BANDARI YA DAR KUUZWA, MPINA AIVAA SERIKALI/ AMLIPUA WAZIRI MBARAWA" TUNAWEZA KURITHI MATATIZO"

  Рет қаралды 63,898

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo#Bandari

Пікірлер: 276
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Mpina Mungu akubariki sana utabaki kwenye historia ya vitabu vya nchi yetu hata kama utakuwa haupo duniani Mungu akupe maisha marefu
@florabenard5504
@florabenard5504 Жыл бұрын
Hongera sana mpina Mungu akulinde wabunge wa ccm muwe kama huyu mwenzenu msikubali kubinafsisha bandali yetu
@augustinomhagama9527
@augustinomhagama9527 Жыл бұрын
Mungu hakupe heri ya maisha marefu umwelezea vizuri washawishi wabunge wasikibali
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Hawajaona haya madini ya Mh. Mpina ni kitu. Hivi walilishwa nini???
@Dominaevance
@Dominaevance Жыл бұрын
Very Smart Watu Wa Kisesa Asanteni Kwa kutuletea Mwamba Bungeni
@LiberathElias-sb7oi
@LiberathElias-sb7oi Жыл бұрын
Hongera mbunge hili halina chama kitakula kwetu kuweni makini lisipite aslan
@annajulius6850
@annajulius6850 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa hekima yako...
@mimutiengungatimollel3794
@mimutiengungatimollel3794 Жыл бұрын
Daaahhhh "" katika wabunge wote huyu mwamba Mimi namkubali Sana maana siyo mnafiki
@DaudKapaya-hr4vo
@DaudKapaya-hr4vo Жыл бұрын
Mpina tutaendelea kukuelewa hata wakupe kesi mia moja
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Жыл бұрын
Mheshimiwa huwa nakuelewa sana Mungu akutunze hunaga unafiki kama Waleeeeeeeee..!😊
@sadickbudoda4361
@sadickbudoda4361 Жыл бұрын
Mungu akulinde maana unajitoa kimasomaso huku wengine wakitaman hata wakupige risasi
@hoseakamchapekaponya3502
@hoseakamchapekaponya3502 Жыл бұрын
Hapa sasa Mpina nimekukubali kaka, big up!
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Жыл бұрын
Kweli kabisa mpina Yuko sawa
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Unfortunately yupo peke yake😢😢
@maikotandika7580
@maikotandika7580 Жыл бұрын
Wewe Ni Meantime kwali ikitokea malaika was mungu ashuke akisema wanaume watoke mbele wewe utakuwa wa kwanza unatuwakisha watanzania wanyonge Asante Kaka yetu
@raphaelrwakimwaga7995
@raphaelrwakimwaga7995 Жыл бұрын
Safi
@milliasjames1830
@milliasjames1830 Жыл бұрын
Asante. Sana unaona mbali San
@TumainiLusenga-du2mz
@TumainiLusenga-du2mz Жыл бұрын
Maandalizi ya kuvunja Muungano. Baada ya kuuza bandari zetu bila shaka Zanzibar itaanza kuchukua hatua za kuuvunja Muungano na itaendelea kuzitumia bandari zetu ili kuimarisha uchumi wao. At that time Tanganyika itakuwa powerless strategically
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Жыл бұрын
Oh my God 😭
@TanzaniaFisheriesGroup
@TanzaniaFisheriesGroup Жыл бұрын
Mpina Mungu akuzidishie ufahamu atunze na watu wenye nia ovu na Tanzania wewe ndio mzalendo uonae mbali asante sana mchango waka unaeleweka basi wakuelewe hao wezio
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
WAMEJITOA UFAHAMU KABISA. WHAT A LEGACY
@benjaminyakobo7792
@benjaminyakobo7792 Жыл бұрын
Mungu akuride iposiku mungu ataonesha uwezowako
@TumainiLusenga-du2mz
@TumainiLusenga-du2mz Жыл бұрын
Huu mpango wa kubinafsisha bandari zetu yawezekana ni wa muda mrefu na umeandaliwa vizuri. Zanzibar inaihitaji Tanganyika ili kuimarisha uchumi wake. Baada ya Tanganyika kupoteza uwezo wake wa kumiliki bandari zake, Zanzibar inaweza kuanza mchakato wa kuuvunja Muungano na itaendelea kuzitumia bandari zetu kwa muda wote Kupitia mikataba yake na kampuni itakayokuwa ikiendesha hizo bandari. Na bado Zanzibar inaweza kuwa Dubai ndogo afrika mashariki hapo watakapolegeza masharti na kuweka mazingira rafiki kibiashara ktk bandari zao. Baada ya kuvunjika kwa Muungano mama atarudi Zanzibar na Tanzania(Tanganyika) itabaki na madeni yake na italazimika kuuza baadhi ya raslimali zilizosalia ili kulipa madeni makubwa ya nchi hii. Tunahitaji wazalendo wa kweli na sio wabunge njaa kuiokoa nchi hii nzuri
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Msilalamike sana Mama anajua kua nyie watanganyika mnapenda mambo ya mungano mungano ndio maana akawa hana wasiwasi anakuungeni na mwengine wa dubai.😅😂
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Жыл бұрын
Umeona mbali ndugu yangu
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Mwaka wenu mtavunja wenyewe mungano simnauoenda kuliko sisi wakati hamna nchi nyinyi wenyewe mko kama malaya malaya tu hamna msimamo
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Kauza bandari kwà waharabu na ngorongoro kafukuza masai MUNGU anawaona watanzania tuombe sana MUNGU ATUSAIDIE wenzake bungeni kila kitu ni ndio yaani MPINA we ndio mtetezi wetu uliebaki MUNGU akulinde
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Yaliyo neno na nabii ndugai yametimia
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Жыл бұрын
Ajira zitakuwa za watu fulani na si watoto wetu Mungu atunusuru.
@eliyachapa
@eliyachapa Жыл бұрын
Kibinafsi mm nimekuelewa sana viongoz waangalie hili swala coz wasipo liangalia vizuri litawapa cv mbaya sanaaa japo niwachapakaz wazur
@zephaniamasatu5910
@zephaniamasatu5910 Жыл бұрын
uko vizuri mpina
@GregoryMnyakasha-yk7zo
@GregoryMnyakasha-yk7zo Жыл бұрын
Hongera sana mpima understand,hana uchungu kumbe ile kwenda dubei kumetuletea tabu
@fauzimaftaha2612
@fauzimaftaha2612 Жыл бұрын
Uko sawa mpina
@MartinMaami-do6ro
@MartinMaami-do6ro Жыл бұрын
Binafsi sijaelewa vzr,,,,kwnn bandari itake kuuzwa,inamaanisha miaka yote serikali ilikuwa haipati faida kutoka bandar .... Hii imelenga nn watanzania kama siyo tunafanya mamb ya hovyo tuuu
@user-tf9ow5uv5c
@user-tf9ow5uv5c Жыл бұрын
Upo vizuri binafsi nimekuelewa ilitakiwa uwe upande wa pili mnaelekeana
@amosbusumabu2121
@amosbusumabu2121 Жыл бұрын
daah.kweri mungu akuongeze ili uje utetee wanyonge.unafuata nyayo za Rais magufur kbsa
@paulkiwese7742
@paulkiwese7742 Жыл бұрын
Uwe na maisha marefu mpina ww unakibari cha mungu unaongozwa na dhamira yakweli kwa nchi yete
@rosemdegela6252
@rosemdegela6252 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi Жыл бұрын
Mama hana uwezo wa kuongoza nchi hii.
@mlandasymon1980
@mlandasymon1980 Жыл бұрын
Ukiskia kukurupuka ndo huko, Mama tulia nawaza mara2
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 Жыл бұрын
Hoja nzito mh. Mpina unazitoa, uko vizuri kaka
@josephryattura628
@josephryattura628 Жыл бұрын
Bwana mpina nakushukuru chetu ni chetu. Endelea kupambania hilo .walibinafsisha Tanesco ikawa madudu tu.sasa eti bandari zote.Usalama wa nchi ukohatarin. Yaleyale mliyoyakataaa kwa ex - speaker. ndo yanakuja,badae mikoa pia.
@GeofreyYgeorge-zi8yy
@GeofreyYgeorge-zi8yy Жыл бұрын
Uko vzr mpina
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h Жыл бұрын
Asante
@user-tf9ow5uv5c
@user-tf9ow5uv5c Жыл бұрын
Nimekuelewa sana nakuombea mambele upate kiti cha juuu sio wengine wanabisha tu bila kuelewa
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 Жыл бұрын
Mungu hatawasamehe hao mafisadi 😢
@erickleonard8162
@erickleonard8162 Жыл бұрын
Mbunge pekee mpaka Sasa kutoka CCM aliyetoka hadharani kuweka madhara ya mkataba wenye kizingumkuti.
@user-tf9ow5uv5c
@user-tf9ow5uv5c Жыл бұрын
Mpina imeenda hiyo wewe ndio umewakilisha jombo lako nadhani wamekuelewa mpina ✌️✌️
@NkandilwaDeus-hc6sc
@NkandilwaDeus-hc6sc Жыл бұрын
Uko vzr xana kijana
@simbamalala
@simbamalala Жыл бұрын
Ww ni kati ya Watanzania Wazalendo kwa Taifa letu. Big up H.E Mpina.
@SAIDMLEMETA-mu5xg
@SAIDMLEMETA-mu5xg Жыл бұрын
Mpina ungekua raisi mambo yangekua poa unaonyesha unauchungu na nchi yko
@emmanuelzephania989
@emmanuelzephania989 Жыл бұрын
Sana msukuma mpina
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Msilalamike sana Mama anajua kua nyie watanganyika mnapenda mambo ya mungano mungano ndio maana akawa hana wasiwasi anakuungeni na mwengine wa dubai. Punguzeni jazba sasa 😅😂
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын
Mimi nakumbuka Waziri Mbarawa ni msomi mkubwa, lakin hua hayuko vizuri, JPM aliwahi kumfokea sana, ua Hana uamizi
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Жыл бұрын
Mpina tunashukuru unaona mbali
@mrimimarwa6485
@mrimimarwa6485 Жыл бұрын
Kweli
@user-ch3kn8py6b
@user-ch3kn8py6b Жыл бұрын
dahhh ase il jambo n😮 kubwa saaaan duh mpk nalia kwjli ya nchi
@drallan6879
@drallan6879 Жыл бұрын
huyu ni genius WA CCM anayelilia nchi yake
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
kichwa iki serikali ingekitumia vizuri kinamaono makubwa sana kinaona na kushauri jambo kabla ya tatizo kutokea ila kwakua mtu akiongea ukweli anakua mbaya acha tukubariane na yanayo endelea sasa maana tungefikiri kabla ya kutenda sasahivi tungekua buys kufanya mambo mengine sio mivutano ya bandari Mungu aendelee kukutunza na kukujaza maono zaidi Mh, Mpina.
@RoseNoah-rz3jh
@RoseNoah-rz3jh Жыл бұрын
Duuuu mungu atusaidie kwani magumu mengi tunapitia wanufaikaji niwachache nchi yetu huku tunateseka mama atauza kila kitu
@kawawamaige2973
@kawawamaige2973 Жыл бұрын
Mh uko vizuri tunatakiwa tuwe wazawa kwa kjali maisha ya kizazi kinachokuja
@salarose5980
@salarose5980 Жыл бұрын
Imenikosha sana kiongoz
@user-hk8tu5tg6v
@user-hk8tu5tg6v Жыл бұрын
Heri tumpe kagame kuliko mwarabu kagame amewahi kusema apewe sisi watanza Nia tunaumizwa sana asant mpina
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Жыл бұрын
Kabisa kwa sababu kagame alishawahi kusema uko nyuma kua angekua raisi wa tanzania angeendesha nchi kupitia mapato ya bandari..waarabu ni wanyama heri ata makaburu
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Hongera Sana mbunge mzarendo mpina
@innaenock2074
@innaenock2074 Жыл бұрын
Mpina hii nchi imeshauzwa broo hujamuelewaga Ndugai tu😂😂
@albertremmy6770
@albertremmy6770 Жыл бұрын
mpina yupo vizuri sana anaitendea haki elimu yake. sio kama wafata upepo kama bendera. shida moja kubwa Tanzania wabunge wengi ni watu wenye njaa. njaa inaweza ikakuondolea heshima yako ukawa mtumwa wa mtu. hata ukisoma maandiko matakatifu chanzo cha Esau kumuuzia ndugu yake yakobo haki ya kuwa mzaliwa wa kwanza ni njaa.
@rehema971
@rehema971 Жыл бұрын
Mungu akutunze maana vimejitoa wewe ni mzalendo
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Shida wabunge chini ya viwango Kuna wabunge vichwa hapo lakini wachache wengi wao uwezo mdogo kutafakari wapo kuonekana. Wanaongea tuu bungeni sio kuangalia taifa linaimgia ktk matatizo Mikubwa walayae hao wasomi lakini ndiko tunakokwenda
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Жыл бұрын
Mtazamo wa mbali ,akili nyingi sana huyu Mpina kuliko ccm yote
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Wabunge wakiwa bungeni sijajua inakuwaje wanashangilia vitu ambavyo haviingii akilini vitu vya ovyo hongeraa sana brother
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Point kubwa sana.... Umenifumbua zaidi hata ya lisu na mbowe walivolifafanua
@mamkunyapraa3491
@mamkunyapraa3491 Жыл бұрын
Mpina mimi nakupenda sana ya ww ni mzalendo wakweli balikiwa mpina
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 Жыл бұрын
Uko sahihi Sana acha kibaraka lusinde anabuluzwa hajui kitu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Жыл бұрын
Mpina Nchi hii imemilikiwa na watu wachache, naamini bunge halina uwezo wa kukataa, lejeeni alicho kisema Professor Asad kuhusu bunge
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Umeonaee
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 Жыл бұрын
Miaka 30 ya nyerere ilitosha kuonyesha hamuwezi kuendesha bandari wala kiwanda vyote alioazisha nyerere vimeliwa
@user-yg6ii6nm4l
@user-yg6ii6nm4l Жыл бұрын
hakika mungu atatusaidia kuondoa huyu mama jamani hakika hatufai hatufai
@cosmaskulwa3297
@cosmaskulwa3297 Жыл бұрын
UPO SAWA MUNGU AKUBARIKI
@BarakaAnthony-bs6pi
@BarakaAnthony-bs6pi Жыл бұрын
Nice talk
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Жыл бұрын
Safi sana
@lilianmlowe9154
@lilianmlowe9154 Жыл бұрын
Mpina kiongozi mwamba unaweza usiogope tupo pamoja Mwenyezi akulinde
@bryanmagee5681
@bryanmagee5681 Жыл бұрын
Viongozi wetu wameamua kujimilikisha bandari kisingizio warabu. Hii nchi imeuzwa angalia hiii taifa ni kubwa kuliko dubai hata ni aibu taifa hili kuwekezwa na taifa dogo kama Hilo. Watanzania kataaeni wawekezaji watakopea bandari hizo watakombia.
@blanikamgaya-hh6ie
@blanikamgaya-hh6ie Жыл бұрын
Mungu ibaliki Tanzania
@salvationandhealingministr8972
@salvationandhealingministr8972 Жыл бұрын
Safi Kabisa
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Mpina ktk hili nakupa SALUTE
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Tulikua na tangazo zuri zamani mimi ni faru saidia kunihifadhi .leo hii faru wanapanda ndege kupelekwa arabuni kula chapati .tumeshindwa kumhifadhi faru wetu.
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 Жыл бұрын
Da! uko sawa tunakuelewa kaka
@user-ue3el3ji9n
@user-ue3el3ji9n Жыл бұрын
Mungu Baba ututetee sisi wanao tunaangamia sasa
@udazakikoti3419
@udazakikoti3419 Жыл бұрын
Ongela sana mpina tupo pamoja
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Kwer
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Watanganyika hatutkubali milele kuuza nchi milele
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Жыл бұрын
Huyu mbunge ni msema kweli anajua kutetea Lasilimali zetu ubarikiwe ,wapiga kura wako hawakukosea kukuchagua
@gerraldchristian2001
@gerraldchristian2001 Жыл бұрын
Mzee Mpina yupo sahihi Lakini watanzania tujue kuwa hakuna kiongozi wa CCM ambae ana huruma na mwananchi yoyote kwa sababu hata bila ya kura yako yeye ana asilimia kubwa ya kurudi bunguni
@fauzimaftaha2612
@fauzimaftaha2612 Жыл бұрын
Huu ni mkataba wa ulagai wa surutani mangungo na kalipitazi inashangaza sana nani ninani alie waroga
@nembibenard8440
@nembibenard8440 Жыл бұрын
Siku ukigombea kiti cha uraisi nami ndio nitapanga foleni kupiga kura bonge la kiongozi uko vizuri mpina
@saidinalmsofethatsgoodwaya6454
@saidinalmsofethatsgoodwaya6454 Жыл бұрын
Safi hoja zinafika kistaarabu kama hivi utashindwaje kusikiliza!
@user-ue3el3ji9n
@user-ue3el3ji9n Жыл бұрын
Kweli sasa tumerudi utumwani km Babu zetu walivyouzwa Baba magufuli tunaamini kwamba upo mbinguni mwambie Yesu atuondolee ili giza nene
@user-yp9er1ld2t
@user-yp9er1ld2t Жыл бұрын
RIP magufuri
@ambrosedede2477
@ambrosedede2477 Жыл бұрын
Angalau mwanaccm mmoja ambaye ana akili. Hongera sana mhe. Mpina, wewe unajielewa,sio mambumbumbu mengine ya CCM ambayo hata kama tunauzwa yenyewe hayaelewi tu
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Sidhani kama wabunge wanawakilisha wananchi. Ktk hili wabunge wamemwakilisha rais na sio wananchi
@Mosmwampa
@Mosmwampa Жыл бұрын
Kumbe wenye akili wapo na wanashauri vizuri ila wanapuuzwa. Kwakweli mama yupo kazin, haya yooote hayasikii
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Niulize ni lini nchi ya Tanzaniya na Rais gani mkataba wa mradi upi uliwahi kujadiliwa paplic?kuaziya Baba wa Taifa hadi makufuli mama kaamuwa tu kuweka uwazi kwenye bandari ili mupunguwe kujadili yanga na simba
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Mwanasiasa yeyote kwanza anapigania Maslahi yake Hivyo MPINA Mfumo wa utawala umemwacha anachofanya hapa ni Kutengeneza jambo lake
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Жыл бұрын
Spika wa bunge tulia Ackson makame mbalawa waziri na wabunge wa CCM wajitathimin kama wanatosha naomba wajiuzulu mara moja
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Kaongea fact, inabidi arudi hii press na vyombo vya habari wakati huu jambo lipo la moto
@nicolaskalunde
@nicolaskalunde Жыл бұрын
Bunge limetusaliti km Yuda. Huo ndio ukweli. Binafsi nimesha choma kadi ya ccm tukutane election 2025.
@DaudKapaya-hr4vo
@DaudKapaya-hr4vo Жыл бұрын
Bandari hizi hayati Magufuli alisema wapo watu wali jiaminisha ni Mali zao, huyo waziri aliyeleta huo msaada jueni ametumwa na uongozi wa juu wanaotaka kuihujumu nchi yetu, waarabu hao wanakitu ndani ya nchi yetu, kuna taarifa maficho kuhusu mbuga waliyoondolewa watu kule Arusha kuna siri
@mlandasymon1980
@mlandasymon1980 Жыл бұрын
Akawape Zanzibar kwanza ndo aje bara
@rashidhussein6152
@rashidhussein6152 Жыл бұрын
Hukumuona kinana Dubai....haahaa kazi iliishiaa apo
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Watanganyika tuamuke! Rais na waziri mbalawa wanauza nchi yetu
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 Жыл бұрын
Mpina wewe nadhani Ni mbunge pekee mwenye maono miongoni mwa wabunge wenzio
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Watanzania msikubali ujanja wa waarabu kama huo. Huyo Samia Suluhu anataka kuwapa waarabu wenzake nchi yetu. Amkeni!! Msiwe kama kondoo wa kufuata na kukubali kila kitu.
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 Жыл бұрын
Kwan tanzania ina njaa san...au ndo mshapiga cha juu
@judy830-b5v
@judy830-b5v Жыл бұрын
Tunakuamini sana Mpina
@freduallughano2301
@freduallughano2301 Жыл бұрын
Watu weusi ni wabinafsi sana una i risk nchi for endless contract kwa sababu tu wewe umepewa chako!kitu kinachoudhi hata hawa wanaopinga huu mkataba wengi ni kwa vile hawako kwenye ulaji,Tusi la Trump kuhusu waafrika tunalistahili hata kama linauma.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 671
'Wanaosema mimi mwizi wataisoma namba'-Prof Tibaijuka
7:27
Millard Ayo
Рет қаралды 223 М.
Shabiby alivuruga Bunge SAKATA la  mkataba wa BANDARI ya Dar es Salaam
8:55
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН