Acha nicheke kwanza before sijatizama video kieeehhh
@dn.n49835 жыл бұрын
Jamani nacheka mbavu zinauma sana yaani kwa mwendo huu tanzania hatakuwa mwezi kabisa tunaitaji wakuwa mkoa kama hawa maana tukija hatubakwi tena uwizi kisha habari yake ubarikiwe sana kazi zuri sana lazima tulinde mali za selikali
Ulimgombeza ulimgombeza eleza ulivyomgombeza aise tutamkumbuka Sana Huyu Ndugu yetu japo Mimi ni Wa kigoma ila nilikua namfatilia Sana najua tbr wameumia sanaa kustafu kwa huyu babaaa
@barbranabakooza95895 жыл бұрын
Huyu mzee nampenda sana hataki sifa za kijinga kupambana na wanasiasa yeye anapambana na maendeleo nampenda sna huyu mzee
@ibrahimaziz71585 жыл бұрын
Yani mikoa ambao hamna uyu mtu mnakosa burudani kwa kweli😂😂😂
@HalidMuhammad-gi9qy Жыл бұрын
Unafaa baba kua raisi wa nchi hii ya kiujamaa big up mwari
@abdukalembo7885 жыл бұрын
Sukuma ndani
@mwanaimamsangi971 Жыл бұрын
Nimekukumbuka sana
@saidbabu91984 жыл бұрын
Miaka ya nyuma ilikuwa ya kulindana watu wachache, lakini mzee wetu wa Toronto kwa kufuata maelekezo na kutii amri ya Jemeradi wetu Mweshimiwa..Rais wetu alijitaidi tena kwa njia nzuri mno bila manununiko kwa kufuata haki. Rais wetu mzee huyu mtiifu kwako Atunukiwe nishani.
@safariadrien53485 жыл бұрын
Kamata wote sukuma ndani duuhh tumbo langu mimi
@ashaally69935 жыл бұрын
Mimi ningekuwa nafanya kazi kwake angenifukuza manaake ningecheka kila akiongea 😂😂 Hivi kweli mtu unaweza kuelezea vipi ulimgombeza mtu😂😂😂
@majaliwapili29285 жыл бұрын
Asha Ally hahaha
@ashaally69935 жыл бұрын
@@majaliwapili2928 Hahahaah yani nimerudia hicho kipande kama mara ishirini mbavu zinaniuma kwa kucheka😂😂😂
@jasminiomary77745 жыл бұрын
Afukuzwe kazi tu
@yusufmdami67245 жыл бұрын
Heheheee
@williammwambokwa39944 жыл бұрын
Asha Ally safi
@MACHOYATAI-jk6fu9 ай бұрын
Nyie hii DUNIA NI NGUMU SANA MUNGU TUSAIDIE
@alexnyawa27705 жыл бұрын
Hahahaha acha tu nicheke, Yani unaeza eleza vipi mtu uliyemgombeza!!! Hahaha
@yusufmdami67245 жыл бұрын
Heheheee
@krizofrancisco12872 жыл бұрын
Hebu eleza ulimgombezaje
@salimkuziwa8958 Жыл бұрын
Huyu alipaswa kuenderea na kazi kwakweli🙏🙏
@ibrahimaziz71585 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhh bibi amepaka poda vizuuri maskini imepauka yote dakika tu