BBC WAONGEA NA NABII ROLINGA KUHUSU KIFO CHA NABII TB JOSHUA

  Рет қаралды 71,333

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...

Пікірлер: 72
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
Hata Yesu alikataliwa. na Injili ilisonga mbele. kwa hiyo hata ukatae injili itasonga mbele. hallelujah barikiwa sana Mtumishi. Rolinga 🙌🏻🙌🏻
@jayhm4331
@jayhm4331 3 жыл бұрын
huyu ako na halaiki ya watu mabillioni ya pesa ulimwona yesu kaisi kifahali kama hawa wa sasa? usimteremshe mwana wa mungu kwa mfananisha ma waalimu wa siku za mwisho pia usiwainue binadamu sisi wote tuko sawa mbele za munugu. ila soma mathayo 23 ujue yatakayo wapata waalimu wasasa. watawaua wachache wa mungu washikao amri kumi za mungu naroho ya unabii..ufunuo 12:17, 14:12
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
amina, lazma injili isonge mbele
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
@@jayhm4331 wewe unaongea nini wewe, unaongea utumbo tu hapa, kwahyo ulitaka watumish wa BWANA wawe maskini nani kakwambia, ni haki na ni halali kutajirika, YESU alipowatuma wanafunz wake aliwaambia nendeni na msibebe kitu chochote bali mtakapofika na kufanya huduma watu watawatunza na kutoa sadaka sasa mm nashangaa watu kama nyie mnapinga ooh wanakusanya pesa, mbn hamuwalalamikii waganga kukusanya pesa zenu, ila kwa watumish wa BWANA ndo mnaanza ooh wanakula pesa, ni haki yao kula pesa, mtu anakesha, anafunha kwa ajili ya watu, au unazan huduma itakuaje pasipo pesa, au watumish wa BWANA wataishije bila pesa, funguka ufahamu wewe
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
@@jayhm4331 nyie watu mmelogwa, au ulizan YESU alipokuwepo hapa dunian alikua maskini, yeye ni tajiri namba moja, hakuamua kudhihirisha kwa watu sabab kipind kile hapakua na manabii weng kam sasa ndo maana hakujenga kanisa alifanya mizunguko kwa watu ili kufhihirisha nguvu, lakn alipoondoka dunian aliwaacha mitume wake wakaifanye kaz yake wakatapakaa kila kona, wakafungua na huduma, maana tyr walikuwa washapata mafunzo ya kiutume ndo mpk sasa
@jayhm4331
@jayhm4331 3 жыл бұрын
@@Churchofecclesia Wewe siku utajua kusimama peke yako mbele la hekalu juu mbinguni ndio mawazo yako yatafunguliwa, viongozi vipovu na wafuasi vipofu wote wataanguka kwenye shimo. Mpumbavu ndiye anajiwekea hazina kwa kauangamizwa na moto siku za mwisho. Mmefanywa biashara vile yesu alisema, makinika kwamba walipo wawili watatu katika jina la Yesu , ameahidi ako katika yake. Wachunga kondoo wa usiku indio waliona nyota sio wakubwa wa kanisa na hivo ndivo ilivyo kimbizeni majina sifa ukubwa miujiza ndio tamaa cha kisasi hiki cha washerati waaofikiria kumcha mungu ni fedha, mshahara wenu mshaupata hapa duniani, yatosha hakika. ridhikeni na za chini hapa hakuna awezae kutumikia mabwana wawili..fedha na mungu..Mathayo 6
@mtudidaniel9585
@mtudidaniel9585 3 жыл бұрын
Tumejengwa katika misingi mitume na manabii na Yesu Kristo ni jiwe kuu la pembeni. Ubarikiwe baba prophet SS Rolinga umejengwa vyema kama nawe utujengavyo.
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Unaelewa ya kujengwa juu ya msingi wa mitume na manabii?
@cmb6342
@cmb6342 3 жыл бұрын
Mpendwa rollinga wew ni mtumishi wa kweli ubarikiwe sana heri asiyekuwa na mashaka na wew
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
@@sylviah9666 ndivyo andiko lilivyosema tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii kwahyo usibishane na andiko BWANA sio mjinga mpka kaliandika au unataka kubishana na BWANA, bila watumish wake mitume, manabii wachungaji usingemjua YESU KRISTO soma WAEFESO 2:20, usibishane na BWANA, maana hao ndio chanzo cha wewe kumfahamu na kumjua YESU KRISTO
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 3 жыл бұрын
@@frankmtei3017 ndivyo andiko lilivyosema kwahyo usibishe soma WAEFESO 2:20, au unataka kubishana na BWANA, alieliandika neno lake maana bila mitume na manabii msingemjua YESU KRISTO, hao ndio chanzo cha wewe na wazaz wako pamoja na ukoo mzma kumjua YESU KRISTO, hv unazan bila ya mitume aliowatuma YESU KRISTO wasingeleta habar za YESU tungemjulia wap YESU KRISTO sisi hao ndio chanzo, hao ndio waliotujengea misingi ya kumjua YESU ndio maana andiko limesema hvo
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
@@Churchofecclesia sasa wewe, nani anabishana na andiko! Umeona wapi nikasema haijaandikwa hivyo?? Ni wapi hapo?? Na umeona wapi nikibishana na Bwana! Usitafute vijisababu toka kwangu ! Wengine wenu hujifanya wahubiri na kuanza kutoa hukumu za bure, ni wapi hapo nimebishana na Bwana! Hebu nenda wee!
@annnjane1697
@annnjane1697 3 жыл бұрын
The world loves its own and those of God cannot be loved by the world. He has won millions life for Christ
@elizmutai9562
@elizmutai9562 3 жыл бұрын
Hallelujah
@odiliawilliam8788
@odiliawilliam8788 3 жыл бұрын
@@elizmutai9562 --
@cynlym1847
@cynlym1847 3 жыл бұрын
Trust me All God’s servants knows each other through Holy Spirit!! All who say T.b Joshua is a man of God they are of God! Holly Spirit help us to know who are really from God!
@waithirajohnny6502
@waithirajohnny6502 3 жыл бұрын
Amen nashukuru mngu kwa kazi huduma ya tb joshua katika Manisha ya watu wengi🙏
@peterandrew9234
@peterandrew9234 3 жыл бұрын
Amen
@mechtildakiiza870
@mechtildakiiza870 3 жыл бұрын
Pole saana Prophet SS Rolinga. Tumepoteza RIEP.
@marionntomola1686
@marionntomola1686 3 жыл бұрын
Glory be to God
@eliya56richard96
@eliya56richard96 3 жыл бұрын
KWAMALA YA KWANZA TANZANIA NIMEONA MTUMISHI ANAKUWA TREND HUYU NABII NI WA KWANZAA
@marynyaboke7400
@marynyaboke7400 3 жыл бұрын
He was a man of God let him rest in Gods hands🙏🙏
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 жыл бұрын
Heaven has received an angel may he rest in peace
@bakajimuleba8071
@bakajimuleba8071 3 жыл бұрын
Amen
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 3 жыл бұрын
Hakika Kwa MUNGU tutarejea🙏🏼 Pumzika Mtumishi wa Mungu aliye Hai.
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 3 жыл бұрын
Rest in peace TB Joshua 😭😭😭😭😭😭💔we love you but God love you more 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eunicechambo1958
@eunicechambo1958 3 жыл бұрын
Pole Sana nabii kwa kifo Cha tv joshua
@terezadotto5458
@terezadotto5458 3 жыл бұрын
Pumzika salama baba yetu TB Joshua,kazi umemaliza tutaonana tena siku ya unyakuo
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 3 жыл бұрын
Tereza dotto Aminaa
@haranigallah7010
@haranigallah7010 3 жыл бұрын
Amen
@mrclinker293
@mrclinker293 3 жыл бұрын
Karibu KENYA MTUMISHI WA MUNGU TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU AKUANDALIE MADHABAHU KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE.
@mrclinker293
@mrclinker293 3 жыл бұрын
Ibada kubwa ndio yaja Kenya Swali; utakuwa wapi hiyo tarehe 22/08/'21 na pia tujulishwe kama uma itakubaliwa au kama ni kwa mwaliko tu.
@kajolochapa
@kajolochapa 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amani
@adrianojohn4346
@adrianojohn4346 3 жыл бұрын
Apumnzike kwa amani.
@felistapeter164
@felistapeter164 3 жыл бұрын
May his soul rest in peace, my happiness is to know u pray for us. Good morning
@wilkistermbago6397
@wilkistermbago6397 3 жыл бұрын
Rest in peace my mentor, my teacher, my prophet and my roll model
@juddexoloro5881
@juddexoloro5881 3 жыл бұрын
RIP man of God, God sent you to us but most didn't know and he's take you which means you complete your work in Jesus name Amen
@pepianzala6272
@pepianzala6272 3 жыл бұрын
So sad rip man of God
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Mmmmmh nyakati za mwisho tayari
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 3 жыл бұрын
Pole Prophet Hiyo Safari ni kwaajili ya kwenda kwa sherehe yake
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Mnashangaa nini pepo kutolewa ndani ya shoga? Ushoga ni pepo
@dianajohn3493
@dianajohn3493 3 жыл бұрын
Ushoga ni pepo chafu la ngono! Au hujui
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 жыл бұрын
Amina baba Mungu yuko upande wako hato kuacha yatima
@kigahedavid2178
@kigahedavid2178 3 жыл бұрын
Lala salama utuombee uko uliko sikufika Nigeria ila nina ushuda
@carolinewambui5825
@carolinewambui5825 3 жыл бұрын
May he rest in peace.
@sarahmunga5885
@sarahmunga5885 3 жыл бұрын
Ushoga ni pepo
@reginanzilani9698
@reginanzilani9698 3 жыл бұрын
Rip pspa
@samuelgitonga9508
@samuelgitonga9508 3 жыл бұрын
May his soul rest in peace,,,u have fight a big battle.
@ednajeremiah8671
@ednajeremiah8671 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@jenifaayubu2923
@jenifaayubu2923 3 жыл бұрын
Only God knows
@jeanmjimmy
@jeanmjimmy 3 жыл бұрын
Mwaka huu Manabii wa uongo lazima wajulikane.
@annamnyitafu300
@annamnyitafu300 3 жыл бұрын
Amen
@abagyehenry8412
@abagyehenry8412 3 жыл бұрын
Wanabi wa uongo ni wengi. Ni jambo la kustaajabisha sana kujua kwamba hata huyu mtu ni mfuasi wa TB. Joshua. Nimeinua mikono. Mungu tuponye na awa wanafiki.
@neemaprecious2308
@neemaprecious2308 3 жыл бұрын
It is well 🙏🙏🙏
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
RIP
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Mungu yupo nawe bado hajakuacha yatima
@dianajohn3493
@dianajohn3493 3 жыл бұрын
Amiin
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 3 жыл бұрын
Hakika Kwa MUNGU tutarejea🙏🏼 Pumzika Mtumishi wa Mungu aliye Hai.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 164 М.
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
MZIMU KUIONGOZA KENYA!!! JE, RUTO NI RAIS…?
6:13
Haleluya Tv
Рет қаралды 235 М.
How spiritual is money? || Apostle T. Mwangi
1:36:25
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 559 М.
JINSI YA KUTAMBUA NAFASI YA ROHO MTAKATIFU - PROPHET ROLINGA
51:37
Haleluya Tv
Рет қаралды 2,1 М.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 164 М.