GUANTANAMO BAY: Ukweli kuhusu GEREZA hili la WAMAREKANI huko CUBA unatisha

  Рет қаралды 164,780

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Nini kusudi la kuwepo kwa Gereza la kijeshi la Guantanamo? Na mantiki yake ni nini? Na kwa nini linatisha na kuogopwa sana? Fuatilia makala hii

Пікірлер: 129
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
Bro sky bro sky bro sky!! Nimekuita mara ngap?? Unaweza brother ✌ sio siri. Madin kama haya ñi ghali sana kuyapata!! Mungu akutunze kaka angu
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
Amin
@mkanyafamily
@mkanyafamily 6 ай бұрын
Tuloangalia 2024 tuna comment wapi😊😊
@marcemarco3747
@marcemarco3747 2 жыл бұрын
Balaaa Sana Mungu asimame tuu tofaut na. Hapo tucheke tuu
@yoshabee9096
@yoshabee9096 2 жыл бұрын
First 🤗 view and comment
@patrickmsack5277
@patrickmsack5277 Жыл бұрын
Hongera brow mimi ni mmoja kat ya wslioamini jela hili lipo juu ya maji
@josephathassan4307
@josephathassan4307 2 жыл бұрын
Kaka Sky wewe ni shule tosha unaelimisha sana bro 🔥🔥🔥🔥
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Gereza la bongo ukikaa mwezi mmoja tu ukitoka unapata msongo wa mawazo sasa hilo gereza la mateso ukitoka sijui mtu unakuwaje zaidi ya kuwa hutorudia tena ugaidi
@nassarrostom1919
@nassarrostom1919 2 жыл бұрын
Marekani wanaona hii Dunia iliumbwa kwa ajiri yao
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 жыл бұрын
Ila kuuwa watu na mibomu yenu ndio sawa hawo mnawaonea huruma wakikamatwa juzi mliona walicho fanya Uganda wanastahili gaida Hana Mana
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 2 жыл бұрын
Magaidi nimarekani izraili naurusi wanao uwa waislamu nawakristo makundi kwamakundi
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 жыл бұрын
Sasa gaidi una lipua watu safe afu unataka haki gani!!! Tulia hapo ndani uokote sabuni
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
😆😆😆
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
Wanafunzi waichukue hii.. inadodoso nyingi na faafu.. You are the best Sky
@cason4984
@cason4984 2 жыл бұрын
Hii show kali sana⛽🗡
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Жыл бұрын
Hiyo ni sawa kwa vitendo vya kigaidi.ugaidi ni kitu kibaya sana.dunia tukubali gereza hili liendelee kuwapokea magaidi ambao wataendelea kufanya mambo ya ugaidi
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Ай бұрын
Magaidi wanatesa watu balaa… wapate malipo ya kazi wanayofanya.. Kule Nigeria magaidi walimkamata kiongozi mmoja serikalini na kuomba wapewe fidia ili wamwachie. Walipoona hawapewi wanachotaka, walimchinja akiwa hai tena wakichukua video na kuirusha kwenye mitendao wakisema mtoto wake ndo atafauta. Magaidi wakatili sana.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Sky usisahau jan utoaj wa tuzo za Ballon D'or Messi kachukua tena na tena
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 2 жыл бұрын
Bungala wa RFA huyuu kitambo sana tangu niacheee kusikilizaaa redio .Ongeraaa MUNGU akupe maisha marefu tuendeleee kusikiaa sauti hii
@salehaliy7198
@salehaliy7198 2 жыл бұрын
Watetezi wa haki za binaadam hao laiti jela hiyo ingekuwepo Africa ungeona kazi
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Hili gereza lingekuepo Africa au Asian ungesikia tu mataifa makubwa wanavo laani
@kpsfilms
@kpsfilms Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hpvZkqWjeJ6Ir8k Hatimaye kituko chatokea kuhusu valentine 😄😄😄😄😄😄😄🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪
@nicolasmaboko9291
@nicolasmaboko9291 2 жыл бұрын
Kaka nije mimi ni mu kogomani nilikuwa nasema ivi nafatiliya sana iyi sauti na simulizi inaweza kuwa vizuri sana kama munaweza kuwa mutafsiria music ya kikogomani na kuitiya mu luga ya kiswahili pia na music ya kigereza na ku itafsiria mukiswahili pia ata French
@dr.castorymwigulu5218
@dr.castorymwigulu5218 2 жыл бұрын
The best presenter all the time since I get you into my ear when he was presenting SITOSAHAU through RFA radio
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Waoooo thanks for this valuable knowledge
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Wanajifanya wanalinda haki za binadam kumbe Wamarekani ndio wamwanzo kuvunja haki za binaadamu wanavo wanyanyasa wafungwa humo na kuwafanyia matendo ya kinyama
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Kweli !ukipewa misada lazma ulipe back,ndo maana vita vya 🇧🇮 na 🇷🇼 hawakutokea🥱🥱🥱
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
Unataka kusema kuwa hata hela za Covid tutazilipa kiana?
@agogolafitness9467
@agogolafitness9467 2 жыл бұрын
😅😅😅
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mtangazaji Sky Walker Bundala. Keep it up. Lugha ya Kiswahili kupitia Fasihi Simulizi Iendelee kuenea Nchi Mbalimbali.🇹🇿🇹🇿
@cowbamamsigwa9085
@cowbamamsigwa9085 2 жыл бұрын
Kikubwa nlichojifunza ni kwamba kumbe gereza haliko katika bahari Kama tulivokuwa tukidanganywa Kingine cha kujiuliza zaidi ni kwamba kwanini wahusika (Marekani) wanakataa kuliwekea gereza hilo sheria za kwao ?
@ayu2pacneymar746
@ayu2pacneymar746 2 жыл бұрын
Lipo gereza ambalo lipo baharini na lipoo hukohukoo malekani sio Cuba l
@ayu2pacneymar746
@ayu2pacneymar746 2 жыл бұрын
Linaitwa Al catraz
@tanialucas4579
@tanialucas4579 2 жыл бұрын
Me napenda sana storyline zako watu tunapanuwa uelewa zaidi
@nonolove1358
@nonolove1358 2 жыл бұрын
Tafta sory ya Gereza lahuko nchi Saudia rabais
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Sauti ndio hizo sio za akina prof kamal ambao walimtoa mtigal abdala mwenye sauti ya fhahabu na kuharibu radha ya utangazaji sky worker endelea tupo pamoja
@majuralutta2140
@majuralutta2140 2 жыл бұрын
Liendelee kuwepo aho so wafungwa wa kawaida
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Ahsante kwa kutujuza
@Bosco89
@Bosco89 2 жыл бұрын
Kipindi nitakapo pelekwa jela hiri lazima litafungwa nani anae pinga?
@charlesphillip8481
@charlesphillip8481 2 жыл бұрын
iv nkwl kwmba vybz kartel ypo uk
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Asantee kwa Elimu uliyo tupa 🙏
@wishjrtz
@wishjrtz 2 жыл бұрын
Kam ilivyo ya kipekee sauti ya millard ayo na pita fredrick bundala ama sky water Ana sauti ya kipekee an wote wan content kali na mpangilio bora wa stor an wanend deep nawakubali
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Mara paaah wale wafungwa wote wa Segerea wameamishiwa guantanamo Bay....
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Kwani segerea ni gereza ? Pimbi kbsa
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kulwarashidi4580
@kulwarashidi4580 2 жыл бұрын
Halito fungwa kaka
@lakuchumpa9724
@lakuchumpa9724 2 жыл бұрын
Hilo gereza liongezewe ulinzi ni muhimu sana Gaidi hana huruma, hana utu na mbaya zaidi anauwa yeyote hadi watoto
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 2 жыл бұрын
Magaidi nimarekani izraili urusi hao ndio magaidi wanauwa wakristo waislamu kwandege namabomu mbona hawafungwi humo gentanamo wanapelekwa waislamu wenye ndevu kwakutumia propaganda zadini yakislamu tuuu nakwann makafiri wanauwa watu wengi duniani kuliko waislamu mbona hawaitwi magaidi kinaputini obama trampu nawengine
@cason4984
@cason4984 2 жыл бұрын
Nipeee likes zako
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 4 күн бұрын
Unajua san brother
@abdremaneali7818
@abdremaneali7818 2 жыл бұрын
Ifungwe Kabisa hio choo
@king-size8114
@king-size8114 2 жыл бұрын
Mmmh
@ghfhfdtyfgggd6271
@ghfhfdtyfgggd6271 2 жыл бұрын
Asante kaka sky
@singidaone5628
@singidaone5628 2 жыл бұрын
Haya mambo ya getezani yasikie tu huku kitaa usiombe yakukute hutakujaingia kanisan wala msikitin coz kule hakuna haki
@cason4984
@cason4984 2 жыл бұрын
Kali sanaaa
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Ай бұрын
Wakati nataka kusema hilo gereza lifungwe, nikakumbuka magaidi wakimkamata mtu wanavyomchinja kikatili bila hata huruma.. hilo gereza ni la mateso makali; lakini vipi kuhusu hao magaidi wanaoua wengine? Ja nao hawapaswi kuteswa kama wanavyowatesa wengine? Wangekuwa wanakamatwa watu wasio na hatia na kuwekwa kizuizini ningesema lifungwe.
@samwelkirimi5939
@samwelkirimi5939 9 ай бұрын
Let's everyone know true, there is no good prison in the world,peace and freedom for góod people
@ibrahimhumanamicroscopic6515
@ibrahimhumanamicroscopic6515 2 жыл бұрын
Wow nice voice nice taharifa 👌👌
@fatmarashid2871
@fatmarashid2871 2 жыл бұрын
WA pili leo👌
@yolo5261
@yolo5261 2 жыл бұрын
Duh that’s not just a prison it’s a hell 😳
@jacksonmartin440
@jacksonmartin440 Жыл бұрын
Very nice story I have learned something about a great prisoner in the world 🌎🌎
@dotytydo2342
@dotytydo2342 2 жыл бұрын
Ndio mana Magu akuwahi taka msahada kutoka pande yoyote hile
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
Unajidanganya mbona Amepokea Mikopo mingi Sna
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 2 жыл бұрын
Sauti ni nzuri inasikika kweli kaka
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Nasikia magu ameacha madeni mengi sana kuwahi kutokea ndiyo maana mama Samia kila siku kiguu na njia kusafiri kwenda nchi za watu
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
@@happynelson1136 Yni Usipime Den Alilo Liacha kikwete kwa Miaka Yake Ni zaid Ya Magufuli Miaka Yke Mitani Je Angefikisha Miaka 10 kma Kikwete unafikiri Ingekuaje?
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Magufuli alikopeshwa na nchi gani ilhali hakuwa na mahusiano mazuri na nchi za nje ? Alikopeshwa na nani ilhali walitaka kumkopesha akasema wasimkopeshe bali watusamehe madeni ya nyuma...... Acheni siasa , ongezeni akili ktk mnachokiona cio mnachoambiwa ..... Kaombe mkopo kwa jirani yako uliyewah kumzingua uone huo mkopo utaupata au vip !!!! JPM alilipa madeni , sio kukopa .....hixo ni rumous tu na kwakuwa hayupo , acha tuseme sawa , but that not true
@awadhisarai4331
@awadhisarai4331 2 жыл бұрын
Unaweza kaka mkubwa 👏👏👏
@jonasinuhujr1338
@jonasinuhujr1338 2 жыл бұрын
Ok
@hamid4202
@hamid4202 2 жыл бұрын
sauti Millard Ayo
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Жыл бұрын
Napenda sana hizi habari na namna unavyojua kusimulia vizuri
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 2 жыл бұрын
Sns hii kwangu ndio online best TV
@wilsonmaduhu4921
@wilsonmaduhu4921 2 жыл бұрын
Hazard sana
@shamuada9327
@shamuada9327 2 жыл бұрын
Ndio maana wakasema kutembea kwingi ndio kuona mengi basi nami nasema kuifwatilia Sns ndio kujifunza mengi zaidi 👍keep up
@eng8251
@eng8251 Жыл бұрын
Shamu nakupenda
@almasially6509
@almasially6509 2 жыл бұрын
mondi inabidi amuajiri huyu jamaa awe anatuhadithia the story book.
@jackisonluvanda8088
@jackisonluvanda8088 2 жыл бұрын
Haiwezekani
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Amuajiri vp kwani huoni kama kesha jiajiri mwenyewe , siokila mtu anapenda kuajiriwa ndohivo tu
@mercynnko3416
@mercynnko3416 Жыл бұрын
Unataka kumlinganisha profesa na huyu mtu ebu kausha ww
@jumambarouk
@jumambarouk 2 жыл бұрын
GUANTANAMO BAY
@mussanganda505
@mussanganda505 2 жыл бұрын
Safi sana mtangazaji,safi pia kwa marekan
@kizitokasian3258
@kizitokasian3258 2 жыл бұрын
Halitakowi kufungwa waliache
@godmabeja2372
@godmabeja2372 2 жыл бұрын
Tunashukuru Sana kwakutuletea hii
@worshipmoment-kn1dj
@worshipmoment-kn1dj 2 ай бұрын
Hili jela la Guantanamo for what benefits of USA?
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 жыл бұрын
Gereza Hilo nizuri kwa magaidi wanauwa watu wasio nahatia
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Zuri kwakua hajaekwa babu yako wala baba ako.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Km kweli lingekua la kuekea magaidi wanaoua watu wasio na hatia tungewaona na Bush, Blair, Obama na wenziwao wote humo.
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 very true. Blair na Bush wanapaswa wawe pale. Walimuua Gadaffi, Saadam na wengine wengi kikatili kwa maslahi yao wakisingizia silaha za maangamizi. Na machozi ya watu hawa yako juu yao.
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 11 ай бұрын
Weka ushahiidi wa mauwaji ya bushi zidi ya gafafi acha kudili na porojo watu walio muuwa sadamu na gadafi ni warabu wenyewe Dunia ikishuhudia ukisema walitumwa na marekani basi warabu ni matahira haiwezekani adui yako akutume ukatekeleze mauwaji kwa ndugu zako
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 11 ай бұрын
Kinacho wauma ni aina ya watu walio hapo ni magaidi ambao wengi wao mnawatetea Kila siku
@jaymkali4027
@jaymkali4027 2 жыл бұрын
pop 💡🌄
@WagulimbaOGonline
@WagulimbaOGonline 2 жыл бұрын
Wanatesa Sana Hapo nilifungwa Hapo Miaka Miwili
@WilloMalendo
@WilloMalendo Ай бұрын
Iyi imeenda bro 🇦🇺
@mussakadari4746
@mussakadari4746 Жыл бұрын
Hilo gereza ni zuri kwa ajili ya magaidi wanaoua mamilioni ya watu wasio na hatia .....
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 ай бұрын
Mpaka leo lipo
@sayeedmash6928
@sayeedmash6928 2 жыл бұрын
Woooow it's a nice story thanks so much for letting us know a all of this🙏❤️
@ShaabanMambo
@ShaabanMambo Жыл бұрын
///0/0 Mommy all all
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 ай бұрын
Hatari
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Appreciate 👍👌🙌
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 ай бұрын
Dur
@talebaraka1295
@talebaraka1295 Жыл бұрын
Basi nitakuwa nimeoa 😂
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
🤔😢
@ajreviews8638
@ajreviews8638 2 жыл бұрын
Thanks
@chidiomari.65
@chidiomari.65 2 жыл бұрын
🙌🤝🤝🇫🇮
@ireneisack6671
@ireneisack6671 2 жыл бұрын
🧐🧐
@kizitokasian3258
@kizitokasian3258 2 жыл бұрын
Noma sana
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Wow 😳
@mytelecom2019
@mytelecom2019 2 жыл бұрын
nenda katalii GUANTANAMO then niagizie picha
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
@@mytelecom2019 nimeiweka kwenye list bro 😎 ONE DAY
@mytelecom2019
@mytelecom2019 2 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca inshaallah
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 2 жыл бұрын
Alafu mtu anakwambia marekani ni mama wa demokrasia ? Utasikia Fulani mwachieni haraka wao je. Wafanye Yao na mataifa mengine yafanye ya kwao
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Dah Kali sana....🙌
@saidnozo1380
@saidnozo1380 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 2 жыл бұрын
Mmmmh,
@filbertstephano8038
@filbertstephano8038 2 жыл бұрын
Mbona vyumba ni vizuri kabisa? njoo uone selo za huku TANZANIA
@mylasadick5189
@mylasadick5189 Жыл бұрын
Kumbe ndani ya kambi ya jeshi so watatorokaje?
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,9 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 71 МЛН
The Story Book: Wapenzi waliotikisa dunia kwa Kuua na Ujambazi
26:52
In Conversation with CNBC - Interview by Hadley Gamble I Hussain Sajwani
15:35
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,9 МЛН