Kauli Tano Za Kukumbukwa Za RC Mstaafu Aggrey Mwanri

  Рет қаралды 41,353

Daily News Digital

Daily News Digital

4 жыл бұрын

Julai 3 2020 Rais Dkt John Pombe alifanya mabadiliko kwa kuteua wakuu wa mikoa wawili na wakuu wa wilaya tisa, mabadiliko hayo yalitokana na baadhi ya walioshika nyadhifa hizo kustaafu kutokana na umri na wengine kuhamishwa vituo vya kazi na hata wengine kupanda vyeo.
Kutoka kwenye orodha hiyo lilikuwemo jina na mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri ambaye amestafu nyadhifa yake hiyo aliyodumu nayo kwa muda.
#Mwanri, #JPM #KAULITANO

Пікірлер: 5
@michaelmuriithi6808
@michaelmuriithi6808 3 жыл бұрын
Kutoka Kenya nimemtafuta huyu mzee kumbe alistaafu..fyekelea mbali nitakumiss sana..RC no. 1..nilimpenda sana huyu baba.
@madeestar5228
@madeestar5228 3 жыл бұрын
Sikutegemea kama ningecheka sikuyaleo...jinsi nilivovurugwa lkn Mungu ampe umrimrefu Mh Agrey amenipelekea siku yangu trh 28/6
@amiryismairy7624
@amiryismairy7624 3 жыл бұрын
Tabora ilipata kiongozi bora nimemfaham kwa ushupavu wake uvivu kwake mwiko
@mgangasaid7990
@mgangasaid7990 3 жыл бұрын
Hongera baba
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 3 жыл бұрын
Huwa sichoki,kumwangalia huyu Mzee,
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
RC MWANRI "NAWAAMBIA WOTE KAA CHONJO, NAONGOZA VICHAA, MATAIRA"
5:46
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 44 М.
MKUU WA MKOA TABORA, AGGREY MWANRI, ALIVYOONGEA KIINGEREZA.
5:26
MWIZI WA BETRI TABORA AMSHIKA SHARUBU RC MWANRI, OLE WAKE!
7:50
Global TV Online
Рет қаралды 69 М.