serikari imeka kimya tu watanzania sasa tumechoka
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 2 ай бұрын
Dogo yupo freshi mama hatumwelewi kabisha Maisha Magumu
@VeronicaJoseph-h6h
@VeronicaJoseph-h6h 2 ай бұрын
Tunashukuru watz wote kumchangia kwa upendo swali langu hivi hizo hela zinaenda wapi?
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Usiulize si mshalipa chetu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Labda alikoseakuchora vizuri
@Enerygozbet
@Enerygozbet 2 ай бұрын
Mama samia mi nakupenda sana hila ukweli nimesoma sina kazi nimekuwa ombaomba lakini kwa neema ya mungu nilipata kazi ya private hila kiu yangu ni kuokoa vichaa na watu ambao wanamazigira magumu naomba nafasi nikuone
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Nenda kalime kenge we Aridhi imejaa tele kalime mahindi vitunguu tumbaku nyanya kabichi kilimo ndo mkombozi wako acha kulalama hovyo wadomi wapo wrngi toka 1990 mpaka leo je wote hao eataajiriea wapi wenye degree, na diploma wengi tu. Fanya biashara anza na mtaji hata wa karanga au machungwa au vyombo. Ati ooo Rais naomba ajira ichumi unao umeukalia 😅
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 ай бұрын
Mimi nimepika Picha ya Samia , sijachoma na mchuzi wake nikanywa....😢
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@daviddouglas9565
@daviddouglas9565 3 ай бұрын
Hahahahaha vipi tamu ehn?
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 ай бұрын
@@daviddouglas9565 taaaamu kama nini
@hafidhali3020
@hafidhali3020 3 ай бұрын
Sasa ungejirekodi ingekuwa vizuri,ikiwezekana fanya tena halafu usisahau kurikodi na sisi tupo tutakuchangia once things are getting worse
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 2 ай бұрын
nyinyi munao Pinga faini kweni yeye mtuumiwa kufanya vile lengo lake nini sikujiamin na kumzalilisha rais kweni cheo. Cha rais nikikubwa sana ata kama aumpendi. Aina aja umzalilishe kama ingekua Mimi u uyo mtoto ange potea kama walio potea wengine .uyo jeuli kweni nchi Ii yababayako .Mimi mbona magufuli nilikua simpendi ila sikusubutu kumzalilisha nilituza .ishima yake
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 3 ай бұрын
Kachome tena
@RashidMohamed-j9p
@RashidMohamed-j9p 2 ай бұрын
Mwenye inch kashaga kuf
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 2 ай бұрын
Ay mgeeni kichwa hiii serikali xo Kama mzaniavo
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 2 ай бұрын
Vijana mnatumika vibaya Laisi Samia suluhuhasani Nilaisi muungwana ila nyinyi amjitambui angechoma picha Ya mama yake kwanza kuliko Kuchoma picha ya lais wangu Anaetea uuovu alioufanya uyu kijana Ajitambui
@josephshirima9836
@josephshirima9836 2 ай бұрын
Eleza maana ya neno 'Laisi'
@joycefrances4516
@joycefrances4516 2 ай бұрын
Tunaomba huyu kijana arudishiwe pesa zake,afanye mtaji,hali ni ngumu kweli,vitu vimepanda kila mahali
@josephmusagasa
@josephmusagasa 2 ай бұрын
Picha Tanzania bunge Kenya
@HasanooTozzy
@HasanooTozzy 2 ай бұрын
Mbona kama bado amjamuachia awo jamaa sina imani nao
@SubirahKalamu-m6k
@SubirahKalamu-m6k 2 ай бұрын
Mhhhhhh jaman nyie au mlimtuma!!!
@NuhuOmar-wx2ym
@NuhuOmar-wx2ym 3 ай бұрын
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 2 ай бұрын
Funzo kwa wengine maana kama hali ngumu na hiyo milioni tano je ni ndogo? Tupatiwe Mikopo tufanye biashara tu inatosha.
@DouglasMkude
@DouglasMkude 2 ай бұрын
Itafika kipindi watajua awajui
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 2 ай бұрын
Kwan kuchoma picha Kuna shida gan Hii nchi some inaendeshwa kidictetaa
@AdiaOmari
@AdiaOmari 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 Duuuh nimejue kuchek Jamani et Kenya t mwachom bunge ss pich t tumepanic Duuuh khataei
@naturelle1097
@naturelle1097 2 ай бұрын
At least huyu sio mnafki
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 2 ай бұрын
Huyo muhuni tu kama wahuni wengine chezea Dola we
@HoseaLuwoneko
@HoseaLuwoneko 2 ай бұрын
Mawakili msipotoshe ukweli pamoja na kuchoma picha maneno aliyoyasema wakati anachoma hayakuwa kashfa kwa kiongozi Mkuu wa nchi.?
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 ай бұрын
Hawo viongozi wanao kosea wawo wanafanywa nini
@AtuganileGodson
@AtuganileGodson 2 ай бұрын
Huna njaa,mwenye njaa hajawahi kuwa na hekima hata siku moja na watu wakichoka hufanya chochote. Angalia mfano wa Kenya.Nazani ni Muda WA viongozi wa siasa kuangalia haki za wananchi na kugawana mkate wa Taifa. Hali ni ngumu sana mtaani wakati wengine waniba mabilioni na
@allyopi6101
@allyopi6101 2 ай бұрын
Kwahiyo hiyopesa yafaini iliyolipwa anapewa mama Samia au watu wanagawana kwaidadi
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es 2 ай бұрын
Ongera chaura umemshinda shetani ulikuasawa
@MeddyZambetakis-iq6pg
@MeddyZambetakis-iq6pg 2 ай бұрын
Pumbavu SAMIA SULUHU NA NYIE WOTE WAPUMBAVU ,ELIMU HAMNA 😂😂😂 ,NIKAMATENI MIMI,
@malimilandegemabunhi8528
@malimilandegemabunhi8528 2 ай бұрын
Kweli hii nchi,usipokuwa makini unawezapelekeshwa Kama kuku,watu wanacheza na media siku hiz,huyo kijana ni askar,wanatuchezea filam tuu yaani ni maigizo tuu,
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 2 ай бұрын
Safi sana
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 120 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Launch of PM E-DRIVE
1:45:40
Ministry of Heavy Industries , Government of India
Рет қаралды 7 М.
TUMWAMINI ALIYETEKWA AU MTUHUMIWA?
16:37
SK Media Online TV
Рет қаралды 6 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 120 МЛН