MZIMU KUIONGOZA KENYA!!! JE, RUTO NI RAIS…?

  Рет қаралды 243,264

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 694
@jacklynekunikina1540
@jacklynekunikina1540 Жыл бұрын
Kumbuka rehema zako ee mwenyezi Mungu kwa Taifa letu la Kenya.May God continue to expose every rot derailing and ailing our nation in Jesus name AMEN
@LydiacheropSagit
@LydiacheropSagit 6 ай бұрын
Thanks man of God eeeh mungu baba utusaidie nchi yetu ya kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@salomemueni100
@salomemueni100 Жыл бұрын
Ukweli mtupuuuuuuuuùu mtumishi wa mungu,,,mimi nakubaliana na wewe 100% plus..hata bishop nduri waruenge alishaa sema suluhisho ya shida ya kenya ni mwili wa kenyatta urudishwe mavumbini la sivyo confusion after confusion...very so true...some years back my spirit was so disturbed as to how come this body is still used by presidents and foreigner's as a symbol of unburied?.thank you man of God fir confirming this to the world of spiritual realm....
@johnoduor9370
@johnoduor9370 6 ай бұрын
Wewe rulinga kutoka Tanzania wewe ndie shetani mpenda pesa ya Kenya na false prophecies inafa tukufunge migu na mikono na uchomwe ufe kabisa muhubiri muongo unashtahili Moto ya hashira umesikia muhubiri ya biashara ya pesa kwenda kabisa na ulaniwe wewe
@EuniceNgigi-ot6pg
@EuniceNgigi-ot6pg 6 ай бұрын
People ignore ndura waruingi but that man do make sense
@makwatachristine7275
@makwatachristine7275 6 ай бұрын
Imetimia
@johnoduor9370
@johnoduor9370 6 ай бұрын
​@@makwatachristine7275Imetimia wape waongo ninyi waTanzania mbona mnatazama Kenya Sana ninyi manabi wa pesa mbona Sisi hatuna haka na nyinyi Kenya ni muhimu kuliko kwenu Tanzania njoni tuishi Huku Kenya na ujue hii wewe Nabi wa uongo Lila inchi duniani kite huongozwa na ibilisi biblia husema the God of this evil age mbona kutashama Kenya nauongo wako wote inamanisha Kenya is better than Tanzania go away with your nuisane you blind money preacher how much did our president ruto gave you when ye gave him that false prophecy you prophet of money away from Kenya with your prophecies kwenda kabisa wapanda mbegu prophets wa Tanzania leave Kenya alone please we,re tired of you
@johnoduor9370
@johnoduor9370 6 ай бұрын
​@@makwatachristine7275Imetimia wapi kwenda kabisa wewe muongo MTU WA Tama ya pesa
@phelixonyango6067
@phelixonyango6067 Жыл бұрын
Si huyu alisema Ruto ndio amechaguliwa na Mungu na tutabarikiwa zaidi....lakini nikubaya huku Kenya
@clareclara3061
@clareclara3061 11 ай бұрын
We thrived during kibaki's regime....wamesahau where was kenyatta's body at that time
@umwugawacutwese4433
@umwugawacutwese4433 6 ай бұрын
Zikeni Huyo mwiri Siniawo wajifanya Waze wakenya Ruto zika Iyo mwiri ni pepo mbaya Ya shetani
@rachelmulumi9457
@rachelmulumi9457 6 ай бұрын
Kweli. Huyu alisema ruto amechaguliwa na mungu (sic). Always seeing the negative about our country. Maneno ya ruto ni mteulewa mungu yameenda wapi sasa.
@Grace_Ministry_International
@Grace_Ministry_International 6 ай бұрын
@@rachelmulumi9457 He is just a voice of God to the world and this he is saying can happen even if its God has chosen you do you know why God changed name of Ibrahim and sarai to new names it was a barrier spiritual thing are delt spiritually to with fleshy ways.
@annevilembwa4950
@annevilembwa4950 Жыл бұрын
Mungu aliye juu anapenda Kenya na asante nabii kwa ufunuo huo,barikiwa.
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 6 ай бұрын
Heri yako wewe uliye liona hili Mungu akupe neema ya kusimama kwa mahali palipo bomoka juu ya Kenya
@eunicemwelu1810
@eunicemwelu1810 Жыл бұрын
Thank you Jesus for this revelation frm your true Prophet...Lord Almighty hakika wezesha ili taifa letu la kenya likapate kuokolewa
@carenkhisa2165
@carenkhisa2165 Жыл бұрын
Kumbe tunaongozwa na mizimu ndio maana tunasumbuliwa hivi vyote 😢😢😢😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💔💔💔💔💔💔
@agnesnyambura8928
@agnesnyambura8928 Жыл бұрын
Think of shakahola wisely there is much more to it
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 7 ай бұрын
You really amuse , kwani si mulisema Ruto ni wa Mungu so mizimu ni stronger kuliko Mungu?
@Fatma-it2ue
@Fatma-it2ue 6 ай бұрын
Yes
@natrinemweha8625
@natrinemweha8625 Жыл бұрын
Very true man of God....Huwa nikashindwa bona huo mwili hauzikwi...
@sallychepkosgei6923
@sallychepkosgei6923 7 ай бұрын
God remember mercy for my country Kenya. We beseech you to forgive our ignorance for not burying our founding father Mzee Kenyatta. Any door we might have opened for demons to come in and trouble us we ask the holy spirit to help us close those doors. Lord let favour, blessings, good health and a righteous long life be our portion in Jesus name.
@jamesmainathungu1428
@jamesmainathungu1428 Жыл бұрын
This revelation has been said by another reverend who is a kenyan and he explained very well but people take it for granted may God help us kenyans.
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 Жыл бұрын
But last time I had Uhuru saying no more viewing Kenyatta because they bury him. I don't remember when though. Ati rais iliyopo nimcha mungu? joke of the year 2024😂😂😂😂
@jacksongathogo1771
@jacksongathogo1771 Жыл бұрын
Stop listening to this nonsense. Tell your prophet to respect Kenya the dead.
@jamesmwangi2205
@jamesmwangi2205 Жыл бұрын
Kenyatta alizikwa and that's why ili kumbukumbu ilikuwa ikifanyika hapo parliament iliisha na ya mwisho ilifanyika the year 2019. King Charles 2023 alikuja na akapelekwa penye Kenyatta alizikwa penye bendera ya mzungu ilishushwa naye ya mkenya ikapandishwa. Sasa jijazie hapo ni wapi.
@MrSeptan
@MrSeptan 11 ай бұрын
@@jacksongathogo1771 Agree.
@LdyiaWesonga
@LdyiaWesonga Жыл бұрын
Thank you man of God learn about it and God bless you and your family
@corneliuswabwile201
@corneliuswabwile201 Жыл бұрын
The same pastor that told us that Ruto is going to uplift our economy
@dorcasmukhanji5231
@dorcasmukhanji5231 11 ай бұрын
False prophets
@clareclara3061
@clareclara3061 11 ай бұрын
Washindwe may God restore our country
@BABAthaYAGA-kx9fu
@BABAthaYAGA-kx9fu 6 ай бұрын
Well, today we are speaking different, aren't we.
@mitchellnamiso
@mitchellnamiso Жыл бұрын
Lord thank you for your revelation have mercy and save us
@jacksonmuchira6571
@jacksonmuchira6571 Жыл бұрын
You call your imagination the voice of God.
@PerisChari
@PerisChari Жыл бұрын
Mungu tuhurumie na utusaidie wakenya😢😢😢
@blessedassurance4743
@blessedassurance4743 Жыл бұрын
Hayo niliyasikia during deliverance in a church, the demon of that man said hsijakufa bado uko hapo umevaa akaraa, the maasai tyres shoes.....i heard that 2 yrs back
@lilian.nderitu1715
@lilian.nderitu1715 Жыл бұрын
Maajabu haya
@CetrickWafula
@CetrickWafula 6 ай бұрын
Kabiisa tunahitaji kuhurumiwa sana
@rosekasuva5862
@rosekasuva5862 6 ай бұрын
be blessed prophet,,,ni kweli kabsa unayosema
@maryongoro2966
@maryongoro2966 Жыл бұрын
Thank you man of God. May God's mercy and Favour speak for us kenyams
@annewenjiku-oc8bk
@annewenjiku-oc8bk Жыл бұрын
Jesus Christ save our nation from ancestors spirit and lead us all to the righteous way because in you there's peace joy love and unity and hope in this world we may face trouble but thank you Jesus Christ because you have overcome it and also we overcome every obstacle by your name and by your blood and silence war against election time from now on in Jesus Christ Name Amen Amen and Amen thank you Jesus Christ
@NdukuWilson
@NdukuWilson Жыл бұрын
It's true,aki kenya mambo yamegeuka,Mungu atusaidie
@millygistermakokha6023
@millygistermakokha6023 6 ай бұрын
Siz ndo maana wajakoya alisema ataondoa statues state house
@Eunic-q4o
@Eunic-q4o Жыл бұрын
Glory be to God for this revelation 🙏 May God have mercy on us
@NancyMugure-j3r
@NancyMugure-j3r Жыл бұрын
Mimi najua na naamini Kenya Iko salama na mungu anatupenda, ningefurahia mtumishi kama ungeongea kuhusu tazania pls, kama Kuna mahali mizimu huongea na majini, nyamkera, misukule, kinusi ni TANZANIA, wenyeji wa Tanzania wamejaa Kenya wakichuma riziki basi wangetosea Tanzania ,
@restitutermmanda2333
@restitutermmanda2333 8 ай бұрын
😮
@makwatachristine7275
@makwatachristine7275 6 ай бұрын
Sasa umenona imetimia
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 6 ай бұрын
Nataka kuona comment Yako leo
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 6 ай бұрын
YANAELEKEA KUTIMIA AU BADO?
@berthacyprian5944
@berthacyprian5944 5 ай бұрын
Zika mawili kwanza
@DaisyLangat-ly8mx
@DaisyLangat-ly8mx Жыл бұрын
Lord Jesus have mercy on our nation of Kenya,let your mercy speak for us in Jesus name,we pray Amen
@josephinevota-tx8tx
@josephinevota-tx8tx Жыл бұрын
Dear fellow Kenyans them that believe what this man of saying lets rise and pray that God to give this nation power over ancestral spirits
@patrickmuchiri4080
@patrickmuchiri4080 Жыл бұрын
These are the ones lead by Nyerere spirits,every government statement there is Mwalimu,
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 6 ай бұрын
Hilo ndiyo neno vizuri sana
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 6 ай бұрын
@@patrickmuchiri4080 pole were ujuaji mwingi mbele giza
@marketmerchandise2989
@marketmerchandise2989 Жыл бұрын
Yep! Kenyatta is NOT resting in peace!! He’s still NOT buried! That spirit is becoming a NUISANCE to all Kenyans
@faithkisiangani5702
@faithkisiangani5702 Жыл бұрын
Nuisance uko sawa aki Kenya is good country wee Mungu anapenda Kenya lakini vitu binafanyika
@Mo-wk3rg
@Mo-wk3rg Жыл бұрын
I did interceed back 2017, Kenyatta himself came in the spirit and asked me why I was troubling him yet his family has never decided on his final resting place. It's only we aren't much known but we can pray Raila only requires serious intercession and he will rise above the generational curses hanging on his neck. He will become president. Ruto doesn't have a king's crown 👑 on his head ..a lie that he is God chosen
@SaintNjuguna
@SaintNjuguna Жыл бұрын
You have said it all, that's the truth indeed
@SaintNjuguna
@SaintNjuguna Жыл бұрын
Ruto's destiny is a servant not a king
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 8 ай бұрын
​@Mo-wk3rg That is a demon that appeared to you in the form of Kenyatta. A dead person can't communicate with a person who is alive, it's impossible.
@desteriomasika-zp2ye
@desteriomasika-zp2ye Жыл бұрын
This is the president of hard heart.Tunafinywa na ushuru kila saa na ushuru.leo tunatangaziwa wakulima kutozwa ushuru kwa mavuno.
@pastorchris7337
@pastorchris7337 Жыл бұрын
Is just a confirmation for what God said it's true man of God I agree with you 100percent
@reginanjihia850
@reginanjihia850 Жыл бұрын
I think this message is timely n accurate .God bless you so much.
@philipseroney4125
@philipseroney4125 6 ай бұрын
Glory to God, the lord God showed 3me a vision 3 wks ago the spirit of the person he is talking about come out from the underworld and was told he's cme to distablize Kenya,,it's only today that am watching this video,, pls pls let's pray to our country, it's not about anyone 3 but the evil one...
@philipmarani6032
@philipmarani6032 6 ай бұрын
Amen
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Mungu atusaidie wakenya
@maxinemanera7915
@maxinemanera7915 Жыл бұрын
Lord have mercy on Kenya and rescue us, we shall not perish. Evil will not prevail on our land and by this prophecy it has already been defeated in Jesus Mighty Name 🙏 You said we call you in times of trouble and you will hear us. There's is nothing impossible with you. Give wisdom to our President and the 1st family to come to this agreement. Let your Will be done Lord for the Glory and Honour of your name 🙏
@stevendunda475
@stevendunda475 Жыл бұрын
Nyinyi ni wale amen amen...stop been silly kenyatta Alizikwa...tell it to you pastor as well...
@stevendunda475
@stevendunda475 Жыл бұрын
Ati rais aliopo nimshika dining....stop that nonsense
@Joe-tt9pi
@Joe-tt9pi Жыл бұрын
ngai mwathi Jeso there is element of truth many years like 20 something years bishop Margret touched on it but concerning the son consulting the spirit she dnt major on it but Jeso truth never dies
@metrinemulama-kx5rn
@metrinemulama-kx5rn Жыл бұрын
Ee mungu tuzaidie 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Atawasaidia na muache viburi
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 Жыл бұрын
I agree with the man of God.
@JacobMponezya
@JacobMponezya Жыл бұрын
Zipimeni hizi roho 1Yohana 4:1 Mungu siyo Mungu wa wafu.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Sasa kwa yaliyotokea unachakupima tena
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 6 ай бұрын
Bariki sna hakika
@miriammacharia2310
@miriammacharia2310 3 ай бұрын
Bishop, Pastors, Apostles, Evangelists, Prophets, Teacher, Intercessors and Church elders, let us hear the voice of God and act quickly. " God has spoken"
@mosesomusa
@mosesomusa Жыл бұрын
kulinngana na kitabu takatifu,mungu ndie utupea kiongozi.kama ametupea ruto tunamuombea atuongoze na afanikishe malengo ya wakenya.yale mengine ni ya wasio muamini mungu ndie ana nguvu zaidi.asingetaka ruto awe rais hangekua
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 8 ай бұрын
Wewe huelewi unayosema
@makwatachristine7275
@makwatachristine7275 6 ай бұрын
😢umenona sasa mungu amemuweka wazi
@jackcandy6830
@jackcandy6830 Жыл бұрын
Jambo Moja najua katika nchi ya Kenya Mungu ako pamoja nasisi hiyo unasema awesekani ulikua Kenya kwa Nini kama ni Mungu alikufunulia hayo ukusema kama wewe ni nambii wa Mungu
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Ndomana mnakufilia mbali kwa viburi vyenu
@dornesh1010
@dornesh1010 Жыл бұрын
Thank you pastor for this revelations it has been a burden in my heart over this. May God open our leaders eyes to see
@williamkaranja9529
@williamkaranja9529 Жыл бұрын
True every president all the 4 have been under the umbrella of Jomo Kenyatta they are all beneficiary Kenyatta made Moi Made Kibaki Made Uhuru and ruto was student of Moi so they all have the same background and Even The deputy president wueh but He always meant well for Kenya Qnd who goes against the will of kenyan people it is said he will be like a mad person anyone who think he can sell 🇰🇪 Kenya
@Mo-wk3rg
@Mo-wk3rg Жыл бұрын
​@@williamkaranja9529bad governance, corruption, land grabbing....being lied to by Ruto..... someone isn't praying at all. Kenyans are christians by looks but not actions. The Kenyatta family hasn't decided his final resting place yet...I once prayed Kenyatta himself came appeared to me I. Spirit and complained I was disturbing him yet his family hasn't decided his final resting place. They don't have a final resting place which is Gatundu for sure
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 6 ай бұрын
Mungu akubariki Nabii hakuna Nabii yeyote Ambaye amewahi kutabiri hayaa
@jumak.ismail2504
@jumak.ismail2504 6 ай бұрын
hapo kwa yesu alizikwa you are the first pastor saying so
@pendowilfredmatahi5770
@pendowilfredmatahi5770 6 ай бұрын
How? Mbona hata Biblia inaeleza alikufa na akazikwa na kufufuka siku ya tati
@jedidahwanjohi3810
@jedidahwanjohi3810 6 ай бұрын
Huyu sio wa kwanza my bible tells me so.. alifufuka but if you know nothing about trinity you cant understand
@FlorenceKirigo
@FlorenceKirigo Жыл бұрын
Shindwe katika jina la yesu
@davidwamburawambura6949
@davidwamburawambura6949 Жыл бұрын
Open the eyes of the leadership of kenya my God
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA Жыл бұрын
thanks 🙏 mtu wa MUNGU
@fridahawinja4283
@fridahawinja4283 Жыл бұрын
Hehehe huyu dio mjinga alikuwa anasema Ruto ni wa mungu
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Ruto ni wa MUNGU ALIYE HAI kama wewe ulivyo wa Mungu mana umeumbwa na Muimbaji aliye mbinguni yan MUNGU ALIYE HAI
@Amazingstories22
@Amazingstories22 Жыл бұрын
pastor sarah ubarikiwe kwa hiyo kazi unayoifanya mungu akuengeze nguvu kwa jina la bwana yesu
@jamilachari4024
@jamilachari4024 Жыл бұрын
True word. Na vile tunashinda tukitukuza mashujaa wa uhuru maana walimwaga damu kuikomboa nchi kutoka kwa mikono ya wakoloni. Sasa ile damu inapotukuzwa inadai kafara mpya ili kubadilisha utawala au uongozi. Ndio maana tunachinjana kila wakati wa kura. Na tukiuana Yale madhabahu yanainuka tena kutawala nchi. Mungu aturehemu
@terrynyakaterrynyaka972
@terrynyakaterrynyaka972 Жыл бұрын
God have mercy for our country Kenya 😥😥 We need you God🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@skylarwaweru4852
@skylarwaweru4852 11 ай бұрын
Thanks alot man of God
@joyline7709
@joyline7709 8 ай бұрын
💯 spiritual, may God deliver his Nation.
@sarahyego3762
@sarahyego3762 Жыл бұрын
Jesus Christ have mercy apon Kenya thanks for the profecy
@collettumbo8972
@collettumbo8972 Жыл бұрын
God intervene with power so that you reign in my country. this is the second person am hearing this revelation from
@williamkaranja9529
@williamkaranja9529 Жыл бұрын
True every president all the 4 have been under the umbrella of Jomo Kenyatta they are all beneficiary Kenyatta made Moi Made Kibaki Made Uhuru and ruto was student of Moi so they all have the same background and Even The deputy president wueh but He always meant well for Kenya Qnd who goes against the will of kenyan people it is said he will be like a mad person anyone who think he can sell 🇰🇪 Kenya
@williamkaranja9529
@williamkaranja9529 Жыл бұрын
True every president all the 4 have been under the umbrella of Jomo Kenyatta they are all beneficiary Kenyatta made Moi Made Kibaki Made Uhuru and ruto was student of Moi so they all have the same background and Even The deputy president wueh but He always meant well for Kenya Qnd who goes against the will of kenyan people it is said he will be like a mad person anyone who think he can sell 🇰🇪 Kenya
@danifani7899
@danifani7899 Жыл бұрын
It's true prophet glory be to God hallelujah
@carenkhisa2165
@carenkhisa2165 Жыл бұрын
Watching live from 🇰🇪🇰🇪
@PrincessAdugo
@PrincessAdugo Жыл бұрын
Hiyo si kweli mbona wakati moi uchumi ilikuwa tu vizuri wakati ya kibaki akiaanza adi wa uhuru sasa ya ruto ndiyo imeporomoka ju akuchaguliwa na mungu na promises bila mpango
@Lucy-ho6sm
@Lucy-ho6sm 6 ай бұрын
Wacha kupingana na nabii huyu sio mwasiasha ,wakati wa moi ungainly ilikuwa being raising but mvua ilikuwa singing mashamba zilikuwa kubwa ,shinda iliokuweko ni mabarabara ,schoolfees juu pesa hazikuwa zinapatikana kwa urahisi hata, ingawa unga ilikuwa being cheap ulizia watu waliluwa wanalala njaa, pia kujinga na shule ya upili ikawa noma (ulizia kwa watu waliozaliwa hio miaka ya 78 hadi 86 tulikuwa tunafukuzwa shule hata a whole month kufika class eight ilikuwa neema tu,
@turnitin4368
@turnitin4368 6 ай бұрын
Read your bible the story of Gideon and what happened when he raised the altar of God. The body in Kenya therefore is an altar that always speaks
@annbrendanalech4050
@annbrendanalech4050 Жыл бұрын
Very true mtumishi wa mungu 🙏🙌🙏
@FelisterMwambeyu
@FelisterMwambeyu 6 ай бұрын
Thanks for profeccy man of god
@philipseroney4125
@philipseroney4125 6 ай бұрын
True was shown the spirit 3 wks ago coming out to distablize Kenya,,, nikaambiwa hivo
@lucymacharia4134
@lucymacharia4134 Жыл бұрын
Mungu tunaomba musamaha
@gloriapraise3313
@gloriapraise3313 Жыл бұрын
God is in control of our nation...
@VintoNeskon
@VintoNeskon Жыл бұрын
Shida ya kenya ni corruption
@stephenkaranja7747
@stephenkaranja7747 Жыл бұрын
The truth is that The man of God is speaking the truth,the hidden one.Jomo kenyatta body is supposed to be buried in his home in Gatundu not in parliament.Spiritually is still ruling us.
@zippyjepps2750
@zippyjepps2750 Жыл бұрын
Parliament is a Kenyan symbol, you very right indeed.
@paulinenora3460
@paulinenora3460 11 ай бұрын
I even wonder who came with this decision of drying a dead body to be viewed instead of being buried, surely "my people perish because of lack of knowledge"
@BeatriceWangombe-q8t
@BeatriceWangombe-q8t 6 ай бұрын
True
@WamboBoboo
@WamboBoboo 11 ай бұрын
Mungu tuhurumie
@janekagii5705
@janekagii5705 Жыл бұрын
Very true, wengine wawezi elewa Mambo ya kiroho
@zakariasimiyu2818
@zakariasimiyu2818 Жыл бұрын
🎉Tafuta kazi mbwa
@christinemuchiri199
@christinemuchiri199 Жыл бұрын
Kwani huyu Kenyatta hakutawala siku sa Moi. Seek God for yourself Kenyans..
@philipseroney4125
@philipseroney4125 6 ай бұрын
Moi alisema anafuata nyayo zake, but still kumbuka 82 cuop God rescued him coz he was prayerful
@philipseroney4125
@philipseroney4125 6 ай бұрын
It's the Spirit behind corruption,, he used to say nyakua ukipatikana shauri yako tulinyakua uhuru kutoka kwa wabeberu
@MarianAndisi
@MarianAndisi 11 ай бұрын
shetani ashindwe juu ya taifa la Kenya tunakanusha kila njama ya ibilisi katika nchi letu la Kenya . Kenyans lets keep interceeding for our nation we need you Jesus. Thank you Pastor Rolinga . the interprator needs to work a lot on their pace and skills
@robinkimeli
@robinkimeli Жыл бұрын
Great revelation 👏
@carolinengeno885
@carolinengeno885 Жыл бұрын
A burial is very important.... Otherwise its easy for dead's spirit to revenge against the living, its a fact.God have mercy upon Kenya..... God take over the situation completely 😢😢😢 . Thanks be to the Almighty God for this revelation.....thank you Man of God for taking time to pray for our country Kenya.
@Mo-wk3rg
@Mo-wk3rg Жыл бұрын
Except we interceed. I don't mean mere prayers but a dry fast n invoking God's mercies. I am an intercessor.
@nicky2543
@nicky2543 Жыл бұрын
Wewe io ni bibilia gani io ni mapepo ambayo inamanifest inform of mtu aliyekufa
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 Жыл бұрын
The spirit of the dead has no power to do anything in this world. Those are demonic spirits masquerading as the dead's spirits.
@ErickOkwach
@ErickOkwach Жыл бұрын
So why was our economy growing before? Stop theological ignorance. There is no scripture than can support this lie. This pastor is misleading you people. If Kenya's economy has been the best in the region for a long time so how does it relate to Kenyatta's body? Think brother before you support a fanatical sermon without scriptural backing.
@joankagendo2096
@joankagendo2096 Жыл бұрын
Kenya belongs to God Almighty.
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Жыл бұрын
Amen❤
@bettyadhiambo9557
@bettyadhiambo9557 Жыл бұрын
MUNGU wetu, ni Mungu wa alie hai...
@mosesmwaura1669
@mosesmwaura1669 7 ай бұрын
I agree with you 💯
@niyiesther6571
@niyiesther6571 5 ай бұрын
YESU KRISTO asaidie Kenya
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Hatari sn
@joannejoy7459
@joannejoy7459 Жыл бұрын
Continue praying for this country nabii don't luck anything ukiombea Kenya God bless you
@SalpherusKipruto-cf6cd
@SalpherusKipruto-cf6cd 10 ай бұрын
Let pay for our country kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@joyline7709
@joyline7709 8 ай бұрын
Yes, pray is the 🗝️
@minagejosephine1627
@minagejosephine1627 Жыл бұрын
Lini mtahubiri injili ya yesu
@christineochuka820
@christineochuka820 7 ай бұрын
Oooooh my God 😭💔😭 my land Kenya 😢😢😢😢😢😢God have mercy on us
@irineotieno3175
@irineotieno3175 11 ай бұрын
God ave mercy for our country n forgive our sin😢😢😢😢😢
@daina8464
@daina8464 6 ай бұрын
Mungu tuhurumie ssi wanao 😢😢😢😢 kweli tunaumia maana hii ya ssa damu zinamwagika sana tunaisha keny😢😢😢
@marymueni9150
@marymueni9150 Жыл бұрын
May the almighty God be with your Nation of Kenya.
@annevilembwa4950
@annevilembwa4950 Жыл бұрын
Mungu awape wakenya hekima tuielewe mambo ya kiroho
@Princegeorge952
@Princegeorge952 Жыл бұрын
Naomba nikuoe
@emilyondari4796
@emilyondari4796 5 ай бұрын
Kenyatta is buried in pàrliament as if Hana shamba!!! Mizimu in leadership
@andersonpyaban8042
@andersonpyaban8042 Жыл бұрын
Quite interesting...
@ewararabic
@ewararabic 5 ай бұрын
Mshughulike na mambo yenu achaneni na maisha yetu
@chebukosiwasike
@chebukosiwasike Жыл бұрын
it was an open secret ever since,
@Khalid-r6l6d
@Khalid-r6l6d Жыл бұрын
Mmmh nanyie munaamini tu hiyo biashara ya kidevil!!😢😢
@Dandeh2023
@Dandeh2023 Жыл бұрын
God heal our country kenya
@BeaulahFountains
@BeaulahFountains Жыл бұрын
This is very true man of God
@rahabmwangi8951
@rahabmwangi8951 Жыл бұрын
May God help pple cz thea is alot of confusion in prophecies
@mountzionsanctuary-obadiah9046
@mountzionsanctuary-obadiah9046 6 ай бұрын
May God expose anything that is not of God. Ephesians 5:11
@ruthmusyoka4389
@ruthmusyoka4389 6 ай бұрын
Mercy lord for my land 🇰🇪
@Julia-s5w2q
@Julia-s5w2q 6 ай бұрын
Sio kweli,,nakumbe ulionyeshwa kama nabii ni option gani ulichukuwa uliiombea inchi kwa ajili ya ukombozi,,,huko kunaitwa kinyume na neno la mungu ,,munaacha kumtumikia mungu mnajadili mambo ya dunia
@samwelkariuki3114
@samwelkariuki3114 6 ай бұрын
Hata kama ni uongo, mwili wa Kenyatta unafanya nn hadi sahizi
@gilbertbada8385
@gilbertbada8385 Жыл бұрын
Keeling kabisa I relate.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Mwenye sikio na asikie
@firstkenyan8833
@firstkenyan8833 Жыл бұрын
Prayer for KENYA that God provides the solution to this prophecy
@MrSeptan
@MrSeptan 11 ай бұрын
Please pray for a revealation. Tanzanians are known to fear kenya fo the far God has blessed. So they attack through false prophecies.
@alicemwangi445
@alicemwangi445 6 ай бұрын
You are right president jomo Kenyatta was never buried it is preserve near kicc building .
@janetnzai9866
@janetnzai9866 Жыл бұрын
Its very true man of God
@carolynejackson4877
@carolynejackson4877 Жыл бұрын
Ruto is the problem. it's not the late Kenyatta.
@shantiMickel
@shantiMickel 11 ай бұрын
Wa Kenyatta 😢😢😢 ni kweli
@dorcasmutunga5935
@dorcasmutunga5935 Жыл бұрын
Lord have mercy on us 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏
@SmumbiMumbi
@SmumbiMumbi Жыл бұрын
Mungu asimame
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 214 М.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 224 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
THE ALTAR THAT FINISHED RUTO | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
53:21
UNABII WA MWAKA 2025 | PROPHET EDMOUND MYSTIC
1:53:08
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 43 М.
WHAT WILL HAPPEN TO RAILA AND RUTO! ][ PROPHET DR. SAMO MTISHY
10:13
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 147 М.
HUYU NDIYE NABII ALIYETABIRI KIFO CHA RAIS MAGUFULI WIKI TATU KABLA
4:43
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН