No video

MANENO MAZITO ya ROLINGA kwa SPIKA DR. TULIA NDANI ya BUNGE “HILI Bunge LITAKUWA la VIWANGO sana”...

  Рет қаралды 53,221

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...

Пікірлер: 66
@mirriamnzisa4513
@mirriamnzisa4513 2 жыл бұрын
Wah! Tanzanian Mungu anawapenda sana tumieni kila anawaandalia kupitia huyu mtumishi wake vyema na mtaenda mbali. God bless you man of God
@racheljofrey7425
@racheljofrey7425 2 жыл бұрын
Mtumishi ...barikiwa Sana ... Nilikuwa najiuliza umeondoka umeelekea wapi kutoka bariadi ..nimekuona nimefrahi sana
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 2 жыл бұрын
Wow Tanzania mko na nehema kubwa God bless all Africa
@lidyahqw4615
@lidyahqw4615 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuinuliwa daima katika nchi ya Tanzania 🇹🇿pamoja nasi wakenya
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 2 жыл бұрын
Nimefurahi sanaa.kuona baba weti kaenda Bungeni acheni Mungu aitwa Mungu Atusaidie nchi yetu.
@pilimpinga647
@pilimpinga647 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Mungu tuhurumie tusaidie ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai
@annemyombo8089
@annemyombo8089 2 жыл бұрын
God Bless you Spika wetu Tulia, Mungu akufunike, Mungu aendelee kututumia nabii wetu
@eliasmhagama4978
@eliasmhagama4978 2 жыл бұрын
Mhe Spika, Dkt Tulia Ackson ni mtulivu, mnyenyekevu na ana hofu ya MUNGU. Hakika MUNGU atazidi kukuinua zaidi katika jina la YESU KRISTO aliye hai.
@official_minister_suleiman6856
@official_minister_suleiman6856 2 жыл бұрын
Binafsi nafurahi saaana kuona Nchi yetu inawaamini watumishi wa Mungu. Mungu akubarikii saana nabii # SSRolinga
@esthermwaigwisya1775
@esthermwaigwisya1775 2 жыл бұрын
Barikiwaaaaa Prophet S. S. Rolinga. We love you too much. YESU aendelee kukutumia Prophet of the Most High God.
@carolinenduku6722
@carolinenduku6722 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda baba yetu na azidi kukupa kibali zaidii
@nicolausminja689
@nicolausminja689 2 жыл бұрын
Naamini Mungu anasababu ya Dr Tulia kuwa spika.awe mwangalifu bunge lake lisitumiwe na shetani kupitisha Sheria zake,mfano kulazimisha watu kuchanja
@hazelsoko1594
@hazelsoko1594 2 жыл бұрын
MUNGU AKUTUNZE SANA SANA NABII WA NCHI HII YA TANZANIA
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu nabii Rolinga, nnakupenda sana. Spika wetu wa bunge, nnakupenda, endelea kumtegemea na kumtumaini Mungu.
@elizmutai9562
@elizmutai9562 2 жыл бұрын
Nimepokea hiyo Heshima kueshimika MUNGU atanieshimisha Neema ya Baba yangu iko juu yangu! Thank you Jesus Christ
@rachelkibaya8537
@rachelkibaya8537 2 жыл бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA,UBARIKIWE MTUMISHI🙏🏽
@philomenaemanuel869
@philomenaemanuel869 2 жыл бұрын
Mungu azid kukupa mwelekeo jins yakutoka nakuingia
@nashonangaya4134
@nashonangaya4134 2 жыл бұрын
Baraka kubwa Kwa taifa
@elizmutai9562
@elizmutai9562 2 жыл бұрын
Nimepokea hicho kibali kutoka Baba Rolinga, Amina
@zawadijoel7516
@zawadijoel7516 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu. Hakika Mungu wetu atupenda, na bwana azidi kukutumia kadiri awezavyo na apendavyo. Hao mawaziri na wabunge waje kanisani.
@eliasmhagama4978
@eliasmhagama4978 2 жыл бұрын
BWANA YESU akutunze Nabii na azidi kukuinua katika huduma njema aliyoweka ndani yako.
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 2 жыл бұрын
Mungu akulinde nabii wamungu tunakutaka ukuje kwetu kenya
@beatricekimongo5153
@beatricekimongo5153 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi was mungu
@ashantimoleta7798
@ashantimoleta7798 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen?
@starlet5350
@starlet5350 2 жыл бұрын
Mungu ashukuriwe sana! Viwango hadi viwango! 🔥
@gloriajeremiagloriajeremia8158
@gloriajeremiagloriajeremia8158 2 жыл бұрын
Tanzania ni nchi ya kipekee yenye neema kubwa I love you Tanzania from my heart
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Hakuna jibya Kwa ccm mungu hakai kwenye Baraza la wasiohaki hiyo inanikumbusha historia ya balamu na balaki kwenye kitabu Cha hesabu huwezi kumbariki watu ambao hofu ya mungu haiko ndani yao
@sundayherrieth9460
@sundayherrieth9460 2 жыл бұрын
Ameen Barikiwaa
@fatumalutula1950
@fatumalutula1950 2 жыл бұрын
Mungu apewe sifa, Mungu azidi ku fungu tuuu
@bestkimali216
@bestkimali216 2 жыл бұрын
Nakuelewa Prophet wa Mungu alie hai,moyo wangu umekupokea na umekukubali,nakufatia sana mtumishi na unanijenga sana na unanipa sabbu ya kuendelea na hiki ninachofanya
@zainabsige7432
@zainabsige7432 2 жыл бұрын
Amina nabii wetu🙏🏻
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 8 ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉
@elipiditarimo4705
@elipiditarimo4705 2 жыл бұрын
Amen hallelujah
@utukufubuhaga5375
@utukufubuhaga5375 2 жыл бұрын
Amen
@dicksonlwiza
@dicksonlwiza 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema 😊
@justinahsamantha4812
@justinahsamantha4812 2 жыл бұрын
You're so blessed , continue bringing blessings to all people. God will reward you accordingly for all what you are doing to His people . Baba eneza injili yake popote pale ,barikiwa Sana 🙏🙏🙏
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 2 жыл бұрын
Mungu Mbariki Speaker waBunge letu Tanzania kwa kutambua Umuhimu wako Bungeni. Ubarikiwe Nabii Rolinga.AMINA.
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 2 жыл бұрын
Baba simama katika nafasi yako daima na Mungu awe pamoja nawe.Wish you success.
@justinahsamantha4812
@justinahsamantha4812 2 жыл бұрын
🙏🙏
@annkangai3174
@annkangai3174 2 жыл бұрын
Thank you Jesus
@godblesskessy5516
@godblesskessy5516 2 жыл бұрын
Nakupongeza kama uko na mungu,ila maenzio gwajima amefika bei
@priscamakendi5155
@priscamakendi5155 2 жыл бұрын
AMEN 🙏UTUKUFU MPAKA UTUKUFU
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 2 жыл бұрын
Naona kacha mkononi huwa huiachi.au ndo power ikusaidiayo?
@gracenyamisa8703
@gracenyamisa8703 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@elizmutai9562
@elizmutai9562 2 жыл бұрын
Asanti Baba Rolinga
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Kipi kinacho kunanilii?.Hilo ndo swali gani?.
@tilesmalumalu2958
@tilesmalumalu2958 2 жыл бұрын
Majaa hayo kwa kubeti .
@estherasava3303
@estherasava3303 2 жыл бұрын
Tanzania mumebarikiwa, mnaheshimu watumishi wa Mungu
@violetmakungu1530
@violetmakungu1530 2 жыл бұрын
Emen
@fabianalfredy8889
@fabianalfredy8889 2 жыл бұрын
Mnapatikana ktk kisimbuzi kipi? Hapa Tanzania.
@marionopisa3111
@marionopisa3111 2 жыл бұрын
Neemayamunguikiwa.juu.yako.ninikingine.isipokuwa.imani.
@mohamedngoi161
@mohamedngoi161 2 жыл бұрын
Huu unabii wa kutabiri watu kufa hasa viongozi kwa kuwapoint una mashaka
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 11 ай бұрын
Kwa bandari hakuna Tulsa amekosea
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Nabii huyu ametoka kiroho kWa Tb joshua,mti mbaya hawezi towa kitu kizuri,
@sulemanxulex8508
@sulemanxulex8508 2 жыл бұрын
Sisi ni Watanzania tunaopenda haki wewe mtumishi.watanzania wanachokitaka ni haki na utawala bora, sasa wewe umekwenda.Dodoma kuongea.nini.zaidi ya kutafuta umaarufu, Ndio maana wenzetu wanaomjua Mungu wawapendiwatu wanafiki kama nyinyi, Ngwajima na hao viongozi wa kidini wanaojua wazi kwamba kinachofanyika ni mauaji,hakuna haki na mambo mengine ya sio faa wanayo fanyiwa watanzania na viongozi wa kidini
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Nalile delalah lingeomkewa mana lile nishetani la mashetani anatumia nguvu zagiza Nina was wasi
@stanlychishimba2729
@stanlychishimba2729 2 жыл бұрын
Okay
@estherjuma5079
@estherjuma5079 2 жыл бұрын
Kufika pale babangu wa kiroho ni mungu ametenda sababu ulimtafuta kwa moyo wako wote na aonaye sirini amekujibu
@estherjuma5079
@estherjuma5079 2 жыл бұрын
Baba nipe siri ya kuomba sana hata kama niko mbali
@mussatete2618
@mussatete2618 2 жыл бұрын
False! Niamini MIMI
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Hao wanaojiita Manabii Manabii wa Uwongo kama ilivyoeleza Bibilia wachawi hao
@eliasmhagama4978
@eliasmhagama4978 2 жыл бұрын
BWANA YESU akutunze Nabii na azidi kukuinua katika huduma njema aliyoweka ndani yako.
@ndiwjoseph1752
@ndiwjoseph1752 2 жыл бұрын
Amen
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 75 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Haleluya Tv
Рет қаралды 18 М.
JINSI  YA KUMILIKI UNACHOKITAKA.
38:48
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 63 М.
ROLINGA AFICHULIWA SIRI ZAKE | CHANZO CHA UPAKO WAKE KUJULIKANA…
17:43
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 7 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН